Wamarekani 3 wakamatwa kwa kupanga kumuua Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro

  Рет қаралды 8,742

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 71
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 4 күн бұрын
marekani ndio magaidi wakubwa hapa duniani
@hopechidera
@hopechidera 4 күн бұрын
Sio magaidi kama nyinyi wa...
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 3 күн бұрын
@@hopechideraIslam😊
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 3 күн бұрын
​@@hopechideraMarekani ndo inawafadhili raia mbali mbali kwa kuwarubuni na pesa ili kufanya uhalifu wew hujui tu
@JohnCage-we6tp
@JohnCage-we6tp 4 күн бұрын
Yan wamarekan kila sehemu wapo Congo 🇨🇩 tyr washahukumiwa kifo huko
@user-vv9zn3pd3r
@user-vv9zn3pd3r 16 сағат бұрын
tena watatu yani
@asiaswalehe
@asiaswalehe 4 күн бұрын
Mungu awalaani wamarekan
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 4 күн бұрын
Wanatapatapa USA hali ni ngumu kila kona ni shida
@DuniaBilaka-kt3jq
@DuniaBilaka-kt3jq 4 күн бұрын
Wahenga walisema ukiona ngoma inavuma saaana ujuwe inakaribia kupasuka
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 4 күн бұрын
Urusi wapo kazini. Juzi meli yake yakivita ilitia nanga huko.
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 3 күн бұрын
Babaako nae yupo hukooo alikoolewa
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 3 күн бұрын
@@vincentcharles4385 mbowe nae yuko huko. Utakuwa shoga, unawaza kuolewa tu .mnuka mavi mkubwa.
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 3 күн бұрын
​@@vincentcharles4385mshipa umekupanda sio?😂😂😂
@rajah9328
@rajah9328 4 күн бұрын
Kimaoni yangu vita yote ni juu ya Dollar yao inazidi kudodomea chini sas wanapoteza sana thamani ya pesa kulinda pesa ndio vita vyote ivyo... polpole watafika Africa
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 4 күн бұрын
Madullo namkubali na najikubari half namkubali magu japo sipo nae kimwili ila kiroho naishi nae❤
@Godfreyolekidongo
@Godfreyolekidongo 4 күн бұрын
Nawengine wamekamatwa kongo na wamehukumiwa kunyongwa walitaka kumpindua rais wa congo drc
@OfficialA83640
@OfficialA83640 4 күн бұрын
Na Tz watafika maana mama yetu na Kamana wanajua kuunga urafiki kila siku Kamana yupo Tz anafata nn😂😂
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 4 күн бұрын
​@@OfficialA83640Kamana ndio yupi tena?
@Pablolookman
@Pablolookman 3 күн бұрын
Na Tz watafika kumpindua mama
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 4 күн бұрын
Hamuwezi mungu. Simana na maduro
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 4 күн бұрын
Watu wanavezuela wasije wakafanya makosa kumuondoa kiongozi bora kama maduro... Hawa jamaa wanawekaga vibaraka wao wanakula nao nyie wengine mtajua wenyewe..
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 4 күн бұрын
Marekani kila sehemu yupo kwann haachi watu waishi kwa amani kweny nchi zawo
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 3 күн бұрын
Mwisho wake unakaribia
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 4 күн бұрын
Hawalali,wanajua putin kaweka zana hapo,
@omondiowino7875
@omondiowino7875 4 күн бұрын
Kwa hili hapa sikubaliani na Marekani...kila mtu acheze kwao ....taifa la Venezuela kwanza ni taifa la kikristo...afu jamaa wanamafuta na utajiri kibao... Marekani ilitaka kubandika kibaraka wao huko ila ikakataa...wao waendelee kuhangaika na Rasia na china ...hapo kwa Maduro wakae mbali
@anny19988
@anny19988 4 күн бұрын
Marekani siku zote huwa anafata raslimali. Kwani Sadam Hussein na Gaddafi waliuwawa kwa nini?. Patrice Lumumba ? Kama huijui Marekani ndo ujue yeye huwa anatafuta raslimali kwa nguvu zote hata ikibidi watu wafe. Hata hii vita ya Ukraine ni madini yapo tele kule anayataka maana hapa Afrika mchina kamzidi kete
@omondiowino7875
@omondiowino7875 3 күн бұрын
@@anny19988 Patrice Lumumba alimalizwa na Belgium Kwa kumtumia Mobutu... Gaddafi walioiongoza mission hiyo walikuwa ni jeshi la Uturuki na sio Marekani...hapo Kwa Sadam ndo Marekani alihusika moja Kwa moja.
@anny19988
@anny19988 3 күн бұрын
​@@omondiowino7875Kwa Gaddafi walikuwa NATO wote tena Marekani ndo alikuwa mstari wa mbele kaangalie vidéos za Obama ule mwaka. Pia hata kuna emails za Hillary Clinton zilivujishwa na mtandao wa WikiLeaks kuhusu Libya. Na pia kuna interview ya Clinton huyohuyo anasema" tulienda, tukadanganya, tukaua, tukaondoka" halafu anacheka kwa nguvu.
