Natamani huyu jamaa arudi kwenye game👌👌👌👌👌👌like za MB DOG jamani
@safariadrien53484 жыл бұрын
Game imebadilika Bro he doesn't matter hapo kitambo alikua mkubwa kiasi gani.wangapi wamerudi na hawaendi sehemu
@sarahali59384 жыл бұрын
Sijui watu wanaona nn Kwa diamond ... wakat wasanii ndio Kama huyu mb dog for life❤️❤️
@jaymwinyi69572 жыл бұрын
Kabisaaa hz ndo zilikua ngoma za kikweli
@jacksonbuzingo66015 күн бұрын
Enzi hizo,Mb Dogg alikuwa Star kweli, Mondi akasome alikuwa hawezi kumfikia kwa wakati ule. Japo ndio hivyo time flies
@salmacazzy19154 жыл бұрын
Mb dog nyimbo zake zote Nzurii Sijaona nyimbo mbaya love boy
@misapinamiswi57514 жыл бұрын
Skay nakubali kumleta huyu jmaa where did this guy go .. big love toka 254 WATABOMBSHELL
@stevebupamba50094 жыл бұрын
Interview imenifurahisha sana....baada ya P.Majani kupiga mdundo to the fullest 360 degrees .MBdoggy akapata Kina Latifa kama mianane hivi. Ninkawaida people loves you with something and not nothing. Respect MB.Doggy.
@oneclick20234 жыл бұрын
Kama wewe ni mhenga umewahi kutumia lyrics ya Huyu jmaaa kumwimbia mtoto mzuri ..Gonga like . Latifaaa Si ulinambia ongezea zingine 🙂🙂
@otarurosie4 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@oneclick20234 жыл бұрын
@@otarurosie usicheke au haukupokea lyrics za huyu jamaa😅😅😂
@zabibunduwimana46124 жыл бұрын
Ngoma ya Latifa adi leo iko mu Simu yangu 🔥🔥🔥
@victorchampion15134 жыл бұрын
naomba unitumie
@zabibunduwimana46124 жыл бұрын
@@victorchampion1513 Yooo situmiyi Carte Sim Boss amehichukuwaga
@malaika70214 жыл бұрын
MB Dogg..Omg. Really Missed You..💗💜❤🥰I Remember The Last Time You Came To Germany..Wow Long Time..Miss,You Though ,❤Your Music was The Best Ever..Lots Of Love From Germany..Malaika.♥️♥️♥️🙏🥰
@blandinamnyinga83184 жыл бұрын
my always smart guy in 🇹🇿music industry
@muyurip7157 Жыл бұрын
Dogg for sure ilove your music uliniambia kwamba waja bado dogman nakungoja
@MwasWanjiru4 жыл бұрын
Kenyan fan hapa.... Namtambua Sana Dogg!
@aishafahdi83552 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️🔥🔥Bado nipo nakusikiliza Mb Dog
@kizzydollar33574 жыл бұрын
Wangapi walikua wanaisubirii hiii😂😂
@makulaikuku69094 жыл бұрын
Mimi hapaa daa
@stephanokigosi6564 жыл бұрын
safi sana sky weez..unampa mtu uhuru wa kujieleza then unampa swali lingine.
@malaika70214 жыл бұрын
My Best Song From MB Dogg..Like Natamanii Nikuone Sijui Ntakuona Vipii..Omg🤩🤩🤩🤩🔥🔥🔥This Song Is Still Liiit🔥🔥🔥🔥🥰🤩🥰🤩🥰♥️❤
@oneclick20234 жыл бұрын
wewe muhenga wa kweli
@malaika70214 жыл бұрын
@@oneclick2023 💯💯🔥🔥🔥❤♥️❤💜💗❤♥️😍🤩
@georgeburchard48724 жыл бұрын
What a memory! Daaah! I miss those days when life was too simple! No complications!
@axmedcumar61962 жыл бұрын
Tell me about it Bruv
@4484_4e4 жыл бұрын
Huyu jamaa nilikuwa namukubali kinoma wimbo wake wa latifa,siuliniambia nazingine zilinifariji saaana hadi leo tafadhali rudi kwenye music brother we mi mkali toka kitambo peace
@chidiomari.654 жыл бұрын
Pamoja sana sky kutoka Finland🇫🇮🇫🇮
@saifalmughairi834 жыл бұрын
King mb dogg give us one more latifa siulinambia inamana
@tonyi68074 жыл бұрын
Haaahhh haahh MB Dog hongera sana...ila hao kina latifa enzi hizoooO standard six ilikuwa de boom boom boom
@evansmahero91494 жыл бұрын
Mb Dogg one and the only one Natamani nikuone sijui ntakuona vipi tuangushie ingine tunakusubiri.
@nebulazzkenya99163 жыл бұрын
I enjoyed watching this.
@ShehaSwaleh Жыл бұрын
❤nakupenda bure mb dogmana rudi uimbe ten
@ramadhansadik001 Жыл бұрын
Nakumbuka ukija kenya club lambada mtwapa ilikua niwe catain raiser wako but time ikawa kidogo so sikupanda jukwaan so ikabidi nlewe hadi nikaenda home bila fare duuuuhh noma sana
@ShabaniMshamu-l9h Жыл бұрын
Dogi ludisha mb zangu Unakula sana mb zangu
@victorchampion15134 жыл бұрын
Dada angu anakukubar sana Dogg
@Mpembuzi4 жыл бұрын
Jamaa anapenda Sana rangi ya manjano
@shanelrichard8324 жыл бұрын
Great interview, Skywalker unajua kuchimba vitu / background story ambazo watu hatukuwahi kuzisikia
@aminathaabubakarmasoud5654 жыл бұрын
Latifa is still a live wallah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🌹🌷🌷🌷🌷
@jumanjiwa55674 жыл бұрын
Big up Mb dog,💪💪💪💪
@veronicacharles24274 жыл бұрын
Awee i lov this man
@lulanjamd38864 жыл бұрын
Huyu ni msanii na mwanamziki kwa Tz top five yupo miongoni mwa wasanii wa zamani
@danieljames76484 жыл бұрын
wewe ndo sky wocker daaaah zamani sana wewe mtu wewe na mb doggy mmeniludisha nyuma sana
@salumuathumani22174 жыл бұрын
Broo sky naomba uniunganishe na mb dog Nina nyimbo Kali Sana ila nahisi yeye ndio anaweza kuimba
@latifrank82574 жыл бұрын
Dah we bwan hlo jna hlo mm kila cku naimbiwa... big up sana
@fidelslick20864 жыл бұрын
The best!
@isacknassirjuma28324 жыл бұрын
Nakukubali sky king of interview
@dawaninja1719 Жыл бұрын
I still love your songs
@isayacharles87254 жыл бұрын
Nashauri bro uwe unatuwekea na kibiti kwa mbali kidogo...