UNABII WA MAMBO YA SIRI - CHIEF APOSTLE MTALEMWA

  Рет қаралды 137,979

CHIEF APOSTLE MTALEMWA BUSHIRI

CHIEF APOSTLE MTALEMWA BUSHIRI

7 жыл бұрын

Пікірлер: 236
@munahmirumbe7536
@munahmirumbe7536 4 жыл бұрын
I believe this pastor ni kwel mungu unatumikia ubarikiwe sana mtumishi
@japhetjoseph1772
@japhetjoseph1772 5 жыл бұрын
Most of people wanafunga maisha yao kwa ujuaj Ikumbukwe biblia iyo iyo inasema hekima ya wanadamu n upuuzi.. Jamn kama umecomment baya you're wrong..!!! Uyo mtumishi n wa mungu kabsa. Alafu kwann wakristo usijifunze kusikia saut ya mungu jamn..wakristo Fanya uwezalo upate kusikia rohoo mtakatifu anapo ongea kutokujua rohoo anapo ongea kuna garama sana ona hadi kuna hadi walokole kacomment vibaya...mungu akusamehee nakuombea kwajina LA yesu ufunguke macho na masikio iliupate kutembea katika mapenzi ya mungu kikamilifu kama una Amin sema Amen... Siri ya kusikia rohoo akinena ni kuampakristo nafasi kubwa ndani yako katika maisha yako. Enjoy ktk kristo Shalom
@MarryceMchomvu
@MarryceMchomvu 2 ай бұрын
God bless you Dadiii Mungu aliyetuumba anakutumia 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢Jamn Mungu atuhurumie
@user-dd4yn1ek5v
@user-dd4yn1ek5v Ай бұрын
Be bless our pastor unahekima sanaaaaaa 🙏🙏🙏
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 6 ай бұрын
Mungu azidi kukupa huduma njema.
@eliamkonda5162
@eliamkonda5162 7 жыл бұрын
Mungu atawadhibu kwa Matendo yenu
@giftqueen7152
@giftqueen7152 5 жыл бұрын
I wish to be in that church but problem I'm in America but there's day I will be with that pastor one day
@vailethedson3530
@vailethedson3530 5 жыл бұрын
ee mwenyezi mungu tuonyeshe njia ya kweli
@godisgreat1845
@godisgreat1845 4 жыл бұрын
Mumesha onyesha njia ya yessu aliyopiga
@bongovibe1427
@bongovibe1427 7 жыл бұрын
Jamani twacheni tutapeliwe, Nalipenda hili church na watumishi wake Amen. #God_is_good Thank you #chief
@trecylove0945
@trecylove0945 6 жыл бұрын
lipo dar sehem gani
@benueniinnov7855
@benueniinnov7855 6 жыл бұрын
Kwa sababu hilo ni halalisho la kwenda kwa waganga hivyo kama upo comfortable endelea. Lakini utafakari kama kweli wa mpenda Mungu na sio kupiga Ramli kwa wenye mapepo ya utambuzi basi fikiri mara mbili
@alexmotivationshome3215
@alexmotivationshome3215 5 жыл бұрын
Official Platnumz
@natyvan4071
@natyvan4071 5 жыл бұрын
@@benueniinnov7855 Amina kubwa
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
Msukule hawezi kujua kama Alipo sio mahala salama! Endelea tu akili sio zako
@daudiazizi8495
@daudiazizi8495 6 ай бұрын
Muacheni mtumishi wa mungu atende mema
@patricksebastian5617
@patricksebastian5617 7 жыл бұрын
so powerfull I like it God icrease your power to your selvant in jesus might name
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 Жыл бұрын
Mtalemwa mungu akubariki sana kwa kazi kubwa unayoifanya
@benjoliga1136
@benjoliga1136 5 жыл бұрын
Uaguzi tu huu mnaufanya afu mnasingizia nguvu ya Mungu, acheni kutumia nguvu za giza za kufanya utambuzi wa kipepo afu mnatumia mgongo wa Yesu kutapeli watu.. Haya mnayoyafanya mtayatolea hisabu shauri yenu
@CharlesMakasi-jp2hs
@CharlesMakasi-jp2hs Ай бұрын
