SIRI nzito Mkutano wa PUTIN na viongozi wa AFRIKA, Mapinduzi ya Niger, Prigozhin, ECOWAS - DJ Sma

  Рет қаралды 166,535

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 656
@yohanadavid6724
@yohanadavid6724 Жыл бұрын
Kama unamkubali Dj Sma, tujuane hapa kwa likes 👍
@mohammedgogo3327
@mohammedgogo3327 11 ай бұрын
Kichwa kama kichwa hicho, asante kwa kutujuza tusiyoyajua
@yuahahmad6651
@yuahahmad6651 Жыл бұрын
Mimi na familia yangu tunakupend sana dj sma
@JunhaNbabu-yj4cl
@JunhaNbabu-yj4cl Жыл бұрын
Bro, nakupenda kwa ajili ya Allah, habari zako ni nizakitaalamu zaidi
@zayumar2955
@zayumar2955 Жыл бұрын
Walykum Salam pendaaa mie ❤❤❤❤ Jmn nawish waafrika woteeee tuungane na Urusi tuachane na hawa wazungu wanyonyaji na masheitwan Mungu atusimamie ktk hilo na Mungu akubariki uendelee kutuletea vitu kama hizi😊❤❤
@kingnass6410
@kingnass6410 Жыл бұрын
Tuifanyie kazi makala ya rutto tunaisubiria
@user-hp6eh6oi2o
@user-hp6eh6oi2o Жыл бұрын
DJ SMAA NDANI YA MTIMA WAMOYO WANGU NAKUKUBALI SANA , HUA SICHOKI KUKUSIKILIZA MATIRIO YAKO NI 🪔🪔🪔
@hertierzawako8068
@hertierzawako8068 Жыл бұрын
Nakupata miya kwa miya kutoka Canada 🇨🇦 iyo ni kweli kbsaaa Mungu akujaliye sana
@prettynayally2177
@prettynayally2177 Жыл бұрын
Nikisikia hi sauti hata nikiwa nataka kulala kwanz nakaa kitako ilove u my brother Muslims ❤❤❤
@msanifgdf615
@msanifgdf615 Жыл бұрын
Saluti kwako dj smaa nmeunganisha doti nmepta jibu ndio maana nlimuona captein ibrahim kwenye mkutano kule urussi.
@user-jq6tu4cf9t
@user-jq6tu4cf9t Жыл бұрын
Aka Bachuchu Mombasa 001 Ifanye hiyo ya Rais Ruto plz 🇰🇪🔥🇰🇪🔥🇰🇪🔥
@user-hu2vo1jm8o
@user-hu2vo1jm8o Жыл бұрын
hakika ww mtu mkwel kuliko wachambuz wote kwanza uko tayar kusema hili sijui nakupenda dj sml
@omarybakary1234
@omarybakary1234 Жыл бұрын
Waleikum salaam welcome back DJ Sma. Mwendo wa pills 💊 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@rwechunguraissa1394
@rwechunguraissa1394 Жыл бұрын
Wewe Ni mtaalamu wa Hali ya juu Ila sisi Watanzania wengi wetu uwezo wa kuelewa Ni mdogo sana kwa sababu viwango vyetu vya kielimu Ni duni halafu exposure yetu kuhusu matukio ya ulimwengu pia Ni duni yaani tunajihusisha zaidi na tamthilia na ushabiki wa mipira na miziki ya wasanii, kuliko elimu Pana inayopatikana mitandaoni. Hongera Sana kwani hata Mimi sikuamini eti Pregozhn alipanga njama dhidi ya Taifa kubwa Makini kijasusi, kama URUSI. Ni zamu ya Mashoga na Wasagaji mashetani wa Ulaya, Ukraine na Marekani kuangamia Kama watu waovu wa Nabii Luti (a.s).
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td Жыл бұрын
Kbs bro
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
UN waondolewe popote walipo.Sisi tunadhani wanalinda amani kumbe ndio wanao endesha mapigano marekani wamewaweka mamluki.wanafadhili mapigano kwenye nchi zote walizokalia huku wakiiba madini.wanajiita M-twenty three kumbe ni UN wenyewe.
