No video

MELI yao YAZAMA na kupotea Mazima, Waokolewa na MELI ya Kivita ya KIFARANSA, hakuna KULA wala KUNYWA

  Рет қаралды 9,927

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

#katembe
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
/ @simulizinasauti

Пікірлер: 28
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial Жыл бұрын
Baharini Kuna vitu vya hajabu vikubwa kuliko. Like zangu jamani mi wakwanza kutoka Mozambique 🇲🇿 mkoani Pemba
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
Hakunaga mkoa unaitwa PEMBA Mozambique, Bali ni mkoa wa CABO DELGADO
@maramara5621
@maramara5621 Жыл бұрын
Mungu wangu. Jizan pia nakuja kuzuri sana ila kufika ukitoka Abha barabarani... Kama Shimo jamani ajabu hiyo
@iddikhamis8454
@iddikhamis8454 Жыл бұрын
Esco mwambie jamaa akisimulia aongeze sauti
@happykomba6411
@happykomba6411 Жыл бұрын
Hii stori Noma sana
@bwanamohamed-vg9kc
@bwanamohamed-vg9kc Жыл бұрын
Jizan red sea hio border ya Yemen na saudia arabia ( Arabian Penisula)
@djamilaeli7339
@djamilaeli7339 Жыл бұрын
Esco merci beaucoup
@user-ud6mi1ls7r
@user-ud6mi1ls7r 10 ай бұрын
Esco pak mbish hapa mchawi sura arafu anapoteza mda
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 Жыл бұрын
Kumbe zipo interviw za kutoonekana sura nitakuchek bro nikupe stor
@maramara5621
@maramara5621 Жыл бұрын
Huyu kama MO Dewji mtu na hela zake awaonyesha sura kesho mmfuate weee.
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 Жыл бұрын
@@maramara5621 baharia kam Mo? nna miaka kazaa katka kazi hizi na mshahara wa kawaida tu umezid 4000 dolla kwaiyo kua kama Mo labda upoge na kazi nyengine sio unaharia tu
@MartinaMsimbe-qk8ug
@MartinaMsimbe-qk8ug 2 ай бұрын
❤❤❤❤ like story
@um_185
@um_185 Жыл бұрын
Sauti ya "background music" ni kubwa sana kiasi cha kufanya msimuliaji asikike kwa uhafifu. Next time jaribuni kubalance sauti.
@rashidbakar1322
@rashidbakar1322 Жыл бұрын
Nunua simu 😂 acha kutumia simu mbovu
@um_185
@um_185 Жыл бұрын
@@rashidbakar1322 Hujui masuala ya media wala video mixing wewe. Acha kuleta comedy humu. Huwezi pata followers.
@mudiluiz7081
@mudiluiz7081 Жыл бұрын
Sauti imekua kikwazo kidogo kwa msimuliaji lkn ww presenter ukiongea unasikika vizuri
@Amry-xx4ps
@Amry-xx4ps 5 ай бұрын
Toweenii ilo sound apo Lina zinguwa bn nyinyi vp
@kdloon2030
@kdloon2030 Жыл бұрын
Abandon/telekeza
@sailortraveler9880
@sailortraveler9880 Жыл бұрын
Chief borri huyu 😂 nakubali chief
@abdulkondo8978
@abdulkondo8978 Жыл бұрын
Borri pongwa niyeye
@bonita329
@bonita329 Жыл бұрын
kwani nyie SIMULIZI NA SAUTI siku hizi mna matatizo na sauti jamani🤦🏽‍♀️ watu wanao simulia story siku hizi awasikiki kama yule dada wa story wa Italy.. sasa ukiwa unasikilizia kwa tv noma kama matangazo yakija kelele mpaka watoto wanaamka☹
@sinaloa5698
@sinaloa5698 Жыл бұрын
Kipindi boraaa SnS asante baharia wa nchi kavu escort ila usicheleweshe mapindi aya sn mkuubwa
@mwanaishiaomar5695
@mwanaishiaomar5695 Жыл бұрын
❤❤❤
@noel3290
@noel3290 Жыл бұрын
Mbona haoneshi sura?
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊👍.
@wrensasava7524
@wrensasava7524 Жыл бұрын
HUYU nikama hajasafiri anahadidhia story za watu ,anajificha nini!
@alfamgayatv872
@alfamgayatv872 Жыл бұрын
,😂😂😂😂😂
@kelvintiba9412
@kelvintiba9412 Жыл бұрын
Sio kila mtu anapenda kuuza Sura.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 12 МЛН
DEVELOPING MARKETABLE SKILLS With MEKDELA MEKURIA Part 1
1:02:45
GOLDEN TV
Рет қаралды 2,9 М.
SIMULIZI YA KWELI: HIKI KIJIJI NI BALAA
2:48:24
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 257 М.