GPS: Wahouthi waitikisa ISRAEL, Hezbollah yalaumiwa kukiuka makubaliano, Netanyahu akaa na jopo lake

  Рет қаралды 27,442

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 215
@aysherkabby5937
@aysherkabby5937 18 күн бұрын
InshAllah!! ata mimi nitachangia kaka zangu 2.99 euro kwa mwezi ,, Kazi kubwa mnafanya na ni nzuri..... WELL DONE!! 🙌👏👏👏
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 18 күн бұрын
Big up wachambuzi wetu mnafanya kitu ambacho media za Tz hasifanyi. Ningetamani GPS iwe kila siku 💪kutoka Gikombaa nairobi
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 19 күн бұрын
GPS ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@aminaali792
@aminaali792 19 күн бұрын
Maa sha Allah i love watching GPS Love from UK 😊by the way i like the studio ya SNS imependeza sana big up sana 🙌🏾👌🏼👏🏾🤍🩶
@Pedeshee01
@Pedeshee01 18 күн бұрын
Aminaaaaaa
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 18 күн бұрын
Yeah wamejitahid sana mie nikikosa naumwa
@aminaali792
@aminaali792 18 күн бұрын
@@Pedeshee01 pedesheee01😅
@aminaali792
@aminaali792 18 күн бұрын
@@salhawaziri1668 😍😍
@jotafungo4622
@jotafungo4622 16 күн бұрын
Safi sana washirika wa waajemi
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga 18 күн бұрын
Jamaa yuko vizur sana alievaa shart nyeupe
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 18 күн бұрын
Always jamaa ni fundi.
@marcedeskaigarula
@marcedeskaigarula 18 күн бұрын
Anaitwa Henry Mwinuka !
@هلالحمدالندابي
@هلالحمدالندابي 17 күн бұрын
Silaha sio mbaya ndio jawabu lako lakini
@claudepaluku1842
@claudepaluku1842 16 күн бұрын
Bon travail mes frères
@DeeJuma-dj1tb
@DeeJuma-dj1tb 18 күн бұрын
Leo mambo ni mengi sana Mazur
@SubiraMohammed-dv5xr
@SubiraMohammed-dv5xr 18 күн бұрын
naomba mumlete Ibrahim rabbi ha hapa tutachangia sn
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 18 күн бұрын
Hata wewe unaweza kuchangia 😂
@tahiyasaidi6532
@tahiyasaidi6532 17 күн бұрын
heshimu kazi za watu.....hapo Kuna kipya gn uyo ulomtaja ataongeza
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 18 күн бұрын
Hakuna jambo litakalotoka nje ya utabiri wa vitabu vya Mwenyezi Mungu, Asmaa uko sawa sawa.
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 18 күн бұрын
Asanten sana kwaeli
@omondiowino7875
@omondiowino7875 19 күн бұрын
Hapo mwisho kwa mara ya kwanza ninamuunga mkono Dj Smaa...vita ndo imeanza...na 3rd Temple lazima ijengwe ...na hili sio swala la miaka 200 ...hili ni swala la 5 to 15yrs ... time will tell
@ChachaRichard-h1e
@ChachaRichard-h1e 19 күн бұрын
Nimependa mawazo Yako uko powa mkuu miaka kuminatano haifuki ni 6 TU mkuu yajayo hayafurahishi
@omondiowino7875
@omondiowino7875 19 күн бұрын
@ChachaRichard-h1e hapa mbele nikubaya
@ChachaRichard-h1e
@ChachaRichard-h1e 18 күн бұрын
@@omondiowino7875 ni kweli huko tuendako siko bibilia inasema olewao wenye mimba na wanaonyesha kwa wakati huo
@hanifa9153
@hanifa9153 15 күн бұрын
​@@omondiowino7875 C ni wew una sapotigi mashoga sasa kubaya nin na nikubaya tayar ama kwasabab hawajakfikia hko Tz ngoja kikurambe😂😂😂
@omondiowino7875
@omondiowino7875 15 күн бұрын
@hanifa9153 kasome Biblia ndo uelewe...au unadhani kuna siku nitawai unga mkono uislamu na ugaidi wake...
