SIRI ILIO JIFICHA KATIKA KUTOA ULICHO BARIKIWA EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 1,101

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

Пікірлер: 15
@kingabriellairashoboye1489
@kingabriellairashoboye1489 5 ай бұрын
Amina ubarikiwe sana kwa Mafunzo Mazuri
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 5 ай бұрын
Amen Amen 🙏 ubarikiwe sana mtumishi kwa somo hili. Bwana Yesu anasema ni heri kutoa kuliko kupokea. Na Roho mtakatifu kwa kinywa cha Paulo anasema ' kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwske, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu'. Kumtolea Mungu ni huduma njema. Na sio tu kwamba ni huduma njema, na ni hudumu iliyojaa baraka nyingi sana. Ndio maana unaona shetani amefanya watu kuwa na ugumu kwa utoaji hili msipokee baraka za Mungu. Na unampomtolea Mungu,usimpangie akubariki na nini toa na usahau, usikumbuke ulichokifanya ama ooh! Mungu nimekutolea hiki nami nipate hiki no no no. Sadaka uliyotoa ina sauti na ile sauti ya kiwako ya sadaka unayotoa ndio inayosababisha mbingu inene kwa ajili yako. Angalia sauti ya sadaka inatokea wapi? Yesu alipokuwa msalabani alilia Eloi Eloi, lama sabachthani? My God, My God, for what have you forsaken me..... ndipo sauti ya Yesu ikaenenda kote ulimwenguni ikimnunulia Mungu makabila ya kila aina. Akanunua wakenya, watanzania, wanyarwanda, wachina soote tukawa miliki yake. Hiyo ni sauti ya sadaka. Kiwango unachotoa kina maana sana, Just imagine kutoa mwana wa pekee. Abraham alipokuwa mlimani kutoa Isaka kama alivyoangizwa na Bwana.... sauti ya sadaka ikauliza Baba kuni tunazo, na kondoo ipo wapi? Abraham akamwambia God will provide.... wacha sadaka unayotoa iwe na sauti kwa Mungu, usimtolee Mungu mabaki... Ombi langu kwako mkono wa Mungu ukawe juu yako leo na siku zote, na baraka za Mungu zikatembee nawe kila uingiapo na utokapo katika jina la Yesu.
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 5 ай бұрын
🎉🎉🎉
@Eunice254-o7x
@Eunice254-o7x 5 ай бұрын
Mungu azidi kukulinda na kukupa nguvu ya kuendelea kufanya kazi ya mungu..
@NickTarimo
@NickTarimo 5 ай бұрын
Amin mtumishi Asante kwa mafunzo ya maombi mungu atuongoze sote
@MaryRichardNgereza
@MaryRichardNgereza 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mungu anajivunia sana wew azidi kukuinua zaid ya hapo na akulinde na ibilis
@QueenNyondo-h1m
@QueenNyondo-h1m 5 ай бұрын
Amen mtumish Amen🙏🙏🙏
@Eunice254-o7x
@Eunice254-o7x 5 ай бұрын
Amen God bless you
@Ushindiemmanuelushindi
@Ushindiemmanuelushindi 5 ай бұрын
Ameen mtumish
@remigioushofa2817
@remigioushofa2817 4 ай бұрын
Be blessed
@vokehmanmtotowamungu2888
@vokehmanmtotowamungu2888 5 ай бұрын
Ukwli MUNGU tusaidie 🙏🙏
@Pendopasilika
@Pendopasilika 5 ай бұрын
MUNGU nisaidie hiki ulichokieka kwangu nisaidie na wengine ubarikiwe mteule wa BWANA kwa somo hili najifunza kitu hapa
@Ushindiemmanuelushindi
@Ushindiemmanuelushindi 5 ай бұрын
Ameen mtumish
@Ushindiemmanuelushindi
@Ushindiemmanuelushindi 5 ай бұрын
Ameen mtumish
@Ushindiemmanuelushindi
@Ushindiemmanuelushindi 5 ай бұрын
Ameen mtumish
UKAHABA EV PASCHAL CASSIAN
1:09:38
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,5 М.
CASSIAN AZIDI KUVIFIKIA VIJIJI KUIHURI INJILI NA WAMISHONAL
46:51
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 92
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 120 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 13 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 11 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 26 МЛН
USFANYE AINA HII YA MAOMBI NI YA KISHEATANI EV PASCHAL CASSISN
58:57
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 4 М.
HUYU NDIO MPINGA KRSTO ALIE TABILIWA EV PASCHAL CASSIAN
52:00
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 4,6 М.
PASCHAL CASSIAN- MWANAUME NI MWANAUME TU!
5:10
Joakim work production
Рет қаралды 2,5 М.
CASSIAN APATA MATATIZO AKIWA SAFRINI AKINDA KUHUBIRI VIJIJIN ev paschal
14:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 111
DRAMA AT D.C.I GACHAGUA ARRIVING [GACHAGUA SURMONED BY DCI]
7:12
WAMUCHEMBE JUNIOR REALITY VIBES
Рет қаралды 35 М.
UPENYO MAHALI PASIPO NA NJIA (YOM KIPPUR) - Rabbi Abshalom Longan
50:17
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 7 М.
MASHAMBULIZI LIVE MKUTANONI MAKAHABA AWAVUWA GUO PASCHAL MKUTANO WAZIZIMA EV PASCHAL CASSIAN
36:20
CASSIAN NA MBARIKIWA WATA UWAWA MWEZI WA10  EV PASCHAL CASSIAN
37:39
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 9 М.
EZEKIEL FLORIBERT Ft PASCHAL CASSIAN - IPO FAIDA - ( Official Video)
7:06
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 120 МЛН