Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii: / simulizinasauti / simulizinasauti / simulizinasauti / simulizinasauti
Пікірлер: 172
@saxenaofficial416810 ай бұрын
Yaaani sky unajua mungu akupe maisha malefu tu zawadi tosha kwangu sky ❤
@abelhilonga109510 ай бұрын
Mwana sns popote nilipo mimi ni wa kwanza kusikia leo
@iddimoshi845910 ай бұрын
Yap. Sio mbaya wakikaa muda mrefu uku wakileta maendeleo Mbaya ni pale wanapoanza kwenda tofauti
@abedymtore270710 ай бұрын
Umetoa ADITHI Nzury sana bab lakn umeisaau CCM KWAN ndio ilio kaa sana madalakn
@happynesbaemuhappynes881310 ай бұрын
😂😂😂
@maniamba.tz_10 ай бұрын
😂😂😂
@neemanyove913010 ай бұрын
Kaongelea maraisi kukaa muda mrefu madarakani na sio chama kukaa muda mrefu elewa concept inasemaje
@fabicshofficial10 ай бұрын
Proud to be an sns fan
@brunoh_bx10 ай бұрын
Hapa kwetu ni chama ndo kinang'ang'ania madaraka na sio mtu😅
@shaurisaidi74704 ай бұрын
Kweli aswaaa
@rwagasunzuibrahim8514Ай бұрын
Kwani huko kwenu ni chama kimoja tu Hio nimbinu nyingine huwezi kuelewa wewe Tanzania ninchi ya chama kimoja? Ao wengine sio wa Tanzania acheni ubinafsi
@benhamza564910 ай бұрын
Baki hapo madarakani Hadi kifo, sitojali ikiwa kama unaendesha inchi vizuri na Hakuna vita na amani inatawala
@issazalala490710 ай бұрын
Nilisha sema adui wa African ni mwa frica mwenyewe 😂
@shaurisaidi74704 ай бұрын
Swadacta maneno mazima
@mustaphamatelefone-lc9pr10 ай бұрын
Asante sana 🙏 🙏🙏
@mweyoms554810 ай бұрын
Tatizo sio wao.Tatizo ni wale wanaondelea kuatamia uwepo wao madarakani.
@rogerslwitiko391510 ай бұрын
Binadamu anabadilika kwa kadri umri unavyo kwenda hivyo Viongozi wanaokaa muda mrefu Madarakani ndiyo inapelekea Ukengeufu wa Kiongozi maana anakuwa amekizoea Cheo au Kiti cha Uongozi
@safiaabubakar112010 ай бұрын
Haipo sawa
@jackhans770810 ай бұрын
Kati ya pic hizi za viongozi mimi niachie huo watatu waliopo chini,ujue inshu sio kukaa muda mwingi madarakani ni unauzalendo kiasi gani?angalia china,urusi,iran nk ,yani tatizo linakuja kuna baadhi ya waafrica bado wanaamini kuwa ulaya ndio kunakilakitu,uzushi,
@alibinali_10 ай бұрын
Paka leo African ni kama hatuja pata Uhuru 😢
@allahisone638610 ай бұрын
Nikweliiiii kbsaaaaaa
@izamahmasaki479510 ай бұрын
Lugha ya vinganganizi inakujaje !!!? kiongozi was kiafrika waliokuwa na msimamo was kupingana na sera za kimagharibi akisimama kupingana na sera za wazungu kuweka vibaraka mnawaita vinganganizi lugha za manyangau!! ninyi waandishi nanyi ni wachonganishi na baadhi yenu ni vibaraka was media za magharibi ,, acheni undumila kuwili , kwani mnaacha kuandika taarifa nyingi za uchafu was hao vibaraka wenzenu mnabaki kusndika umbra na udaku ,, samaki nyie wababaishaji tu kuweni waafrika halisi na mpambanie uafrika wenu.
@josephmantago283710 ай бұрын
Unatawale binadamu wenye akili na maarifa kwa miaka 30 huo ni ushetani hkuna tofauti na ukoloni
@brunoh_bx10 ай бұрын
Kama lengo ni kupingana na mataifa ya magharibi basi wawe wanaweka mifumo ili kila kiongoz atakaeingia awe anafuata mfumo huo na sio kuongozwa na mtu mmoja yaan kama vile hakuna wengine wenye uwezo wa kuongoza
@rashidyusuphwewenimtotowam176110 ай бұрын
Umevuta bange kwahiyo wakifa hakuna wa kuendesha nchi tena na nchi inakufa.