@aysherkabby5937
@aysherkabby5937 18 күн бұрын
Shukrani sana 👏👏👏😍😍😍
@yaasirimuhudi1664
@yaasirimuhudi1664 16 күн бұрын
Alama za mwisho zipo aina mbili aina ya kwanza ni alama ndogo na hizi ndizo nyingi moja wapo ni kama vivo kutokea kwa wingi kuona watu maskini ndio wanashindana kuweka majengo pili kuna alama kubwa ambazo hizo hazijaweza tokea hata moja na hizo alama tuelewe sio kuwa hutokea kwa wiki au mwaka bali alama hizo zinaweza kuja kwa miaka mingi miongoni mwa alama kubwa ni jua kutoka magharib kurudi mashariki
@popiya2368
@popiya2368 19 күн бұрын
Je Nyetanyahu alikuwa anafanya aliona ni sawa wacha waione uchungu wa kuua watoto wadogo kwa makusudi
@NassoroAbdallah-v2c
@NassoroAbdallah-v2c 18 күн бұрын
Safi sana
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 18 күн бұрын
Asmaa umeongea jambo kubwa kuhusu mbegu hata hapa Tanzania mbegu wanazifanyia juhudi kubwa kuziharibu.
@samsonnnko8035
@samsonnnko8035 18 күн бұрын
Bro Sky Big up, Studio kama ya Al Jazeera..!!safi sana
@SIMONPETRO-hq7fp
@SIMONPETRO-hq7fp 18 күн бұрын
Nawakubali sana mnanikosha
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 18 күн бұрын
Dj sm henrii mko sahihi swadacta
@TrustJoshua-o3f
@TrustJoshua-o3f 17 күн бұрын
Napenda henry anachambua taratibu afu anaongea taratibu afu anaongea fact kweli akili ni mingi huyu jamaa
@MohammadiSefu
@MohammadiSefu 19 күн бұрын
Safisana naona mmekamilika napend sana kuwaona mkosalam
@fellaforlife2948
@fellaforlife2948 18 күн бұрын
From zanzibar nawapata sana kaka sky
@NassoroAbdallah-v2c
@NassoroAbdallah-v2c 18 күн бұрын
Nipo Colombia nawafatilia saja mko vizur sana
@alimzee
@alimzee 19 күн бұрын
Nice work brothers
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 18 күн бұрын
Henry bonge la mchambuzi aisee.
@NassoroAbdallah-v2c
@NassoroAbdallah-v2c 18 күн бұрын
Yes
@RamadhanYusuph-xi3rh
@RamadhanYusuph-xi3rh 19 күн бұрын
Kwani myaudi ni mungu watu Kwani wao wakilipuliwa wao awakufi awani wago
@issadullah2074
@issadullah2074 19 күн бұрын
Uchokozi ni israel na marekani ndowanaleta machafuko mashariki ya kati halaf wanasema wanakiuka sheria ya umoja wamatai pumbavu wameua watu wangap mpaka nawatoto wasio nahatia umoja wmataifa ufutiliwe mbali
@Beckam254
@Beckam254 19 күн бұрын
Ati wapewe silaha za kujilinda kwa mujibu wa sheria za kimataifa😅.....hao wanafiki ni sheria gani za kimataifa wanazofata hao mayahudi wa mchongo
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 19 күн бұрын
Wakati hizbollah wanajipanga upya , wahouth wanachukua nafasi yao
@josephineatieno8486
@josephineatieno8486 19 күн бұрын
Wanajipanga wapi
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 19 күн бұрын
Una elewa kinacho endelea huko Sanaa kweli Kwa sasahivi zama deep ni balaaaa
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 19 күн бұрын
Wakati Israel anahangaika wanamgambo Iran anaendelea kujipanga , 😂😂😂​@@josephineatieno8486
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 18 күн бұрын
Itachukuwa myaka 20 kujipanga uku Israel wanasonga mbele kitechnologia
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 18 күн бұрын
@dorcaskarago2876 Israel ni mtembeza bakuli , Yani kupigana na wanamgambo wa Hamas anategemea silaha kutoka nje , ah Israel kwakweli ni aibu
@josephmetu7191
@josephmetu7191 18 күн бұрын
❤🇰🇪🇰🇪
@marcedeskaigarula
@marcedeskaigarula 18 күн бұрын
Ally Masubi upo njema like wise others mnashine sana kwenye analysis
@jafaribori5428
@jafaribori5428 17 күн бұрын
Hasanteni sana, ninawafatilia sana kutoka hapa United kingdom
@athumansaid796
@athumansaid796 15 күн бұрын
Nilimumx xaaana endru
@kilimanjarotv255
@kilimanjarotv255 18 күн бұрын
hv hamuwez kuishauri tanzania kuhusu hichi kinachotokea kwa wenzetu unajua watakuja kuzipiga africa siku 1 vp hamuoni hilo maana kama mpango wakimaliza syria wanakuja misri na hawa jamaa wanachoangalia ni nchi zenye rasilimali tz tunazo za kutosha na zingine hazijagundulika rasilimali naamini angekua magu angeshaangiza sila na mifumo ya ulinzi
@Gody360
@Gody360 17 күн бұрын
Pamoja
@sharoburger-q4z
@sharoburger-q4z 18 күн бұрын
GPC IPO MOTO SANA ATA NASHINDWA KUSEMA LOLOTE KWAN MUMUFKA MPAKA NJE YAUFUNUO WANGU HONGEREN SANA
@marcedeskaigarula
@marcedeskaigarula 18 күн бұрын
But SMA ni mvumilivu kwa wenzake katika kuongea ,anajitahidi kutumia vizuri muda wake bila kuintaract wenzake ,yote kwa yote asateni mnatuelimisha vizuri .
@jumaciza461
@jumaciza461 18 күн бұрын
Saudia na Jordan. Hawaziwiyi kwasababu. Mifumo ya ulinzi inazimwa kwasababu hawana vita. Nawakiwasha huwa Ina garama sana ndio maana ina zimwa. Ku detect huwa ina weza hata ikizimwa ila si kwamba in inaweza kuona kuwa nikombora hata ndege yakivita ikipita inaweza kui detect. Hadi watizame kwenye satalaiti badae tukio limeisha.
@HajiKabacalaf-kv7fd
@HajiKabacalaf-kv7fd 19 күн бұрын
Hio ni kudra ilahii,,Hamas kuweza kushinda Israel.
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 19 күн бұрын
Iran yaitikisa magharibi...huku vijana wake wakiitikisa mashariki ya kati...wakizidisha hofu kwa wakazi wa israel na viunga vyake😊😊😊
@omondiowino7875
@omondiowino7875 19 күн бұрын
😂😂😂 baadae mtaanza kulialia kuwa Israel inawauwa watu Yemen...kinachokuja huko Yemen Mungu ndo anajuwa
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 19 күн бұрын
@omondiowino7875 hakuna cha maana hapo😂,kama wameshindwa kuiteketeza iran watateseka mpaka yesu wao arudi😂
@omondiowino7875
@omondiowino7875 19 күн бұрын
@AFRICA_D669 cha muhimu hapa ni kuwa hakuna atakayeweza kuwafuta kwenye uso wa dunia
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 19 күн бұрын
@omondiowino7875 hakuna atakaye futika kwa pande zote
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 19 күн бұрын
Wewe itakuwa pimbi Israel hana lolote anamtegemea bwana wake Marekani​@@omondiowino7875
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 19 күн бұрын
Trump hana say 😢😢😢😢ELON MUSK NA WAZAYUNI NDIO WAKO NA DECISION
@MasseJobbs
@MasseJobbs 18 күн бұрын
Sma ameonngea kweli, Wayuda wako seemu zote pia wana contol inchi nyingi….
@ChachaRichard-h1e
@ChachaRichard-h1e 19 күн бұрын
Anachosema smaa nikweli dunia haipoi tangu 2024 mpaka 2030 hiyo imetabiliwa kabisa ndani ya hii miaka 6 itakuwa ni mapiganotu ila mwaka wa 7 yaani 2031 ndipo kutakuwa na amani
@inocentlema5574
@inocentlema5574 18 күн бұрын
Naombeni mnisaidie wachambuzi, n kwa nn hao wanaouliwa wasishambulie vinu vya nukilia ili wafe wote tuu maana wanauliwa tu
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 18 күн бұрын
Muwekeni Ibrahim bwanaa hapo mambo yatanoga
@makavellimakavelli9700
@makavellimakavelli9700 17 күн бұрын
Mimi naomba mtilie mkazo sana katika swala la Mbegu na kama ikiwezekana muishawishi serikali yetu itie nguvu kubwa katika swala la Mbegu na naamini SNS mnaweza kwa sababu mna upeo mkubwa sana wa mambo yanayoendelea Duniani hivi sasa na baadae, "CHUKULA NDIO UHAI WETU"
@salminijumasalminijuma6213
@salminijumasalminijuma6213 18 күн бұрын
Duh hapo mnapo maliziaga panakuwa patam Kila mtu anataka aongee Sema fedric anapunguza utam
@marcedeskaigarula
@marcedeskaigarula 18 күн бұрын
Hakuna Fredric labda kama unataka kusema Henry
@HalimaGalgalo-d1g
@HalimaGalgalo-d1g 18 күн бұрын
Hawa malizi vita
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc 18 күн бұрын
Wazungu wanaonyeshana uwezo watajua wenyewe hukohuko
@NahseebulChibudee
@NahseebulChibudee 16 күн бұрын
Waoth hata china anausika
@khalifaalmugheiry9232
@khalifaalmugheiry9232 18 күн бұрын
Israel hawawezi kuwauwa viongozi wa khuthi, kutokana hawajulikani na maisha yao yapo tofauti kabisa kama wa taliban
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 18 күн бұрын
Sijachelewa sana
@innocentmasota500
@innocentmasota500 18 күн бұрын
Hapo nimekuelewa bwana kipara, Israel hajaamua kuwapata mateka wake..niya ya dhati haipo, ili apate sababu muhimu ya kuendeleza operation yake Gaza....na pia Gaza itachukuliwa, kama ilivochukuliwa Ashkelon, Ashdod, Ekron, na Gath, ambayo ilikua ni miji mikuu katika nchi ya Fillistine...lazima Israel itanue mipaka, Syria itapoteza maeneo yake muhimu kwa Israel
@mehssoudshihry6739
@mehssoudshihry6739 17 күн бұрын
Nyinyi jamaa muko bright sana kwenye kuchambua, kwakweli siwezi kukosa mijadala yenu
@khalifaalmugheiry9232
@khalifaalmugheiry9232 18 күн бұрын
Wayemen ndio jinsi wanavoongea, wapo fasta kwenye kuongea
@josephrichard241
@josephrichard241 11 күн бұрын
nilikuwa naomba siku moja uchambuzi wa kijeshi wa irani v pakistani nani ni hatari zaidi kwenye uwanja wa vita
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 18 күн бұрын
na hao us watakutana na mabalaa kila siku uko us kwao wachangie mauwaji lkn na kwao moto utawaka tu soon
@Pedeshee01
@Pedeshee01 18 күн бұрын
Wahutu on fire
@wadantz123
@wadantz123 18 күн бұрын
😂😂😂sio watusi Wala wahutu bhn
@Pedeshee01
@Pedeshee01 18 күн бұрын
@wadantz123 😀😀😀kwa vile wapo midle east wanaitwa Wahouth ila ni hawa hawa jamaa zetu Wahutu wasitake kutupoteza 😀😀😀
@wadantz123
@wadantz123 18 күн бұрын
@@Pedeshee01 😆😆😆😆😆we noma
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 18 күн бұрын
​@@Pedeshee01😂😂😂 Daah
@frankkitomary3878
@frankkitomary3878 18 күн бұрын
apo marekani na awa maajenti wa silaha wana siri kubwa pia ata marekani ndo anauza slaha wame jewekea difance na sheria wameziweka wao
@ChachaRichard-h1e
@ChachaRichard-h1e 19 күн бұрын
Ukisoma bibilia danieli 8 :13:14 inasema itachukua siku 2300 hadi kupatakasa patakatifu ambapo ni ukipiga hesabu hapo ni miaka6 na nikwanini iwe 2024 ndio mwaka peekee wayahudi walitoa sadaka kwaajili ya kupatakasa patakatifu ili waaze ujezi wa hekalu
@Bahati47
@Bahati47 18 күн бұрын
Huyo MUNGU wako ni zaidi ya katili aisee yaani kutakasa sehem kwa damu za wa toto wasio na hatia?
@ChachaRichard-h1e
@ChachaRichard-h1e 18 күн бұрын
@Bahati47 umeerewa vibaya haimaanishi Mungu anapenda kinachofanyika Bali ni unabii unatimia walio nyuma ya Israel ni masonic ndo wanafanya hayo yote
@HajiMkomwa
@HajiMkomwa 17 күн бұрын
Israel wapelekewe hata kombora lenye kilo elf moja
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 19 күн бұрын
Muangalie DJ SMA afu mu angalie BALTHAZAR Ndugu kabisaaa, Wame fanana kichizi😂😂😂😂
@africanQueeny-u7o
@africanQueeny-u7o 19 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂Sana
@suleymuntar3544
@suleymuntar3544 17 күн бұрын
Sasa bwana Ali masubi marekani ni wajajnja au ni wajinga mtu anapeleka silaha zikauwe watu wasiokuwa na hatia na kuifanya isiwe na amani bwana Ali jichunguze maneno yako ingekuwa iyo marekani inawauzia silaha Kenya ili kutuuwa sisi watanzania ungeyasema hayo maneno elimika usiwe msomi kijana
@kalekela-j1e
@kalekela-j1e 18 күн бұрын
Hizbullah hajadhoofika. Angekuwa kadhoofika majeshi ya ardhini ya Israeli yangeingia Lebanon. Ikiwa hayakuingia, unasemaje wamedhoofika.
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila 19 күн бұрын
Wahuthiiiiiiii tenA😂😂
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc 18 күн бұрын
Mko poa muno jopo limetick
@FredWabwire-w3q
@FredWabwire-w3q 18 күн бұрын
Atakama nigarama wahuthi watamalizwatu
@Karimchembela
@Karimchembela 19 күн бұрын
Marekani hana lolote Israel ndo mtawala marekani kibalaka kama vibalaka wengine tu
@JhaJha-c2d
@JhaJha-c2d 19 күн бұрын
Tuwe wakweli wachambuzi ,IRAN wanaume wa shoka .leo hamzungumzii Tena mifumo ya ulinzi ya Israel. Ujinga una nukta yake . 48:59
@birianination7097
@birianination7097 19 күн бұрын
Katika vifo vya Gaza hapo Hamas ni wangapi na raia wangapi
@simonjohn2784
@simonjohn2784 18 күн бұрын
Ivi Urusi ukipigana na Israel atapigwa nani
@hameidseif7083
@hameidseif7083 17 күн бұрын
😅😅😅😅
@djafro8729
@djafro8729 18 күн бұрын
Halafu hio mbegu ikitoka arthi inatoka na wadudu.
@JhaJha-c2d
@JhaJha-c2d 19 күн бұрын
Tuwe wakweli wachambuzi ,IRAN wanaume wa shoka .leo hamzungumzii Tena mifumo ya ulinzi ya Israel. Ujinga una nukta yake .
@HashimOlomi
@HashimOlomi 18 күн бұрын
GPS tupeni taarifa kati ya Pakistani na talebani
@Nicrousnicrous6992
@Nicrousnicrous6992 18 күн бұрын
2025 tutashuhudia Mengi😅😢
@FxL_47
@FxL_47 19 күн бұрын
SASA HAPA WAYAHUDI WEUSI WATUAMBIE MIFUMO YA ULINZI INAFANYA KAZI AU NI MCHONGO TU😂
@shakeuabuu8851
@shakeuabuu8851 17 күн бұрын
Mateka wapo chimbo moja la kibabe . Yaani bila makubaliano hawatawaona
@WadySaidi
@WadySaidi 18 күн бұрын
Israel lazma iteseke na saizi Israeli ni kama chawa tu Awana lolote
@franciscojohn5751
@franciscojohn5751 18 күн бұрын
Huyo jamaa wa tisheti nyeusi ni muongo sana ety siria ilipigwa nyukilia mpka leo hakuna palipo pigwa nyukilia mgeachana nae hana jipya
@khamisshaban4703
@khamisshaban4703 18 күн бұрын
Ivi ww uko Dunia gani vyomb vingi vimeonyesha usiwe una bisha kishabik
@wadantz123
@wadantz123 18 күн бұрын
Unataka aekwe baba ako pale
@franciscojohn5751
@franciscojohn5751 18 күн бұрын
@@khamisshaban4703 kaka sibishi mfatilie yule ibrahi labby utajua ukwel ila siria ni kweli maeneo ya daraa wanashambuliwa na majeshi ya Israel ila nyukilia hajapigwa
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 18 күн бұрын
😂😂😂
@Bahati47
@Bahati47 18 күн бұрын
Wewe utakua kuzimu sio hii Dunia tuliyopo
@josephineatieno8486
@josephineatieno8486 19 күн бұрын
Sisi mafans wa israel hatuna midomo na hatudanganyi we ngoj tu netanyahu apone kitakachowakut wahuthi ni msiba
@MikidadiSalim-xk9dc
@MikidadiSalim-xk9dc 19 күн бұрын
Netanyahu apone kwani anaumwa nini ¿¿ tangu lini .....Mungu aliumwa.... umenishangaza kweli anaumwa nini nayeye Dunia nzima ipo kganjani mwake!!!!!!!!
@josephineatieno8486
@josephineatieno8486 19 күн бұрын
@MikidadiSalim-xk9dc acha kukufuru boss huyo sio Mungu
@josephineatieno8486
@josephineatieno8486 19 күн бұрын
@MikidadiSalim-xk9dc hiyo ya kuumwa kwa netanyahu fuatilia sii una bando??
@MikidadiSalim-xk9dc
@MikidadiSalim-xk9dc 19 күн бұрын
@@josephineatieno8486 Joseph binafsi siwezi fatilia kuumwa kwa Netanyahu.!!!!!...labda uwasiliane na baiden yeye ndio amfatilie huyo muuwaji mwenziwe..Joseph nikikujibu lapili kufulu hiyo umeiyona ya Kumwita Netanyahu Mungu yeye nahao wasiokuwa na akili wala ufahamu wenzie..hawakukufuru kutowa nafsi za watu wasiokuwa na hatia 45,000....bado waliyomo ndani ya vifusi ktk watu wasiokuwa na hatia kuna hezbollah au hamas mle...inasikitisha nakuuma mno...Mungu anisamehe....Na huyo Netanyahu na hao washirika wake na walioshiriki kufanya mauwaji ya kimbali....walijuwe hilo...Mungu hana sifa ya kulala wala kusinzia na hawahi wala hachelewi ktk adhabu zake...Allahu Akbaru....
@allyslim7774
@allyslim7774 18 күн бұрын
kwaiyo wewe shoga au?
@africanQueeny-u7o
@africanQueeny-u7o 19 күн бұрын
Kiongz wa waslam Mashariki ya kati ni Netanyau 😅😅 Allah wa wapuuz Yan mashoga ya kislamu akija kuamka atakuta Yemen, Gaza ni majivu😅😅
@salminisaleh9249
@salminisaleh9249 19 күн бұрын
Chunga Ulimi Wako Choko Wewe.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 19 күн бұрын
Wagalatia someni agano la kale tu hawa JAMAA hata ukivaa msalaba ni KICHAPO tu 😢😢😢😢😢😢😢
@josephineatieno8486
@josephineatieno8486 19 күн бұрын
​@salminisaleh9249 dawa hiyo
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 19 күн бұрын
Hadi Sasa maisha ya waueni na gaza siyo maisha Tena ni mguu m1 kaburini mwingine nje ya kaburi
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 19 күн бұрын
Niliskia Israel walitumia BOM la nyuklia huko Syria Sasa walitumia nyuklia huko gaza na Yemen itakuwa vipi ?? Kwani naona watu wanafurahia wahouth kuipiga ISRAILI ama Israel Haina mabom ya nyuklia??
@omondiowino7875
@omondiowino7875 19 күн бұрын
Wahuothi wanachokitaka watakipata tu hivi karibuni...wenzao Hezbollah walianza uchokozi ila walichokutana nacho ilibidi watafute amani ...Time will tell...🇮🇱🇮🇱❤️💪
@suleimannassor2969
@suleimannassor2969 19 күн бұрын
Kwani ni mar ngap umeshaandik hivi? Me naon sio coment yko mpya hii
@omondiowino7875
@omondiowino7875 19 күн бұрын
@suleimannassor2969 narudia ndo wakati Israel inafanya mambo yake ukumbuke haya maneno...hata Kwa Hamas na Hezbollah pia nilikua napenda kuyatumia maneno haya
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 19 күн бұрын
Wagalatia TAIFA la MASHOGA linaelekea ukingoni 😢😢😢😢😢😢Fanyeni maombi sana
@omondiowino7875
@omondiowino7875 19 күн бұрын
@OmmyJames-xn7ji fanyeni maombi Kwa huyo mungu wenyu nyinyi maana Israel inaichukua Gaza rasmi...na hakuna wakumzuia
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 19 күн бұрын
@ nenda msalaba huko halafu sema mimi namfata yesu halafu ndio utajua ugalatia hautakiwi huko
Hamas yafunguka baada ya kukubaliana na Israel kusitisha mapigano
3:34
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 11 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Zakir Naik Looses It on Audience and Christian Missionary
13:44
Only One Way
Рет қаралды 1,4 МЛН
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН