Siri Iliyojificha Ndani Ya Ayatukursy No2 - Sheikh Yusuph Diwan

  Рет қаралды 37,752

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 53
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 3 жыл бұрын
Allah_akulipe_sanaaaaaaa_Duniani_na_Akhera
@nzabahimanadjuma7491
@nzabahimanadjuma7491 2 жыл бұрын
Shukrani Sheikh, Nina itwa Juma mnaweza kunijumrisha kina langu. Aksante
@makamehaji7097
@makamehaji7097 4 жыл бұрын
Mashaaaaa allah allah akulipe ujira mwema duniani na akhera amiin amiin
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 4 жыл бұрын
Allahu Akbar mashaa ALLAH tabaraka Allah, shukran sana Shaikh.Allah akuzidishie Elimu Aamiin
@salmakinangu141
@salmakinangu141 4 жыл бұрын
Mashallah....... shukuran kwa darsa nzur Allah akupe Jannah inshallah
@hamiduhamis157
@hamiduhamis157 3 жыл бұрын
Tupe namba yako
@zuberimasoud5728
@zuberimasoud5728 4 жыл бұрын
Masha Allah. Sheykh kwa sie wengine ambao majina yetu yana herufi ze ambayo hipo kwenye aya hii tuna hesabuje. mf. ZUBERI
@abukarhassan2663
@abukarhassan2663 4 жыл бұрын
MashaAllah .Allah akupe kila la kheir.Jazzakallahukheir
@halimaali4246
@halimaali4246 4 жыл бұрын
Mashaalwah mungu akuzidishie elim pamoja na watoto Wetu nitaifa lakesho
@tumajunior6080
@tumajunior6080 4 жыл бұрын
Jazzakallah Allah kareem akuzidishie darja ya juu zaidi ameen yarabby
@kazungucharo2413
@kazungucharo2413 4 жыл бұрын
Maasha Allah neema kubwa ilioje.
@shabaniramadhani657
@shabaniramadhani657 4 жыл бұрын
Allah akulipe kheri Sheikh wangu. Nilikuwa nasubiri kwa shauku ya Hali ya juu sana. Alhamdullillah
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 4 жыл бұрын
Shukran shekhe,ALLAH atakulipa kwa kutuelisha inshaallah🙏🙏🙏
@masiyomasiyo
@masiyomasiyo 4 жыл бұрын
Asanta sana Sheikh.
@mmasha456
@mmasha456 4 жыл бұрын
Shukran jazzillah Allah akulinde akupe afya tawili uzidi kutuelimisha
@jamalimaulidi6015
@jamalimaulidi6015 4 жыл бұрын
mungu akujalie elim
@swabraty1760
@swabraty1760 4 жыл бұрын
Jazakallah khair
@bellbell9294
@bellbell9294 4 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wangu kwa DARSA ZURI maasha Allah jazaka Allahu kher
@silimazdu1100
@silimazdu1100 4 жыл бұрын
SHEIKH YUSSUF ALLAH ATAKULIPA KWA KUTUPATIA MAARIFA MAKUBWA ALLAH AKUPE KHERI NYINGI
@komboramadhani6308
@komboramadhani6308 4 жыл бұрын
Mashallah
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 жыл бұрын
Jazakaallah sheikh
@mohdzimi7354
@mohdzimi7354 4 жыл бұрын
Asante shekh kwakutuelimisha
@salminbaleche2173
@salminbaleche2173 4 жыл бұрын
Shehe asante sana kwa maelezo marefu. Lakini twakuomba punguza urefu wa maneno nenda katika point inasomwaje. Tumeshaelewa kuwa inafanya mambo mengi laakin tueleze sasa tunaisomaje? Maana maelezo yanapozidi inakuwa hufundishi bali unahubiri. Wallaahu aalam
@1nesoch
@1nesoch 4 жыл бұрын
@@salminbaleche2173 Ndugu, kama wewe huwezi kuvumilia kuhubiri, basi wewe haujaelewa siri ya Dua. Yeye Sheikh anafanya vile ili kufundisha watu adabu ya subra ili uje kupata majibu kwa Dua ao ombi yako kwa Allah., Kama hauwezi kusubiri dakika 32, basi wewe haya sio mambo yako, ndugu. Wewe omba dua hii: Rabi zid'ni ilman, war'zuq'ni fahman, wa aq'lan, wa Hif'dhan, wa Hikman, birah'matika ya Arhama Rahimin
@abdulqadri555
@abdulqadri555 4 жыл бұрын
jazzakAllah khair
@maryammct3967
@maryammct3967 4 жыл бұрын
Mashallah
@makameothman1831
@makameothman1831 4 жыл бұрын
Allah akulipe kila la her
@abalkaram786
@abalkaram786 4 жыл бұрын
JAZAKALLAHUL KHEIR
@salmaalkyumi2270
@salmaalkyumi2270 4 жыл бұрын
Jazaka llahu lkhair 🤲
@maimunaomary704
@maimunaomary704 4 жыл бұрын
Shukran
@neemaneema4740
@neemaneema4740 4 жыл бұрын
Osintazi asante kwasomo zuri
@saq2626
@saq2626 4 жыл бұрын
JazakkaAllah!!
@assistantabudhabi4440
@assistantabudhabi4440 4 жыл бұрын
MashaAllah asante sana
@suleimanshaban2140
@suleimanshaban2140 4 жыл бұрын
ALLAH AKULIPE JANNAH,,,,,,shk kama Jina langu baadhi ya harfu hazimo katka ayatu kursy,, ITAKUWAJE??
@suleimanshaban2140
@suleimanshaban2140 4 жыл бұрын
Na pia kama jina limepita idadi ya sura 114 TWAFANYAJE???
@aminahassanal7530
@aminahassanal7530 4 жыл бұрын
Mmungu akulipe
@hemediramadhani1252
@hemediramadhani1252 4 жыл бұрын
Jazakumullah khayra
@ismailrsissango9579
@ismailrsissango9579 4 жыл бұрын
Mashaallah
@alvenmunroe9904
@alvenmunroe9904 4 жыл бұрын
Shekh mashallah ila unazunguka sana coz kama ayo maelezo ya idadi ulishayasema kweny darsa no moja
@masoudnaufal6981
@masoudnaufal6981 4 жыл бұрын
Hujalazimishwa kufuatilia masomo yake.. Kama unaona sheikh Diwani anazunguka basi tafuta wengine wapenda short cuts kama wewe.
@abalkaram786
@abalkaram786 4 жыл бұрын
Assalamu alaikum vipi hali uko sheikh yussuf... NIFUNDISHE DAWA YA HEDHI ILIOKOMA: DAWA MUJARRAB YA VIDONDA VYA TUMBO:
@sheikhyusufdiwan2489
@sheikhyusufdiwan2489 4 жыл бұрын
Abdulhamid Abalkaram nitafte whatsap nitakuelekeza
@dhiabmohammed4238
@dhiabmohammed4238 4 жыл бұрын
Assalam aleikum suala sheikh kuhusu maji unayotakiwa kuyasomea mbona kidogo na umesema unatakiwa unywe mara kwa mara na ukogee
@mselemhaji1969
@mselemhaji1969 4 жыл бұрын
Je hivyo unaweza kuwafanyia hata watu wasio waisilamu?
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 4 жыл бұрын
Ndio Maana ni tiba ya halali
@abalkaram786
@abalkaram786 4 жыл бұрын
Kama nambari imezidi sura 114 Je ni kitu gani sasa utaenda kufanya?.
@omararoza7766
@omararoza7766 4 жыл бұрын
Sheikh tufunze zaidi kwa kujua majina zetu idadi kwa ayat kursi, na hio wino ya halali ni wino ya kalamu za shule ama?
@mohamedmasoud6517
@mohamedmasoud6517 4 жыл бұрын
Samahani nilivofahamu ni kuandika kwa wino wa zafarani na unaandika ktk sinia au sahani
@salumsalumu5839
@salumsalumu5839 4 жыл бұрын
Sheikh asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh mbona maelezo mengi sana kuliko lengo au dhamira??
@fetysukafetysuka8811
@fetysukafetysuka8811 4 жыл бұрын
shukuran
@arjunpanditi8661
@arjunpanditi8661 4 жыл бұрын
Mashaallah
@stamilinsogolwa6979
@stamilinsogolwa6979 3 жыл бұрын
Mashaallah
Siri Iliyojoficha Ndani Ya Ayatu Kursy - Sheikh Yusuph Diwan
16:48
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 31 М.
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:45:26
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
БУ, ИСПУГАЛСЯ?? #shorts
00:22
Паша Осадчий
Рет қаралды 3 МЛН
Itumie Ayatul Kursiyu Kama Kinga No3 Na Namna Ya Kuitumia - Sheikh Yusuph Diwan
34:09
MAKUBWA YA AYATUL QURSIY/UCHAWI/MAHUSIANO/BY,SHEIKH YUSUF MSHINDO DIWANI/
28:39
Haya Ndio Matendo Ya Muumin Wa Kweli - Sheikh Othman Khamis
34:46
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 20 М.
Kwa maradhi ya aina yeyote jitibie kwa kisomo hiki _ Sheikh Othman Michael
35:15
MAAAJABU YA AYATUKURSIYU ( 8 ) KATIKA KUVUTA UTAJIRI - SHEIKH YUSUPH DIWAN
41:20
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 34 М.
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59