GPS: KENYA kutikitiswa na MAANDAMANO ya SIKU 7 kupinga Muswada wa Fedha, RUTO awakubali Gen Z

  Рет қаралды 26,735

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 246
@bishweko
@bishweko 3 ай бұрын
Masha'a Allah. Mie pia nimejifunza Umachanic 2004 pale King'orani Majengo nimefanya kazi ya ufundi hapo hapo. Nimeishi Kisauni Mishomoroni. Nimeoa Ukambani kule kitui. Mbaka sasa nipo nyumbani kidogo Bukoba Tz
@michaeljuma254
@michaeljuma254 3 ай бұрын
Aaiiiiseeee dj sma ni mwenyeji uku kwa kweli
@goodluckmwamboneke5591
@goodluckmwamboneke5591 3 ай бұрын
My name is Goodluck nicholaus-I'm watching sns from Washington state u.s i love u guys good show sky, na umepata vichwa vyakwel ambao wanajua wanavyo viongea, ali,sma and Henry i appreciate u guys👏🔥
@hamadiharuna9974
@hamadiharuna9974 3 ай бұрын
Shukran kwa uchambuzi wenu kwa kweli munajitahi sidjutie mda wangu
@JoshuaMwandwanga
@JoshuaMwandwanga 3 ай бұрын
Asante kaka
@shajemalyfestyle
@shajemalyfestyle 3 ай бұрын
Revolution is coming for Kenya
@MdOmane-yg9gi
@MdOmane-yg9gi 3 ай бұрын
Asanteni nimewapata vizuri
@sultanaswaleh7813
@sultanaswaleh7813 3 ай бұрын
THANKS MY SON .❤ UMESAHAU SHULE ILIOKO KARIBU NA NYALI NI ALIDINA
@evansogutu4167
@evansogutu4167 3 ай бұрын
Sma sai hakuna kiungozi wa kisiasa anatuunga mkono tumeshikana mkono sisi vijana na hatutauziwa uoga....
@radaonlinetv1922
@radaonlinetv1922 3 ай бұрын
Matangazaji Mashallhau una sauti nzuri sana.. Ubarikiwe
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 3 ай бұрын
Sns ndo sehemu pekee unasikiliza clip ya lisaa bila kuskip, big up bros
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 3 ай бұрын
Na ukipitwa unarudisha nyuma
@noahlameck1564
@noahlameck1564 3 ай бұрын
Nipo Nairobi Awa jamaa hawana mchezo Yaani adi sisi wageni tunalazimishwa kuingia mtaani bila ivyo haufanyi biashara zako
@JOHNINSURANCE
@JOHNINSURANCE 3 ай бұрын
😀😀 wako serious jamaa
@KomoraMohamed
@KomoraMohamed 3 ай бұрын
😂😂😂iyo ndiyo kenya kuwa mvumilivu
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 3 ай бұрын
Napenda saana bro sky unatufunza mengi
@abubakarabuero5137
@abubakarabuero5137 3 ай бұрын
Ali masubi risasi wanazotumia zinaua raia acha kusema hazina madhara sisi wakenya ndio tunajua
@chande2k250
@chande2k250 3 ай бұрын
Dj sma funguka tu sema TZ tumebarikiwa kizazi cha machawa na kucfia kila jambo
@allyseba172
@allyseba172 3 ай бұрын
Ume sema kwel tz n mwendo wa kusfia
@salimhassan3369
@salimhassan3369 3 ай бұрын
Afadhali kusifia kuliko ukabila ata marehemu Maguvuli aliwai kusema kinacho ima liza kenya ni ukabila...
