NANA mrembo wa UTU ya ALIKIBA afunguka kushindwa kufanya video ya DIAMOND, "sipendi kuvaa nusu utupu

  Рет қаралды 55,984

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 111
@rosechami5637
@rosechami5637 2 жыл бұрын
Mdada mzuri interview Kali maswali na majibu perfect huchoki kuangalia just lovely 🔥🔥🔥🔥🔥
@omaryluambano3495
@omaryluambano3495 2 жыл бұрын
Kingkiba Mtu Hatari kwa Sasa Bongo Wengine Ushuzi Tu
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 2 жыл бұрын
Actually we are here to support but don't let us down I mean usiwe kama wadada wa Dar ... you know what I mean. Keep it up dear
@ChinovaYahaya
@ChinovaYahaya 8 ай бұрын
nakupenda tu nana ww mrembo kweli
@ramadhanjumbe8887
@ramadhanjumbe8887 2 жыл бұрын
sns you are really professional and keep it up
@bellahariminshi5149
@bellahariminshi5149 2 жыл бұрын
Nice😍
@barakajemmanuel3159
@barakajemmanuel3159 2 жыл бұрын
UTU🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@aretasmassawe5009
@aretasmassawe5009 2 жыл бұрын
Dada kajulia video anajua namna kuongea
@eliannelumiere4004
@eliannelumiere4004 2 жыл бұрын
Dada nana wewe ni mkali mungu akuzidishiye 🙏
@alwattanchinga
@alwattanchinga 2 жыл бұрын
Nice nana &sns ❤️❤️❤️❤️
@TheReporter-A47
@TheReporter-A47 2 жыл бұрын
SnS nawapenda Sana yaani unaenjoy kusikiliza na kutazama interviews 💕💕💕
@bilalbizimana980
@bilalbizimana980 2 жыл бұрын
Absolutely yes, u can say that, hakuna maswali ya uchonganishi
@official_thedon7
@official_thedon7 2 жыл бұрын
Nasma umeua interview Kali uko reality sana good
@happinessshirima3279
@happinessshirima3279 2 жыл бұрын
She so cute
@BUSHASHASWITCH
@BUSHASHASWITCH 2 жыл бұрын
Respect my sister I wish you god bless you #NaNa minamujua sana kwajina la #Regine Pazia _Tangu kipindi kinaanza paka kimalizike hakuangalia kwenye camera #I like your confident #Nana
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 2 жыл бұрын
Nice interview 👌
@zachaliamachibola8291
@zachaliamachibola8291 2 жыл бұрын
Uko vizur mpz
@maryamseyyid3208
@maryamseyyid3208 2 жыл бұрын
Beautiful and matuarity❤️
@sashasasha8130
@sashasasha8130 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥nana wangu
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 2 жыл бұрын
Nice interview nana 🔥🔥❤
@OppoMalipo
@OppoMalipo Жыл бұрын
Nice 💋❣️❤️🥰🥰🥰💯🏆❤️🇨🇩
@Innocentciza
@Innocentciza 2 жыл бұрын
SNS Tunawakubali love from buja
@sintaibra355
@sintaibra355 2 жыл бұрын
💚💛💚🔥🔥🔥Nanaa😘😘😘
@joneslulamaze746
@joneslulamaze746 2 жыл бұрын
Nana
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 2 жыл бұрын
Wow...Great 🔥🔥🔥🔥
@barakakalinga6960
@barakakalinga6960 2 жыл бұрын
Akwende zake mondi anaangilia watoto wa kwenda😄
@eliudmapula4458
@eliudmapula4458 2 жыл бұрын
Mtangazaji unajua sana ..maswali yako hayaboi.💥
@kitunganolw
@kitunganolw 2 жыл бұрын
🇨🇦Eti Sasa hivi jina laki ni “Nana wa UTU” ✌️
@anacondaonetime
@anacondaonetime Жыл бұрын
Cool
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 2 жыл бұрын
Utu imefanya mm nikujue ww Nana mheshimu alikiba
@faridakidoti6734
@faridakidoti6734 2 жыл бұрын
Yani kuhusu kukaa uchi hiyo ndo tabia yako dada umetupiga na kitu kizito
@adamyasin4089
@adamyasin4089 2 жыл бұрын
Vixen wengi wakifanya video na Alikiba lazima atasema diamond alimtaka akakataa kushoot nae Yani sijui wanashida gani et utupu ukute hata diamond hajawahi kumpigia