Lait ungejuwa usinge ongea pumba zako hzo
@acepionage23
@acepionage23 5 жыл бұрын
God bless you son of major 1. You are a blessing. Tanzania is blessed
@prosperjuma905
@prosperjuma905 5 жыл бұрын
Ndipo Bwana akaniambia, Hao manabii wanatabiri uongo kwa jina langu mimi; mimi sikuwatuma, wala sikuwaamuru, wala sikusema nao; wanawapeni unabii wa maono ya uongo, na uaguzi, na neno la ubatili, na hadaa ya mioyo yao. Yeremia 14:14
@prophetochuodhoisayaminist2854
@prophetochuodhoisayaminist2854 6 жыл бұрын
I LOVE YOU CHIEF
@josephineneema6117
@josephineneema6117 6 жыл бұрын
I love you son of major 1
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 5 жыл бұрын
Hii ni story walitengeneza uyu paster ako na story yote saa anatanganya hapa muongo uyu
@user-uc2ps4fq5j
@user-uc2ps4fq5j 4 ай бұрын
Amen
@joycemorice6655
@joycemorice6655 7 жыл бұрын
mi nacheka kama mazuriii Mutalemwa Mungu anakuona ujue
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
Unamjua nini??🤣🤣🤣
@pastor.kanunikayombo7864
@pastor.kanunikayombo7864 6 жыл бұрын
Hosea 4:6. Ukisoma hii utamjua Mkristo waleo . Mitume wazamani walitabiri yajayo ,ila waleo wanatabiri yaliyo pita.Somen Neno hubirini Injili ambayo Kristo alituagiza
@ostazclassic3370
@ostazclassic3370 5 жыл бұрын
Ndugu zangu naomba number za huyu mchungaji👍iam from America
@moannamzigua9293
@moannamzigua9293 4 жыл бұрын
Thats our Cheeeeeaf,Son of Major One
@stanleyrububura4000
@stanleyrububura4000 4 жыл бұрын
Hili Kanisa liko wapi Moanna?
@xmartwhite180
@xmartwhite180 4 жыл бұрын
Power
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
Who is a minor? If u call a zimbabwean conman a major??
@ngassakashindye8706
@ngassakashindye8706 5 жыл бұрын
Mungu wangu! mpaka hapa serikali inapaswa kuingilia kati, kweli kabisa!
@bonifacenaaly6414
@bonifacenaaly6414 5 жыл бұрын
Mnao sema hiv niwachawi wakubwa nguvu zenu zinatolewa ndo maan mnablem na mtakoma mwaka huu
@princesssway1396
@princesssway1396 4 жыл бұрын
Kabisa elfu 50
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 5 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni uliyemtuma Yesu Kristo aje atuokoe katika utumwa wa dhambi tunakuomba uwashugulikie hawa manabii wa uongo wanaolichafua Kanisa lako.
@atughanileraphael9178
@atughanileraphael9178 5 жыл бұрын
Acheni kuwahukumu makuhani wa Mungu bali Mungu atawahukumu mwenyewe msije mkafanyiwa kama alivyofanyiwa Miriam dada yake Musa kwa kupigwa na ukoma maana alikuwa amemsema vibaya mtumishi wa Mungu kwa kuwa Musa alioa mwanamke Mkushi wakati sheria ya yao ilikuwa ni Waebrania hawakuruhusiwa kuoa nje na kabila lao. Mriam na Haruni walihusika kumsema vibaya Musa lakin aliyepigwa ukoma ni Miriam tu why? Kwa sababu Haruni alikuwa na vazi la kikuhani. Watumishi wa Mungu pigeni kazi bila woga maana aliyeupande wenu ni mkuu sana na walioupande wenu ni wengi zaidi kuliko walioupande wao.
@choba7101
@choba7101 5 жыл бұрын
Acheni kumchezea Allah nyinyi. Mnajuwa kuwa mnapotosha umma wa wa Tanzania. Hakuna Nabii hapa.
@CharlesMakasi-jp2hs
@CharlesMakasi-jp2hs Ай бұрын
Acha pumba zako wewe
@abednegomawalla337
@abednegomawalla337 7 жыл бұрын
wooooow!Very Powerful.God blessing U Man of God!
