DHULMA KWENYE JAMII INAZIDI KUONGEZEKA TULIMTAFUTA USTADHI SHAFII KULIZUNGUMZIA HILO NA JINSI DHULMA ITAKAVYOKUTENGA NA MWENYENZI MUNGU
Пікірлер: 12
@RamadhaniMohamedi-de2vc6 ай бұрын
Alhamndulah tumshuru mungu kwanza kwa kutupa afya lakini pia tuombee dua na wezetu walio wagonjwa na waliotangulia mbele za hakhi mungu awafanyie wepesi, sheikh shafii darasa zako zote ni mzuri zenye elmu kwa jamii mungu akupe afya njema amini🤲🤲.
@AlyAly-dp7iv3 ай бұрын
Masha allah allah akupe kila hitaji lako ktk dunia na ahera
@EziekielMahogwa6 ай бұрын
Mashalaa
@SwahibuAthuman-yv2mn6 ай бұрын
Asante sana kwakuzidi kutupa elimu
@babazungu31806 ай бұрын
Best religion in the world( islam )
@msuyamsuya93376 ай бұрын
Safi mbele ya Zuluma kiza
@ibrahimetale9999Ай бұрын
Asc Sheikh Shafi, amkua Simulizi WAALLEIKUM pekee
@seifserenge33406 ай бұрын
Nampongeza Simulizi anauliza vizuri na haonyeshi kiburi. Anawafata wahadhiri kutafuta ukweli wa mambo. Simulizi nakunasihi ndugu yangu katika Adam kaa ufikiri vizuri ndani ya nafsi yako ufanye upembuzi yakinifu. Iyokoe nafsi na moto wa milele na ili iyokoke UISLAM ndio suluhisho pekee
@allyway9996 ай бұрын
Slm alykm ukimuoji uyo uwe unaweka masaa mawil nusu saa aitoshi plz 🙏 Alafu tuletee na mazinge inshallah