Wow🇹🇿❤🇰🇷 Ijapokuwa Kiswahili changu si kizuri sana, ilikuwa ni furaha na heshima kubwa kuweza kufanya mahojiano haya nawe. Asante🙏
@ELIZABETH-uz6dv15 күн бұрын
I love you so much ❤❤❤God bless you
@Djsunirytz15 күн бұрын
Unajua lakin
@HassanLimbwenda15 күн бұрын
Nawezaje na mimi kujifunza kikorea
@hildascorner232715 күн бұрын
Hongera sana watanzania tunakupenda sana❤
@user-qk7bn8dj4z15 күн бұрын
Umenenepa
@nandymore760514 күн бұрын
Wooow! Huyu dada ni mzurii jamn Bwana Yesu Kristo akutunze sanaa
@zainabkazige738815 күн бұрын
Woow❤ Ushindi una moyo mzuri sana Mungu akubariki. Nimekupenda🙏😍
@박지선-g1s11 күн бұрын
그리고 나도 한국인이고 탄자니아에서도 그들을 사랑해요
@aqthamsalim677510 күн бұрын
Karibu sana pia
@fortunathabarabara84718 күн бұрын
we love you too
@FrenkMushi-i7f6 күн бұрын
Karbuu Sanaa jambo tanzania
@mwanaikaomar86286 күн бұрын
Nasi tunakupenda pia.karibu tanzania
@SafayaPlatnum-zz1dz3 күн бұрын
Karibu ujifunze nawewe
@mtulivu-ir1nq15 күн бұрын
Mbona kiswahili chake kimenyooka vizuri tu anaeleweka sana🔥🔥🔥
@user-it7ih1it3m15 күн бұрын
Angekuwa mtanzania na akaongea kiingereza kwa kujikanyaga mngesema hajui kizungu😂😂😂 Duh waafrika tuna utumwa wa fikra
@JacobEston15 күн бұрын
Am the first one guys love from Ndola Zambia
@vanessalaizer436315 күн бұрын
Chawacota (Chama cha wasomaji coments Tanzania) mpooo?
@kiddbryz14 күн бұрын
Tupo mkuu😂
@RonnieBertin14 күн бұрын
Tupo kinoma
@Gersah14 күн бұрын
Jana na Leo😂😂😂
@zuricakes681714 күн бұрын
Tupoo😅
@Officialjidaa-sn9cs14 күн бұрын
Tupo
@RamadanPaul14 күн бұрын
Watoto wa rutombwa, mabingwa wa kuwacheka watanzania eti hawajui lugha ya utumwa 😅. Wamesahau kuwa nasi waafrika tunalugha zetu. Najivunia kuwa MSWAHILI ❤❤❤❤
@ngala94238 күн бұрын
Sio wote wako hivo wengine tunajielewa 😅
@user-gc8jc1sh4z15 күн бұрын
❤❤❤ Mungu akubariki sana mkorea ushindi kwa moyo mzuri sana❤❤❤
@Jerie-q1c9 күн бұрын
Dada anaonekana hana hila ndani yake (She has a beautiful heart)
@JELSONMAUKI9 күн бұрын
Yap kabisa
@vanessalaizer436315 күн бұрын
I love her beautiful dress❤❤❤❤
@QasammaMachibya15 күн бұрын
safi sana ushindi,kiswahili unajitahidisana,tunakupendasana
@thagreatmaizah996411 күн бұрын
Akosee sasa mbongo kuongea kingereza venye utatukanwa ila hapo maneno mengine anakosea mnasifia ndio mjue bado utumwa unawatafuna hivyo na mtu akiongea kingereza na akakosea msifieni maana sio lugha yetu...safii Ushindi kazi nzuri.
@reainnovationstanzania516313 күн бұрын
mwadada yuko vizuri sana, sisi wazaliwa kwenye interview hatuwezi ongea fluent bila kuweka kingereza kidogo
@asyajey347913 күн бұрын
Nashukuru Mungu nimependa hiyo kauli yake yakushukuru 😊❤
@ELIZABETH-uz6dv15 күн бұрын
Welcome 🤝🤝🇹🇿Ushindi ❤❤ mimi ni mtanzania ninaye ishi hapa Tokyo 🇯🇵.
