Hatimae tunamalizia ARTIST..ahsante sana mtunzi mairi LISSA MWALA ,NA msimulia maarufu MR.ANKO JAY MAPESA..hongereni sana🌹🌹
@lovenesshadson3559 Жыл бұрын
Wooh woooh woooooh Asantee sana kwa mwendelezo nimesubilia saana Artist is the best
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Asende Sana simulizi mungu hawabariki Sana tana sana ANKO JAY my dear brother
@NeneteMurumbi Жыл бұрын
Asante sana kwahii simulizi, kwakweli tokea nanza kusikiliza simulizi zako sijaona ilio nzuri kama hui, Mungu abaririki uyu Muchungaji kwakweli, sababu hakukubali kuabisha kazi ya Mungu. Naipenda sana
@annamwinuka6190 Жыл бұрын
Pole sanaa mary kwa kufiwa na mtoto ila jesca mungu kampa malipo yake hapa duniani
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Mungu halali
@lovenesshadson3559 Жыл бұрын
Jamani simulizi imeniliza mnoooo uko mwisho mpaka macho yamenivimba 😭😭
@bashirushabani6726 Жыл бұрын
🔥🔥🔥 tunamaliza kabisa , pamoja san anko jay
@mamtuhhassan809 Жыл бұрын
Story nzuri sana nimeji funza meng 😘🥰🙏🙏
@mamtuhhassan809 Жыл бұрын
Naji vunia simulizi yenye jina langu kuandikwa na lissa wangu Love u maa 🥰❤️❤️
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Hongera kwa mapacha asante kwa simulizi nzuri lisa na Anko J
@fatmarajab4209 Жыл бұрын
Hakika wanaume wanatuumiza sana😭😭😭😭😭dah
@elishawilliam6631 Жыл бұрын
Asant simulizi mix kwa simulizi nzuri iliyo jaa mafunzo mungu awabariki
@adelinahnorbet1804 Жыл бұрын
Daaah 😭😭 hii hadithi 🔥 na inaumuza na kufariji Sana
@mariamrashid6880 Жыл бұрын
Shukran sana Lissa Mwalla tumeburudika ajab shukran pia kwako Anko Jay na team nzima ya Simulizi Mix
@rebecamsigwa7216 Жыл бұрын
Mmmmh huyu Marry kiwembe heeee kila mwanamume anamtman kaaaaa hata haya haoni
@puritylobun5313 Жыл бұрын
Woow ahsante sana kwa muendelezo, na imekuja haraka hii leo
@patriciakyalo3454 Жыл бұрын
Marry ❤ finally happy marriage with Larry 😍 Lissa mwalla unakipaji aki
@Yaslahallyabdulla8 ай бұрын
Simulizi ni nzur niliipita siku nyingi sana hii simulizi leo nimeamuwa kuisikiliza ila merry uko kudanga haikuwa njia sahihi duuu!
Yaani Marry mpaka ujisopoe hapo ulipowekwa mwenzangu ni kazi kwelikweli
@ZaiZainabu-o4p7 ай бұрын
Asant anco jey🎉
@wardawarda4903 Жыл бұрын
Jamani eheee lissa lissa umeniliza story ina mafundisho nimeipenda nimeipenda tena good story tunasubiri kigonģo kingine msimuliaji sasa anavaa uhusika mwee mwee smix ni kiboko cha stress
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Kwa kweli Anko umetupa raha kwa mwendelezo
@mwanahawamsafmsafiri Жыл бұрын
Dah nimeumia sanaa😭😭😭 imeniguxa xana dah
@zahrababygarl1568 Жыл бұрын
Aise shukrani sana Lisa ❤️❤️ pastor kaupiga mwingi sana
@HemedBaruan8 ай бұрын
Jaman simulizi hi imenifundisha sana
@RahelIbrahim-id2li8 ай бұрын
Hongera,tuchukue funzo na kuweka ktk uhalisia wa maisha
@RahelIbrahim-id2li8 ай бұрын
Simuliz za hiv wengi wanachukua mapenzi tu bila kujua kuna madhara ya ngono zembe
@zaynabumfamao6792 Жыл бұрын
wow nimefurai
@salmaedwin5641 Жыл бұрын