@johnsonlweyemam7944
@johnsonlweyemam7944 4 жыл бұрын
MAJOR ONE endelea kutabiri Baba... Watu ni wavivu wa kusoma Biblia hawajui kuwa Manabii wote walitabiri ,..WOTEEEEE.... Hata YESU PIA ALITABIRI kama kuna ayebisha aje hapa tufanye Dibate ..
@japhethgeriad4519
@japhethgeriad4519 3 жыл бұрын
0620338433- WhatsApp tufanye debate, huu UTAPELI HAUFAI
@stevenmsaaada.msaada.389
@stevenmsaaada.msaada.389 5 жыл бұрын
Upumbavu Kabisa. Wachungaji makanisa wanayageuza kuwa nyumba zaramli. Jaman. Hawajiongezi ata kujiongeza ata kidogo waumini.
@japhethgeriad4519
@japhethgeriad4519 3 жыл бұрын
Ubarikiwe na Asante kwa kuliona hili.
@elikanamikaaya5983
@elikanamikaaya5983 5 жыл бұрын
Kwa hakika Yuko mungu Kwa nabii atukumbuke watu wa arusha
@japhetandrea4533
@japhetandrea4533 5 жыл бұрын
jaman wat wa mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@newbornhaule1635
@newbornhaule1635 5 жыл бұрын
Ninachoshangaa hawa wanasali hayo makanisa Miaka mingi wapo humo au amefika tu anakutana naunabii huu naomba Mungu wa mbinguni aliye hai aseme kitu namioyo hii Neno Lake walijue
@sophiamarwa4067
@sophiamarwa4067 Жыл бұрын
Pastor naomba unikumbuke baba🙏🙏
@samwelyohana9992
@samwelyohana9992 6 жыл бұрын
Mungu akubariki papaa
@muttarutta1963
@muttarutta1963 5 жыл бұрын
Wapenzi msiziamini kila roho,bali zipimeni kama zinatoka kwa MUNGU, kwasababu manabii wengi wa uwongo wamekwisha kua duniani 1 yohane 4:1
@ashoopapa3595
@ashoopapa3595 4 жыл бұрын
Pia mungu haikumbuke familia yako.
@simonlulenga7062
@simonlulenga7062 5 жыл бұрын
Mzee usiwe mjinga. Umeokoka halafu unamsikilize huyo mganga wa kienyeji! Umemwacha YESU! Acha upumbavu baba yangu. Kwa nini una mashaka na Mungu wako?
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 4 жыл бұрын
Simon Lulenga point
@arthurmwakanyamale7651
@arthurmwakanyamale7651 7 жыл бұрын
nzur sana BABA, mtoto wa NABII BUSHIRI (MAJOR 1 )
@emmanueljosephati3192
@emmanueljosephati3192 Жыл бұрын
Manambii wa michogo🤣🤣
@pascalmgaza2230
@pascalmgaza2230 2 жыл бұрын
Amen!
@mathayopapiasi8872
@mathayopapiasi8872 3 жыл бұрын
Wameraniwa Wawa tegemeae wanadamu namoyoni mwake wamemuacha Bwana Yeremia 17:5
@mrambaalphonce2164
@mrambaalphonce2164 3 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamizwa kwakukosa maarifa Hosea 4:6
@zarinahqueen5894
@zarinahqueen5894 6 жыл бұрын
Amen 🙏🏻
@bobwhite9252
@bobwhite9252 3 жыл бұрын
.if a man can cheat by using Gods name ..he fears nothing on this earth.
@giftqueen7152
@giftqueen7152 5 жыл бұрын
I need God to save my life
@victoriaprist4953
@victoriaprist4953 5 жыл бұрын
sio uongo huyo Baba namjua anaitwa John kasase,aliyo mwambia ni sahihi
@josephpnnnkihiyo928
@josephpnnnkihiyo928 7 жыл бұрын
papaaa my God bless you.....Power|Chief apostle
@lisazollner8315
@lisazollner8315 7 жыл бұрын
Josephp nn n Kihi
@micharazomjengo6092
@micharazomjengo6092 7 жыл бұрын
ambariki kwa utapeli? fyuuuuuuuuu
@benueniinnov7855
@benueniinnov7855 6 жыл бұрын
For such are false apostles, deceitful workers, transforming themselves into the apostles of Christ. And no marvel; for Satan himself is transformed into an angel of light. Therefore it is no great thing if his ministers also be transformed as the ministers of righteousness; whose end shall be according to their works.