@FatumaMfaki
@FatumaMfaki 3 ай бұрын
​@@salimhassan3369lakini afadhali Kenya si wafu gwa hta hyo tribalism Kuna uwezekano miaka ijayo ikawa haiko
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 3 ай бұрын
​@@salimhassan3369Kenya wamemalizwa kivipi na ukabila wakati wametuzidi maendeleo mbali sana? Sisi ambao hatuna ukabila tumewazidi nini wakenya? Watanzania kuweni na akili timamu ya kupambanua mambo
@hassangabriel4603
@hassangabriel4603 3 ай бұрын
Karibu tena Kenya -Nairobi parklands br
@salama1113
@salama1113 3 ай бұрын
Sana wakenya majasiri sio cc wabongo 😂😂😂
@svt3
@svt3 3 ай бұрын
@salama1113: ila wabongo wanasifa zao za umbea na kusifia rais anaupiga mwingi
@salimhassan3369
@salimhassan3369 3 ай бұрын
Musiombe mpaka viongozi kama wakenya kiatu usicho kivaa ukijui udhani wake...Shkuru sana kutokua na ukabila
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 3 ай бұрын
Sisi ni wanafiki na machawa pro
@svt3
@svt3 3 ай бұрын
@@salimhassan3369 sasa ukabila unatokea wapi hapo? Kila mwana inchi iko na haki ya ku andamana kupinga maelekezo ya viongozi zinapokuwa za ku nyanyapaa, au wanapo weka sheria zisizo faa, wanaichi kupaza sauti ni haki yao
@salama1113
@salama1113 3 ай бұрын
@@KassimAlly-xp4dz tena hawa wenye himedia
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 ай бұрын
Tupo kaka sky tunaangalia apa gps..napendaga Sana hichi kipindi na team yenu yote mtu nne nawapendaga Sana na mnajuwa Sana kutuchambulia
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew 3 ай бұрын
Samahani sana wazee, mbona amuongelei nchi yetu tz, maana huko ndio kuna mautumbo ya ajabu mno kuliko hata kenya
@DodomaTanzania-r5z
@DodomaTanzania-r5z 3 ай бұрын
Huku TANZANIA ukipinga serikali unawekewa vikwazo na hyo channel utaambiwa haijasajiliwa kwahy unafunguliwa mashitaka
@svt3
@svt3 3 ай бұрын
Tz hakuna uhuru wa kukosowa serikali ndio sababu wanaogopa inayo kubalika Tz no kumusifia Rais ameupiga mwingi ila ukikosowa utapotezwa
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 3 ай бұрын
Tanzania uhuru wa maoni bado haupo.
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 3 ай бұрын
Nafikiri wewe huishi Tanzania ndio maana huijui Tanzania. Wewe kama wewe jaribu kuongelea hadharani uovu uliopo serikalini Tanzania kama hatujasikia umetekwa na watu wasiojulikana
@athumanisudi891
@athumanisudi891 3 ай бұрын
Hauthubutu kuongelea uovu wa tz kama ukithubutu Unapotezwa wataendelea kuongelea siasa za nje tu
@rajdaboy
@rajdaboy 3 ай бұрын
Nafatilia nikiwa apa Nairobi Kenya. Ni kunoma
@hoseakamau2480
@hoseakamau2480 3 ай бұрын
SNS tunakuelewa sana kutoka kenya
@maryamtan682
@maryamtan682 3 ай бұрын
Tatizo la ajira liko kote, mm nk omani huu mwaka wangu wa 8,.wazawa wanateseka kupata ajira mpk wamekata tamaa. Watu ni wengi klk ajira.
@carmp3
@carmp3 3 ай бұрын
Umeona vijana wengi wa kiarabu hapa Oman hawana ajira na hawalalamiki
@lenniefei6710
@lenniefei6710 3 ай бұрын
Nimekua Oman na serikali ya Sultan Qaboos anawasidia sana vijana wao kwa kuwapa elimu, matibabu ya bure n.k acha kueneza uwongo
@lenniefei6710
@lenniefei6710 3 ай бұрын
​@@carmp3Hawalalamiki kwa kua mambo yao ya kimsingi maishani serikali inawasaidia....Muache uwongo kulinganisha serikali ya ruto na ya Sultan Qaboos !!!
@carmp3
@carmp3 3 ай бұрын
@@lenniefei6710 sasa mbona unakasilika ni kitu cha kaiwada ukosefu wa ajira tuna ongelea ajira hatuongelei huduma za hospital kuwa bule ni kweli ajira pia kwa oman ni changamoto pamoja nakuwepo kwa elimu bule na huduma za afya tatizo ajira,,unabisha nn nipo oman mwaka wa sita kuna watoto wa kiume watatu ambao ni vijama wa bosi wangu wapo nyumbani wote hawana ajira walituma maimbi ni miaka na ajila hakuna,,sema wenzetu sio watu wa lawama niwavumiki wanaamin kila kitu ni mipango ya mungu..sasa cjui kwann unatuita waongo??
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS 3 ай бұрын
​​@@lenniefei6710umempa jibu murua 😅
@ramadhaniseifuledi513
@ramadhaniseifuledi513 3 ай бұрын
Dj smaaa 🎉safi sey
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 3 ай бұрын
Vijana wa Tanzania wapo busy na umbea wa Mangikimambi huna cha kuwambia kuhusu umbea kuhusu kudai haki wao wanawachia majirani ze2
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 3 ай бұрын
😂😂😂
@blackhibiscus1876
@blackhibiscus1876 3 ай бұрын
Nimefurahia sana malumbano. Mimi Mkenya kwenye ughaibu wa Thailand. Nashukuru.
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 3 ай бұрын
Pamoja from Oman 🇴🇲
@RichbonyMutalishi
@RichbonyMutalishi 3 ай бұрын
Sisi tanzania tozo ziko kilakona lakini bado tunaendelea kukopa kwa sasa deni letu limekua kubwa sana limefika tilion91.7 alafu tunaona sawa2 ujingasana huu
@michaeljuma254
@michaeljuma254 3 ай бұрын
And do you guys believe that mfuko wa inchi ulikua empty???? Kama kweli mifuko ilkua empty, expenses za state house pekee ni zaidi ya milioni mia tano, wanasiasa wamepewa magari ya kifahari, wamejiongeza mishahara, flight and travelling expensive ndo usiseme, hizo pesa zimetoka wapi, freemason????
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 3 ай бұрын
Napenda Geopolitics na hapa kwenye sns ndo home .Big up wachambuzi
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 3 ай бұрын
Haya sma Alisha ongea hata kabla hayaja tokea mikopo sio poa
@zayumar2955
@zayumar2955 3 ай бұрын
Daaaaah Ally masudi kaongea vizuri sana kuusu ajira jmniiiiiiiiii serikali ingeweza kutengeza viwanda vingi vijana wapate ajira tatizo la ajira kingepungua kwakweli 😢😢😢 Mwenda zake alikua na nia nzuri sana ya kuendeleza viwanda ila ndio ivyo tena alale salama shujaa wetu 😢😢💔
@abdikadirchief8706
@abdikadirchief8706 3 ай бұрын
Agreed with, Kenyans wamesema enough is enough . This so called leaders watakoma
@Onlyfacts0224
@Onlyfacts0224 3 ай бұрын
Gen Z is btn 1997 to 2012. Mellenial is btn 1981 to 1996.
@djsma255
@djsma255 3 ай бұрын
Asante
@rehemathoya8754
@rehemathoya8754 3 ай бұрын
This guy went to the good schools in kenya
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial 3 ай бұрын
🧭🤳 Kenya iko hatarini sana, kidogo kwetu Msumbiji kumepoa kipindi hiki kwa sasa🧎🕊️ Nawapata nikiwa Msumbiji 🇲🇿 Mozambique mkoa Cabo Delgado mjini Pemba CarioCa ❤❤❤ nawapenda ninyi wote wa SnS big up sana.❤️❤️❤️
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 3 ай бұрын
Kenya haiko hatarini kilichopo kenya ni wanasiasa walafi ,wakenya wanalipa kodi ila inaliwa na wajanja wachache.
