Wewe ni kichwa tena msomi wewe na mbowe mungu awalinde sañasana
@tanzanite9944Ай бұрын
Kwahiyo Mmnatingisha Viberiti ili Rais Samia naye Awaite Ikulu Mkwanywe Juice kama alivyokuwa nafanya Kikwete sio? Poleni sana maana Kwa Dharau mnazompaka Mkifikiri ni mwanamke Hawezi kuuwaalikeni ikulu hata Siku 1.
@albinusmkono5887Ай бұрын
Akualike wewe kibaraka. Na nyumbu wa kupiga debe
@stewardlwimbo3944Ай бұрын
Kwani wakinywa hiyo juice ndo wataishi milele?
@RayOmar-vk2nnАй бұрын
😂😂😂
@IRFAN-je4ddАй бұрын
@@stewardlwimbo3944muache lissu ajitafutie hela, nyie mutekwe tu na chadema ndo munavotak
@EmanuelMmbaga-p7iАй бұрын
😅
@mlyamalitv1789Ай бұрын
Rasilmali za Taifa, lakini sasa hawamo kwenye Taifa au mfumo wa serikali.
@nahlaaasidee1848Ай бұрын
Hicho ni kinachowaumaa
@mlyamalitv1789Ай бұрын
@@nahlaaasidee1848 Hiyo sio 7bu.
@SedekiaIsraelАй бұрын
Vp
@shabanmunene6221Ай бұрын
Lisu ako poa lakin anagonganisha wananchi
@revocatusreuben4605Ай бұрын
Kwa lipi sas anagonganisha huyu jamaa sema watu mumenjaa uccm tu