Mudangaji anaolewa na mchungaji Mungu ni mwema
@RahelIbrahim-id2li8 ай бұрын
😁😁😁
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Waaaoooh Anko👍
@RahelIbrahim-id2li8 ай бұрын
Mwanaume gani atamchukua mwanamke aliyejiuza mpaka akachjuka kuliko dodoki la kuogea ,khaaaa,moyo sukuma damu achana na mengine
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
😢😢😢😢daaah eh mungu
@RahelIbrahim-id2li8 ай бұрын
Mmmmh
@mercymusundi8779 Жыл бұрын
Anko jay wachanga kujisifia wacha mie nikusifie
@lovenessyesse9053 Жыл бұрын
Daaa jmn mtoto kafariki Hali yamama imenifanya nitokwe machoz jmn 😭😭
@lovenesshadson3559 Жыл бұрын
Yani wewe Kama Mimi
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Asante simulizi mix kwa muendelezo
@bukuruasina427 Жыл бұрын
Khaaaaa 💔 Yan huu sik mbil naskiliz tu😂😂😂😂😂🤣🤣sant Kwa final 🔥🤍 nimejifunz kwel ❤️❤️niskiliz ss Queen 👑
@paulalove1223 Жыл бұрын
Queen Monica
@zuhuranadahhinda1366 Жыл бұрын
Weeweee bora
@sadikituji-rd5od Жыл бұрын
Safi Sana mwendelezo wa boss wangu
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Dah Marry Kubali hakuna wanaume wabembelazi kama huyo sikuhizi
Wakati wa Mungu ndio sahihi mwisho wa mwanadamu ndio mwanzo wa Mungu jina lake na liinuliwe milele amina
@esthermibaleo1900 Жыл бұрын
Asante kwa simulizi nzuri
@annakinyi218 Жыл бұрын
Love you anko sauti yako yawa ❤❤
@hamidabaliyanga2584Ай бұрын
Asante sana Ankojay 🎉🎉
@ayshaaysha2165 Жыл бұрын
Hongera sn mtunzi wa simulizi nzur tamu Pia niyenye mafunzo Na pia Hongera msimuliaji wa hìi simulizi ANKO J MM napenda sn jinsi unavosimulia Allah akukuzie kipaji chako Nakupenda sn ANKO j
@mishelygodlisten1171 Жыл бұрын
Waoo
@susansamira8137 Жыл бұрын
Asanteni sana kwakuletea Artist
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Dah kweli Dunia ni nyumba ya mtihani
@RahelIbrahim-id2li8 ай бұрын
Jumba kweli
@RahelIbrahim-id2li7 ай бұрын
Cha kusikitisha Dizo alibadilika kwa moyo wa kishujaa na kuthubutu aliyoonyesha kwa mwanamke aliyeshindikana bara na pwani
@nyangasa-f8p11 ай бұрын
jamani nimeriasana jamani😢😢😢😢
@mkasijuma8970 Жыл бұрын
Lekin huyuu Larry kama yuwampenda mery si amwambie tu waishii wotee hisia zinaumizaa nyiee
@arafatyhussein Жыл бұрын
Mbona abood fm saiv amna story😭😭😭😭😭😭😭
@roselambert6700 Жыл бұрын
Asante kwa simulizi tamu kabisa na yenye fundisho
@medinahsamita3981 Жыл бұрын
🤣🤣🤣anataka lary by force namaombi haijibiwi Kenya 🇰🇪
@salmaally4907 Жыл бұрын
😄😄😄 Dada anataka kuangusha kanisa
@mahirgeri7682 Жыл бұрын
Hahaha
@mariethamasika9125 Жыл бұрын
Asante kwa kutuwahishia mwendelezo.....waliofurahi like zenu kwa SMIX
@jamlihbashir2660 Жыл бұрын
Asante anco j simulizi tamu xana na inamafundisho
@sifakangana305 Жыл бұрын
M0
@ShukuraniMapunda-lz3un Жыл бұрын
Safi sana anko j😂😂😂❤
@ayshaaysha2165 Жыл бұрын
Pole sn Merry kwa kufiwa na mtt wako
@maryamanalisi197 Жыл бұрын
Wooow ❤❤❤🎉
@salmaally4907 Жыл бұрын
Hatimae🤗
@dinahwafula2538 Жыл бұрын
Nimeburudika sana na hii simulizi pamoja na kujifunza Asante sana, tu naomba mwendelezo wa KOSA mbona inachelewa hivo?