@rwagasunzuibrahim8514Ай бұрын
@@josephmantago2837Tatizo nikuelewa tu CCM ya Tanzania ina miaka mingapi? Kwa mfumo wawo wanabadiliaha Mgombea lakini utawala ni ulele haujabadilika tu kwani chama ni kimoja? FPR inamfumo wake wao wanapendelea kuweka Mgombea Umoja hio sio tatizo kwa Chama .Chama kikishindwa katika uchaguzi .Chama kimetawala kitaweka Mfumo wao katika Chama chao acheni kuwa munaingia katika Katiba za watu Rekwbesheni kwanza ya CCM
@abelhilonga109510 ай бұрын
Faida ya kusubscrbu
@user-bq9jt9uj7q10 ай бұрын
Safi bro upo vizuri
@danielmkama2410 ай бұрын
Sasa bro kwa mfano #Magufuli angekaa madarakan miaka 40 shida ingekuwa wap? Mie nafkr kikubwa ni uongoz bora na maslah ya wananch bila kujali muda wa kukaa
@user-ym5ui3ov1m10 ай бұрын
Pole sana Kwa uwezo wako wakufikiri
@danielmkama2410 ай бұрын
@@user-ym5ui3ov1m Na ww endelea kupinga kila kitu na uwezo wko mdogo wa kutofautisha.
@katunzijasson541010 ай бұрын
Hahahhhh dah sikupingi ila baada y muda usingesema hvyo pia pengine...mwache mwamba apumzike kamaliza kazi tyr
@danielmkama2410 ай бұрын
@@katunzijasson5410 oky ila kaz hakumalza
@katunzijasson541010 ай бұрын
@@danielmkama24 nikweli sababu watu hufa na ndoto zilizo hai xo hata yeye kuna vtu alitamani kutimiza.....ila muda unavyokwenda zaidi uwezo upungua xo angekaa muda mrefu usio na kikomo kma hao ingekuwa shida nyngne kwa taifa
@tonnyford578210 ай бұрын
Paul kagame and kaguta museven ni viongoz Bora sana hata kama wazungu hawatak
@moseskulola691310 ай бұрын
Nazupenda sana makala.zoko.
@jotafungo462210 ай бұрын
Niko na Wachina hapa wanasema hao ving'ang'anizi watoke
@meckcassius398310 ай бұрын
Sio ving'ang'azi hakuna wa kuwaachia nchi
@adkajisi453610 ай бұрын
Kwa kweli
@aftapat536510 ай бұрын
kwani akifa nchi itakufa
@christinewomanoffaith547910 ай бұрын
Wanaishi peke Yao?
@zesootv672610 ай бұрын
Kwani broo sky tangu lini afrika ipo huru mbna mbona unawalaumu hao marais tuu wakat mbinu ya utawala wa afrika ni kama mutu mmoja anatawala muda mrefu basi kuna chama kinakuwa madarakani muda mrefu, Kwahyo broo sky naomba next time utulete nakala ya vyama vilivo uphold madaraka muda mrefu.
@user-bo1ew3xq6w10 ай бұрын
Asanta sana mtangazaji wetu wa fuse tunafaidika sana.
@BigZhumbe10 ай бұрын
Fuse?
@haruniaisha590510 ай бұрын
Uyo sio yule wa fuse
@user-bo1ew3xq6w10 ай бұрын
Okey.
@chikusangalala775910 ай бұрын
Vipi Tanzania,
@praisesamson829810 ай бұрын
Kikwete kasahaulika na Ccm
@sad_Classic610 ай бұрын
Proud of our Dad Paul Kagame🇷🇼
@mohammedmfamau4310 ай бұрын
If he is your dad no problem think the out of your family which are popular
@christinewomanoffaith547910 ай бұрын
@@mohammedmfamau43achana nae huyo Awe baba ake asiwe Mungu Yuko kazini ss anapita Kila Taifa
@ramadhanzakayo423210 ай бұрын
Hawa viogozi hawawezi kufa na mali hata wafanyaje mungu yupo
@victorsanga222910 ай бұрын
Ufaransa inaonekana ndiyo kinga ya marais ving'ag'anizi wa madaraka Africa.
