Amen amen ..Mtumishi ubarikiwe sana kwa kazi njema nmepata mafunzo na mwelekezo mzuri ( hapo nyumani nlikua nkiombea maadui wangu wafe na Mungu hakua anajibu majaribu ndio yalizidi nkapata neema nkaanza kuwaombea na Mungu alinipigania japo vita vya kiroho vimekua vingi ila naimani nitashida
@malkiarosemuhando33102 ай бұрын
Asante kutusaidia mtumishi wa Yesu barikiwa
@user-ii1qk9xn9z2 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN 🙏 ubarikiwe mtumishi kwa Neno hili la Kweli. Tuombe kwa ajili ya watumishi wake, injili ya kweli kuingia ndani ya mioyo yetu. Tuombe aepushe vipawa vyetu na uovu..na kujazwa tena na tena kwa Roho wake bali sio kuombea mahitaji yetu; tule nini au tunywe nini Baba yetu anajua tunayahitaji hayo. Mungu akutunze.... mtumishi Yesu mwenyewe alisema Baba wasamehe maana hawajui wanalolitenda.. ... hakuwaombea wafe..... stephano vile vile alipigwa mawe na hakuwaombea mabaya.... adui mlishe usioigane naye wala kumuombea mabaya...
@magrethmboya6563Ай бұрын
Mungu akubariki sna Mtumishi wa Mungu nimejifunza kitu kwa ujumbe huu
@user-rj2sh1hg4f2 ай бұрын
Àmeeeen asante Sana mtumishi umenifunza mengi sana ubarikiwe Sana zidi kusimama kikweli ni linet toka inchi ya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪👏🏽👏🏽🤝🤝
@AnodNzunda2 ай бұрын
Ameen mtumishi umenibaliki sana na hili neno
@cristianoprincegabrielles39512 ай бұрын
Preach Man Of God..... Napenda Mahubiri yako
@christinagodfrey8508Ай бұрын
Mungu naomba unisaidie🙏
@mpawenayojaphet-vg3hq2 ай бұрын
Amina, ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@eliyakiza93272 ай бұрын
Amina, balikiwa mtu wa Mungu.
@user-ek7pe7pb4k2 ай бұрын
Be blessed
@RoseMapunda-pd6vg2 ай бұрын
Amen amen amen
@user-ep9by3ui1v2 ай бұрын
Alléluia 🙌💖
@Pendopasilika2 ай бұрын
Mmh Amina Amina
@anjelanidino20472 ай бұрын
Amen 🙏🏽
@user-ph5uw3cv9m17 күн бұрын
Amina 😢😢
@furahag30982 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@user-dz8qh6yb2xАй бұрын
Amen🙏🙏🙏
@rosemarymwanitega79262 ай бұрын
Ameni
@hasanygodda92422 ай бұрын
Amen
@JaneChissawilo-dr7nn2 ай бұрын
Ameeen!!!
@user-es4jv6pb8x2 ай бұрын
AMINAAA
@Visionofeagle96892 ай бұрын
Aminaaaa
@SamweliMwita-ul2kh2 ай бұрын
Yumekalibia nyumban
@sarahgaula22202 ай бұрын
Inasema Kweli yaani sasa hivi mahubiri ni audui na mafanikio
@BenjaminTaxi2 ай бұрын
jambo mutumichi ni nayo churani kwako asante kwakazi ya bwana endeleya bwana a endeleye kuku tumiaya kama chombo ki ukweli wewe ni docteur katika imani ya kitumishi endeleya ku shimama katika imani?
@marcoharuni2 ай бұрын
Kila kitu shetani😂 wajinga ndo waliwao
@happnesskitumbo5713Ай бұрын
Soma biblia utaelewa kuwa hao ni manabii wa uongo.