@clarashirima5378
@clarashirima5378 5 жыл бұрын
Iyee POWER
@twilumbakabelege3426
@twilumbakabelege3426 3 жыл бұрын
Mmmh jamani jamani huruma
@msskandi3316
@msskandi3316 7 жыл бұрын
ubarikiwe sana mchungaji
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 5 жыл бұрын
Mss kandi; abarikiwe kivipi? wewe nikipovu uoni uyu paster ni muongo nyie motoni
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 жыл бұрын
yaah mm huwa mnalichekesha sana maaana n zaid ya bongo movies ( madebe lidai)
@saidasaidisaida9230
@saidasaidisaida9230 5 жыл бұрын
Amen 🙏
@angeloagustino4071
@angeloagustino4071 5 жыл бұрын
mungu akutumie zaid
@worshipertv9968
@worshipertv9968 6 жыл бұрын
nabarikiwa sana mtumishi
@benueniinnov7855
@benueniinnov7855 6 жыл бұрын
ungeenda tu kwa waganga kupiga ramli kama ndio suluhisho ulipendalo.
@naomilemi4717
@naomilemi4717 5 жыл бұрын
mnadhalilishwa kbs. sasa injili mnajifunza muda gani? mnavopigiwa ramli. jamani
@agnesamani5250
@agnesamani5250 3 жыл бұрын
sema nami nabii mtalemwa naomba maombi yako
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 жыл бұрын
wwnzetu watabiri wao n nabii waislamu akikuambia nyota yako wanaitwa waganga daah dunia hii et nabiiiii ila cku ile mbe ya muumba mbingu na nch sir zore ztafichukaaa
@janemacha5642
@janemacha5642 3 жыл бұрын
Amen😭
@stevefurahamwakyange9705
@stevefurahamwakyange9705 5 жыл бұрын
Aimeen
@eliamkonda5162
@eliamkonda5162 7 жыл бұрын
Akili za watu wakati mwengine huwa, unaenda likizo, kwa hiki kizazi cha nyoka Kilicho laaniwa hata kaa atokee Nabi. Wanajifanya manabii wanafanya vitu ambavyo hata YESU hakufanya na watu wanapumbazwa na madawa mnakumbuka
@japhetjoseph1772
@japhetjoseph1772 5 жыл бұрын
Akili yako ndio iko likizo tena kwenye tumbo la uzazi wa nyoka . Umesahau yesu alisema watafanya haya na zaid ya haya . Futa mbumba yako kasome biblia upate maarifa ukomboe akili zako hili usiteketee. #somabibliaondoaujinga
@edsonmruma4833
@edsonmruma4833 5 жыл бұрын
Tena hujitambui bora unyamaze kama humjui Mungu nyamaza.
@chilamboxhila2716
@chilamboxhila2716 5 жыл бұрын
unahitaji special prayers kwa sabab shetani amekufunga, never fight the man of God usije ukalaaniwa, Chief Apostle son of Major 1 chapa injili ya Kristo Yesu ulimwengu ukombolewe
@victoriaprist4953
@victoriaprist4953 5 жыл бұрын
nabii kasema kweli kwa huyo Baba,amuombee aache uzinzi ni mchungaji
@yagwisheheke1352
@yagwisheheke1352 6 жыл бұрын
hatofautiane sana na wale wanaopiga ramli
@demetriajohn6431
@demetriajohn6431 5 жыл бұрын
Jamani wewe muhaya tapeli,umeona kutoka kimaisha ni kufanya uganga madhabahuni,ole wakoo,tubu mapemaunawapofusha macho watu ,nanyi washirika,scheni uvivu,someni NENO
@xmartwhite180
@xmartwhite180 4 жыл бұрын
Pumbavu zakoo huna adabu wew km unaona mtalemwa anaongea uwongo umewashwa nin ku comennt shenz wew huna adabu utakufa wew kwa laana za watumish hujui unaloongea fara wew
@daudiazizi8495
@daudiazizi8495 6 ай бұрын
Nyie mulie bisha Muna roho za wale walio haribiwa na maji wakati wa nuhu
@gullaalex6590
@gullaalex6590 4 жыл бұрын
Mmmh makubwa Sasa ni kanisan au kilengen!!
@janekikoti2179
@janekikoti2179 4 жыл бұрын
😌😌uwiiiii!
@anthonmosama7747
@anthonmosama7747 Жыл бұрын
shida yangu ni mavazi mbona wanawake wavae trousers kanisani na hapo MTU hawezi nitoa wanawake wavae nguo zao tena za kuwasititri
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
Sikuhizi Kuna show za ajabu sana, msanii mmoja alafu Misukule kama yote
@angeloagustino4071
@angeloagustino4071 5 жыл бұрын
mimi sijui kama uwongo au laa
@angeloagustino4071
@angeloagustino4071 5 жыл бұрын
mimi nawatazaji hatujui kua niukweli au uongo
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 5 жыл бұрын
Tapeli Mkubwa eti elfu 50 kwa Mungu there is nothing like that mmekubaliana kutoa ushuhuda wa uongo
@valentinemasalu7363
@valentinemasalu7363 7 жыл бұрын
Joyce Meyer kiswahili
@andreymalisa1625
@andreymalisa1625 5 жыл бұрын
Eeh mungu tuokoe
@rosedeus9295
@rosedeus9295 7 жыл бұрын
Jesus power
@dosomethingmymajoroneberna3595
@dosomethingmymajoroneberna3595 7 жыл бұрын
I appreciate u my Chief apostle
@deboraadam4962
@deboraadam4962 6 жыл бұрын
duuu hizo hela vipi jamani huyu nabii duu
@johnsonlweyemam7944
@johnsonlweyemam7944 4 жыл бұрын
Tena kwa kuwaonjesha kidogo tu ktk ilo somo la UTABIRI 1-Yesu alipomtabiria yule mama pale kisimani 2-
@piusthomas5713
@piusthomas5713 3 жыл бұрын
Ila hajawai kuanika mtu kwa watu
@japhethgeriad4519
@japhethgeriad4519 3 жыл бұрын
@@piusthomas5713 Hallelujah 😁😁😁
@shadrackhaonga6016
@shadrackhaonga6016 4 жыл бұрын
Sio kila nabii anaekutabiria ni Mungu hapana wengine ni roho ya uaguzi inatenda kazi anaweza akasema mambo yako yote kumbe ni pepo wa uaguzi anatenda kazi lakini wengine wanaenda kwa waganga wa kienyeji na wanapewa hirizi au pete kwa ajiri kutambua siri za watu Mkristo kuwa makini soma neno jifunze neno la Mungu achana na maigizo hayaa
@melinasbugombo2690
@melinasbugombo2690 5 жыл бұрын
Huyu nabii tapeli kweli anapenda pesa manabii wa uongoo
@xmartwhite180
@xmartwhite180 4 жыл бұрын
Wal hatk pesa zako kwend
@benueniinnov7855
@benueniinnov7855 6 жыл бұрын
Muweni mnazipima hizi roho maana nyingine zinakuja kwa njia ya kujifanya zinatoka kwa Mungu lakini kumbe sivyo. Wengine wanayo mapepo ya utambuzi. Hii ni imani ya namna gani?
@jeromesapi4933
@jeromesapi4933 6 жыл бұрын
Manabii wapo wa aina nyingi sana wapo hata wa shetani pia wapo! Kwa huyu jamaa ni mganga aliyo boresha huduma
@salummohdnyiga9760
@salummohdnyiga9760 5 жыл бұрын
Jerome Sapi ni kweli kabisa wanabadili mifumo tu ila ni mganga anayepiga lamli
@japhetjoseph1772
@japhetjoseph1772 5 жыл бұрын
Utakuwa wewe unajua wa ganga nn.. Au kaz kujiadai ujuaji maana hii nikasumba inayo Tanzania Don't speak shit like this once again
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 7 жыл бұрын
Namna hii Afrika haiwezi kuendelea. Sijui kwanini serikali zetu zinaruhusu upuuzi, ujinga na utapeli wa wazi kama huu. Hamna cha nabii wala nini bali utapeli. Wote unaowasikia kuanzia Rwakatare, Gwajima, Kakobe, Mwakasege, Lusekelo na matapeli wengine ni waganga njaa na waganga wa kienyeji wanaotumia Biblia. Hawana tofauti na waganga wa kienyeji wa kiislamu wanaojiita mashehe na madaktari wakati ni mavi matupu.