@christinewomanoffaith547910 ай бұрын
Hawa Yesu tunaomba wasimalize mwaka! Wafe tu
@mohammedmfamau4310 ай бұрын
Wazungu wamebadili zamani walikua wanampa mwafrica bunduki awasimamie wenziwe ikibidi hata kuwauwa huku wao wanachota mali .lkn ukoloni wa leo ndio hao wanavishwa suti huku wanapiga dili za kuuza rasilimali dhahabu na almasi wao wanapewa makaratasi ya kuprinti (fedha)tena kwa gharama finyu kabisa.
@ntibaali386510 ай бұрын
Wote watatoka Allah ni mwenye uwezo
@barrynzeyimana627010 ай бұрын
Ubwenge sio Sanaa. Ubwenge ni Akili
@kingnass641010 ай бұрын
Tatizo si kukaa muda mrefu kwenye kiti tatizo maslahi ya mwananchi . Ukichukulia hivyo ufalme wa uengereza uondoke hawa wazungu wapo kuleta democracy Africa ila kwao hakuna hayo
@joesimba10 ай бұрын
Ufalme wa uingereza ni constitutional monarchy, hawana mamlaka wale
@rogerabdallah43910 ай бұрын
Unyonyaji kama bongo tu
@salvatoryelias319310 ай бұрын
Mbona queen ekizabeth alitawala mpaka kufa kwake hii ipo vipi
@christinewomanoffaith547910 ай бұрын
Kwani yule ni rais? Ule ni utawala wa kifalme tofauti na huu!
@user-zs5jj2xw5s10 ай бұрын
16:40
@dorkasmsuya36210 ай бұрын
congo wanapenda kujichubua adi rais wao😄
@christinewomanoffaith547910 ай бұрын
😂😂hii ni congo ipi?
@babafaida971910 ай бұрын
Hamjawahi kimuita mfalme wa uingereza au saudia kua ni king'ang'anizi kwanini hawa wakwetu ( AFRIKA) tena wakwetu wanapigiwa kura
@allthings130210 ай бұрын
Naona Ufaransa inalink na hizo nchi zote
@deusntobi66822 ай бұрын
Kaka hii uje uifanye kwa kizungu naamini itasikilizwa zaidi hata huko kwingineko.
@bakarinassoro551310 ай бұрын
Mnapenda kuwadhalau waafrika mnashindwa kuazungumzia wazungu waliokaa madarakan mda mrefu waafrka tunamatatzo sana tena nmadkteta kweli
@selestinfrancis590410 ай бұрын
Wapo,walikuwepo na watakuwepo wengine tuu
@shebemakey234910 ай бұрын
Kagame na huyo museveni hao hata wakiongoza miaka buku
@user-dh7pt4bc4t10 ай бұрын
ninapenda makala zenu sms
@ramadhanzakayo423210 ай бұрын
Kuna mwegini Kenya anakuja hivi karibuni
@shabiruponera432310 ай бұрын
Hata western countries wapo ambo hawaachii ofisi
@joesimba10 ай бұрын
Kama nani?
@shabiruponera432310 ай бұрын
Belarus,Hungary and many more
@johngerald467710 ай бұрын
Kazi kusingizia marekani
@matalo055110 ай бұрын
Please badili title, mana kuwa madarakani Muda mrefu sio jambo baya, ubaya nikuwa na viongozi mapapeti ambao hawana uzalendo, please zungumzia nchi zilizowahi ingia mikataba fake ya kihaini na sio Marais hawa pendwa
@kunyaobelela406210 ай бұрын
Kweli waafrika hatujapata ukombozi wa kifikra,,, nyie simulizi na sauti why can't you discuss your continent in a positive way? Ushawahi kusikia watu wa magharibi wanajadili nchi zao in a negative way? Sasa ving'ang'anizi then what, gujatoa pendekezo lolote hao unaowaita ving'ang'anizi wafanyweje... Tafteni vitu vinavyoleta manufaa kwa Africa ndivyo mlipoti kwavyo. Preach African unity ningekupa kongole
@shaameshaame972110 ай бұрын
wapinduliwe tu!!!
@nabugobafakhruddin79410 ай бұрын
Mbona ujamtaja nyerere bro
@King_Of_Everything10 ай бұрын
👊✌👍.
@MsatiOne18 күн бұрын
Nipo makini kuwasikiliza
@francismadoshi852910 ай бұрын
There is an exception to your point of view as far as Rwanda is concerned, P. Kagame took over after stopping a genocide in 1994. The massacre perpetrators are still hiding in the forests of the DRC, what do you say P. Kagame should do when the enemy hasn't laid down his weapon and is hiding in the next country just around the corner?