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Ila usende kwa mganga utamaliziwa pesa na huo umaskini uliopewa utazidi Zidisha maombi taratibu yataisha
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Aaaa aaa! anko J wewe😅😂😅
@mkasijuma8970 Жыл бұрын
Khee🤣🤣🤣😂😂😂😂Polee kwa kitomboo hichoo A.K.A mikitooo ya Larry napitaa miee🏃🏃🤣🤣🤣🙌🙌
@saumukambi8562 Жыл бұрын
Hongera sana Ank j Ila kwa wakati huu wanaume wanaume waaminifu na wenye hofu za mungu miwachache Asnt Anko unatuvunza mengi kupitia hizi simulizi binafsi nazidi kuwachukia mno Wanaume Naona kubwa kupambana hali uliyonayo ndg zangu
@RahelIbrahim-id2li8 ай бұрын
Mmmh,mkasi maneno hayo
@mkasijuma89708 ай бұрын
@@RahelIbrahim-id2li 😂😂
@dormshana3173 Жыл бұрын
Asnt sn Ank j. 😍😍
@mishelygodlisten1171 Жыл бұрын
Mh anko ww bil kujisifia ww huwez jmn saiv n mm nisifie sem Kam mishely
@jennytugara9470 Жыл бұрын
Anko Jay jamani eti huyu mchungaji anatabia kama zangu labda pacha wako duniani wawili wawili😂😂
@nasrarajabu4260 Жыл бұрын
Jamani muendelezo wa Farida nasubili Anko j mbona kimya
@mercymusundi8779 Жыл бұрын
Mungu hurudisha maraduvu
@RahelIbrahim-id2li8 ай бұрын
Mmmmmmhhhh,,,,wanaume kama Dizo wapo jaman ktk dunia hii au dunia ijayo kama ipo??..
@getumwamwezi2990 Жыл бұрын
Asante hatimae tunafulai
@aumuelly2909 Жыл бұрын
😁😁😁Anko Jay wewe
@deborahgodda7052 Жыл бұрын
Hii simulizi ni mafunzo tosha kwa akina dada na pia nampenda sana anko j kwa sauti yake jamani .
@RahelIbrahim-id2li8 ай бұрын
Saaana,watu tuchukue somo hapo
@happyeekavishe1925 Жыл бұрын
Kweli wakati wa Mungu ni sahihi
@dayanaamoit6951 Жыл бұрын
Jamani Anko J wewe ati bikra😂😂,, Yani wapenda kujipea sifa 😂😂
@asiamodriq2933 Жыл бұрын
Asante anko jay
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Ila dah walimwengu wakikiwahi mmm🙄 ni mtihani
@RahelIbrahim-id2li8 ай бұрын
Saaana
@swabrarashidi1082 Жыл бұрын
Jamani ivi anko ni mlugulu nini mana sikwakupenda sifa uko
@paulalove1223 Жыл бұрын
Au mhaya😂
@AishaAisha-yz3ns Жыл бұрын
Hii simulizi imeniliza kwakweli 😢 hizichangamoto kunawatu wanapitia japo sio kama hivi
@RahelIbrahim-id2li8 ай бұрын
Kama Mery aliyataka mwenyew kwa umalaya wake
@ataamansi8941 Жыл бұрын
Asante sana kwa simulizi yenye mafunzo Lissa Mwalla , tunafurahia sana vipande virefu na si vipande vidogovidogo.japo kwangu my no one ni chizi fresh, teacher Dylan, Dr Maila, hongereni sana wewe na msimuliaji wako ana kipaji anafanya simulizi inakuwa TAMUUU
@lovenesshadson3559 Жыл бұрын
Story nzuriii saana sijapata kuona anko jay Naomba na t shert yangu itaitwa ARTIST 😂😂😂
@jabuali5739 Жыл бұрын
Nimepitwa jmn
@ashaabdalla924 Жыл бұрын
Anko J kwa kujifanqnusha yaani unanikoshq hasa simulizi zako unatamani zisishe kusimulia unavonechekesha Mungu akuzidishie😘❤😂😂😂
@anthobarengeke3200 Жыл бұрын
Sijuwi wanaume mmetengenezwa kwa madini ya aina gani !! Wenye wanawarundaga emo madawa , wako na sheriya.
@nawmijdodk733 Жыл бұрын
Finally 🙏🙏🙏🙏🙏
@paulalove1223 Жыл бұрын
Anko miayo kama kawa umechoka😂pole sana
@ankojay8882 Жыл бұрын
😄😄😄😄
@RahelIbrahim-id2li8 ай бұрын
@@ankojay8882 kaz yake ngumu na ya muda mrefu,awe na maji pemben
@shantellekwamboka7444 Жыл бұрын
Woi!Lissa mwala weee kiboko pmj n s.mix family ,mwisho wa binadamu hakuna haujuaye tujifunze kusamehe n kusahau pia kuwa n subira
@selfamitche3530 Жыл бұрын
Simulizi tamu kweli ❤️
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Asante kwa kujali
@aminaomarimaidi Жыл бұрын
Lissa unanikosha na stori zako nzuri kiasi kwamba ninanenepa 😁 Afu na Ankojay akiongeza hizo mbwembewe zake anaposimulia ndio namalizika kabisa💪