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 2 жыл бұрын
@@ngetadonn230 akuponye wewe unayepwakia upuuzi kama siyo kufaidika nao. Afrika tutaendelea kutegemea miujiza hadi lini? Nkwazi Mhango MB Kanada
@linussjoseph1126
@linussjoseph1126 6 жыл бұрын
Kiongozi wa vipofu ww Huon haya muongo mkubwa ww badala ya kuwapa watu suruhu unawafarakanisha!! Utatoa hesab mbele za Mungu
@linussjoseph1126
@linussjoseph1126 6 жыл бұрын
Na alaniwe anaehubiri injili kama hii Hii sio injili ya Yesu kristo
@deogratiasmtui1809
@deogratiasmtui1809 5 жыл бұрын
Huu ni usenge
@eriakimumarwa4413
@eriakimumarwa4413 3 жыл бұрын
Dahh
@deus8629
@deus8629 5 жыл бұрын
wewe Tausi wewe.... unamtembelea mwenzako hivo.... na wewe teddy Mbona haukumsaidia kwenye hizo shida zote hivo
@emilywanje9256
@emilywanje9256 3 жыл бұрын
chifu namba no
@ladymontana4375
@ladymontana4375 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣 habari za hao wafuasi wako puurofesaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@agnesslihagasa6592
@agnesslihagasa6592 6 жыл бұрын
MUNGU atuponye ,aiseee
@yegelashimbi7149
@yegelashimbi7149 3 жыл бұрын
Mungu akutumie mtumishi
@simonlulenga7062
@simonlulenga7062 5 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu yeyote huwa haibishi watu mbele za watu. Ukiona mtu anajiita nabii au mchungaji halafu anasema siri za watu hadharani hoyo ni mshirikina tu?
@simbamweusi3410
@simbamweusi3410 5 жыл бұрын
Church movie
@marcodominico9503
@marcodominico9503 6 жыл бұрын
EII NIMEMWONA YULE BIBI KAPITA PALE MLANGONI......YAANI MPAKA YESU AJE KURUDI MTAKUWA MMETIA SANA WATU HASARA
@JosephMasha-qz3gr
@JosephMasha-qz3gr Жыл бұрын
😅😅
@simbamweusi3410
@simbamweusi3410 5 жыл бұрын
Duh
@thomassalakana6802
@thomassalakana6802 7 жыл бұрын
UWONGO MTUPU
@japhetjoseph1772
@japhetjoseph1772 5 жыл бұрын
Hahahah.. @Thomas salakana Kwenye jina lako kunapatikana jina hili tomaso Sasa tomaso tueleze yako ya kweli *kwamaana maandiko usema yohana3:21"basi yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika mungu " sasa uyo mtumishi hapo katenda waz waz wote tumeona je wewe yako yakuwapi yako wazi wazi au laah!!! Yesu ndio kweli na uzima alitenda mambo wazi wazi mpatekujua yametendwa katika mungu lakn wanadamu hatukujua tukamsulubisha na kusema n uongoo kama uo ulio andika hapo Jirekebishe toka ulipo kuwa kwenye viuno ulipinga yesu akasulibiwa akafa paka sasa unaendelea namambo yako ya karne na karne zinduka embu soma kisa yohana18:37>> macho na akili za wanadamu yanavyo jugde wako radhi mbakaji,muuwaji hawe huru lakn mtu wasio jua hata kosa Lake vizur asulubiwe ukisha soma hicho kisa tafakar ulicho comment unajua uongo wa mtumishi huyo. #Tubuuuendembinguni
@careencharlescharles9749
@careencharlescharles9749 4 жыл бұрын
Baba na mimi nitabilie
@sara.wanjalaalipoyesuyotey3613
@sara.wanjalaalipoyesuyotey3613 7 жыл бұрын
Amen nimebarikiwa nimefunguliwe na mimi pia God Bless you
@deboraadam4962
@deboraadam4962 6 жыл бұрын
Sara. Wanjala Alipo Yesu Yote Yanawezekana duu
@lilianamonmdogo6624
@lilianamonmdogo6624 5 жыл бұрын
ujue kila mtu na imani take jaman wewe ukiamini kuwa ni mambo ya kweli sawa!! pia ukiamini kuwa ni uongo sawa!! maana kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe
@gracejohn4442
@gracejohn4442 4 жыл бұрын
Kwel kabisaa lilian👏👏
@jacobndamayape8636
@jacobndamayape8636 5 жыл бұрын
Mwenye 50😂😁😁😁
@princesssway1396
@princesssway1396 4 жыл бұрын
Nimeshangaaa
@santyhassan4186
@santyhassan4186 7 жыл бұрын
Aisee wewe muongo umepanga ushuhuda wa uwongo michezo hiyo tumeisha izoea wadanganye hao
@princesssway1396
@princesssway1396 4 жыл бұрын
Yaan elfu 50 uyu noma
@twilumbakabelege3426
@twilumbakabelege3426 3 жыл бұрын
Hapana jamani, hebu aminini bila kushuhudia
@abdashmjahid7239
@abdashmjahid7239 5 жыл бұрын
Tena anawambia nime waenjoy nawao hawaelewi jamaa serikali ingilie haya mambo ya watapeli ndani ya makanisa hii ni laana wazi wazi
@yagwisheheke1352
@yagwisheheke1352 6 жыл бұрын
huyu jamaa. ni Mganga wa kienyeji absolutely
@xmartwhite180
@xmartwhite180 4 жыл бұрын
Alimganga mama ako
@natyvan4071
@natyvan4071 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 wagaga wengi kanisani
@gracemapunda9783
@gracemapunda9783 7 жыл бұрын
uje na kwetu Songea Mchungaji nasi pia tunahitaji maombi tuna matatizo
@pelusemanueli858
@pelusemanueli858 5 жыл бұрын
hahahahaa jamani mi na pita tuu
@deusmacinde8552
@deusmacinde8552 6 жыл бұрын
Uyu jamaaa nimeuthuria feroship yake mwongo uyoooo ni hatari,
@queenmariana5887
@queenmariana5887 7 жыл бұрын
uko wapi ww mtumishi niletee babangu ameteseka sana aky
@elizamilanzi5818
@elizamilanzi5818 3 жыл бұрын
Yupo makongo juu dada ang achana na hao wanaongea iv mara iv ivyo vitu nivyakwel mm nasali uko kikubwa imani
@emanuelyngatungs1000
@emanuelyngatungs1000 6 жыл бұрын
Niombee na Mimi nipo nahitaji msaada wako
@khatibushame203
@khatibushame203 5 жыл бұрын
Wewe ninabii wa uogo umetumwa Na shetani sitamani hata kukusikiriza
ANGALIA KILICHOMPATA MDADA HUYU BAADA YA KUACHWA NA BOYFRIEND WAKE.
22:55
CHIEF APOSTLE MTALEMWA BUSHIRI
Рет қаралды 162 М.
JINSI YA KUMTAMBUA ADUI YAKO
36:45
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 16 М.
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 24 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 28 МЛН
IS GOD OF MAJOR 1 REAL?
33:29
CHIEF APOSTLE MTALEMWA BUSHIRI
Рет қаралды 53 М.
TANZANIA'S NEXT PRESIDENT REVEALED /// PROPHET PETER MORWABE
3:09
Pr Peter Morwabe
Рет қаралды 38 М.
SOMO LA MADHABAHU NA CHIEF APOSTLE MTALEMWA ARUSHA 01 05 2017
1:18:54
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 27 М.
SEHEMU YA PILI YA SOMO LA KUSHINDA ROHO ZA MADENI
1:21:28
CHIEF APOSTLE MTALEMWA BUSHIRI
Рет қаралды 55 М.
KIBOKO YA WACHAWI AFUCHUA SIRI KWA KIJANA ALIYEKUA AKIMDHANIA MAMA YAKE MZAZI KUA NI MCHAWI
8:00
Dr Paul Hussein Mubarak 4
1:48:17
Membo Zamoka
Рет қаралды 31 М.
Highest level of prophesying-Prophet Shepherd Bushiri
12:54
Prophet Shepherd Bushiri
Рет қаралды 256 М.
FAIDA ZA REHEMA
49:49
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 6 М.
JE UMEZUNGURUKA KUTAFUTA MSAADA
15:09
CHIEF APOSTLE MTALEMWA BUSHIRI
Рет қаралды 15 М.
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН