Waw mama tuwe Makin Sanaa na mabwana zetu eeeh Mungu huyu
@zuwenaalamin89852 жыл бұрын
Jaman dah😭😭😭pole sanaaa
@jackapple54713 жыл бұрын
Pole San kwake maana Hadi huruma
@suzanaraymond67433 жыл бұрын
DA vero inasikitisha Sana yani ni unyama sana
@stellakins37703 жыл бұрын
Uyo kaka mchawi Na yeye ndio alimuuwa uyo mtoto
@doricasedward30663 жыл бұрын
Mm nilijua Toka mwanzo kuwa huyo kijana siyo mtu mwema,nimejifunza kitu ,kila ndoto tunazoziona Zina maana yake , tunapaswa kuacha tabia yakuzipuuzia ndoto.
@shadrackdamiani14183 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@rebeccanashoni46183 жыл бұрын
Mmmmmmmh huyo kijana atakuwa jini sio binadamu wa kawaida