Nakukubali na interview zako kwa wasailor keep it up usinikoseshe. Vitu
@vickykimaro18923 жыл бұрын
Dah mungu akusaidie uje utembee tena brother ata bajaji nivile sina uwezo brother mungu akufanyie wepesi upate mdhamini
@director_lay57603 жыл бұрын
Dah pole xana blood mungu akufungulie japo uwezo sina ila naamini mungu atakusaidia utapona na bajaji utapata 🙏 🙏
@alexandrinadomaino98683 жыл бұрын
Daah pole sana my dear.
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Dah! Pole sana ndugu yetu katika Imani.
@mwanaishahussein26353 жыл бұрын
Pole sana kakaangu kwa mitihani, kivyenginevyo hongera kwa kujituma kimaisha 🙏🙏🙏🇰🇪
@latifalatifa-tg9rm3 жыл бұрын
Polee sanaaa kangu Allah atakuafu in shaa Allah
@ibrahimbashir47783 жыл бұрын
Wa Tshwana Nakubali bro 🤣🤣🤣🤣, Mara O Skaira So My Bruh 🙌🙌🙌🔥🔥🔥
@dianazambi24473 жыл бұрын
Kingereza Sasa brooo🤣🤣🤣🤣🤣
@SingoMedia3 жыл бұрын
Usikose kutembelea Singotv kwa updates nzuri, jamaa ana stori nzuri maashallah
@africano98.3 жыл бұрын
Mzee baba escor mm ningependekeza kipindi ukiite Life of traveller au Maisha ya wasafiri ingependeza asee SnS family
@tandaleuzuri87523 жыл бұрын
Pole sana baria jigga
@nurukwilabya27903 жыл бұрын
Pole Sana bro
@nicholausmkende71303 жыл бұрын
Daa mungu yu mwema amuachi mja wake tuwe na Iman tutashinda majaribu
@geofreybarama40003 жыл бұрын
Njoo mtani kwetu one day Kuna Baharia katembea nchi nyingi ana story ya kujifunza
@safiyatheonlything78483 жыл бұрын
daaah pole sana kaka umepambana
@hamzanasry80113 жыл бұрын
Sijuwi nkwanini kuskia Tu uyu kijana alikuwa sauth roho Tu nakajuwa Tu atakuwa alifanya mchomoko mana nimewaona wengi vijana walifanya iyo kazi wengine walikufa nawengine wamekufa na wangine wamebaki naulevi
@simulizinasauti61183 жыл бұрын
⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA kzbin.info/aero/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA
@zuberikaisi65292 жыл бұрын
Usimalize story kwa kuifatilia, kuwa mdadisi, kuwa makini na swali lako litakupa muendelezo na utajenga episode! Kwa mfano humuulizi huyo hao marafiki wake wako? Je wana mawasiliano! Yaani unaacha gape kila swali. Ni mtazamo wangu kutokana na kupenda kusikia mengi.
@bennymochiwa48003 жыл бұрын
babu wew ni mtoto wa makochela aliekua sana mbowe na holiday kwenye hotel ya wajanja wa town!!!!???
ndoivo maisha ila sehem za uhatari nikua mbali nazooo
@kingkendrickk3 жыл бұрын
Tuwekee story Kama hizi
@lenoxbuhanza49263 жыл бұрын
Hapa naishi na my gland maza and na mama zangu wadogo
@dainesskipangula1699 Жыл бұрын
Hakuna baya hapoo
@lenoxbuhanza49263 жыл бұрын
Bora ionekane hivyo lakini ukweli utabaki palepale aache kuongea lugha asiyoijua kiswahili ni lugha pana sana na nzuri sana inaongeleka bila woga
@johnjames27493 жыл бұрын
Bless up mzee MUNGU afanye wepesi kaka
@suleymanially9743 жыл бұрын
Tumekiss sana kaka tuletee manaharia hao kila cku tunapenda sana
@simulizinasauti61183 жыл бұрын
⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA kzbin.info/aero/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA
@lenoxbuhanza49263 жыл бұрын
Kweli elimu ni ufunguo wa maisha bora ukose mali lakini uwe na walau elimu kidogo
@saidilukoloma3193 жыл бұрын
Kuna watu hawana elimu lkn wana pesa kinyama,
@lenoxbuhanza49263 жыл бұрын
Kingereza gani wakati hata unavyoongea sahizi hukijui ila ukiniambia cha kuombea maji sawa ila hujui lugha hiyo kabisa
@mussaseifabdullwahid3413 жыл бұрын
Una chuki binafsi
@jaklinifaustini42593 жыл бұрын
Pole
@emanuelmwanga43 жыл бұрын
Kingereza haijawai acha MTU salama
@abdallahsalehstar82213 жыл бұрын
ila sehemu anayo iongelea sio Mozambique ni zimbabwe sehemu inayo itwa "bed bridge" ukipita apo unaingia "mussina" mabaharia tuko apa tunaelewa iyo njiya
@salimmohamedsalim44483 жыл бұрын
Bro pole ila wa sizwa ukiwaaonesha mkwaju wao hawachelewi kukudondosha pole
@evelinaluvata14713 жыл бұрын
Sion part2
@fatmakiraga40162 жыл бұрын
Naomba tafauti ya ukabaji na ubakaji
@lenoxbuhanza49263 жыл бұрын
Sikutegemea jamaa anaweza kuwa na akili ndogo kama navyoweza kuiona kwenye majibu yake katika majibu yake kwenye mahojiano
@hassanmaukwe15903 жыл бұрын
Pole sana bro
@elibaricksadock95623 жыл бұрын
Like t story
@samirakiango957 Жыл бұрын
Yani uyu ajui kuhadithia
@mamskiumbe40573 жыл бұрын
Pol ana kaka
@samirakiango957 Жыл бұрын
Yani baba ako alikua muuza unga
@lm63733 жыл бұрын
Esko wewe mbona hukurudi kwa bi zainab ule ana pacha 10 vipi tuta saidiya bila wewe ebu mfatiliye na utowe No zako sawa
@Anto_OnYT3 жыл бұрын
Utarukaje senyenge na wakati Tanzania Travelling document inaingia Mocambique. Hapo unatudanga bro. Mahali haiingii tu ni South Africa na Swaziland kwa hizo side
@simulizinasauti61183 жыл бұрын
⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA kzbin.info/aero/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA
@ashaabdallah92543 жыл бұрын
Na wewe toa story yako tusikie
@Anto_OnYT3 жыл бұрын
@@ashaabdallah9254 I don't talk to illiterate like yooo
@montanaprime3 жыл бұрын
Dah hizi story bongo movie sijui wako wapi?
@BigZhumbe3 жыл бұрын
Bongo movie story isio na kwichikwichi hawaichezi. Lazima kwenye story adungwe mtu😂🤣
@montanaprime3 жыл бұрын
Big Zhumbe 😂😂😂
@lydiamdenya2283 жыл бұрын
Daaah coment zakukatisha tamaa kuvunja moyo yaani ukiangalia uku unasoma coment huwezi angalia ata dakika 2
@albertbunyinyiga75813 жыл бұрын
Part 2 vp
@simulizinasauti61183 жыл бұрын
⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA kzbin.info/aero/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA
@captendunga13923 жыл бұрын
kwani maana ya mtumba ni nini? mana jamaa kasema kuna mtumba gred one mtumba ambao haujawah kuvaliwa wakati tumekariri mtumba ni kitu kishatumika.... hapo BEKA kaniacha kidogo.
@safiyatheonlything78483 жыл бұрын
mitumba mengine hipo ata kuvaliwa aija valiwa kama uku uwarabuni kuna nguo za mtumba mpya kabisa yani Zina onesha kabisa azijafaliwa
@captendunga13923 жыл бұрын
@@safiyatheonlything7848 sasa zinaitwaje mtumba wakati hazijavaliwa? kusema MTUMBA ni sawa na kusema YUZDI ukisikia kitu chochote kinaitwa YUZDI tafsiri yake kimeshatumika iwe gari,baiskel, N.K na mtumba ni hivo hivo... hakuna mtumba mpia kinyume na hapo itoshe kusema kiswahili kinatumika vibaya... uliona wapi mtumba ukawa mpia haujawahi kutokea.
@byamsfamily76883 жыл бұрын
Support account yangu ya kichekesho Lufufu mkude simba
@mariamothman74043 жыл бұрын
Twaisubiri in shaa Allah
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍
@deusntobi14503 жыл бұрын
Muuliza maswali ni 0 kabsa kiufupi hajui kufanya interview kabsa.
@manyotaskipper57653 жыл бұрын
Esco
@jangombeboys45363 жыл бұрын
J,BOYS,F,C 1999
@makitivo2463 жыл бұрын
Kwa nini tanzania mtu akiongea kingereza lazima mumtukane hata kama ni kizuli mtatukana tu ni kuwa na huna kazi ya kufanya. Jifunzeni maendeleo naheshima acheni kumaliza bando zenu
@lydiamdenya2283 жыл бұрын
Afadhali umeongea
@zachariahexegesists78923 жыл бұрын
+
@kanisiuskanisiuskigomakigo67523 жыл бұрын
U
@abdallahmohamed52673 жыл бұрын
Pôle sena bro
@simulizinasauti61183 жыл бұрын
⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA kzbin.info/aero/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA
@fardsonjaphet91053 жыл бұрын
Du
@simulizinasauti61183 жыл бұрын
⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA kzbin.info/aero/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA
@mariamothman74043 жыл бұрын
Sema histori yake anavyo hadithia anachekesha😁😁😁
@pembemussa28043 жыл бұрын
Kuna vitu anaficha ficha🤣🤣🤣
@LeeUfudu3 жыл бұрын
Hão wtu wnaoitwa mabaharia akili zao siku zote sio mzuri kwa hiyo usishangae anvyotoa story kkkk
@dainesskipangula1699 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@aminamodi89273 жыл бұрын
NAKUMBUKA MAKOCHELA HAKUWAI KUWA SEAMAN ILA ALIKUA AKIBEBESHWA UNGA NA WAUZA UNGA HAKUWA BAHARIA MSIHALIBU KAZI ZA WATU BAHARIA SIYO KUUZA UNGA
@alextanzania3 жыл бұрын
Funguka
@teddykanondo57533 жыл бұрын
Watanzania tusikubali kuburuzwa hawa CCM wana njama gani wanataka kuifanya ndani na nje ya bunge hawataki viongozi wa upinzani tunaowapenda. Hata kama CCM hawataki Lissu awe Rais iweje hata Madiwani na Wabunge wa upinzani hawatakiwi na vipenzi vya watu kwenye maeneo yao. Kama Watanzania wa vyama vyote tunalipa kodi za Serekali kwa nini maendeleo yatolewe kwa upendeleo. Kuna jambo gani limejificha wanataka kutufanyia Watanzania. Tusikubali kuchaguliwa viongozi kabisa. Wanataka Tanzania liwe koloni lao alafu mbaya kabisa Magufuli anatukosanisha na Majirani makusudi wasijue tunachofanyiwa ndani ya Tanzania. (kzbin.info/www/bejne/q2bTfY2haKhnrdU). Rais wa kwanza Tanzania kuwa na ubaguzi tumuogope kama UKOMA.