@maembamwita4716
@maembamwita4716 2 жыл бұрын
Nikweli hata time nae hana
@maembamwita4716
@maembamwita4716 2 жыл бұрын
Yan kwa uelewa wangu anatamn sna kufanya kaz na diamond platnumz ila ndo anafikisha ujumbe wake
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 2 жыл бұрын
@@maembamwita4716 kwani dmd ni nani mm simjui
@svt3
@svt3 2 жыл бұрын
@@nassirmohamed8492 uliza watu wa Gramy ni msanii international, sio msanii wa Buza na kenya
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 2 жыл бұрын
@@svt3 🤣🤣🤣🤣
@kassimmtepa7917
@kassimmtepa7917 2 жыл бұрын
King
@rahmanamani3422
@rahmanamani3422 2 жыл бұрын
Yaani mapaja na kifua wazi iyu sio uchi
@irambonasaidi3417
@irambonasaidi3417 2 жыл бұрын
I like it 👌
@platnumztigerraydp253
@platnumztigerraydp253 2 жыл бұрын
❤️🖤💜🌍
@morningstarartproduction8436
@morningstarartproduction8436 2 жыл бұрын
Kusema kweli mim nimeanza kukuona kweny video ya utu
@salmahabdallah7203
@salmahabdallah7203 2 жыл бұрын
Na anaigiza pia
@sadruhsnow5637
@sadruhsnow5637 2 жыл бұрын
Kazur
@mwajabummbaga6302
@mwajabummbaga6302 2 жыл бұрын
Saana
@abdukarimhussein4215
@abdukarimhussein4215 2 жыл бұрын
Interview kal sana
@Bovyoot
@Bovyoot 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@tatuathuman104
@tatuathuman104 2 жыл бұрын
Muongo huyu pita kwenye PAGE yake picha zake na video zake ni nusu uchi tena uchi kabisa Muongo sana huyu dada
@zaytunimkwata6949
@zaytunimkwata6949 2 жыл бұрын
Kabisa yani nimeshangaa analichokiongea, wakat anavaa vibaya mpka huwa najiuliza hivi ustar ni lazima uvae nusu utupu? huyu ambacho hatujakiona kwenye mweli wake ni viwili tu
@pendorose8056
@pendorose8056 2 жыл бұрын
Ni danga hilo linakujaga arusha mae
@westpusher6083
@westpusher6083 2 жыл бұрын
Mimi nadhani Hakuna jina Alikiba Bila Diamond Muacheni Alikiba Akue Kimziki Kivyake Pasipo Kulitaja Jina La Diamond Mtakuwa Mmemsaidia Sana Maana Hapa Anatembea Kwneye Kimvuli Cha Diamond,😇NARUDIA HAKUNA ALIKIBA BILA DIAMOND ILA YUPO DIAMOND BILA ALIKIBA
@ibrahdedonny4073
@ibrahdedonny4073 2 жыл бұрын
Ushaxema Bro 🐐
@chelseafcinafrica4313
@chelseafcinafrica4313 2 жыл бұрын
Nenda Chanel ya wachafu uone mara ngapi wanalitaja jina la ALIKIBA ALIKIBA akili yako ina TB
@saumuabdi1802
@saumuabdi1802 2 жыл бұрын
Yah huo ndoukweli
@titoumeongeakwerijasson9245
@titoumeongeakwerijasson9245 2 жыл бұрын
Safi sana bidada
@FatmaMwinyi-jt2rr
@FatmaMwinyi-jt2rr Жыл бұрын
Hapanaaaaaaaaaaaaa
@Hello-gr8fg
@Hello-gr8fg 2 жыл бұрын
Ameogopa kukuliwa uyo 😂
@happynjukiz6495
@happynjukiz6495 2 жыл бұрын
Unaweza kuta hata Mondi ajawai mwambia basi Kwa sababu tunajua Mondi ndiyo daraja la wengine kupiga pesa basi 😁
@happynjukiz6495
@happynjukiz6495 2 жыл бұрын
Kalipwa pakubwa na kurainisha kuliwa hhaha😁
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 жыл бұрын
Acha kuukumu jamani kuwa na utu
@cherylcheryl7694
@cherylcheryl7694 2 жыл бұрын
Napenda majibu yako mazuri hayachoshi
@zabibuamissi1141
@zabibuamissi1141 2 жыл бұрын
Pic zako uki post ni nusu uchi
@danieldastan1776
@danieldastan1776 2 жыл бұрын
Safi
@jacobedward7461
@jacobedward7461 2 жыл бұрын
West pusher senge ww
@martinkinyua7650
@martinkinyua7650 2 жыл бұрын
You rest on Sunday this means you don't go to worship.😟😟😟
@bilalbizimana980
@bilalbizimana980 2 жыл бұрын
U never no maybe She's Muslim
@josephstephano2781
@josephstephano2781 2 жыл бұрын
Kwan kwenye vdeo c amekaa uchi au anaongea pumba
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 2 жыл бұрын
Kkkk mnatafuta Kiki kweliii mtu yupo Grammy huko eti anaweza kukutafuta wew ukatae? Boya
@rosechami5637
@rosechami5637 2 жыл бұрын
Umeelewa maswali kweli alitaka Sana Ila ilishindikana kwa sababu positive kabisa
@chelseafcinafrica4313
@chelseafcinafrica4313 2 жыл бұрын
@@rosechami5637 mashabiki wandi hawajawahi kua na akili
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 жыл бұрын
Yc sijui mondi ni mungu atamimi cnakitu ila akisema simkubali wala nini nice tu na njaa yangu kama wewe unamkubariiii bc👍
@ruthkasumba7739
@ruthkasumba7739 2 жыл бұрын
Shida yke ni mswahili hapend kuvaa uchi ukiingia kwny page yake insta jmn 🤣em acha kutuongopea
@Chiefiboy
@Chiefiboy 2 жыл бұрын
Umeona eeh yaani picha za utupu ndo zimejaa😂
@frankchibago3206
@frankchibago3206 2 жыл бұрын
Utu Ni wimbo wataifa
@anethedward2868
@anethedward2868 2 жыл бұрын
We are followers not fans😀
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 2 жыл бұрын
Akipewa hela hiyo nusu uchi atavaa tu..hakuna mwanamke mwenye misimamo mbele ya hela
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 2 жыл бұрын
Sio kweli mzee labda dada ako au demu wako wengine wako na misimamo usikalili
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 2 жыл бұрын
@@ibrahimkibira9943 hujaona video zake anavyopiga denda alafu ana vujisha ndo ashindwe kuvaa nusu uchi
@nadinekinyata1072
@nadinekinyata1072 2 жыл бұрын
Mbona kwenye nyimbo ya asly natamba alivaa uchi
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 2 жыл бұрын
Yeye ni muigizaji on set unaweza kufanya romance 😍 out side and really life hawezi kufanya hivyo watanzania tunapenda kukuzaga mambo
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 2 жыл бұрын
@@nadinekinyata1072 alifanya before now days hafanyi utamlazimishaa?😳
@marymariki586
@marymariki586 2 жыл бұрын
😆😆
@suleamberforreal7401
@suleamberforreal7401 2 жыл бұрын
Huyu nana kaz yke ni nn !? Nmemuona kwenye nymbo ya King na nmempenda balaaa
@khadijambuya794
@khadijambuya794 2 жыл бұрын
Ni muigizaji pia mwana mitindo kibongo bongo
@islasaidi2905
@islasaidi2905 2 жыл бұрын
Ni mwanafunzi UD na mwigzaji Ila mtu wa drama Sana anasima uku anatembelea harrier
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 2 жыл бұрын
Nana nini? No no 😆😅😂
@CTM.24Updates
@CTM.24Updates 2 жыл бұрын
*Jux harmonize aache dharau* kzbin.info/www/bejne/banVhWSgYquXbZY
@winniedaji9046
@winniedaji9046 2 жыл бұрын
si useme huwezi sababu wewe ni mchepuko wa kiba
@godefroidniyonkuru7332
@godefroidniyonkuru7332 2 жыл бұрын
Ali tu nafanyaga video za heshima siyo zawakosa hadabu wala wava uci
@sirallantoiske6250
@sirallantoiske6250 2 жыл бұрын
Ukiamua kufanya kazi usichague tena jembe
@benjaminahadi5926
@benjaminahadi5926 2 жыл бұрын
Usitizam filamu iyikzbin.info/www/bejne/epO8n5WVisR8rpY
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
ZUCHU ANASEMA DIAMOND KACHELEWA KUMUOWA AMTAJA NANDY
4:49
TUJIFUNZE ONLINE TV
Рет қаралды 320
Menina Ft. K2ga - Sijiwezi (Official Video)
3:26
Menina Alegria
Рет қаралды 253 М.
Vanillah - Unanisitiri (Official Music Video)
4:06
Vanillah
Рет қаралды 462 М.
Alikiba - UTU (Official Music Video)
4:06
Alikiba
Рет қаралды 30 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН