MC Pilipili amtaka Eric Omondi aache kupandikiza chuki kwa wasanii wa Kenya dhidi ya wenzao wa Bongo

  Рет қаралды 8,252

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 86
@danielmacharia9603
@danielmacharia9603 22 күн бұрын
Kaa sns huwa wanatoa content safi sana much love from Kenya 🇰🇪
@FabriceKassim-e6y
@FabriceKassim-e6y 21 күн бұрын
Welcome to Burundi Bujumbura 🇧🇮 Mc Pili pili😊 are all Africa's people's 😮 sisi sote ni dungu waki Africa's 😮 leo ubanguzi wa Kenya 🇰🇪 uta taka leta utoto Africa! Today Africa's people's we to Be better then America 🇺🇸, Europe 🇪🇺 and China 🇨🇳 GOD bless Africa and All Blacks people's🇧🇮🇨🇩🇹🇿🫵🏿👊🏿
@pena_tz
@pena_tz 22 күн бұрын
Kenya ni kukimbia marathon. Tz ni muziki 😅
@yassinwafula692
@yassinwafula692 22 күн бұрын
kaka twala mairungi twanya hela
@DavidCurtis-e4c
@DavidCurtis-e4c 11 күн бұрын
@@yassinwafula692ni kweli mwanya pesa ila masikini na matajiri ni 50/50%je hapo vipi ama ni sawa hamsini wanakufa njaa hamsini wanakula miraa wanakunya pesa sasa vipi wasiwasaidie masikini wapungue?.
@yassinwafula692
@yassinwafula692 11 күн бұрын
@DavidCurtis-e4c kaka majority ya omba omba hapa niwakutoka Tz .wamachinga wengi niwakutoka Tz. Majority ya nguo ya mtumba ni wachaga kutoka Tz .Yani Kaka sisi tumewasaidia Sana sijui kama kungekuwa hakuna Kenya nyie mungetabika juu hela yenyu ni paper toilet haina thamana
@ShambaVillage
@ShambaVillage 22 күн бұрын
Erik omond ndio master mind wa sakata rote kati ya simba na yule mlugha mlugha
@gabbyhenrgy1157
@gabbyhenrgy1157 22 күн бұрын
Erik omond asikanyage tena TANZANIA 🇹🇿 sio mtu mwema amejionyesha dhahili kwamba wana roho mbaya dhidi ya wasanii wa Tanzania
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 22 күн бұрын
Akija huko mpigeni mawe! Sisi wa Kenya wenyewe hatumtaki
@hamadiayossy
@hamadiayossy 22 күн бұрын
​@@BarbaraPatience-qt9cc😂😂😂
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 22 күн бұрын
Tunamla tako​@@BarbaraPatience-qt9cc
@chainbre275
@chainbre275 22 күн бұрын
Siyo kweli mtu lazima atetee vya kwao kwanza please
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 22 күн бұрын
​@@chainbre275acha ujinga wewe dada mtu anapandikiza mbegu ya chuki unasema anatetea nchi yake kwani mbona wapo wakenya ambayo waelewa wamezodoa wakenya wenzao hakuna sehemu walipozulumiwa wakenya
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 21 күн бұрын
😂😂😂Eric kitamramba Tz aisahau😂kashindwa kuishi kwenye ukweli hizo ni shida zao wakenya na music wao uliokufa kitambo 😂😂😂 Eric Omondo byebye
@danielmacharia9603
@danielmacharia9603 22 күн бұрын
Tunapendaga kuskia ii kiswahili yenu kaa vile napenda kuskiza kingereza cha black America
@niubility5745
@niubility5745 22 күн бұрын
Eric Omondi ni Mjaluo roho mbaya ni kawaida yake, roho mbaya na chuki ni nyumbani kwao. Shamefully, hata elimu yake haimsaidii.
@annievibes8794
@annievibes8794 19 күн бұрын
Hao wakenya nao wafunge kidomo Yao tumewachoka😂😂nyimbo hawana wanasikiliza zetu bado hawaishi kulalamika😢
@FrankieFrank-e4e
@FrankieFrank-e4e 22 күн бұрын
Eric anasura mbili
@domajosep3797
@domajosep3797 22 күн бұрын
Sky bwana , wew ni mwandishi wa habar aswaa
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 22 күн бұрын
Eric omondi akija tz tunamla makalio yake.
@ibrahdagreat
@ibrahdagreat 19 күн бұрын
😂
@BarackaNgasala
@BarackaNgasala 19 күн бұрын
Hao ndio wanahusisha ukabila huku kenya
@osmanihamisi
@osmanihamisi 21 күн бұрын
Yawapasa watanzania mjifunze kitu kuhusu jilani zenu????😂😂😂
@bonifacebaltazar9772
@bonifacebaltazar9772 21 күн бұрын
Wakenya amuwajui nyinyi linapokuja swala la maslai atakama ninduguyako anakukataa
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 22 күн бұрын
Yaani nyinyi munamtua eric kwenye akili surely? Sisi wa kenya hata tulimsahau!!!! Hajielewi!!!! Watu walimsahau kitambo sana!!! Ni ukimbele mbele tuu
@captainzelifilms2964
@captainzelifilms2964 22 күн бұрын
Wewe ndo umemsahau Erick is a King bana
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 22 күн бұрын
​@@captainzelifilms2964Eric Hana uking wowote kimbele mbele tu uku akija tutamfila
@sylviaforest3001
@sylviaforest3001 21 күн бұрын
Eric sasa yupo spiritually woke ndio maana anasaidia watu wakenya sasa walioko na matatizo
@MsafirGervas
@MsafirGervas 21 күн бұрын
Erick ni mbinafsi sana na mkabila sana😂😂😂
@irenewile
@irenewile 20 күн бұрын
Mwingine yule Nyako na sura yake kama kinembe
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 22 күн бұрын
Hapa Tanzania 🇹🇿 kuna wakenya wengi wanafanya kazi na wameajiliwa mfano private sectors makapuni mengi ya ujenzi na hotes wafanya kazi wengi ni wakenya pia football clubs za tz wachezaji wengi ni wakenya mfano we have 24 Kenyans players in tz football team so for that case wakenya tumewapa ajili hapa kwetu
@yassinwafula692
@yassinwafula692 22 күн бұрын
hapa Kenya kuna wamachinga, kuna wachaga, wanauza mtumba, omba omba ma barabarani weeeeeeengi sana
@RasheedKing-bn1xn
@RasheedKing-bn1xn 21 күн бұрын
Ata hapa zanzibar kuna wakenya wengiii wanawake wanajiuza ​@@yassinwafula692
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 21 күн бұрын
​@@yassinwafula692mchaga na omba omba hapana . huko wajacha wamejiajiri ana wameajiwa huku wengi wakenya wameajiriwa.
@annasolomon9855
@annasolomon9855 21 күн бұрын
​@@yassinwafula692Kuma la mamako.. kati ya mtanzania na mkenya nani anaishi maisha luxury.. usidhani hatuijui Kenya na usidhani hatujafanya research 😊😊 .. tunajua Sana bro.. kazi kujisifu nyoko nyoko Kenya huku mna maisha ya shida.. kujidai fedha ya Kenya ipo juu hata kama ipo juu sawa lakini tunaangalia wananchi wake wanafaidika na Nini ? Zaidi wengi ni Vibaka na wanakula channg'aa Drugs addicted😂.. Tena acha tukiongelea maisha maisha mazuri kati ya wananchi wa kawaida kati ya Kenya na Tz, hapa Tanzania watu wanaishi maisha mazuri Sana.. Kenya hata kama umesoma unaishia kuwa homeless huna hata nyumba.. wakati hapa mchaga muuza mtumba ananyumba hata 3 na magari 😂😂 acha upuuzi mjinga wewe😊
@MaryamAbubakar-c2d
@MaryamAbubakar-c2d 21 күн бұрын
⁠@@yassinwafula692 kwa hiyo nyinyi kwenu hakuna omba omba wapo mpaka ulaya nyinyi mnautajiri gani kwenu hakuna omba omba mbana kuna njaa kwenu kuliko kwetu 😮
@goddyffmarsacha259
@goddyffmarsacha259 21 күн бұрын
tanzania huwa mko na ushamba mwingi sana
@BongoflevaHits
@BongoflevaHits 22 күн бұрын
Erick ana ukabila ndio maana anachuki
@Goezzy
@Goezzy 21 күн бұрын
Kacheka hamna hapo 😅😅😅😅
@mwalitv4555
@mwalitv4555 22 күн бұрын
Tumbili asije bongo
@MaryamAbubakar-c2d
@MaryamAbubakar-c2d 21 күн бұрын
Wakenya wanapenda kuwa zaidi kwa kila kitu na hasa vitu vya Tanzania hata mlima wa Kilimanjaro walikuwa wanasema ni wao mpaka hayati magufuli alivyo pambana nao vile vile akajenga ukuta mrefu wa kuziwia Mali zetu kingereza ndio utajiri wao wanajivunia lugha za watu so sad is only Africa we proud others people lunguage na kuona lugha zetu hazina maana
@irenewile
@irenewile 20 күн бұрын
Wana wivu na roho mbaya
@sylviamakamu2684
@sylviamakamu2684 22 күн бұрын
Eric ni comedian tu😂😂🇰🇪🇰🇪
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 22 күн бұрын
Wala Hana u comedian wowote
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 22 күн бұрын
Katoka kwenye ukomed Kawa virus wa chuki
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 22 күн бұрын
Kweli aisee... mbona kwenye ile kapiga nyimbo za wasanii omondi hakufanya za willy paul
@DavidCurtis-e4c
@DavidCurtis-e4c 11 күн бұрын
Hahahaaa
@irenewile
@irenewile 20 күн бұрын
Yule mnyoo ni shetani kabisa
@TwigaFashions
@TwigaFashions 21 күн бұрын
Erick is full of hate. He started causing problems in Kenya then diamond
@Pweza
@Pweza 22 күн бұрын
Hii media ndio inaleta chuki ya watanzania na ndugu zetu wakenya ...kila siku utasikia mara baba levo awachana wakenya ,mara ivi mara vile ....yaani mnakaza ubongo bila kujua wakenya ndio taifa pekee ambalo tunaweza kuongea lugha moja na kuelewana ...yanapotokea mambo kama hayo hampaswi kuyakuza kiasi icho ...tena hii ni media kubwa zenye keheshimika pengine kuliko online zote ...MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI KENYA
@captainzelifilms2964
@captainzelifilms2964 22 күн бұрын
Waambie Hawa wambea na uchonganishi wao. Vitu viliisha kitambo wanapambana kuvikuza tu,hizi story zimeboa Sana tuongelee vitu vingine jamani
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 22 күн бұрын
Ucha upimbi... Unafatilia za Kenya 🇰🇪 zinaongea nn kwa sasa??? Pimbi kweli
@litobrown5674
@litobrown5674 22 күн бұрын
Maandazi nyinyi wakat Kenya Kila cku bado wanatuongelea bongo kuhusu hii ktu na sisi tusiongee tuna muogopa nani kwani
@Pweza
@Pweza 22 күн бұрын
@@litobrown5674 maandazi ni mama ako mzazi...maana inaoneka wewe unajua maana ya ilo neno
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 22 күн бұрын
​@@Pwezaww kweli pweza ndugu yangu so unaowaita ndugu zako unaona wanavyoitukana Tanzania na raisi wake bungeni tunaongelewa watanzania wameanzisha kapeni za matusi mitandaoni na ata kwenye mambo ya kisiasa ishu imekuwa matusi juu ya mond na Tanzania yake hacha shobo so ndugu zako washatukataa ww unasemaje midya zinaamasisha chuki ubaya ubwela tu wamelianzisha Wacha tulimalize mtanzania atakae watetea awa ni adui wa nchi acha waandishi wafanye KAZI yao😂😂
@JosephAlakonya
@JosephAlakonya 21 күн бұрын
Atutaki Diamond Kenya 🇰🇪, Erick omondi is the president
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 19 күн бұрын
wakenya ni wapumbavu
@tricenathan
@tricenathan 22 күн бұрын
Ametengeneza chuki mwenyewe eric omondi sidhan kama atapata nafasi hiyo tena ametutoka moyon kbsa
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 22 күн бұрын
Asipewe
@sylviaforest3001
@sylviaforest3001 21 күн бұрын
Eric anaenda kuwa mwanasiasa hafanyi comedy tena
@TwigaFashions
@TwigaFashions 21 күн бұрын
Am Kenyan and can’t listen to his music
@musiccaentertainment100k8
@musiccaentertainment100k8 22 күн бұрын
Huyo shoga anasemaje
@JosephAlakonya
@JosephAlakonya 21 күн бұрын
Hawa Wana sns wanapendelea upande wa Diamond sana sijui wanamwabudu
@chai_r
@chai_r 21 күн бұрын
So what?
@JosephAlakonya
@JosephAlakonya 21 күн бұрын
Hawa Wana sns wanapendelea upande wa Diamond sana sijui wanamwabudu
MCHOKONOZI ABANANISHWA STUDIO ASIMAMIA MISIMAMO YAKE PALEPALE.
1:22:28
Platform Media
Рет қаралды 75 М.
BABA LEVO AWACHAMBA COMEDIANS NA WASANII WA KENYA||HAWAINVEST!!!
30:28
Mseto East Africa
Рет қаралды 19 М.
Tanzanian's and their English "struggles" - MC Pilipili
13:45
Churchill Television
Рет қаралды 495 М.
EP 3 | Ft Stephen Muzhingi
52:57
Legends Of The Game
Рет қаралды 143