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 3 күн бұрын
Kwataarifa yako ndugu yangu marekani hana dini yeye dini yake ni mali yupo tayari kuuwa ili apate mali
@omondiowino7875
@omondiowino7875 3 күн бұрын
@@salimfaraj5509 nimesema nchi ya Venezuela ni nchi ya kikristo sijui kama umeelewa...?
@selepippen6828
@selepippen6828 4 күн бұрын
Tunamkumbuka antonio ledesma aliyeuawa na...😢😢😢
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 3 күн бұрын
Wawauwe bila kuwachelewesha
@gabapentin8070
@gabapentin8070 4 күн бұрын
Awa mashetani awa 🙌🏾
@hopechidera
@hopechidera 4 күн бұрын
Hawawazidi nyinyi walawiti watoto...
@gabapentin8070
@gabapentin8070 4 күн бұрын
@@hopechidera wamekulawitia !!?
@hopechidera
@hopechidera 4 күн бұрын
@@gabapentin8070 ndio...
@nick1o7bang17
@nick1o7bang17 4 күн бұрын
Tunaomba ulinzi kwa kamanda maduro
@sonnyr1899
@sonnyr1899 4 күн бұрын
Wamerekani kokote walipo ni uzombie tu 😂😂😂😂😂 Kwani hawawezi kutulia kwao na demokrasia yao wawaache wengine waishi na mifumo yao
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 4 күн бұрын
Hata mifumo yetu sio mizuri. Mifumo ya kutekana ndio mifumo gani hiyo sasa?
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 4 күн бұрын
​@@rumdeesonsoa1811unaonge usilolijua Tanzania na kitekana wapi na wapi haya unayoyaona kwetu hapa ni sababu ya hao hao mashetani kuwapandikiza watu walete tahariki ili wapata sababu ya kuingia na kufanya yao wanayo tamani kutufanyia
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 4 күн бұрын
Una uhakika kama wao hawahusiki?​@@rumdeesonsoa1811
@khalidsuleiman4588
@khalidsuleiman4588 4 күн бұрын
Wakwanza❤ SNS
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 күн бұрын
Venezuela lile taifa Lina mafuta na rasilimali zinazo tumika kutengeneza matairi ya magari ya umeme sasa marekani toka ikataliwe na selikali ya vene, inapata shida kweli haswa kwa upande wa kibiashara na china, sasa urusi hataki kulegeza kamba dadeq, hii karne watakula uzi kama chelehani 😂
@YamunguMatamya
@YamunguMatamya 4 күн бұрын
😂😂😂😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 күн бұрын
@@anny19988 😂😂wasionje kabsa ile vene ni tajiri man, sio mchezo mchezo na maduro hanaga ushkaji na mzungu wa magharibi 😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 күн бұрын
@@YamunguMatamya 😂😂
@lucasbatano333
@lucasbatano333 4 күн бұрын
Hivi marekani yeye ni nani na kwanini anawekea vikwazo nchi zingine kama nani
@Nestoemanuel
@Nestoemanuel 4 күн бұрын
Waje huku kwetu
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 4 күн бұрын
Marekani ni madako
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 4 күн бұрын
Wameona kila kona wanapoteza ushawishi sasa wapo bize kuua viongozi mbali mbali duniani
@anny19988
@anny19988 4 күн бұрын
Putin kawaumbua majambazi hawa
@OmarOmar-vf9dv
@OmarOmar-vf9dv 4 күн бұрын
Mchafuzi na uchafuzi
@valentinesyekeye6846
@valentinesyekeye6846 4 күн бұрын
Kisa mafuta tu?
@anny19988
@anny19988 3 күн бұрын
Ndiyo mafuta hamna kingine
@valentinesyekeye6846
@valentinesyekeye6846 3 күн бұрын
@@anny19988 kabisa
@johnmike6059
@johnmike6059 4 күн бұрын
Ivi awa mashetani mashoga Nini wanataka apa kwa dunia
@hopechidera
@hopechidera 4 күн бұрын
Hata nyinyi ma shetani wakulawiti watoto mnataka nini hapa kwa dunia...
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 4 күн бұрын
​@@hopechidera Kumeshaanza kukuwasha huko Nyuma kwako jitie hata Majiti upate utulie 😷
@hopechidera
@hopechidera 4 күн бұрын
@@Stillrunlikeaball na bado,Koo zitawakauka kwa matusi yoote,Marekani tupo tu...
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 4 күн бұрын
@@hopechidera Ukiwa wapi ume pakatwa Nakupakwa Mafuta Matakoni kwako wewe😋😋
@hopechidera
@hopechidera 4 күн бұрын
@@Stillrunlikeaball kupakwa mafuta matakoni kama mamako...
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 4 күн бұрын
American American again
@raydanfrenk
@raydanfrenk 4 күн бұрын
Uongo hiz ni siasa😅😅
@Muzammil99p
@Muzammil99p 4 күн бұрын
Ukona shoga wa marikani mwenye anakutomba sio?
SALIM KIKE NDIO  MMILIKI WA CROWN FM
18:28
Dizzim Online
Рет қаралды 37 М.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 6 МЛН
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 51 М.
KISA KASOMA NAE
10:57
Joti TV
Рет қаралды 148 М.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН