SIMULIZI YA KUSISIMUA: MAISHA YA UBAHARIA/ MIAKA 18 BAHARINI/TULIZAMA/ SOMALIA (S02EP05-PART 07)

  Рет қаралды 16,172

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

Akifahamika kama Babu haji, mkazi wa Unguja anakumbuka matukio ya kutisha akiwa kama Baharia kwa zaidi ya miaka 18, akihudumu kwenye meli kubwa na kutembea mataifa mbalimbali ya kiarabu......
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Baharia #Simulizizamaisha #Dupamdupange

Пікірлер: 44
@nahishakiyeassuman5541
@nahishakiyeassuman5541 2 жыл бұрын
Brother kwakweli sijawi kuona story Kali ndani banga kwakweli Ani iyo ikuwa story kali sana ndani ya 2022 from Mayotte 🇾🇹 à France 🇨🇱🗼🤝🤝🤝🤝🍷🇹🇿mpe salamu nyigi sana babu Aji apo Zanzibar
@saidyabdillah6249
@saidyabdillah6249 2 жыл бұрын
Brother Haji alifika mpaka Mayotte na kisiwa hicho anakijua chote na aliishi hapo zaidi ya miaka mi5, yaani hii story unayosema kali BASI UKALI WAKE HAIJAIFIKIA HIYO MISUKO SUKO ALIOKUTANA NAYO HUKO MAYOTTE PA1 NA ANJUANI...Coming soon story ya Mayotte inakuja HAPA HAPA KWENYE MBANGA
@charlesochieng5414
@charlesochieng5414 2 жыл бұрын
I love this channel...I wish however that they'd stop playing the back ground music when the guests narrate their stories it's distractive...we struggle to listen especially if you are not a Tanzanian Swahili speaking viewer. Another thing, they should adopt the small clip on microphones for their guests especially..so that the audio quality is consistent.. currently because of the Movements of the guests as they speak.
@peacemakerdxb6012
@peacemakerdxb6012 2 жыл бұрын
Safi sana, naskiliza kutokea Dubai
@abdallahmohamad6991
@abdallahmohamad6991 Жыл бұрын
Daaaaahh babu haji nakubal Sana Sailors they never lose their hope always
@khamisshee5131
@khamisshee5131 2 жыл бұрын
Babu Hajji safi sana👍 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 2 жыл бұрын
Mimi nawatatilia kutoka Swissland 🇨🇭 na mimi niapita njia za huyo jamaa sehemu zote anazo zitaja miji ya Emereti nishaishi 1985
@philcoism
@philcoism 2 жыл бұрын
Latino Master na mzee wetu hapa wana story kali sana.
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 жыл бұрын
Sasa mujuwe kama waarabu nafsi mbaya na yote hayo kutokana na mali zao za kishetani za masharti . Mana hata kama mtu tajiri na anashindwa japo nusu ya pesa kuwapa. Na ndio maana mpaka leo watu kutumika to na mateso wanawapa na mshahara hawawalipi
@seifsaid8867
@seifsaid8867 2 жыл бұрын
Dupa hii story mbona kimya muendelzo? Jumatano kimya na Leo jumamosi pia hakuna kuna shida gani?
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 2 жыл бұрын
Fantastic story ,,,bigup
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 жыл бұрын
Story Kali Sana hii ya babu haji
@latifaali9313
@latifaali9313 2 жыл бұрын
Nipo zanzibar mzee haji kweli bahari kwa aliopitia
@lenniefei6710
@lenniefei6710 2 жыл бұрын
Waarabu washenzi sana hawana imani ya kidini wala ya kibinadamu...kelbu wakubwa!!!
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 2 жыл бұрын
Story ni Kali Sana Mpe hi Babu hapo zenji
@Ahmedsaid-cu3kh
@Ahmedsaid-cu3kh 2 жыл бұрын
Tupo pamoja sana naombi kwenu mkimaliza kwa babu hajji mtafuteni na yule mwezie
@lupacrisamayc518
@lupacrisamayc518 2 жыл бұрын
Mbanga......noma sana.....
@nadildylan6124
@nadildylan6124 2 жыл бұрын
Nimejifunza kuchapa Kaz na kuwa na subra kwenye maisha 🙏
@sadabkari5532
@sadabkari5532 2 жыл бұрын
Kwakweli ukisema wewe umeungua mwezio majivu hata mm ni mejifuza mengi ukitaka kujuwa njia upate watu kama Hawa walopitia mengi🙏
@rashidmohamed5724
@rashidmohamed5724 2 жыл бұрын
Tupo wote brother and
@rashidmohamed5724
@rashidmohamed5724 2 жыл бұрын
Tupo wote brother Dupa
@obillaezra6205
@obillaezra6205 2 жыл бұрын
Isihaka Kibene siyo Ndo aliyeimbwa Na TX Moshi William ?
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 2 жыл бұрын
Km 187-sawa na dar-moro
@gaomariwa7637
@gaomariwa7637 2 жыл бұрын
Mnatueka Sana ongezeni
@sadabkari5532
@sadabkari5532 2 жыл бұрын
😀😀😀 jomni stor nzur mashllah ndege watu 2 Kwa watu200 😄😄😄
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 2 жыл бұрын
Nawapata Sana nikiwa oman
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 жыл бұрын
Matajiri wakubwa wanadhulumu maskini wadogo acha meli zizame namali zao sio watu hayo nimalipo madogo yadunia bado akhera
@saidyabdillah6249
@saidyabdillah6249 2 жыл бұрын
CHECHEMUAAAAA Dupa Mdupange hatari sana
@noahkiptanuikurui7330
@noahkiptanuikurui7330 2 жыл бұрын
Esipode 8 haiji?
@vairasiv4228
@vairasiv4228 2 жыл бұрын
Siobhan middle east...sema united arab Emirates
@sebajseba719
@sebajseba719 2 жыл бұрын
Yule kijana wa Kenya vip mwedelezo
@khamisiramadhani3380
@khamisiramadhani3380 2 жыл бұрын
Munderezo wa babu aji lini kaka mbona himeishia nusu seem 8 tuwekee
@ibugharib389
@ibugharib389 2 жыл бұрын
Tuko pamoja na mbanga na kake Haji TUNAWAPATA TOKA Oxford United Kingdom
@mwasa_tv
@mwasa_tv 2 жыл бұрын
kwel mabaharia wana roho ngumu
@sakuranitillya6088
@sakuranitillya6088 2 жыл бұрын
Maishani tunatakiwa kua kama babu haji hakuna kukata tamaaa
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 жыл бұрын
Yeah ka mkubwa mbanga
@GIVEN994
@GIVEN994 2 жыл бұрын
Ila katika story zote hizi za kwenye maji huwa zinaniteka sana yaaani,Kama ya makaveli,Yule jamaa wa mayote na huyu mzee daaaaaah zimenikosha aana yaaani
@Gadgetstz
@Gadgetstz 2 жыл бұрын
Yule jamaa anajua sana kusimulia
@hasyno9805
@hasyno9805 2 жыл бұрын
Ukimaliza babau haji mtafute na yule mwenzake
@jeanribamunda7957
@jeanribamunda7957 2 жыл бұрын
Asw nipeye huyo muze salamu sana nimekuwa naye Mayotte kitambo natafuta sana namba saké za w s p nimezikosaga basi azinitumiye
@saidyabdillah6249
@saidyabdillah6249 2 жыл бұрын
Vp ww bado uko Mayotte?
@sulleyally5040
@sulleyally5040 2 жыл бұрын
Hiki kipindi kitamuu saanaaa
@mohamedidaruss4093
@mohamedidaruss4093 2 жыл бұрын
Asalam alaikum mbona kipidi mpaka sasa hakijawekwa
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 40 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 17 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 19 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 70 МЛН
MBAAZI zawaingizia Wakulima Tunduru bilioni 1.6
2:50
tunduru_dc
Рет қаралды 530
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 40 МЛН