KAJALA amjibu MISTA CHAMPAGNE baada ya kuweka wazi hisia zake za mapenzi juu yake afanya hili

  Рет қаралды 71,763

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 174
@Zuuh107
@Zuuh107 Жыл бұрын
Aaaa jaman waburundi kweli mwataka kumchukua kajala wetu 🔥🔥🔥❤❤❤❤👏👏👏kajala hongera kwa kupendwaaa
@NGABO-f3q
@NGABO-f3q Жыл бұрын
Tutaluka nayeeee
@belyseirakoze5371
@belyseirakoze5371 Жыл бұрын
Kajala Karibu kwetu burundi tumesha kapokeya kwa shangwe 🥰🥰🥰🌹🌹🌹🌹 Mr champagne never give up one day ata kua wako ❤️❤️❤️❤️❤️ is love
@WardaShabani-fu7qe
@WardaShabani-fu7qe Жыл бұрын
😂😂😂😂 ❤❤
@ndayishimiyesalomon160
@ndayishimiyesalomon160 Жыл бұрын
Kajala Mimi ningependa kusema MTU huwezi ficha hisia zako Mimi binafusi namuona huu jama anakupenda kweli kweli fikilia malambili tu uje nyumbani kwetu Burundi .....asante sana
@irakozejuliette5722
@irakozejuliette5722 Жыл бұрын
Kajala karibu kwetu burundi😘👌
@hafidhali4336
@hafidhali4336 Жыл бұрын
Hili jamaa comedi. Nimecheka sana😁😁😁😁😁😁😁
@niyonkurufadhoulillah4916
@niyonkurufadhoulillah4916 Жыл бұрын
Valentine wangu ni SnS ❤️
@salma9390
@salma9390 Жыл бұрын
Champagne 🍾🍾🍾🍾 kama champagne 😂😂😂😂Kajala karibu kwetu🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@shurayahnajjibah7439
@shurayahnajjibah7439 Жыл бұрын
Happy valentine to my one and only loving lady Baby sky ❤❤❤ much love from Netherworlds my daughter loves u and ur family
@Ivandevan
@Ivandevan Жыл бұрын
Yaah sahihi muweka hisia zako wazi, mm ntafurah mkiwa wawil
@ibongyaebuchajosias6182
@ibongyaebuchajosias6182 Жыл бұрын
Mr champagne 🍾tayari kameisha penda lazima kajala haelewe isiya zako kwake na azitendeye aki❤️😂😂😂😂 Maombi Yako itasikilika tu usijali 😂😂pesa na isiya na moyo wakupenda nibitu viko tofauti ata maskini anapendaka 🙏😂😂😂Naver Big up Mr champagne 🍾
@djmpemba
@djmpemba Жыл бұрын
Oya kajala so mtoto sema mama
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Duhuu hii dunia inaenda kadi kweli inamaana kajala ni mzuri sana mimi naona wanamtumia tu kila mwaka kajala eti unaona uko vizuri anauzuri gani wakawaida tu sema konde ndo kampaisha nenda ukatumike tena badae uachwe mpaka unakufa utakuwa na idadi yakutosha wanaojielewa wanaolewa sio kutumika nakuacha
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
Acha wivu...Kajala ni mzuri...sio utani and age doesn't matter...nyie wadogo hata hamsogelei
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Aaaaaaaa kajala ni mzuri bwana.