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 3 ай бұрын
Tatizo wa Tanzania kwenye mambo kitaifa, tuna kubali kupotoshwa na kugawanywa kwa maslahi ya vyama vya kisiasa hususan CCM. Ifike hatua na sisi tuungane tusitangulize maslah ya vyama. Utaifa kwanza vyama baadae
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 3 ай бұрын
WATANGANYIKA NA WATANZANIA KWA UJUMLA HAWATAZAMI MASLAHI YA TAIFA HUWA WANAANGLIA UCHAMA HUO NDIO UJINGA WA WATANZANIA,,KUMBUKA MABADILIKO YA KATIBA YA WARIOBA MITANZANIA MINGI YALITEKWA NA MA CCM WAKAUHARIBU ULE MCHAKATO,,NI JAMBO LA KUSIKITISHA ,,HII NCHI YETU TANZANIA IKO MBALI KUPIGA HATUA YA MAENDELEO KWASABABU HII NCHI IMETEKWA NA MAJIZI NA MILARUSHWA NA INALINDWA NA KATIBA MBOVU INAYOTETEWA NA MA CCM ,,,IKO SIKU WATANZANIA WATAJITAMBUWA
@kingpunzy194
@kingpunzy194 3 ай бұрын
Kaka Sma & Masubi ukiwa nje ya serikali (kabla hujawa raisi) unakuwa na moyo kabisa wa kusaidia raia, lakini unapoingia tu kwenye system unakutana mifumo kandamizi ya kielimu, kiafya, kiuchumi ya kimagharibi, na ndio mifumo mibaya (sick system). Wanapochungulia na kuona mimi siwezi kutoboa kupangua hii mifumo ya kirasilimali na ndio hapo anapoona ni bora ajiandalie njia ya maisha mazuri baada ya kumaliza term yake. Na viongozi wa kiafrika wengi ni mabinafsi.
@nems-f2x
@nems-f2x 3 ай бұрын
Short term solution n cutback spending but in the mediam term and long term viwanda ,kilimo pia tech industries n muhim pia serikal lazma ije na sera au stimulus packages znazo stimulate growth za business ndogo na kati,
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 3 ай бұрын
Huyu kijana wa yellow hii mada hajaelewa kabisa,kwanza hajui Gen z na millennials ni tofauti
@abdikadirchief8706
@abdikadirchief8706 3 ай бұрын
Kweli yako, maybe ametumwa na Ruto 😂
@saidahj2543
@saidahj2543 3 ай бұрын
​@@abdikadirchief8706namuonaaaa
@kassiannyamba805
@kassiannyamba805 3 ай бұрын
😂
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 3 ай бұрын
Saf sana SNS
@Jemahjampa
@Jemahjampa 3 ай бұрын
The big issue in our bill ata sio Kodi ya vitu vidogo vidogo, kuna big issue ya tax ya our ancestral land, unaeza imagine Babu zetu walipigania uhuru kupata shamba zao Alf Leo waaambiwa Hilo shamba lzma ulipe Kodi bila hivo litachukuliwa, who does that, another thing Kodi zenyewe atuzioni zikifanya kazi
@DAVIDMMASSY
@DAVIDMMASSY 3 ай бұрын
I think Ruto angefanya approach ya tofauti ili kujinasua ange jaribu kuelekeza expenses za gvt kwny kutengeneza productive stuffs like unapandisha kodi then unajenga viwanda au unaanzisha any stuff ambayo itaisaidia serikali kukuza uchumi au hata kuchukua mkopo wenye ahueni ili kukuza uchumi u cant face the debt issue hivyo lzm blowback yake itakuwa kubwa sana
@tatukingi2543
@tatukingi2543 3 ай бұрын
Very true
@Dellylubunga
@Dellylubunga 3 ай бұрын
Ku toka DRC 🇨🇩🇨🇩asante sana SNS 🇹🇿🇹🇿
@anthonychristopherelachi7014
@anthonychristopherelachi7014 3 ай бұрын
Walie sanm yes 204 liesema no 150
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 ай бұрын
Ruto kazini kwake kuna kazi.
@loice123faida8
@loice123faida8 3 ай бұрын
Haina haja Ruto must go na amani haiji ila kwa incha ya upanga
@almiseo6343
@almiseo6343 3 ай бұрын
Hii imeweza lkn ingenoga zaidi kama pangekua na mkenya akaelezea uhalisia wenyewe kunavitu vingi mungepata
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 3 ай бұрын
Watanzani 🇹🇿 tuitunze amani tuliyo nayo tupambana kutafuta mungu awajalie amani na utulivu ndugu zetu wakenya 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪
@allyseba172
@allyseba172 3 ай бұрын
Aman ip una zungumzia ss ha2na aman kwa b7 wa Tanzania weng wala lia ila wana lilia pemben..... Sema ss bado waoga na hatuna maamuz
@martingeorgenzali5614
@martingeorgenzali5614 3 ай бұрын
Amani Gani Tanzania Upo Nayo...Wakati-Mwaperekwa Perekwa Kama Mang,oMbe Alfu MwasEma...Mko-Naamani...Tanzania...Majinga KilakiTu Wao WasaPoT Kilaki2 Hatakama Tz ItangaZwe WauZa KeSho WatasaPot Sawa Kikubwa Tupo Naamani WajiNga TZ
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 3 ай бұрын
@@martingeorgenzali5614 sawa chief najua upo na jaziba sana kwa sababu ila natumai ungekua na wazifa usinge pata hata muda wa kunijibu ila nakusii pambana chief pia jua kua kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹🌹🙏🙏
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 3 ай бұрын
@@allyseba172 si kosa kua muoga wara si zambi jitazame pili tazama wa nyuma yako kama huna tafuta ukisha pata na ukawa na majukum njoo tena na wazo lako kaka🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹🌹🙏
@nicoledinga9948
@nicoledinga9948 3 ай бұрын
Wacha tu nicheke 😂😂😂
@melody_mike_mavoice
@melody_mike_mavoice 3 ай бұрын
Am i the only one feeling the guy in yellow doesn't know anything he's taking about, anyway next time consider who's on the panel watching from kenya #rejectTheFinanceBill2024
@DrizzyDrake254
@DrizzyDrake254 3 ай бұрын
Bongo lala
@dorcas4495
@dorcas4495 3 ай бұрын
No clue speaking from hearsay
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 3 ай бұрын
Ally ni big brain
@alhajjwaupe4593
@alhajjwaupe4593 3 ай бұрын
Mimi ni mkenya. Zakayo ni muogo tena wa hali juu kwanza amejiita masikini na sio masiki alia hidi mengibwakati wa kampein hata moja haja timiza sasa huyo sisi wakenya twa mfaham hata hio kuwapongeza vijana niongo tu yeyw ndie anae lazimi wabunge kupitisha kwa kuhonga
@saidally9653
@saidally9653 3 ай бұрын
Kodi Kwa wananchi xio mbaya lkn wanaiba xax hz pesa zetu zenyewe hazitoxh na bado waibe Kuna nn kinabaki
@christianmallya
@christianmallya 3 ай бұрын
Tunapenda sn dj smaa na mwenzie ... Tuleteee mentality ya USA policy wawe wanabadilishana mawazo na kubishana
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 ай бұрын
Vijana hatari sana
@joshuamunyao627
@joshuamunyao627 3 ай бұрын
Kuna kitu ndugu zangu hamuelewi hiyo kutenga kutenga kutenga kutenga kutenga ametenga kwa mda wa mwaka mmoja na nusu wanatenga zikienda wapi?
@zuwenarajab6675
@zuwenarajab6675 3 ай бұрын
Suala la kodi za juu huku Ulaya usiseme hasa Sweden. Kingine ni kwamba suala la ukosefu wa ajira ni dunia nzima hapa Sweden watu hawana kazi, vitu vimekuwa ghali yaani ni majanga juu ya majanga. Mwisho wa mwezi unafika huna hata sumni ya kuweka akiba. Kwa kifupi maisha yamekuwa magumu sana, Allah atufanyie wepesi.
@yusufally5168
@yusufally5168 3 ай бұрын
Amin. Unaishi Sweden mji Gani? Mm Niko Södertälje Stockholm.
@zuwenarajab6675
@zuwenarajab6675 3 ай бұрын
Ninaishi Göteborg ndugu.
@nicoledinga9948
@nicoledinga9948 3 ай бұрын
immigration has destroyed Sweden, too much crime and racism. Once a nice European country, now it has become a joke...But still hauwezi linganisha kukosa ajira Europe na Africa. Huko bado unalipiwa kodi na unapata matumizi kidogo. A very different comparison!
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 3 ай бұрын
Basi hama Sweden rudi Tanzania nchi ya maziwa na asali. Huku mambo yako shwari ndio maana hatujawahi kuandamana
@mukrimkhamis678
@mukrimkhamis678 3 ай бұрын
@@rumdeesonsoa1811hawa wanaishi njee wanasema maisha magumu lkn huwaoni kurudi awoo hhhh
@EliasBendaguma
@EliasBendaguma 3 ай бұрын
Kwa97 mpaka 2012 ndo Gen z Na kuanzia 2013 mpaka Sasa wanaitwa generation Alfa mi natokea Kanda ya ziwa Kwa Sasa makazi yangu yako Kenya Nairobi
@djsma255
@djsma255 3 ай бұрын
Asante kwa maelezo
@emmanuelopiyo6408
@emmanuelopiyo6408 3 ай бұрын
Even livestocks are being taxed
@kingnyamafutv8646
@kingnyamafutv8646 3 ай бұрын
Wewe jamaa mwenyewe njano unaakili sana nakupa pongezi
@saidyabdalla7410
@saidyabdalla7410 3 ай бұрын
Nairobi kesho morning tunawahi mapema san😂 nipo mbele nyumbani tz
@jenifferwanjira6124
@jenifferwanjira6124 3 ай бұрын
❤❤❤
@vailethmuro4390
@vailethmuro4390 3 ай бұрын
Ongeleeni Tanzania yetu,na Tanganyika sababu tunamaisha magumu kuliko Africa nzima
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 3 ай бұрын
Tuko na huyu ruto bumper to bumper.akimwaga mboga tunamwaga ugali.
@ummialey6391
@ummialey6391 3 ай бұрын
Hapo mmeongea jaman mbona nchi za kiarabu mtoto anozaliwa leo analipwa wamewezaje
@3erffeoui86
@3erffeoui86 3 ай бұрын
apo kwa IMF wabunge wa kenya wali pewa 20 thousand dollar EACH ili wapitishe finance bill yaani waliogwa na IMF ZA NDANI HIZI
@stanastana3199
@stanastana3199 3 ай бұрын
Kenya wanaroho ngumu aisee daah
@saidyabdalla7410
@saidyabdalla7410 3 ай бұрын
Kesho insha'Allah nawahi mapema San natoka kibera mapam
@MS.independent8934
@MS.independent8934 3 ай бұрын
Najivunia kuwa 🇹🇿♥️
@HansChuma
@HansChuma 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂kwa upumbavu kutojua hakiyako kuburuzwa kama Mbuzi kamba shingoni😂😂😂😂
@abdullahsaid2163
@abdullahsaid2163 3 ай бұрын
The issue is taxes, sio kujiajiri
@MsodokiTheson
@MsodokiTheson 3 ай бұрын
Masubi kumbe ni bwana mdogo Sana yani. Halingani hata na mdoangu Asia
@thewalltours
@thewalltours 3 ай бұрын
Sky iyo definition umeitoa ChatGPT😂😂😂😂
@saidmwasemu-do5tp
@saidmwasemu-do5tp 3 ай бұрын
Hiyo ni kwel IMF wakome kabisa
@touristmorgan4090
@touristmorgan4090 3 ай бұрын
Mariakani ndio home
@ramadhaniseifuledi513
@ramadhaniseifuledi513 3 ай бұрын
Natamani kuungana na kenye mko smart kichwani sio hukuuu...
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 3 ай бұрын
Ali masubi nakuelewa ila hii mada imekupiga chenga kidogo nkama hukujipanga na research so kiufupi hufatilii kenya wala kinachoendelea na wat reason behind that maandamano
@michaeljuma254
@michaeljuma254 3 ай бұрын
Mwambieni Masudi polisi wetu wanatumia life amunations so far watu watatu wameuwawa tayari, kwani hiyo ni rubber bullets
@DAVIDMMASSY
@DAVIDMMASSY 3 ай бұрын
Maana hata wewe binafsi kama una deni na unataka kulilipa lazima utafute approach ambayo itakuwezesha kulipa lakini usianguke kiuchumi pia maana tatizo sio mikopo tatizo ni masharti ya mikopo maana mikopo hata marekani anakopa ila tatizo letu africa ni masharti tunayopewa sasa kwa mindset hiyo ya kujinasua kwenye masharti na outside control uwanja ni mpana sana wa njia za kujitoa first mobilise watu taifa lijue kabisa tunaelekea kwenye kujikwamua so kila mtu afanye kazi ipasavyo then u can take good loans from somewhere and invest in the procduction sectors ili baadae outcome ya hiyo investment ikusaidie kwanza kuongeza tax base. Ambayo utaweza kuwatax watu na pili uchumi utakua in terms of gdp (production) pili utaweza kujinasua taratibu after muda mfupi like 3 to 4 yrs unajitoa cz unakuw haupokei tena mikopo yenye masharti ya ajabu Kama kuna mistake wataalamu wa chumi mtatuarifu kwenye replies
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 3 ай бұрын
Huyu wa yellow hajui hata kidogo sababu ya maandamano hii na hasira ushuru hawajakataa kutoa sababu ni hii tax ruto anakula na bibi yake,side chicks,marafiki wake, corruption is too much budgetted for hakuna ajira kwa vijana,masomo yamesimama
@HansChuma
@HansChuma 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@James-om1bk
@James-om1bk 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂tz
@YussufMohd-fc1dj
@YussufMohd-fc1dj 3 ай бұрын
naomba tdhamani ya ile fimbo ilo chukuliwa please
@shabanimataka8418
@shabanimataka8418 3 ай бұрын
Tatzo watu wote wezi na ndiyo maana akuna kuwajbishwa ukiiba unapelekwa sehem nyngne ukaibie uko Sasa ela itatosha kwa mfumo uo Kila bajet ndogo
@MwemajaphetyZackalia
@MwemajaphetyZackalia 3 ай бұрын
Bongo vp au ndio bongo rara mungu wangu sababu anajua jinsi tunavyo buruzwa
@AllyAllyRamadhani
@AllyAllyRamadhani 3 ай бұрын
Kweli kilimo ni mtaji na soko atuna soko la uwakika
@kafwimbimilambo8556
@kafwimbimilambo8556 3 ай бұрын
Ruto anashindwa
@mpendarootys2657
@mpendarootys2657 3 ай бұрын
Kama Mimi mkenya ruto ametuzoeya sana ni funzo
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 3 ай бұрын
Swali ni kwamba tumefikaje hapo?? Natunafanyaje???
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 ай бұрын
Lengo la ruto ni zuri sana,,,nchi zetu znataka tuendelee kukopa kopa,,,,badala ya kubanana ndani ya nchi na kupunguza matumizi
@Hamisi8465
@Hamisi8465 3 ай бұрын
Yeye anakopa pia.. Ulisikiliza budget wewe... Deni limezidi na tax pia inazidi
@kwaleboy6064
@kwaleboy6064 3 ай бұрын
Hata hujui kunaendelea nini una coment tu kama senge.bado wala kwenu hujui bei ya kitu chochote shenzi wewe
@uwimana6533
@uwimana6533 3 ай бұрын
Wazungu wanamtumia kuangamiza Afrika sehemu zingine wanafukuzwa kutokana namadeni wanawapa watu 😂😂
@alhajjwaupe4593
@alhajjwaupe4593 3 ай бұрын
Ndugu mimi ni mkenya twa mfaham vizuri zakayo ni manno lkn hayupo kwenya hayo
@mohammedshishishi6375
@mohammedshishishi6375 3 ай бұрын
Kutoka aingie alifanya mradi gani. Miwili tu Pesa kwa mkopo na nyumba napia apo kwa nyumba ni noma sana Sasa jiulize izo pesa anazo kopesha anapeleka wapi?