@ramahfingika15
@ramahfingika15 Жыл бұрын
Something bigger is coming in Africa 🌍
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
Hivi unajuwa dj smar mbinguni kuna kiti chako ujuwe 🙌🙌 kitalindwa akalii mtu we endelea kutuletea nondo za moto zituingie akilini🎉 apa apa chini ya Jua
@amirshaa5627
@amirshaa5627 Жыл бұрын
Dj sma upo sawa napenda reference it means huongei pumba Can't wait kuhusu Korea kaskazini, bureau 39 na uchumi wa dprk kiujumla
@hudumablack9339
@hudumablack9339 Жыл бұрын
Asante sana DJ SMA. wewe ni wa aina yake brother. Afrika na dunia nzima tunakufuata. Facts na vidonge tunameza🤝
@emilyanamnyakongo4378
@emilyanamnyakongo4378 11 ай бұрын
hakuna kitu cha bure duniani. hata yeye anachokutafuta
@franklechipya6828
@franklechipya6828 11 ай бұрын
​@@emilyanamnyakongo4378hana anachokitafuta Putin ni mtu wa haki sana Mungu muweza hawezi muacha Putin tupo nyuma yake abalikiwe mno
@alexikagoma6461
@alexikagoma6461 Жыл бұрын
Ndagukunda can peee Imana ibane namw Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Urussi 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Rwanda
@ramadhanitwahili6837
@ramadhanitwahili6837 Жыл бұрын
Yani nakrupuka tu hapa nakutanayo talifa dj smaah usingizi wote umeisha nimekaa kusikiliza vizuri ongela kwanza mr kipara chenye akili nyingi. ❤❤❤🎉🎉🎉.
@linusdavis9072
@linusdavis9072 Жыл бұрын
Such a good journalist congratulations keep it up guy
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 11 ай бұрын
Now let the world see the fact that France lives because of African wealth. now he does not want to leave Niger. Africa's suction tubes are cut.
@MrKanuya
@MrKanuya Жыл бұрын
Safi sana mkuu, unafuatilia haya mambo vizuri sana! Na huu ni mnyukano wa GEOPOLITICS ndo maana unaona RUSSIA na Westeners wanapambana. Mungu akupe maisha marefu uendelee kutupatia nondo za maana kama hizi.
@abuubakarhaji2078
@abuubakarhaji2078 Жыл бұрын
Nakukubali sana Dj smaaaaa
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Hahahahahaaaha Oiii Dj Sma imeshindikana aiseee.. Eti unapewa fakts na Risiti ya Efd haha kajibishane na Mashine..Ushambuzi safi sana. Russia atatukomboa...
@Zziggy_ke
@Zziggy_ke Жыл бұрын
Tuambie mbona 🇰🇪 imesusia mkutano huo wenye manufaa kwetu please bro
@fatumahamadi1379
@fatumahamadi1379 11 ай бұрын
Tunapenda utuandalie makala hayo Zaid kiachoendelea shukran kw kutuelimisha ALLAH akubariki
@MohamedHasan-kt4lw
@MohamedHasan-kt4lw Жыл бұрын
Nko mankini sana kukufuatilia makala yko toka Mombasa Kenya DJ sma KAZI nzuri sana 💪
@khamisramadhankhamis2199
@khamisramadhankhamis2199 Жыл бұрын
Nakukubali Mtaalamu, Tunakuombea kwa Muumba wa hii Dunia na vilivyomo ndani yake akupe Afya njema and fully protection. Ili uendelee kuielmisha Taifa na jamii kwa ujumla. Ameen
@abushirissa-pc5lq
@abushirissa-pc5lq 11 ай бұрын
Yaani huyu mruc ni mwema kwa africa. Allah ampe nguvu. Ni wakati sasa Africa kunufaika na vya kwao. washatuibia sana
@abdallahkhalfan3966
@abdallahkhalfan3966 Жыл бұрын
Kwa sasa nimepata ufafanuzi kidogo kwa nn Iran anashambuliwa na magharibi nakuelewa sana DJ smart heshima kwako
@nicholouskusekwa6049
@nicholouskusekwa6049 Жыл бұрын
Napenda sana uchambuzi wako brother, Big ups sana
@godsson5954
@godsson5954 11 ай бұрын
wasafi wasije wakakuiba tu hawachelewi😂😂 uko vzur sana kwny uchambuzi cudos to u👑
@IvanaDaudi-qe3dc
@IvanaDaudi-qe3dc Жыл бұрын
Mie namkubali Putin na Yuko sawa,waondoke na huko Congo wameshachuma vya kutosha jaman, mm nakubali ndio mana ata bint Angu jina lake asili yake huko,tuokoe Putin tumewachoka ukoroni wao sisi Kenya wao si wapo Wengi ughaibuni acha waogope sisi bna tusonge mbele kuipa heshima nchi yetu tuache uogo uoga
@Ali-te8tb
@Ali-te8tb Жыл бұрын
Shukrani, Nilipata sauti mpiya yenye uhakika 👍. Ali Adam. Visiwa vya KOMORO 🇰🇲 . viva URUSSI AFRIKA 🌍
@methodjasson2159
@methodjasson2159 Жыл бұрын
DJ sma nakuelewa saana naomba utupe hivyo vutisho vya Ruto baada ya kuitema Dola mzee baba unatisha sana😂😂😂😂 wamegurugwa hao angulo linakuja vibaya sana,nasikia raha sana
@trendz_2548
@trendz_2548 11 ай бұрын
DJ sma wafanya kazi poa sana. Ebu toa makala ya ruto kukosa kuenda vile ulisema
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
Kitu Kingine Viongozi wa Afrika wanapaswa watangulize Utaifa wao na Uzalendo wao mbele kuliko matumbo yao km Viongozi waliopita mfano Kwame Nkurumah,Fèlix Boigny Houphouët,Thomas Isdorë Sankara,Robert Gabriel Mugabe,Thomas Olympio,Aboubakar Tafawa Balewa,Sam Nujoma, Nelson Mandela,Jomo Kenyatta,Ahmed Sekou Toure,Ahmed Ben Bella,Gamal Abdel Nasser, Colonel Muammar Ghadafi,Leopold S.Senghor,Amilcar Cabral Lopez, Benjamin Nnamdi Azikiwe,Sam Nujoma,Seretse Khama,Patrice Emery Lumumba,Kenneth Kaunda, Hastings Kamuzu Banda,Samora Moisé Machel,Augustinho Neto,Jonas M.Savimbi,Julius Kambarage Nyerere pia Viongozi wa Afrika inabidi wawe na Dira mbadala ya uelekeo wa nchi zao kwa Vizazi vijavyo maana hakuna atakae ipenda Afrika km wao wenyewe watashindwa kusimama kwny nafasi zao
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 Жыл бұрын
Dah...Balaa zito sana hili! Haaya brother kaka. Mim binafsi ninakuelewa mno! Acha uchambuzi yakinifu iendelee...🔥🔥🔥✌️✌️
@saidymwajeka8612
@saidymwajeka8612 Жыл бұрын
Great uchambuzi woow!🇿🇦🇿🇦
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 Жыл бұрын
Anti-fuse yeyote ni shoga tuu kaka usijisumbue na mashoga. Mtu mwafrika straight mwenye fikra sahii hawezi kamwe muunga mkono mmagaribi
@issaathumani7610
@issaathumani7610 Жыл бұрын
Sana brother The real African stay strong in straight not gays countries.
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td Жыл бұрын
Ok sinalakusema isipokua DJ SMA nimwambawetu tuliopeanamungu makalayakeyoteniufunguzi wafikla kwaafrica nakupenda San munguakupekuishimyaka 100ongelasan from 🇧🇮🇧🇮 gonga 👊👊 tujuane nawapendasan wanangu
@aminanekesa3718
@aminanekesa3718 11 ай бұрын
Allah Akupee umri mrefu kakayangu nimejifunza mengi kutoka kwako asante sana
@Anuaryomary-su9cd
@Anuaryomary-su9cd Жыл бұрын
Brother unajua sana kwa anayekukosoa atakuwa hana akili nzur Anuary kutoka Zanzibar
@salummohammadomar5015
@salummohammadomar5015 8 ай бұрын
HI naitwa Salum nipo Zanzibar nakukubali Na nakuombeya Kwa M Mungu akulinde Na maadui wa dhahiri na wasiri Amin
@niyonkurufadhoulillah4916
@niyonkurufadhoulillah4916 Жыл бұрын
Mimi nimesimama na wew toka mwanzo , love from south Africa 🇿🇦 Sizani kama ukweli utabadilika Kua uongo Mimi nikuunga mkono 100%
@allyfoum1995
@allyfoum1995 Жыл бұрын
Asante Kwa kazi yako nzuri safi sana
@fredrickkagwa8853
@fredrickkagwa8853 Жыл бұрын
Africa will now have to abandon USD because, right now the Dollars is scarce. Let's move to other currency like Chinese Yen, Indian Rupees etc
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
Dj Sma Kidonge kikali balaaaaa ila tunakupendaaaaa❤❤
@eunicewamathioya8030
@eunicewamathioya8030 11 ай бұрын
Truth my president ruto is always talking about it revaluation is must
@ndikumanajinalangu1934
@ndikumanajinalangu1934 Жыл бұрын
Uko vizur mzee baba Allah akulinde na akupe Mazuri
@ibrahimnyabwa8088
@ibrahimnyabwa8088 11 ай бұрын
Asante , uko vizuri sana Mr DJ.
@Becka_mrliverpoolMwanyik-hj6no
@Becka_mrliverpoolMwanyik-hj6no 10 ай бұрын
Nakukubali sn kaka Dj sma
@rosamarieshukraft7664
@rosamarieshukraft7664 11 ай бұрын
Waa Ndugu mbona unanifurasha Dunia ipate change Yani unaleta furaha kwa mambo hayo inaongea waa waa God bless 🙏🙏🙏
@nick1o7bang17
@nick1o7bang17 Жыл бұрын
Dj smaa unafaa utafutiwe ulinzi mkuu maana iii mambo ni mazito mm niko nakufatilia sn na pia nimeangalia iyo mkutono …. Umetisha sn 🇺🇸
@hassanpashua
@hassanpashua Жыл бұрын
Uko sawa asiekuelewa hatokuelewa milele pamoja sana from Kenya wadai Rais Ruto ametishiwa sio balaaa
@joycesikana4513
@joycesikana4513 11 ай бұрын
True my brother afrika tuwe macho
@seremaboubakar8981
@seremaboubakar8981 Жыл бұрын
Uko vizuri sana
@Sea_world349
@Sea_world349 Жыл бұрын
Am from Kenya ningetamani kuskia makala ya Kenya
@moseskayinga100
@moseskayinga100 11 ай бұрын
Uko vizuri aise.tuache wivu
@Hassan.Nassoro
@Hassan.Nassoro Жыл бұрын
Hongere sana brother hakika haya madini hatuwezi yapata kokote kule zaidi ya hapa ila kuna issue nataka uigusie kuhusu uwepo wa Aliens na Marekani naona majuzi wameiongelea sana mpka kwenye bunge leo je hii ipo kweli au ni agenda tu
@djsma255
@djsma255 Жыл бұрын
sawa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Dj Sma unahitaj maua🎉🎉 yako madini kam hay hatuwez pata ppte zaid yako
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Safi sana dj sma uko vizuri ndugu
@sultanmohammed8634
@sultanmohammed8634 Жыл бұрын
Yes absolutely yes yes definitely yes time za wakoloni imekwisha
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 Жыл бұрын
Dj smaa huna baya kaka sema wabongo hawawezi kukupa thamani.wanataka umbea tu
@andrewngarya6293
@andrewngarya6293 Жыл бұрын
Kwangu mm ukosee usi kosee naenjoy kusikiliza na kufatiria makara zote😊
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 Жыл бұрын
One day SNS itafikia level za kuwa na TV (itv) na radio naomba hi misingi ya kuwafunguwa watu isijekuachwa Naomba pia mchambuwe nyimbo ya Ney ( amkeni) Long live SNS Long live Africa Long live Russia....
@abisaimsewa1935
@abisaimsewa1935 11 ай бұрын
Weweee atapigwa vita Kama Magufuli
@salumhamdu6633
@salumhamdu6633 Жыл бұрын
Amiin mkuu nakukubaliii yatakujà mengi..Duuuh bora uzima na uhaii Bro.
@user-il2yd4cd2m
@user-il2yd4cd2m 11 ай бұрын
Mwana nakubali Kazi nipe konekshen nyengine kukupata Kwa undani Zaid kwasasba unaweka na ushahid ila awo wanaunga mkono wamagharibu ndio mana wanaume wanajigeuza kuwa wanawake kivitendo
@davisnitu890
@davisnitu890 Жыл бұрын
The best analysis never seen before, ur the truly journalist blood, live longer comrade.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
UN waondolewe popote walipo.Sisi tunadhani wanalinda amani kumbe ndio wanao endesha mapigano marekani wamewaweka mamluki.wanafadhili mapigano kwenye nchi zote walizokalia huku wakiiba madini.wanajiita M-twenty three kumbe ni UN wenyewe.
@albinhayghaimo6612
@albinhayghaimo6612 11 ай бұрын
​❤ L❤❤ ❤ ❤❤ĺ❤ĺl❤❤❤❤❤❤
@user-co1ir8sg7j
@user-co1ir8sg7j Жыл бұрын
dj sma tulikumisssssssss kinom noma
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
HUU MKAKATI UNAONGEA UNAFANYA NIMKUBUKE MAREHEMU BABA MAKUFULI APA ANGERAISHISHA MAMBO MENGI IYO MAP NAFANYAKAZI MELINI NDUGU VITU UNAVYOHONGEA MUNGU AKUBALIKI NAFIKILI HUMEKWANDA SHULE SANA MDOGO WANGU ✊👍🙏🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷⛴⛴⚓⚓
@jacobluke7875
@jacobluke7875 11 ай бұрын
Mimi nasikiliza kutoka republic of ireland
@nelsongabriel9130
@nelsongabriel9130 Жыл бұрын
sio kutetea Urusi Bali tukishikamana na urusi twaweza kujikomboa katika ukoloni mamboleo hata sasa chokochoko za kuiunganisha afrika zimeanza kipindindi hiki cha vita ya russia na ukrain na putin ndiye pekee anaesaidia uibuaji wa mabaya ya viongozi wa magharibi
@heliudjulias7748
@heliudjulias7748 Жыл бұрын
Asante sana dj sma kwakunipa vitu vigum kwa rugha nyepesi Mungu akurinde akuongezee fungu brad sina cha kukupa jinsi unavyo utendea haki ubongo wangu recpecti
@Heismasai
@Heismasai Жыл бұрын
Punguza kurudia maneno! Punguza kujisifia!! Nenda kwenye point tu sababu tayari kuna watu wanakuamini na kukuelewa sana…izo mbwembwe zinakata stimu
@franklechipya6828
@franklechipya6828 11 ай бұрын
Upo vzr kaka unatupa vitu adim sana Mungu aendelee kukupa afya njema. Puti nimkomboxi wakweli Afrika amekuwa akichukizwa sana na hao wamagharibi wanyonyaji wakiongozwa na mmarekani. Mungu awapige upofu kwa unyonyaji wao Afrika tujikomboe
@eliamkamba4325
@eliamkamba4325 11 ай бұрын
Nani anakubali kuwa huyu jamaa ni mbadala wa prof. Jamali. Nakukubali Sana man. Tena unachambua habari ambazo zipo kwenye hobi yangu. Much love
@abdulgwelo7150
@abdulgwelo7150 Жыл бұрын
Dj smaa MWENYEZIMUNGU atakulipa na akuzidishezaid nakuamini sn pia nakuelewa sn
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
❤ djsma swali langu wanapo sema Dola imeadimika shida Nini au kiongozi kukata kutumia dollar anajipangaje naomba maada ulete mezani
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
Hao wanao kudisi achana nao kwanini wanafutwatilia wanakubali wanashindwa kukwambia salute kwa sky
@captainsamafa5467
@captainsamafa5467 Жыл бұрын
mm nammpenda sana dj sma lakn anajisifia sanaaa
@abuubaya7614
@abuubaya7614 Жыл бұрын
Tupe madin baba SMA mnyama mkali❤❤❤
@nkeshimanayuda1115
@nkeshimanayuda1115 Жыл бұрын
Dj Sma uko vizur sana Asante kwa madini unayo tupatia
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Жыл бұрын
Dah ndugu yangu sma unafanya kazi ngumu sana isiyo na thamani yani zaidi ya hela.ila inabidi tuchangie tu kw mtu alicho nacho unatusomesha hadi badhi yetu tunalenga chozi kw ushenzi wa hawa wamagharibi kw kugharimu roho na mali za wengine kw maslahi yao.hongra sana sma kutoka znz stone town
@djsma255
@djsma255 Жыл бұрын
🙏
@KihangoIsmail-qn2uh
@KihangoIsmail-qn2uh 4 ай бұрын
Hongera dj sma piga kazi my brother achana na vilaza wasiojitambua
@othmanmkanje7615
@othmanmkanje7615 11 ай бұрын
Dj usijitetee sana kitu bora na kipaji kizuri hakihitaji maelezo,Ukifanya wanaoelewa watajua level yako.
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 Жыл бұрын
Asante kutoka kigoma
@mkongwekarim3036
@mkongwekarim3036 Жыл бұрын
Dj smaa tunasubili Sana makala ya Ninger
@ronaldkasumpa1969
@ronaldkasumpa1969 Жыл бұрын
Watching from Zambia❤
@salehsenkondo5399
@salehsenkondo5399 Жыл бұрын
Dj sma, waambie kua pia Kuna mataifa bado yanalipa Kodi ufaransa. Yaaani taifa lipo Africa Ila Lina lipa amount ya Kodi ufaransa
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Жыл бұрын
Tengeneza makala bro @dj sma huna jeusi
@lukulomansour3087
@lukulomansour3087 Жыл бұрын
Ahsante Sana dj wetu yaani Hilo unachambua vizuri asie elewa Basi hatoelewa kamwe
@christopherusare5934
@christopherusare5934 11 ай бұрын
Tunawa support zaidi kutoka US Texas
@FredKamba-kl2bb
@FredKamba-kl2bb Жыл бұрын
Tatizo wenzetu wa Kenya huwa wanatusaliti Sana EAU
@Yeiyuei
@Yeiyuei Жыл бұрын
Ni ukwel tutpu😊
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Leo putin ndiyo Rais mkubwa dunian
@digonzakeimbe8435
@digonzakeimbe8435 Жыл бұрын
Umesomeka.. salute..
@fredrickkagwa8853
@fredrickkagwa8853 Жыл бұрын
Africa will change by dealing with Russia
@yasinsanga9062
@yasinsanga9062 Жыл бұрын
Safi sana tupe vitu
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 11 ай бұрын
Yani nakuelewa DJ Smaa pamoja sana
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 3 ай бұрын
Shukran sana DJ SMA. From Morogoro
@shooterseifgallery
@shooterseifgallery Жыл бұрын
ARUSHA
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Жыл бұрын
Mungu akueke na akutangulie @dj sma
@mossesmurwanahyaka8389
@mossesmurwanahyaka8389 Жыл бұрын
Asante DJ smart 255🎉🎉🎉🎉❤
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 7 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 63 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 7 МЛН