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Жыл бұрын
@@joycekisamo4896 kabisaaaaa
@RachelAisha-y3d
@RachelAisha-y3d 10 ай бұрын
Mwasi kitoko kajala nice one ❤❤❤❤❤❤ mtoto wa Tanzanie
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 Жыл бұрын
Kajala kubali penzi la mtoto wetu Mr Champagne karibu kwetu Bujumbura
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Watu wa Bujumbura hatumuwezi kha 🙌😂
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 Жыл бұрын
@@khadidjasuleiman8006 usijali dada tutajikaza tu hahahahah
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Жыл бұрын
Sasa vile mmakonde ameanza kulia lia itakuaje?🤭
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Жыл бұрын
Narudia tena jamaa ni tapeli kama anataka kupigwa ndoige sawa ila aulize burundi 🇧🇮 ….Congo
@nsabimanadominique3907
@nsabimanadominique3907 Жыл бұрын
HUNA HAKILI. AMEKIMBIYA MAKONDE SASA WEWE UNAZANI UTAPENDWA BULE. SAHAWU HILO
@babybaby8384
@babybaby8384 Жыл бұрын
kajala njoo uwe wifi yetu Burundi👌🏻👌🏻🔥🔥🔥
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
Dunia nzima wapenzi wanaitwa Babe/Baby...sasa sijui kwa Kiswahili hiyo inaitwaje 😄 🤣
@JomaxBurundi
@JomaxBurundi Жыл бұрын
​@@joycekisamo4896 mtoto
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
@@JomaxBurundi Najua sana Kiswahili dear...nilikua na mchallenge huyo aliyelalamika Kajala kuitwa Babe 😄
@RachelAisha-y3d
@RachelAisha-y3d 10 ай бұрын
Masha Allah❤❤❤❤
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Nimsani kuliko wasaniiii ila ongera kwa dada yetu kupendwa nibahti jasho ndani muroho😁😁😁😁😁🙌
@julietkileo2018
@julietkileo2018 Жыл бұрын
Valentine's day to everybody in the sns
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
😄 🤣 😂 hata mm acha nicheke kwa mara nyengine hahaha
@Ney_kweyamba
@Ney_kweyamba Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Uyu Baba uyooo Ananiuwa mbavu sanaaa
@sarasarax9664
@sarasarax9664 Жыл бұрын
My lovely mum she's my Valentine ❣️❣️❣️
@saidi2578
@saidi2578 Жыл бұрын
Yupo siliazi kijana wetu ajee kwetu burundi
@MonnaPonda
@MonnaPonda 4 ай бұрын
Akhi huyu jamaa ananifurahisha sana 😂😂😂😂🤣🤣🤣 nimependa buree
@justinbutoyi2james485
@justinbutoyi2james485 Жыл бұрын
Moi, je connaissais pas Kajala. Je viens de la connaître à partir de Mr Champagne et je souhaite que Mr Champagne sauve cette âme qui était déjà rejetée. Nous félicitons beaucoup Mr Champagne pour cet amour envers Kajala.
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 Жыл бұрын
Warundi utajuwa haujuwi Kajala 😂😂😂😂😂
@freedomfreddy9946
@freedomfreddy9946 Жыл бұрын
Huuyu jama ana tatizo🤣🤣
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 Жыл бұрын
🤣🤣🤣nime cheka haki🙌🤣
@theroots2743
@theroots2743 Жыл бұрын
Hayaaa!! Bi kajala nenda huko burundi kapeleke hilo demba wameshakujua watu wakikusifia tu unaachia tahadhari na maradhi
@fvb311
@fvb311 Жыл бұрын
Kajala nakupenda sana ,aliyekudharau akitapatapa na warembo wengine basi nawe muonyeshe
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
ila hii nchi haijawahi ishiwa vituko 😂😂😂🙌🏻
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
😂😂😂
@elishamwakipiti1044
@elishamwakipiti1044 Жыл бұрын
Binti Mwafongo my valentine 🌹🌹
@سعدههوام
@سعدههوام Жыл бұрын
Dada kajala karibu kwetu Burundi 🇧🇮
@faustindon9574
@faustindon9574 Жыл бұрын
Kwanza Mr Champagne iko vizuli Ni handsome na nimpambanaji Wana endana Sana na Kajala. Sioni sababu yakumkataa Kajala Mpende akupendae asie kupenda acana nae wengi wanakutamani lakini Mr Champagne ana mapenzi ya Dhati kwako kajala
@patrickhassan194
@patrickhassan194 Жыл бұрын
Cha kwanza uyu jama si mrundi, Uyu jama Mkongo 100% na hamna kiswahili Cha Burundi kinywani mwake, hamna hata 1% ya ki swahili cha burundi si kwa ubaya mimi Mkongo kwetu uvira Nimeisha Bujumbura miaka Buyenzi, nafahamu Buja vizuri, oya Cha pili Ana shobo sana zina zidisha chambo Cha Mr Pimbi
@FLOWAD19
@FLOWAD19 Жыл бұрын
My valentine is my Mammm, I love you mammmmm
@frankharrison2984
@frankharrison2984 Жыл бұрын
My valentine is Catherine ♥️
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Жыл бұрын
Kajala wangu....😀😀😀😀😀
@aboudimpoz5096
@aboudimpoz5096 Жыл бұрын
Happy Valentin day my sania irakoz
@mpawenimanafirdaous7181
@mpawenimanafirdaous7181 Жыл бұрын
Utakufa champagne wew 🥱😅😅😅😅😅😅
@mulendabisoga7224
@mulendabisoga7224 Жыл бұрын
Kijana huyu ni comedien kweli aaaaaaa
@christianziri7670
@christianziri7670 Жыл бұрын
Wow cool bro mpenda sana ni bibi iko beautiful
@ramadhandulla4363
@ramadhandulla4363 Жыл бұрын
Me namupenda mediatrice
@Paterneissa
@Paterneissa Жыл бұрын
SNS mnapenda kuhoji kweli kama uyo kweli mnaona iko serious na maisha yake ao mna mfanyia promo tuwe tuna ceka tuu
@lyrics801
@lyrics801 Жыл бұрын
Kalibuni kajala🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@hassansammy1076
@hassansammy1076 Жыл бұрын
Wow Respect champagne
@joujoubintiswedi355
@joujoubintiswedi355 Жыл бұрын
Ally my sweet My heart love u❤❤❤
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 jamani dunia hii nayeye anataka aonemo
@justintabaro1106
@justintabaro1106 Жыл бұрын
Nikweli kajala atakupenda bwana wala usijali Mr shampagne
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Vimbwanga jaman
@germainnonstressbahati
@germainnonstressbahati Жыл бұрын
Hess boy 👍💪
@anithanini6423
@anithanini6423 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@NIELIDAUSWAHILI
@NIELIDAUSWAHILI Жыл бұрын
Brother cris nakusikiriza toka South africa mbona sijaona interview uliofanya na @boscotones?
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 Жыл бұрын
Sio bwana huyu.anamtaka mama.anamsifia na mtt
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Ni nomaaaaaaa
@jojo-qj3fk
@jojo-qj3fk Жыл бұрын
Aibu sana
@samehewaliokukoseya2605
@samehewaliokukoseya2605 Жыл бұрын
Kumbe uyu kaka naye mujinga tu 🤔
@gracenindishe274
@gracenindishe274 Жыл бұрын
My Valentine is my Love hursband
@febrowizkindi
@febrowizkindi Жыл бұрын
mbona kajala anajifanya haoni haya😂
@RandB_Channel
@RandB_Channel Жыл бұрын
Wewe hawumuwezi kajala garama yahawo wana wake waki Tanzania hawuyiwezi. Acha kujichosha ww tafuta maisha
@denicymedia1183
@denicymedia1183 Жыл бұрын
daynecy Raymond nampend sana
@samueltumaini3396
@samueltumaini3396 Жыл бұрын
Mr champagne oyeeeehh...
@alekrugabire153
@alekrugabire153 Жыл бұрын
Huyu siyo.murundi ni mufulero wa uvira. Utkuwaje handsome na iyo mapuwa. Hakuna muruni mwenye kiswahili ya ivo wapi kbs
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
MWAKA WA MOTO HUU AISEE , NDIO KWANZA FEBRUARY 🤣
@joleal7941
@joleal7941 Жыл бұрын
🤣🤣🤣nimepitwa uko alakini champagne we vip
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 Жыл бұрын
Kajala usipo kubali...basi we Mtu mbaya!
@alimanana7564
@alimanana7564 Жыл бұрын
Wacha ni mtage baby wangu bébé sonia wangu hhhhh Valentin day
@gekamsproducer2964
@gekamsproducer2964 Жыл бұрын
Kwanini haukumuona Hamissa??? Najuwa Hamissa yéyé njooo ok❤
@swifatsukimtuliaswifatsuki3730
@swifatsukimtuliaswifatsuki3730 Жыл бұрын
My valentine wangu Mr s.shikail
@fatumaali4275
@fatumaali4275 Жыл бұрын
Pombe ni shida 🤣
@itNeza
@itNeza Жыл бұрын
Mkongomani Kacharuka Kishenzi kabisa. 😂😂😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
😂😂😂
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Жыл бұрын
Huyu ni Mrundi sio Mkongo
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 Жыл бұрын
@@OfficialA83640 ni mkongo anayeishi Burundi,wakongo wako karibu dunia nzima sababu ya vita.
@mbarakahmed3892
@mbarakahmed3892 Жыл бұрын
@chancelebishopofficial2785
@chancelebishopofficial2785 Жыл бұрын
Tatizo uyo mr champagne ana pesa, yeye mwenyewe ana changiwa pesa ya kukunua gari sasa ata pata Wapi pesa ya kumupeleka Kajala Dubai, au ata pata Wapi kajala one & two
@kram6499
@kram6499 Жыл бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️🇧🇮
@johnwanyama3632
@johnwanyama3632 Жыл бұрын
Kiukweri kajala huyo jama anaupendo wathati kabisa
@mishallmwandigha713
@mishallmwandigha713 Жыл бұрын
😅😅😅huyu nae SI karogwa tu kachizika pia
@CertifiedStoic
@CertifiedStoic Жыл бұрын
Simping is the new wave i see
@ondb.tv593
@ondb.tv593 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 hahaha mkongo anatafuta umaarufu kwa nguvu.yani Zaid ya wehu...
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣huyu jamaa chizi
@husa8849
@husa8849 Жыл бұрын
Wangu niii
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
Jamaa kavurugwa haswa yaani kapagawa kinyama kajala timukia huko 😂😂😂😂 ukongoni
@CHALLENGEBAUT
@CHALLENGEBAUT 7 ай бұрын
@mr champagne
@falialawelole565
@falialawelole565 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@blueberrypotatogames7950
@blueberrypotatogames7950 Жыл бұрын
Mwehu uyo. Utamuweza Kajala uyo. Muanaume shangingi.
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 Жыл бұрын
Kumekucha😂😂😂🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
😂😂😂🇧🇮🇸🇦
@khadijasaid5461
@khadijasaid5461 Жыл бұрын
This dude is really fun
@JomaxBurundi
@JomaxBurundi Жыл бұрын
Mama watoto wangu.kesho namtoa
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Жыл бұрын
Huyu mdogo wake baba Levo
@grettandahiro5012
@grettandahiro5012 Жыл бұрын
Niatar
@groveyagroya1280
@groveyagroya1280 Жыл бұрын
😂 😂 Burundi noma
@dottobwilo9628
@dottobwilo9628 Жыл бұрын
Ujiandae kuchunwaa Sasa huko burundiiiiiii
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Жыл бұрын
Tapeli Huyu jamaa
@elopheygandabway
@elopheygandabway Жыл бұрын
SNS iyo range iliyowekwa picha za kajala ni Aina gani ,,,,ufafanuzi tafadhari Nina matatizo ya macho 😂😂
@jibsamjesse8462
@jibsamjesse8462 Жыл бұрын
Uyu jamaa ana nyege zinamsumbua 🤣🤣
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 Жыл бұрын
Umeona eeh nyege ixo
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
😂😂😂
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 Жыл бұрын
@@MrTop-wj7no Mr top....kwani wew ni top ama??? 😂
@IddyJorginho
@IddyJorginho 8 күн бұрын
KAJALA
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Жыл бұрын
Yaani huyu alinichekesha alivyoenda masham sham tu dah nilicheka mno
@monjemghalu1734
@monjemghalu1734 Жыл бұрын
Huyu jamaa hana lolote muugwana lake moyoni
@subirafatma3234
@subirafatma3234 Жыл бұрын
Bwege umoja uchangie n wanume wezio
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 Жыл бұрын
Hehe ila champen ni hadsame lakini
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
HAHAHA kajala mpelekee nayeajifreshi maind uyumjomba hananoma pesaiko ming aisee
@lightnessabdallah2340
@lightnessabdallah2340 Жыл бұрын
🤣🤣🤣kajala frusa hiy
@fedyaalzadjali8597
@fedyaalzadjali8597 Жыл бұрын
🤣🤣
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Жыл бұрын
Aitumie vzr
@salmasaid1521
@salmasaid1521 Жыл бұрын
😄 🤣 😂 😆 😄
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 Жыл бұрын
My valentine is God
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Ameen, kama mimi Irene wangu.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
KAJALA AVISHWA PETE HADHALANI NA Mr CHAMPAGNE BURUNDI
8:25
BUJA TOWN TV
Рет қаралды 4,1 М.