@user-tx3dh3de5o10 ай бұрын
Kagame didnt stop Genocide, he is the one who started genocide and killed milions of peoples, until now.
@christinewomanoffaith547910 ай бұрын
@@user-tx3dh3de5ohawezi kukuelewa!
@mubarakahussein995010 ай бұрын
Africa bwana 💔
@celifpower499310 ай бұрын
Duuhh Frank bundala apa umeyakanyaga kwahii makala sababu wana sns wengi siku hizi wanafata sera za china na Russie na hizo nchii sera zao hazi mkatazi raisi kukaa madarakani mda mrefu
@sports007tv410 ай бұрын
Sky ila Gadafi usimtaje pamoja na hao wapuuz wengine
@user-ce6um4ty4i10 ай бұрын
Usiisahau ccm
@Hb_OnlineTv10 ай бұрын
Mbona kila raisi amepigwa picha na raisi wa ufaransa AFRIKA 😂😂😂😂😂
@mohammedal786410 ай бұрын
Mbona nyerere hujamtaja yy alitawala miaka michache eti 😂😂
@ndukulusudikucho_10 ай бұрын
sioni tatizo lolote kama Kiongozi anaendelea kutawala lakini analeta maendeleo, suala sio kubadili uongozi , issue ni maendeleo, Kiongozi akiwa mzuri au chama kikiwa kizuri kuachia Nchi ni ujinga, Urais sio sehem ya majaribio, nawaunga mkono Viongozi wote wanaoleta maendeleo na kung'ang'ania madaraka hata kama kuiba kura
@techpoty10 ай бұрын
"Ata kama kaiba kura" Bro jaribu kuwa serious kidogo
@LwaulaTshisekedi-to6nn10 ай бұрын
Mobutu seseko alitakiwa ku wekwa kwenye oroza iyo ,miaka 32
@gibsdeveloperscompany706210 ай бұрын
kati ya hao uliowataja ccm ndo nambamoja yao acha kutupumbaza sky
@shubebunyesi54210 ай бұрын
Kama Raisi yuko madaraka ata akikaa Mika mia kama wananchi wanamaendeleo inatosha kuwa kiongozi wa milele shida ni kwamba unakaa madarakani Mika mingi maisha magumu kila uchwao apo ndio shida inapoanza japo binadamu hawana shukurani gadafi walimuua kisa uchu wamadaraka walitaka na wao waonje uongozi lkn hakuwa na shida ya maisha
Inatakiwa uongelee na vyamavya siasa vilivyokaa muda mrefu madarakani barani Afrika ili tujue vyema.
@azizibaraka511410 ай бұрын
Mbona aushangai markia kutawala mpaka umauti ulipo mkuta
@abrahmanabdallah847910 ай бұрын
🇴🇲
@shurayabiira45810 ай бұрын
I wish Kagame was the president of my country Uganda
@chidiomari.6510 ай бұрын
🇫🇮🇫🇮🤝
@sponsor788210 ай бұрын
Ndio tatizo ya waafrika
@ElogbneyoBreezy-yz4vq10 ай бұрын
Pierre nkurunziza nae alika kidogo
@zulfahussein678410 ай бұрын
Subutu alikaa mda wakutosha kachukuwa miula miwili yote
@NOORMOHAMED-sg9lo10 ай бұрын
Tangaza kujikomboa kumalizia kazi ya wakoloni na maadui Sio kuongea uchu wa kutaka uongozi Uliowataja wengine wapo vizuri sana kushika nchi na heshima yake Mbona hauhimizi kuungana kwa umoja wetu na urusi???? Upuuzi
@dandara00810 ай бұрын
1.malaka hii iko biased !!! sio vinga’nga’nizi mfumo wa democracy ni mfumo wa ki capitalism African baada ya kua liberated ilikua katika mfumo wa socialism mfumo ambao 🇷🇺 na 🇨🇳 bado wanautumia adi leo hii capitalism ni mfumo ambao una divide people sio sawa na socialism angalia mfano china na russia ni ngumu izi inchi kupata civil wars/ au machafuko ya ndani kutokana na mfumo unaotumika kuongoza nchi ko . 2. sema faida na hasara za mifumo hii ni tofauti tuangalie faida ya socialism katika misingi ya kiuchumi mfano BRICS ni mfumo wa kifedha utakao husisha inchi nying tofauti na dollar mfumo ambao unatak dolla pekee itumike kwenye miamala ya kimataifa ila pia ukija kwenye democracy mfumo wa ki capitalism una faida kutokana na reputation ambayo imejishikiza lakin socialism haina mvuto kwa sababu ya dictatorship reputation. ila mfumo ni mfumo
@danielmkama2410 ай бұрын
Ulikuw na haja ya kuelezea zaid maana ulikoishia ni kama umehama mada husika
@francismadoshi852910 ай бұрын
Hebu jiulize, Kagame akitoka na migogoro na fujo alizozima Rwanda, uchafu utazuka tena maana maadui wa Watusi wote walikimbilia Congo na mpaka sasa ndiyo wanaanzisha migogoro mara kwa mara kule DRC. Kagame abaki hapo tu mpaka uwepo uwezo wa kukaa na amaani hapo Rwanda!
@muuminikidunda921410 ай бұрын
Mtazamo wangu sioni tatizo raisi kukaa muda mrefu kama analeta maendeleo.Mbona China, uingereza ufalume, urusi na zipo nchi nyingi kwa mfano hata hayati Gadafi Ali leta maendeleo Libya kwa kukaa muda mrefu
@izamahmasaki479510 ай бұрын
Good
@izamahmasaki479510 ай бұрын
Tatizo no waandishi wetu ndyo vibaraka , wanajali Hela kutoa habari na siyo taaluma zao
@geraldyona559710 ай бұрын
@@izamahmasaki4795kwamba Fred Bundala amepewa ela mbn vngne viko wazi hataa uwe mzuri vp huwez kukaa madarakani kwa zaid miakaa 30 hmn kitu kma hichoo... A good dance know what a time to leave the stage
@allywilson415510 ай бұрын
Wote hao wanatakiwa kupinduliwa na wana jeshi vijana…
@jiwekichwa285710 ай бұрын
Please tuandalia list ya vyama vya kisasa vilivyo kaa madarakani kwa mda-mferu barani Africa.
@mukhtar80510 ай бұрын
😂😂😂
@junioroloo575210 ай бұрын
😂😂ccm
@husseinkazungu510110 ай бұрын
Hawa pia watakwenda mda ukifika
@maase202310 ай бұрын
Ss ww mwandishi ushauri ni upi wapinduliwe au
@limitexitonlyinthemind657910 ай бұрын
🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼❤
@ramosfally231810 ай бұрын
kwani congo ziko ngapi? noamba kujuwa jamani.drc ya shisheked ndio ipi?
@ramadhanibahati282910 ай бұрын
Kwani kutawala muda mrefu ndiyo udikteta? China wana rais wa kudumu, lakini inatawala dunia Uongozi bora ndilo Jambo la msingi
@orym444710 ай бұрын
Sky jaribu kujua historia za nchi na nchi. Ubabe wa Tanzania kupitia ccm hujawahi tokea Africa. Hiyo report ya kizungu kuwachochea waafrica. Mbona China raisi wao ni wa Milele! Acheni kusoma report za wazungu
@FurahaEliya-df5fo10 ай бұрын
Congo ina Marais wangapi?
@user-rg5sg1xz8p10 ай бұрын
Ina takiwa nawao watie maji maaaan mfano wamesha uona kwa mwanaume traore
@SM-fu1yv10 ай бұрын
Na huwa hawachoki
@himidiwekabuje840210 ай бұрын
😅😊😊
@user-kt1si2jn3o10 ай бұрын
Kitawaramba
@baloziubalozini507410 ай бұрын
Mu7 atakuja kupinduliwa miaka si MINGI
@jumasaleiman10 ай бұрын
Bundala ukubali tizama nchi yako piya tanzania ccm wanaumiza watu sana wanabadili raiss tuu ccm ila chama ndio hichohicho ccm imeiyumiza sana zanzibar na wa watu wa zanzibar utizame hilo saivii wameyanza kuiyumiza tanganyika
@shurayabiira45810 ай бұрын
Museveni 😂😂😂
@hassangaddafi234710 ай бұрын
Viva Putin viva African ❤❤ 🔥🔥🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@petrojacob350910 ай бұрын
JPM Alikuwa mzalendo
@AristidesJustin-ik7lc10 ай бұрын
Tuangazie pia vyama g'ang'anizi
@hastatz10 ай бұрын
Kwetu ccm imegoma kung'oka
@FurahaEliya-df5fo10 ай бұрын
Hivi wazungu walishindwa kusubiri MAGUFULI amalize miaka 10 tu.