Chris Brown: Alichofanya Afrika Kusini ni Miujiza, Dayoo alihudhuria, adai kamwe hajawahi kuona

  Рет қаралды 20,016

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@brilliantboaz7819
@brilliantboaz7819 5 күн бұрын
Thats nice brother coz alot of media huwa wanamuongelea breezy kwa mabaya, hongera sana kwa good and positive perception in every circumstance.
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 5 күн бұрын
Brezzy ❤👍👌💯 Nilimuona live Oslo..the guy is very talented 👌 MJ junior 💙 👏
@mdl6463
@mdl6463 4 күн бұрын
Mwanamke lazima apigwe ni kweli kabisa anatengwa Ila chris moto mwingine amefanya hivyo kutusua ajataka kushilikiana na mtu jeshi la mtu mmoja 🎉🎉🎉🎉🎉
@AlexGwiha
@AlexGwiha 5 күн бұрын
The best rnb from americ criss brown.love forever
@hagreykilima9721
@hagreykilima9721 4 күн бұрын
SIMPLY THE BEST PERFORMER IN THE WORLD💫
@francomwacha2262
@francomwacha2262 5 күн бұрын
Brother sky fanya kama hizi nyingiii.. nakukubali kinomaa
@alphamenson3784
@alphamenson3784 4 күн бұрын
Wamarekani wanafiki sana bro. Wamuache breezy ashine kwa namna yake
@JujuGurugu04
@JujuGurugu04 3 күн бұрын
Iyo haikuwa show ya 3000 iyoooo ulinzi kulikuwa chini ya metroooo yaay BEI YA chini ilikuwa rands 1450 alooo❤ tulitoka polokwane mapema kabisa tukatulia pitvot hotel usiku haaoooo tukajiachia watu tumebidi tuendeeee Naya pili🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yaaay it was great we live once hatuna cha kupoteza❤❤❤❤ much love kwa watu wangu wa Jozz kwa kuakikisha tupo safe maana Jozz sio pouwaaaaaaa
@mzeezidane4060
@mzeezidane4060 4 күн бұрын
Asante sana mzee kwa iyi kitu
@leonardkambona3608
@leonardkambona3608 5 күн бұрын
Breezy😮
@aishaomar1845
@aishaomar1845 5 күн бұрын
No man alive today can beat Breezy 🔥🔥🔥🔥🔥🔥l have seen three shows if him 🔥🔥🔥the dance moves TOP level creative and what l love about him he always puts MJ 1st that's love💙💙💙💙💙💙💙🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💙💙💙💙💙💙just gifted GOD BLESSINGS Mashallah 🙏
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 4 күн бұрын
Number one multtalented artist in the world.
@jables6804
@jables6804 5 күн бұрын
Brezzy 🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐
@HamsiniKhalid
@HamsiniKhalid 3 күн бұрын
Nobody is perfect.. Let's Breezy do his things..
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 5 күн бұрын
Umetisha T
@francomwacha2262
@francomwacha2262 5 күн бұрын
Hii inaonyesha namna muziki ulivyo na nguvu
@mhabimina4023
@mhabimina4023 5 күн бұрын
🔥🔥🔥👌
@alichristopher4949
@alichristopher4949 4 күн бұрын
Hayo mambo ya kuruka na kamba sio mara ya kwanza kwa Chris kazowea sana tena sana
@Aziza-tx4jx
@Aziza-tx4jx 4 күн бұрын
Anajiamini sana. Anafata nyayo za Michael Jackson's
@africamz1762
@africamz1762 5 күн бұрын
Vocês têm problemas em mencionar " Moçambique?"
@pascalvitalis
@pascalvitalis 3 күн бұрын
Harmonize nae ataruka tu kama hivyoo😂😂🎉
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 5 күн бұрын
Show ni babkubwa Ila AS inachangamoto kubwa y’a ulinzi haswa kwenye show kubwa km hizi kw upande wa inje y’a show yani inje y’a uwanja,ila 100% SA ikombele sana kimaendeleo nafkilihii pia ni sababu kwa wasanii wkubwa wa kidunia kuweza kufanya show apo BIG UP TO (SA)
@aipymusic6927
@aipymusic6927 5 күн бұрын
Namimi munisayidiye kuangalia video zetu ku KZbin jina ya channel ni Aipy music
@CoachHafidh
@CoachHafidh 4 күн бұрын
"Sio wakati wa R.Kelly amuwache ChrisBreezy atishe...."🧠 ~Fid Q
@ThekraJanga
@ThekraJanga 2 күн бұрын
Hapa kuna wabongo watavunjika viuno
@EmmanuelKijika
@EmmanuelKijika 5 күн бұрын
Uyo alienda kwa ajili ya show haache kutupanga maana ticket zilisell out km miezi miwili before lingrkua jambo la yy kujisikia kwenda asibgepata ticket
@careenmshairi6291
@careenmshairi6291 2 күн бұрын
Acha chuki Bas uyo anaye cheza apo ni baba ako chuki tu ndy maan umaskin haukuishi mbwa kabisa😏😏😏
@MuganzaPyramide-yq5qb
@MuganzaPyramide-yq5qb 5 күн бұрын
Hakuna watu wa burundi 😢😢
@saidirakozi1809
@saidirakozi1809 5 күн бұрын
Tulikuwepo sema sisi hatunaga fujo...na tickets bei yake nisawa na hela masio jiweza wanapokezwa na government kila mwezi bure
@nelsonpatricioestanislaus7144
@nelsonpatricioestanislaus7144 5 күн бұрын
Mimi nilikwepo😂😂😂
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 4 күн бұрын
😅😅😅
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 3 күн бұрын
Show kama show Chris kaua sana sio kama sho za ASAKE akiingia anaingia anaingia n vumbi yatandale mzima kurukaruka kw stage n mibangii kw kichua 😂😂 n kina moze iyobo wake ,burudani ndio kama hii y Chris yani utaratibu n unyama kamawote
@mtoobebe5778
@mtoobebe5778 4 күн бұрын
Breezy is another level 💯 dog
@KatibaShedrack
@KatibaShedrack 2 күн бұрын
Angezungumzia yule jamaa mwenye base... Ni mkali balaaa
@brownmoses9543
@brownmoses9543 5 күн бұрын
Cb❤
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 5 күн бұрын
Kingilio dollar million mia kila mmoja
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 4 күн бұрын
Duh😮
@barakayusuph4617
@barakayusuph4617 4 күн бұрын
dollar milion mia ni sawa na ngapi za kibongo😢
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 5 күн бұрын
Sky maswali mengine inabidi utafute watu kama sisi tunaoishi huku ndio tunaweza kukuambia kama Hilo swala ulouliza kuhusu aina ya watu waliongia .. south watu kupendeza kawaida na vitu vipo vya ukweli sio midosho kama wanaovaa baadhi ya wasanii wetu huko
@TheStreams-i4s
@TheStreams-i4s 5 күн бұрын
Hacha hasira uulizwe ww kama Nani, haya kupendeza kitugani sasa. Kajenge kwenu kilungule .
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 5 күн бұрын
@TheStreams-i4s alokuambia cjajemga nani au unataka kuwa mke Kwa nyumba kisimi wewe
@kimodomusic9760
@kimodomusic9760 4 күн бұрын
Semeni yote ila usher rayamond ndo kila kitu
@immaomarwa5122
@immaomarwa5122 4 күн бұрын
Hata wewe ni kipenzi cha usher wa p didy
@iddirajabu-vk7ej
@iddirajabu-vk7ej 4 күн бұрын
Kila kitu kwako😂😂😂
@KhamisFeysal
@KhamisFeysal Күн бұрын
Miujizq unaijuwa wewe au unaongea ujinga tuu
@umenyagatv7163
@umenyagatv7163 5 күн бұрын
Ukumbukwe CHRISBROWN nimwanasalakasi kwaiyo anajua ata akidondoka ajipindue vipi ili apone
@yolo5261
@yolo5261 4 күн бұрын
Tulia ww
@BestkanotiKing
@BestkanotiKing 4 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/fIOVm4hnh8xrh7csi=t-2Ro2gB4vdDIvEM
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 5 күн бұрын
Huyo muongo dogo stage za hapa hapa south anaona hii ni bongo nini fara huyo aacha uongoo akaongopee wanzie huko mbagara kenge huyo ... Chris brown hakuja na jukwaa Wala muziki
@chai_r
@chai_r 5 күн бұрын
Roho mbaya yako tuu.
@agreyaloyce432
@agreyaloyce432 5 күн бұрын
Mbn umekasirika sana mzee
@saidirakozi1809
@saidirakozi1809 5 күн бұрын
Alafu hajuwi kupendeza na kula sio utajiri kwa south nikawaida tu.....iyo anaruka nayo ni drone sio kamba za kariakoo
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 5 күн бұрын
@@agreyaloyce432 kwani unamahusiani na sky mbona kama umeshikwa Kwa chini vipi bob au ndio nyie wa upinde
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 5 күн бұрын
@@saidirakozi1809 washamba wabongo wa nyumban ndiomana wanavaa midosho alafu wanawatambia watu
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Only & Wrist Chris Brown 11:11 Tour Hampton VA
2:53
Jalyn Withers
Рет қаралды 32 М.
BSS 2024 SE15 EP01 ARUSHA | FULL SHOW
1:01:15
BongoStarSearch
Рет қаралды 56 М.
Phina ft Harmonize - Bye Bye (Official Lyrics Video)
3:07
Lissu Ataja UTAJIRI WAKE, Nchi YATETEMEKAAAAA!!!!!
17:15
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 195 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19