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 3 ай бұрын
Lemmi key you in.. We have no problems in paying raxes,we need ACCOUNTABILITY we cannot be budgeting for corruption and furnishing politicians lifestyles no way...enough is enough
@trendz_2548
@trendz_2548 3 ай бұрын
Maandamano ni peaceful kabisa
@kyangwesignermohamed7867
@kyangwesignermohamed7867 3 ай бұрын
Huyo jamaa yeye siku zote anaongea sana anamyima DJ Smaa nafasi yakuongea 😂
@josephmungai7953
@josephmungai7953 3 ай бұрын
Bro!!!!! I request ungefanya research kidogo, clarion call ya Rais Ruto ilikuwa kupunguza gharama ya maisha kutoumiza wanainchi kwa Kodi, he said President Uhuru was over taxing people. The country cannot be lead as if we in the 80's and 90's . Alafu Kuna deni Jama anaingia Ndege ya million 200?? Jama ametengewa million 800 for confidentiality? Kodi inaongezwa hakuna maendeleo safari tu na story!!
@BoazDillu
@BoazDillu 3 ай бұрын
Me naipenda TZ one day tutakaa poa tu maana hapa tulipo pia hstikuwahi fika,ila sahii tupo ni wazo langu tu kwamba Kupaza sauti ni muhimu but sio fujo kama hizi maana ndani ya hizi fujo wezi,vibaka,a waharifu ndio sehemu zao hizi sobadala ya tatizo kutatuliwa inchi inageuka kuwa kama jalala na mambo mengi ya nasimama na maisha yanakuwa magumu zaidi, mfano fujo kama hizi bodaboda,mama ntilie nk watu kama hao familia zao zitakula maandamano sio? Lazima tuwe makini sana amani nikitu Muhimu hapo kwa Wa Kenya sijaona cha kujifunza wala
@allymatilda7519
@allymatilda7519 3 ай бұрын
Wenaee unaongea nn huu ndio ujinga na uoga wakifala
@BoazDillu
@BoazDillu 3 ай бұрын
Sawa mwenye akili na shujaa,🫡🫡
@maalimzakariyya5770
@maalimzakariyya5770 3 ай бұрын
Nimetokea Kenya MIM ni mwana SNS damu.
@JohnMabustar
@JohnMabustar 3 ай бұрын
Upepo wa maandamano nauona inakuja kama Arab spring afrika mashariki
@aby.beka1630
@aby.beka1630 3 ай бұрын
nataman viongoz wetu km hawajui wangejifunz kupitianyie"~
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 ай бұрын
25:22-25:56 ni vitu Mh Gwajima alivisema bungeni..akasisitiza sana. ona sasa nchi zingine zinagoma- population growth is meeting scarce resources and so they cant help it ..and they come out and demonstrate their frustrations..
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 3 ай бұрын
hata WORLD BANK mambo imewafikia hizi zote lazima wajue huku tuko huru kujitawala
@morganodoli3564
@morganodoli3564 3 ай бұрын
Hasma the guy in black please note hatujakata kulipa kodi the problem is that the money that he wants to tax is not there majority of Kenyans lives under 10 dollar a day now what do you tax from such money and you have extra bills to be paid and then from the same under 10dollar someone wants to add an additional tax now you tell me what will you remain with this is death hata ukuwe na bidi aje biashara yako haitasonga coz watu hawana pesa reason being over taxation. #rejectfinancebill2024.
@salomeomashibo1971
@salomeomashibo1971 3 ай бұрын
REJECT FININCY BILI ruto Must Go ruto must go ruto must go Na musisaau mashamba pia ita tolewa kodi kama uko na mifuko zago ushago kodi
@MsangoDiesel
@MsangoDiesel 3 ай бұрын
Mwanamwita zakayo na yuda Ni nani
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
Drone iliyorushwa kutoka Lebanon yapiga makazi binafsi ya Netanyahu
1:45
Command Center Raided - | Jerusalem Dateline - October 15, 2024
23:44
WHY AN ISRAELI NUCLEAR STRIKE ON IRAN IS NOW POSSIBLE
14:05
ATE CHUET
Рет қаралды 194 М.
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН