PART 2 - Ninaishi na RISASI moja TUMBONI, Nilipigwa risasi tatu Mwilini, Nilitakiwa KUFA au Kupooza

  Рет қаралды 24,096

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

4 жыл бұрын

Пікірлер: 144
@suleimanhaji5996
@suleimanhaji5996 3 жыл бұрын
SNS big up sana,na ndio maana tunawakubali sana kwa kutuonyesha habari kama hizi muhim kwa mtanzania mwenzetu kama huyu ambaye anahitaji msaada,kwa watu kama sisi tuko Europ lakini tuko wengi ambao tunawakubali sana,na mwenzetu kama huyu ni mitihani tu ya maisha kapata lakini ni mtaftaji na fighter wa maisha,tuko na yeye na tutamsaidia
@mtanzaniahalisivideo2463
@mtanzaniahalisivideo2463 3 жыл бұрын
Allah Awajaalie Wazazi Wetu Hekma Zaidi Mama Kaamua Kumfata Mwanae Hakujali Vitisho Vya risasi Alikuwa Yuko Tayari Kufa Lakini Akamchukue Mwanae
@mohammedbohero4552
@mohammedbohero4552 3 жыл бұрын
Mungu atakuaf bro Jigga na utafika malengo yako pamoja na mtihani lkn uko positive sana.
@efrahfarahahmed8960
@efrahfarahahmed8960 3 жыл бұрын
Pole sana ALLAH atakupa afya siku moja utapona na utatembea🤲🏾
@JacobKeli
@JacobKeli 3 жыл бұрын
Huyu Jamaa ana Saudi nzuri sana kama mtangazaji pia anavyo Jini maswali ni kwa ufuazaa. Uwezo wake Mkubwa ni K’s career Mpya ya utanzaji.
@MctMct-tt4rq
@MctMct-tt4rq 3 жыл бұрын
MUNGU ATAKUFANYIA WEPESI MAISHA YANAMITIHANI HASA KWENYE KUTAFUTA ILA MUNGU KAKUPANGIA KWENYE KHERI NA WEWE MUNGU NDIO KILA KITU
@dullybang7246
@dullybang7246 3 жыл бұрын
Hayo ndio Maisha ya south Africa na ugenini.kama unaanza Maisha.
@lydiamdenya228
@lydiamdenya228 3 жыл бұрын
Daaaah sina lakusema kaka angu story yako imenimaliza mungu akufungulie njia unyanyuke na kutembea amen
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx Жыл бұрын
leo unazungumza kwa upore sanaa mtulie mjuwe mambo yanabadilika
@ahmedalshaibany
@ahmedalshaibany Жыл бұрын
Pole sana, Allah atakufanyia wepesi. Huyo tajiri mwenye duka ambae ni muithiopia sio mtu mzuri, yeye anajali pesa tu na sio afya na usalama wako
@reinhardmichael3018
@reinhardmichael3018 3 жыл бұрын
Asee nmependa uyu jamaa jinc alivyo licha ya hali alonayo hana chembe ya kukatamaa hata kdg
@sharifakhamis2461
@sharifakhamis2461 3 жыл бұрын
Pole sana kaka Allah akufanyie wepes
@mwanamkuusaidmwajambo1387
@mwanamkuusaidmwajambo1387 3 жыл бұрын
Mashallah ujakataa tamaa bro
@ibrahimrukundo3064
@ibrahimrukundo3064 3 жыл бұрын
pole sana kaka MWENYEZIMUNG akuezeshe usimame tena
@amonytv6346
@amonytv6346 Жыл бұрын
Brother beka pole Sana mungu akuinue ktk kila Jambo lako
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
Ooooh 😪 pole sana mpendwa, jitahidi basi hayo mazoezi mungu ataweka mkono wake na itatoka na utatembea inshallah mungu 🤲🙏
@hildadaniel4892
@hildadaniel4892 3 жыл бұрын
Pole sana mdg wangu Mungu ni mwaminifu utapona
@fatmaabdulla9518
@fatmaabdulla9518 3 жыл бұрын
Allah atakuafu ishaallah
@barickprogrammer
@barickprogrammer
jamaa ana imani kubwa sana, safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na Mungu hamtupi mja wake
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Dah! Inasikitisha sana kwakweli, Mungu atakufanyia wepesi inshallah utakuwa OK
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 157 МЛН
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 16 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 157 МЛН