@masalakulwa760115 күн бұрын
nitaftie connection pls
@muksinimbaruku12332 күн бұрын
Utatepeliwa hiyo Tokyo ya Tandale @@masalakulwa7601
@ibrahim_42712 күн бұрын
Mnamsikia Anavyo sound dada yetu ushidi hivyo ndivyo wewe mswahili ukiongea kingereza ndivyo wazungu wanavyo kusikia uki sound hivyo 😄
@fortunathabarabara84718 күн бұрын
😂😂😂😂😂😢
@shibalubela65004 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@aishakambenga619115 күн бұрын
Ushindi ❤❤❤
@Zeydagrizi007Alifadagrizi0015 күн бұрын
Nimempenda sana🎉🎉🎉🎉🎉❤
@surusuru199415 күн бұрын
Karibu❤saaaan🇹🇿
@johnnkelebe73608 күн бұрын
Anajitahidi sana kuongea kiswahili. Nampongeza sana. Serikali wamtumie kukitangaza kiswahili huko korea
@Sianafrancis15 күн бұрын
Ongera sana kaka kwa maojiano mazurii na park❤❤
@exavelymwakatwila569015 күн бұрын
Kiswahili kizuri Sana ushindi park
@thobiethalibutu146514 күн бұрын
Napenda anavyosema 'jamani' 🥰@Ushindi park karibu Tanzania.
Dogo katoboa apo aise❤ iyo ndo inaitwa sasa destiny
@BravebouBravebou4 күн бұрын
Wow❤❤
@allymtunge55303 күн бұрын
Daah! Ayaa maisha omba sana bahati
@husseinmkongomkongo844711 күн бұрын
😂😂kama umegundua ushindi anapiga kiswahili cha kikorea kuvuta maneno mwisho wa neno,gonga like.nilikutanaaa,napendaaa,kama omunyiiiii,kamsamitaaa
@aminasaid-p3k15 күн бұрын
nakupenda ❤
@ramamabinda506315 күн бұрын
Daah aisee muda mrefu sijamuona ushindi, nlikua nafuatilia miaka 3 iliopita, akiwa Korea anarekod video anapost katika chanel ilioandkwa kikorea
@shyfettymtunda461915 күн бұрын
Aliacha kupost, nilikuwa namfatilia pia kwenye ile channel yake humu KZbin.
@godriverbishangabaisha409815 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@shamsahaji62025 күн бұрын
Korea kaskazini ni nchi yenye tabu mno..wana maisha magumu sana..kisha watanzania wanalia eti wana maisha magumu..sasa sikieni hayo ...maisha mlionayo watz ni mazuri mno na mko huru sana..ila mnashindwa kushukuru.
@MsNajma-j7e3 күн бұрын
Dda anamoyo mzuri wageni wanatupenda ila sisi kwa sisi hatupendani wara hatusaidyani
@FRAIKOSUNGWA11 күн бұрын
Hongera ushindi na karibu Sana 🇹🇿
@mtopelamussa778313 күн бұрын
Interview nzuri sana nimependa ❤❤❤
@terryemmanuel287015 күн бұрын
So loving.👍
@user-jf7is4fk2v15 күн бұрын
ni korea ipi ametokea huyo mrembo
@jkifutu793615 күн бұрын
Kwakiduku
@SisoPotashiumz-c7n15 күн бұрын
😅😅😅@@jkifutu7936
@vanessalaizer436315 күн бұрын
@@jkifutu7936wa kiduku huwa hawatoki nje ya nchi yao weeee
@IBENGM15 күн бұрын
Itakuwa Korea kusini...wananchi wa Korea Kaskazini hawaruhusiwi kusafiri bila kibali maalum kutoka serikalini,hivyo wengi huwa hawasafiri!
@sanoureyaliwadoakaroyo169615 күн бұрын
No. No ni korea Ya Kusini ndio Anayo Tokea ile ya kiduku ni korea ya kazikazin @@jkifutu7936
@MwanakomboNassor-bw3by14 күн бұрын
Mama mzuri sana
@MethodJulius-fu9hf4 күн бұрын
Msijizime data huwa anawaskiliza Diamond na Zuchu alafu kunamtu anachonga ngenga ooooh Marioo, Marioo bongo tu mipakani pagumu.
@omarybakunda255415 күн бұрын
Kamechangamka sana
@ndiiyolazaro112513 күн бұрын
Kazi nzuri
@user-ti5ke4zf7p13 күн бұрын
Unga wa sembe ( unga wa Mahindi) upo maduka ya International. Maduka ya wahindi, na yakichina. mji wa ANSAN
@Officialjidaa-sn9cs14 күн бұрын
Korea napenda sana one day nikatembeleeee ukoooo
@DAUDI.A.S8 күн бұрын
어떻께 지냈어요 !! hatukuoni tena vp ?😊😊
@Kthenation14 күн бұрын
Swahili to the World Mpaka mseme
@Elizabeth-gq9kl14 күн бұрын
Msalimiye, umjulishe hatakenya tunamusikiliza.
@Jackson_Kisanga14 күн бұрын
SNS Big up sana ... SNS niko na nyie bamba tu bamba. Now Nawapata kutoka Norway -Bergen
@user-xp4re6tv8l10 күн бұрын
❤❤
@user-jb3uq6jg5f14 күн бұрын
Hanye ghaseyo ushindi ❤❤ janeoun zena im nida sarang yehoo😂❤❤❤❤
@user-xs1cc1hg3y15 күн бұрын
Mwambie mzee wa Kiduku c wakuchezewa mambo mbaya 😂😂
@amidahaamida589215 күн бұрын
Tatizo tukifika huko kwenu mnatuchukulia kama Nyani wakati sisi tuna washobokea
@SafayaPlatnum-zz1dz3 күн бұрын
Mimi pia ninao abilia wangu wa Korea hawaendi kusikia hiyo Korea ya Kim wanachekesha sana hao
@harithwhite58914 күн бұрын
Jamani
@vailethmwakipesile669815 күн бұрын
Nampenda huyu dada
@HxMusicAi14 күн бұрын
선생님
@sanoureyaliwadoakaroyo169615 күн бұрын
DADA KUTOKA BARA LA ASIAN NORTH KOREA ANAJUA KISWAHILI LEO UTAKUTA RAIA WA UGANDA AJUI KISWAHILI WANAJIONA WAJAMAICA CHAKUSHANGAZA WACONGO NA WARWANDA WANAJUA KISWAHILI ILA HAWA WATTO WA M7 AWAJUI WANAJIONA WAJAMAICA WA NYOOKO
@thelonewolf442914 күн бұрын
Kiswahili ni lugha ya taifa la congo pia
@shangwefisima5414 күн бұрын
Oooh kumbe@@thelonewolf4429
@RamadanPaul14 күн бұрын
Umewasahau watoto wa rutombwa 😂, wazungu wa mchongo. Wanajiona sana kuwa wao ni waingereza 😂😂
@vanessalaizer436314 күн бұрын
@@RamadanPaul hao ndo chef adi basi kujikuta eti wasomi kisa english ya google translation, accent mbayaaaa😂😂😂
Watangazaji msimuulize uhuru park maswali ya politics yanakuwa sensitive hujui watu wengine watachukua dictionary gani kutafsiri.
@tigejuma986513 күн бұрын
Huyo kijana ndio ashapata mke Ivo....juu tushaona matukio kma hayo mingi....😅😅
@danielmakubowatz14 күн бұрын
kiswahili ni lugha nyepesi sana.
@zaidiissa371415 күн бұрын
Ubaya ubwelatu kazikazitu mpakakieleweke
@ImanuelKelvin-z8m12 күн бұрын
Mbona hukumuliza je anamjua kiduku wamabom😂😂😂😂😂😂😂😂
@adamhatibu999315 күн бұрын
Saf kk
@shangwefisima5414 күн бұрын
Mweeeeh ndo huyu
@shijandobehe495314 күн бұрын
Huyu lafuzi yake kama ya kisukuma 😂
@fortunathabarabara84718 күн бұрын
😂😂😂😂 mwenzetu huyu
@BarakaKusalula9 күн бұрын
Ubaya ubwela
@ukhutfatumah115414 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@SisoPotashiumz-c7n15 күн бұрын
Kwani korea wanakula nini??
