USTADHI SHAFII AJITOLEA KUMSOMESHA MCH. NDACHA QURAN ILI AJUE ALLAH NI MUNGU WA KWELI

  Рет қаралды 8,476

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

Күн бұрын

Пікірлер: 79
@AwamuAmry-jq9fq
@AwamuAmry-jq9fq 3 ай бұрын
Allah akulipe duniani na kesho ahera ustadhi
@LucaWanzuki
@LucaWanzuki 3 ай бұрын
Masshalaah akuzidishie elimu zaidi mwenyezi mungu shek shafi tuweze kujifunza mengi kutoka kwako
@planbmauwezo4853
@planbmauwezo4853 3 ай бұрын
Wewe shekh shafi ginius
@GilesKhamis
@GilesKhamis 3 ай бұрын
We mwongo huyu,kama 4:15 qoran ilivyo ya uwongo
@babazizu1255
@babazizu1255 3 ай бұрын
Mashallah Allah akurinde shekhe duniani mpaka akhela
@HussenHussen-p7b
@HussenHussen-p7b Ай бұрын
Mm nakukubari sn shekh shafii, tena naomba mkutane na Ndacha,
@kombomakame9541
@kombomakame9541 3 ай бұрын
SIMULIZI channel hongera sana. Allah akufanyie wepesi kama wewe SI Muislamu akujaaliye uwe Muislamu kabla ya kifo chako.
@sinumvayabo5776
@sinumvayabo5776 3 ай бұрын
Shukran Sheikh Shaffii !
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 3 ай бұрын
ALLAH AKUHIFADHI KAKA SHAFII
@issasuleiman1826
@issasuleiman1826 2 ай бұрын
SIMULIZI si mshabiki kama waumini wengine wanao egemea upande mmoja mimi namkubali tena huyu anafaa kuwa mwenyekiti katika mihadhara ya waislam na wakristo
@muhammadseif5009
@muhammadseif5009 3 ай бұрын
Sio wasisi wa kumuona hakumuona Allaah wala hatamuona abadani kwa mujibu wa Qur-aan.
@NuhuM-s1x
@NuhuM-s1x 3 ай бұрын
Ww unae jiita mtumishi uwache ushabiki jifunze usikashifu dini ya mtu mwengine sheh shafi anatumia vitabu yvote kuruani na bibilia kama uko na bibilia chukua kalam kwa lengo la kujifunza
@Elecovid
@Elecovid 3 ай бұрын
Mwandishii iko sawa 😅😅😅😅😅😅 shafi bado kurani hujui
@kombomakame9541
@kombomakame9541 3 ай бұрын
Ni kweli simulizi mpaka Sasa hivi sijamjua yuko dini Gani, kwani maswali anayouliza SI ya kishabiki.
@shepherd1x84
@shepherd1x84 3 ай бұрын
Tunafunga na kuombea kazi ya Mungu duniani...ushabiki wa dini mtaacha..uchawi utakoma!
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 3 ай бұрын
Shafii akili kubwa ukiwa na chuki ndio hutamuelewa lakini moyo wako ukiwa na nia ya kuijua haki na kuifuata lazima uelewe
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ 3 ай бұрын
Swadakta
@Mtumisi
@Mtumisi 3 ай бұрын
Wewe hakuna ulijualo...tokeni kwa wislam na majini waliasi mungu mnamuasi mungu
@salimbahatisha3003
@salimbahatisha3003 3 ай бұрын
Hasa ww c ndo hamnazo kabisa...tulia dawa ikuingie
@zaburionlinetv6245
@zaburionlinetv6245 3 ай бұрын
Kaa pembeni fuatilia wasomi acha kubwabwaja
@SuleimanDastan-ro2zy
@SuleimanDastan-ro2zy 3 ай бұрын
@@Mtumisi we una hakika gani kama dini yako ni ya haki acheni ujinga
@babazizu1255
@babazizu1255 3 ай бұрын
Uckashifu dini ye2 ndgu uislam umekamilika huna utakacho kosoa ktk uislam
@babazizu1255
@babazizu1255 3 ай бұрын
​@@SuleimanDastan-ro2zyachana nae kk wanaona wivu pindi wanaposoma Quruan 3:19 bila ya shaka dini mbele ya mwenyezimungu ni Uislam Aya inaendelea Sasa wanaposomaga haya hii lazma wakiristo waumie maana wanajua yakwamba ukiristo co dini
@abdihuka2164
@abdihuka2164 3 ай бұрын
Ndacha afunzwe...juu haelewi Kiswahili chenyewe..
@BOAZIMPITANYE
@BOAZIMPITANYE 3 ай бұрын
Shida si kiswahili ninyi ndiyo hamtaki Neno la lijieleze lenyewe.
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 3 ай бұрын
neno linajieleza ila nyinyi mnaotafsiri kwa kutumia roho mtakatifu ndio mnayabadilisha kwa manufaa yenu​@@BOAZIMPITANYE
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 2 ай бұрын
​@@BOAZIMPITANYENa ndio maana kukawa na walimu ili ufundishwe neno na maana
@mosesmutharimi5837
@mosesmutharimi5837 3 ай бұрын
Waislamu ni wanjanja pekee , waislamu
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 ай бұрын
Matumizi ya lugha ninyi wakristo hamyajui. Hamjui kufasir maneno katika lugha
@clewis520
@clewis520 3 ай бұрын
… Wakora sana
@AntonyManeno
@AntonyManeno 2 ай бұрын
Shinda Sio Kusali Mara Tano Ama Mavazi Am Matendo Kwa Maana Hayo Yote Mhamadi Alijifunza Ndani Ya Bibilia Kama Angelikua Mkweli Ange Chukuwa Mafundisho Yote Ila Yeye Alichukua Kidogo Na Mengine Akajionge Zea Akaipamba Qorowan Hata Aka Pitiliza Aka Eka Mambo Ya😢?Tatizo Ni Mhamad Na Yesu History Yao Kwa Nini Hatu Fati Mitume Wengne Ila Hawa Wawil..?❤❤❤
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 2 ай бұрын
Soma kwanza maana huna hoja hata moja, kila mtume ametumwa kwa watu wake na zama zake, kwaiyo hawo wengine hatuwafati kwa sababu hawakutumwa kwa ajili yetu ila tuna waamini hatuwakatai
@randomclips5474
@randomclips5474 3 ай бұрын
kama mtu anafahamishwa kama ivo af haelewi.... haina haja ya kumuelewesha 😢
@FadhiliMagana
@FadhiliMagana 3 ай бұрын
Mm najua mapastor wengi wanataka kusilimu ila wako Tu kwa ukristo kwa masilahi kwasababu mastor wengi wanalishwa na kanisa wanavaa kanisa watoto wao wanasomeshwa na kanisa, ila nakwambia mm wewe hyo n masilahi Tu ya kidunia Kesho akhera hakuna kitu kama hicho plz silimuni
@Elecovid
@Elecovid 3 ай бұрын
Waisilamu njooni kwa yesu
@Elecovid
@Elecovid 3 ай бұрын
Utawatoleaje sadaka mahiti sadaka
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 2 ай бұрын
​@@Elecovid😂😂😂😂mahiti ndio nn kiswahili hujui utajua kuisoma dini
@GilesKhamis
@GilesKhamis 3 ай бұрын
Mhamad siyo mtume wa Mungu ,abadani nyie waongo na qoran yenu
@JaneKyusa-xy9xz
@JaneKyusa-xy9xz 3 ай бұрын
Shafii umepotea yesu akusaidie mtu angali hai anaeza samehewa dhambi lakin si maiti
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 3 ай бұрын
Ndacha anawachanganya Wakristo wenzake Sana kuhusu uislamu. Ni muongo na hajui maneno gani yameongewa na Nani na wakati gani. Ni vema ajifunze kwanza kiswahili ili aweze kujua maana ya maneno kwa mfano tukisema mpe au mtolee tunamaanisha Nini.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 ай бұрын
Muongo ni wewe huyo shaffi wenu anamuogopa Ndacha, vitabu vyenu ni vya uongo ndiyo maana mnakimbilia kusoma biblia
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 2 ай бұрын
​@@FridayMwassaunasomewa biblia lakini iyo biblia pia unaikana kweli kafiri ni mkanushaji yeye kila kitu anakanusha
@justine-2707
@justine-2707 3 ай бұрын
Ndacha n mwalimu safi ana loloto ni mdmo to
@aliabdillahalialiabdillaha4475
@aliabdillahalialiabdillaha4475 3 ай бұрын
Wenzetu wakiristo sadaka wapeana Kwa pasta nje ya kanisa amepakisha renjirova na amejenga jumba la kifahari badala sadaka wapee maskini
@abdymaalim637
@abdymaalim637 Ай бұрын
Mbona shekh apigikelele na kujigamba Kwa kiburi melete ndacha na tupewe ilani ya siku mapema tuone aki toapofu
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 3 ай бұрын
Kuna siku nlikoment ndacha hajui lugha ila hubeba aya za kur ani na kutafsiri anavo taka ila ipo siku wataelewa tusichoke na tusapotiane
@bunyalagesp9121
@bunyalagesp9121 3 ай бұрын
Haki kutojuwa tu watu wote wangekwa waisilam hakuna tabu tungekuwa na taabu tunazipata pia usoga haungetokeleza kaa wakirsto wana embrass vile hivi
@martinmkoba361
@martinmkoba361 3 ай бұрын
Mungu ndio anasema yeye anageuza eti mungu ananukuu Mohamed 😅😅
@abdallahabubakar4282
@abdallahabubakar4282 3 ай бұрын
Ndacha aende hotelini akale kisha aagize chapati na nyama aone kama hataulizwa nani chapati nyama alafu asiseme yy
@clewis520
@clewis520 3 ай бұрын
Hayo mafundisho ya shafi ni hujuma….uongo.
@msemakweli243
@msemakweli243 3 ай бұрын
Shaffi ni mjanja sana maana ukiwaliza waisilamu wanasema maneno ya quran ni ya mungu na ukitaka maneno ya Muhammad ni kusoma hadithi za mtume sasa hapo ndo waisilamu uwa hawaeleweki
@adinanihashim7
@adinanihashim7 3 ай бұрын
Wewe ndo hujaelewa Yan hujaelewa kabisaaa qur-an ni maneno ya Mungu kuja kwa Muhammad yeye ananukuu tu
@msemakweli243
@msemakweli243 3 ай бұрын
@@adinanihashim7 sawa na hadithi za mtume je
@sizzle_tz
@sizzle_tz 3 ай бұрын
Usimtukane mhadhiri wetu wewe ndio unashida ya uwelewa. Point ni kwamba Mungu kaiteremsha Quran kwa mtume Mohamed lkn hadithi ni ufafanuzi wa Mohamed
@babazizu1255
@babazizu1255 3 ай бұрын
Ndacha hapa kakutana na chuma shafi chuma hiki
@isaackmlayy6228
@isaackmlayy6228 3 ай бұрын
pambana na ndacha uone
@msemakweli243
@msemakweli243 3 ай бұрын
Mungu hana msamaha na maiti hapo mnadanganya watu wasiojua kitu watajua kweli
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 ай бұрын
Nini maana ya lambilambi
@FadhiliMagana
@FadhiliMagana 3 ай бұрын
Hujielewi wewe
@msemakweli243
@msemakweli243 3 ай бұрын
@@FadhiliMagana yawezekana lkn wewe ndo ukawa ujielewi maana yeye shaffi anaingea pumba mnasifia mungu akijitukuza anakuwa mmoja tena
@msemakweli243
@msemakweli243 3 ай бұрын
@@RamadanPaul nabii gani alitoa lambilambi
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 ай бұрын
@@msemakweli243 kwani ninyi kanisani huwa hamtoi rambirambi?
@banyankirubusamarc1727
@banyankirubusamarc1727 3 ай бұрын
Muongo shafi, waislamu mudai koroani ni maneno ya mungu, sasa mbona unasema muhamadi kasema ndani ya koroani alisema nini wakati munasema koroani ikashuka polepole kwa matawi ? Shafi hauna elimu yadini ,polojo tu.
@zaburionlinetv6245
@zaburionlinetv6245 3 ай бұрын
Ila watu kwa kujifanya wasomi mtandaoni kwaiyo hapa ndo umeandika Nini?
@nduwimanaamidou4009
@nduwimanaamidou4009 3 ай бұрын
@@zaburionlinetv6245 ameandika ujinga tu
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 3 ай бұрын
shida yako ni ubishi lakini Qur'an yenyewe unaogopa hata kuisikia. nenda kasome Qur'an utafaidika kujuwa maandiko, kumjuwa Mungu na utajifunza hekima
@AliKhalid-we4qn
@AliKhalid-we4qn 3 ай бұрын
Na wew unaakili ndogo Sana
@banyankirubusamarc1727
@banyankirubusamarc1727 3 ай бұрын
@@zaburionlinetv6245 ww hauelewe nilico kiandika? Nilico andika nihivi, Waislamu wakati wanafanya mdahalo na wakristo , wanasema ndani ya bibliya kuna maneno ya wana damu, wawo kasema koroani nimaneno ya mungu tu, lakini tunaenda kuona mumahadi akasema, si ivyo tu, na majini akasema , lakini mukasema , koroani ni maneno ya mungu tu, apo hamuoni kama mnadanganya watu ? Lakini kwenu kutumia uongo kwa manufaa ya dini yenu ni halali.
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 65 М.
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 660 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 20 МЛН
Интересно, какой он был в молодости
01:00
БЕЗУМНЫЙ СПОРТ
Рет қаралды 3,7 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 145 МЛН
Wanaficha Biblia Zinazomtaja Muhammad - Mchungaji Dominic
3:52
# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?
3:22:51
SAUDIA IMEWARUHUSU MAKAFIRI KWENDA HIJJA |SHEIKH ABDUL RAUF AL MUNAWIY
16:44
USTADHI SHAFII APINGA UTATU MTAKATIFU, AWAUMBUA UST DANIEL MWANKEMWA NA MCH. NDACHA
26:09
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 660 М.