Enock Bella: Kuvunjika kwa YAMOTO BAND kuliniathiri mno, Aslay anampenda sana Mbosso - Part 2

  Рет қаралды 31,593

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@bettyngala8518
@bettyngala8518 4 жыл бұрын
Enock your song "ngoja kidogo' really touched my heart. Your others songs I love are Sauda and Heri niwe pekeyanyu. Good voice. God will bless you and expand your territory. Lots of love from Kenya. Huku tunakujali. Keep being humble.
@tabithabonareri5699
@tabithabonareri5699 4 жыл бұрын
I always loved his bass, inanikata maini😂... Hadi waleo Mimi husikiza yamoto sababu ya Enock, he has an amazing voice.... you gonna go far sweetheart
@najmagudeh203
@najmagudeh203 4 жыл бұрын
Brother SKY Jitihada umlete Aslay INSHAALLAH
@latifahalitsi7986
@latifahalitsi7986 4 жыл бұрын
Enock I always love your powerful voice plus your songs.I wish Yamoto band could be together.
@janetkemush3784
@janetkemush3784 4 жыл бұрын
Una sauti taaaamu sijui mbona wajirudisha nyuma enock?????????twakupenda sana ukiwa kwa game
@christopherchesco6698
@christopherchesco6698 4 жыл бұрын
Fight bro unakituu sanaaa am appreciate 💯%
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 жыл бұрын
Enock your very humble, inshallah utafika 🤲🙏
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 4 жыл бұрын
Aamin
@uwitekamimy3431
@uwitekamimy3431 4 жыл бұрын
Enock kumbe mzuri na ana sauti ya kawaida tu 🤣😊🇧🇮🇧🇷
@kijanaWaMamaBhajia
@kijanaWaMamaBhajia 4 жыл бұрын
Interview zenyu hua zimetulia poa sana.....congrats
@janatahmad7048
@janatahmad7048 4 жыл бұрын
huo aslay razima ampende mbosso hivi niwamwoto😂😂yeye wamemuchik masikio yamoto ikavunjika ivi kiko wapi pambans bella utafik mungu yup
@najmagudeh203
@najmagudeh203 4 жыл бұрын
My brother SKY M.MUNGU Akuajalie maisha marefu uzidi kutupa mambo matamu
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 4 жыл бұрын
This boy has a very nice voice nampenda sanaa😍😍😍
@fatmabukuku5395
@fatmabukuku5395 4 жыл бұрын
Hongeza sana simulizi na sauti, mimi night fancy wenu from Belgium.
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 4 жыл бұрын
Asante Sana Fatma
@irenelucy6349
@irenelucy6349 4 жыл бұрын
ENOCK You have a great voice 👌
@menardmponda7630
@menardmponda7630 4 жыл бұрын
Nakupenda sana mdogo wangu keep it up
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 3 жыл бұрын
Shikilia hapo hapo kwenye base ndio plus ponit yako, so nice
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 4 жыл бұрын
Sns chama Langu la nguvu... Nyie na Wasafi Media ndo Media zangu pendwa kabisa za online.
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 4 жыл бұрын
Asante sana Kassim
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 4 жыл бұрын
SimuliziNaSauti pamoja sana kaka
@najmagudeh203
@najmagudeh203 4 жыл бұрын
Umeusemea moyo wangu my brother kassim Rajab
@sbizzowakunyumba4532
@sbizzowakunyumba4532 4 жыл бұрын
Nakukubali sana enoki
@wamburawambura5356
@wamburawambura5356 4 жыл бұрын
Bundara wa Victoria FM. Duu umenikumbusha mbali sana
@zumlanangumbi8429
@zumlanangumbi8429 4 жыл бұрын
Nini? Enock has the most beautiful and diferent voice. Please drop something nice. Like kama unakubali
@piusjuma4864
@piusjuma4864 4 жыл бұрын
Nice interview
@alnooroman1058
@alnooroman1058 4 жыл бұрын
asant baba nakubali 😘😘😘😘😘
@mishimzihir7301
@mishimzihir7301 4 жыл бұрын
Mm nampenda sana alkuwa anamsha
@yuzopro5967
@yuzopro5967 4 жыл бұрын
Kizaz bro nakukubali sana
@chisangasanga2813
@chisangasanga2813 4 жыл бұрын
Humble guy.. Keep it up
@nabiijeconiafredy9087
@nabiijeconiafredy9087 4 жыл бұрын
👊
@najmagudeh203
@najmagudeh203 4 жыл бұрын
Pambana brother Enock
@LadouceurTony
@LadouceurTony 4 жыл бұрын
Mungu akulinde bella
@nuromussa9926
@nuromussa9926 4 жыл бұрын
Kuvunjika kwa kund ilo sababu ni Diamond Platnumz,
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 4 жыл бұрын
Sauda..Ngoja Kidogo En Many More Damn it Man You Good When You Talk Just Keeping The Words..
@edwardlucas8912
@edwardlucas8912 4 жыл бұрын
Heshima kwako bella
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 4 жыл бұрын
9:29 Mbosso
@kerjoyofficial9213
@kerjoyofficial9213 4 жыл бұрын
Jamaa anajua kuongea vzr
@benedictmango8844
@benedictmango8844 4 жыл бұрын
Napenda pili,nenda,sauda
@saladaniel9274
@saladaniel9274 4 жыл бұрын
Jamanii anzisheni kundi lingine jamanii
@arnoldrwega1395
@arnoldrwega1395 4 жыл бұрын
Nikiingia KZbin cha kwanza nasearch sns halafu ndio kwingine maana mnatisha mnooo
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 4 жыл бұрын
Tunashukuru sana Arnold
@brianmuchiri1098
@brianmuchiri1098 4 жыл бұрын
Sky nakukubali sana, unajua kuuliza maswali ya msingi na unampa nafasi unae mhoji kujieleza ....alafu sikuzote nlikua nafkiri huyu jamaa ndo mdogo kuliko wote😀kumbe mwili tu jamaa nimkubwa kuliko ata aslay
@sbizzowakunyumba4532
@sbizzowakunyumba4532 4 жыл бұрын
Nic
@kaburaakbar4838
@kaburaakbar4838 4 жыл бұрын
Mbosso saa izi wa moto san lazim aslay akubali
@pamelaemmy8180
@pamelaemmy8180 4 жыл бұрын
Katika KZbin hii chanel na ya ayo ndiyo zinaniingiaga akirini nikiangalia
@tzfunchannel
@tzfunchannel 4 жыл бұрын
Studio set ya Sns ni nzuri sana, inamfanya guest anakuwa comfortable na pia inaleta mvuto kwasisi viewers kuangalia interview, keep it up guys
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 4 жыл бұрын
Tunashukuru sana
@al4classic691
@al4classic691 4 жыл бұрын
Naamin uwezo wako kaka utafanya makubwa tu
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 4 жыл бұрын
Sky tuletee round up nimemiss goodfrey🤣😆
@barakalukosi2251
@barakalukosi2251 4 жыл бұрын
Aslay na mboso rudishen kundi mtaan watu wamemic acheni utoto wenu natamani hata nikawapig viboko maana tunawaambia hamsikii
@lemulaonlinetv9378
@lemulaonlinetv9378 4 жыл бұрын
Haaaaaah jomn
@Funnymemesandcartoons
@Funnymemesandcartoons 4 жыл бұрын
All the way from America 👌#sns love y'all
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 4 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 4 жыл бұрын
Kama kupendwa ni basi kesho kwa mola nikae kitako niombe radhii dah😢 nyimbo yao ya mwisho aki pls rudini pls😢😢
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 4 жыл бұрын
Jmn sky Una saut nzr
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 4 жыл бұрын
Asante sana
@juliusjaliwa9887
@juliusjaliwa9887 4 жыл бұрын
Nice work sns watching from CD
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 4 жыл бұрын
Thank you
@juliusjaliwa9887
@juliusjaliwa9887 4 жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti welcome my brother I like your work
@olphergesare7211
@olphergesare7211 4 жыл бұрын
Bella bess yako kichungi changu
@usanifumaandishi7519
@usanifumaandishi7519 4 жыл бұрын
Brother sky uko vizuri ila jitahidi kumfukua msanii kona zote mfano stori za nyumba walizozawadiwa na fella lilikua la msingi sana, muda mwingi maswali machache ndio sababu msanii anaeleza jambo kwa ureefu mpaka anapata muda wa kukaa kimya akitafuta namna ya kuongea Lakini uko poa sana
@Estherbonga9280
@Estherbonga9280 4 жыл бұрын
Tuletehe Aslay naye
@nervenb2831
@nervenb2831 4 жыл бұрын
Enock una sauti siya kitoto
@jackvence9412
@jackvence9412 4 жыл бұрын
Check my new song (I wish)now on KZbin
@suley967
@suley967 4 жыл бұрын
jitaidi
@roseatieno6691
@roseatieno6691 4 жыл бұрын
Kamfana Harmonize . Wanamuzik wa bongo kama kuna msanii moja anwaroga mudidimie nae awe juu .
@cestlaviecestlavie4073
@cestlaviecestlavie4073 4 жыл бұрын
Enock nayeye ni mmakonde kama CondeBoy
@janetkemush3784
@janetkemush3784 4 жыл бұрын
Rose Atieno alikua ananichanganya kitambo nlikua nadhani ni harmonize
@salmazaidalabrawi3723
@salmazaidalabrawi3723 4 жыл бұрын
Fanyeni collabo nyie wote itatobowa sana
@Bayothomusic
@Bayothomusic 4 жыл бұрын
Sitabaki peke yangu👇 kzbin.info/www/bejne/nqbVao2qitCJl6M
@maryammarham2862
@maryammarham2862 4 жыл бұрын
P
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 4 жыл бұрын
Kundi yenu ilipendwa sana
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
MISSION IMPOSSIBLE [27] SEASON 2
25:01
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 95 М.
MWIJAKU AHARIBU MAMBO KWA MARIOO/PAULA AJIBU MAPIGO
22:12
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН