SINGELI ya DULLA MAKABILA YAMUINUA RAIS SAMIA, ACHEZA KWA FURAHA HUKU WAMAMA WAKIJIRUSHA MBELE YAKE

  Рет қаралды 58,699

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

SINGELI ya DULLA MAKABILA YAMUINUA RAIS SAMIA, ACHEZA KWA FURAHA HUKU WAMAMA WAKIJIRUSHA MBELE YAKE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kwenye Sherehe ya Kilele cha Miaka Miwili ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita iliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT) katika Uwanja wa Uhuru Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Machi 19, 2023.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 19
@pancraskazimoto3028
@pancraskazimoto3028 Жыл бұрын
Mama yetu,Rais wetu.
@pancraskazimoto3028
@pancraskazimoto3028 Жыл бұрын
Na Mwenyezi MUNGU BABA mwenyezi aendelee kutulindia Mh Rais wetu MAMA SAMIA🙏.
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Жыл бұрын
​@@pancraskazimoto3028 amin
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
Mashallah
@faridapandu7579
@faridapandu7579 Жыл бұрын
❤❤💕💯💯💯
@WilbertMmary
@WilbertMmary Жыл бұрын
Pongezi nyingi kwa Mama👏👏👏
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 Жыл бұрын
Mie ni murundi lkn nafuraiyaga sn unavi Léa watoto miaka 2 kimya kimya wanaume marais wa Afrika mtuachie kwanza wamama hadi Raha uongozi wa kiwislam anatia n'a huruma n'a hofu ya Allah
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 Жыл бұрын
Mama yetu tunampenda sana
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb Жыл бұрын
Dah, tushafika huku... kweli
@InocentPius
@InocentPius Ай бұрын
Naona kinana mbn alijiuzulu
@AgnessKomba-qg1es
@AgnessKomba-qg1es 7 ай бұрын
Pambe sana
@tuntufyecharles1647
@tuntufyecharles1647 Жыл бұрын
Mama hana papala ni mkongwe katika uongozi, ametulia
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@lydiamsheri4095
@lydiamsheri4095 Жыл бұрын
Duuuu haya
@JosephPlasidy-ov5pb
@JosephPlasidy-ov5pb Жыл бұрын
We
@shughulipevu4697
@shughulipevu4697 Жыл бұрын
Hizo nyimbo za hivyo Huwa wanatunga hapo hapo ujanja ujanja tu
@johnsulle4679
@johnsulle4679 Жыл бұрын
Vigodolo kawaida tu
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Ni kawaida sana maana kwa kweli tumetoka kwenye utawala wa ukatili, udictator,kuuliwa kwa watu,upinzani kuonekana ni uadui na wapinzani kuwekwa ndani kubambikiziwa kesi,kupigwa risasi wapinzsni,Miradi yote aliyoiacha Magu ,Mama anaiemdeleza hakuna iliosimama na maendeleo mengine yanafanywa kama kujengwa shule za kisasa nchi nzima,kuimarishwa kwa kilimo nchi nzima.Mama anaupiga mwwingi na wananchi wake wanaishi kwa Amani na utulivu.Nani kama Mama?.Hakuna.
@shukulutumaini
@shukulutumaini Жыл бұрын
Mnasifu upumbavu na ujinga semen ukwel sio kutaka sifa za kijinga
Dulla Makabila - Tuzo (Official Video)
3:58
Dulla Makabila
Рет қаралды 727 М.
Зу-зу Күлпаш 2. Интернет мошенник
40:13
ASTANATV Movie
Рет қаралды 540 М.
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 29 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 919 М.
DULLA MAKABILA AWASHIKA SEGEREA NA SINGELI, MAGUFULI AMVULIA KOFIA
7:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 390 М.
Professor Jay feat Alikiba - CALLING (Official Music Video)
4:26
ProfessorJay
Рет қаралды 541 М.
MZEE AMWAMBIA RAIS MWINYI UOVU WA ZANZIBAR BILA KUOGOPA.
6:36
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 44 М.
Utacheka utani wa Stan Bakora kwa Dulla Makabila na Dj Wake
10:03
Mwananchi Digital
Рет қаралды 84 М.
Зу-зу Күлпаш 2. Интернет мошенник
40:13
ASTANATV Movie
Рет қаралды 540 М.