@RonnieBertin14 күн бұрын
Ugali mchicha matembele chips zege
@vanessalaizer436314 күн бұрын
@@SisoPotashiumz-c7n supu ya mawe na sea weed
@SisoPotashiumz-c7n13 күн бұрын
@@vanessalaizer4363 aahaa asante nilikua sijui.
@Nadraalimwalim11 күн бұрын
Noodles,kimchi,rice,seafood, chicken,soju 😅nk😊
@GeraldElias-s7j10 күн бұрын
Wanakula ubaya ubwela😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@DanielKigesa10 күн бұрын
Alikuwa anaimba naenda kupanda ndege x2
@cryptoboy_514 күн бұрын
unawez kusema anaipenda sana tanzania kumbe hawa nsyo spy wakubwa hakuna langi nyeuoe ikawa fear kwa langi nyeusi
@juliusdonard93314 күн бұрын
Huyu mchna mbona mrembo
@malkiawagiza132715 күн бұрын
Anaboboja Kiswahili kama kwamba kazaliwa nacho.
@matendoa.online80314 күн бұрын
She did not understood the question concerning North chorea - South chorea . Maisha magumu…ana ongeleya BRAIN WASH… which means both side people were brainwashed…
@htx187312 күн бұрын
I cried watching this 😭😭😭😭 very touching story
@angeldavid472014 күн бұрын
Akawafundishe kiswahili majiran😂
@ngala94238 күн бұрын
Mnatuonea 😂 wengine wetu tunajitambua😂😂
@RonnieBertin14 күн бұрын
Interview madea na dokta wake
@husseinkaoneka583415 күн бұрын
KAKA NIPE NAMBA ZAKE NATAKA NITOE NAE CONNECTION 😁😁😁😁
@PlatnamMogo15 күн бұрын
😂
@josephmkindi463315 күн бұрын
We unawaza ngono tu ,,,vijana kama ww mna mchango mdogo sana kwenye hili taifa 😂
@Awatee14 күн бұрын
@@josephmkindi4633😂😂😂Kwa kweli
@ImanuelKelvin-z8m12 күн бұрын
Kabisa vijana Kama hawa wahovyo hawafai kwenye taifa letu😂😂😂😂😂😂
@FranckDaniel-cc5rg15 күн бұрын
Katakua ni ka spy haka
@mwanakitenge13 күн бұрын
Kumbe huyu ndio aliomfundiasha kuongea abichams
@Nolaskowilirk9 күн бұрын
😂😂
@josephifanda562611 күн бұрын
Ww unaongea sana kuliko muhusika
@DM_1510 күн бұрын
Nimecheka alivyo sema nihuzuni 😂 eti brain wash
@martinchambala939915 күн бұрын
Kwa mfano upate kamwanamke kama haka ni furaha iliojee
@zainabkazige738815 күн бұрын
😂😂😂😂kwakweli
@user-it7ih1it3m15 күн бұрын
Kumbk huyo ni mwanamke unaweza kumchukia sana ndan ya ndoa na ukataman kumuacha😂😂
@jaymwinyi695715 күн бұрын
@@user-it7ih1it3m😂😂😂au sio
@aminasaid-p3k15 күн бұрын
😂😂😂 bado umelala
@reginamluviji940515 күн бұрын
😅🤣
@youngtomuller-vh2pu13 күн бұрын
Kaka kwa jina Naitwa Mohammed aly Rachide Nitafutie Mvietinam mimi nina jambo kaka kubua sana nakuomba tafazari nitumie namba zako za whatsapp please 🙏
@jaffjeff691213 күн бұрын
Ingia date site mzee utawabamba wengi
@mwaminindayishimiye314915 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@user-qq6mv6vh3e14 күн бұрын
Wow❤❤
@user-xs1cc1hg3y15 күн бұрын
Mwambie mzee wa Kiduku c wakuchezewa mambo mbaya 😂😂
@mdbosco164012 күн бұрын
❤❤❤
@YohanaMasebo14 күн бұрын
❤❤❤
@user-xs1cc1hg3y15 күн бұрын
Mwambie mzee wa Kiduku c wakuchezewa mambo mbaya 😂😂
@user-xs1cc1hg3y15 күн бұрын
Mwambie mzee wa Kiduku c wakuchezewa mambo mbaya 😂😂