Shuk-ran sheikh! Allah akulipe kheri kwa kutufikishia mambo mazuri ambayo yalifichwa kwa miaka mengi
@khalfansuleiman62064 жыл бұрын
MAASHA-ALLAAH . M.MUNGU AKUZIDISHIE NA AKUHIFADHI NA ATUJAALIE MWISHO MWEMA
@abcmnbb26102 жыл бұрын
Shukran Shukran Hatamimi nimepona
@nuruali96084 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Yusuf..mwanangu Mwenyezimungu akutangulie njia zako..mzazi wako Nairobi
@sheikhyusufdiwan24894 жыл бұрын
Nuru Ali shukran sana mama allah atupe kheri sote
@sumaiahamimu67054 жыл бұрын
In shaa Allah SHEIKH tunasubiri. Shukran
@omisul46794 жыл бұрын
Mashallah we a waiting fo another darsa inshallh I love Qur an
@Wamakote4 жыл бұрын
Sheikh itumie ilmu yako vizuri, kama nia ni kuwasaidia watu basi usitumie mbinu za uongo kuwashawishi watu wakufuatilie au kutanguliza maslahi. Hukuwa na sababu ya kurefusha mazungumzo ya kawaida badala ya kwenda kwenye lengo. Ukilenga kuwasaidia watu fanya kwa ajili ya Allah.
Allah akupe darja sheikh wetu kwa kila ilmu uitoayo.Amiin Yaarab,
@saidishekalaghe34964 жыл бұрын
Shukrani sheikh kwa elimu unayotupatia.
@ilyasmuhsin32854 жыл бұрын
*Ukumbusho huwafaa wenye kuamini allah awazidishie masjid mtoro mnachokifanya ni kikubwa sana jazakallah kheir*
@maryammct39674 жыл бұрын
Amen
@sidratybinkhamis28374 жыл бұрын
Hakikani
@mamyemmymohd58914 жыл бұрын
Mashaallah
@abdifour49554 жыл бұрын
Shuk-ran sheikh
@abdifour49554 жыл бұрын
Insha Allah
@inabikorwaneema88154 жыл бұрын
Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh. Allah akuhifadhi
@shabaniramadhani6574 жыл бұрын
Tunasubiri Mwendelezo. Wama tashauna ila ay Yashaa Allah rabul Aalamin
@halimahamisi52034 жыл бұрын
Mashallah
@sadamsellemni28284 жыл бұрын
Mashallah uislm n nguzo yngu
@mozasaid38694 жыл бұрын
Shukran shekhe
@musayahya7024 жыл бұрын
Huu ndio ugonjwa wa kutanguliza maslahi kuliko huduma mimi ni mgonjwa wa sukari kwa miaka 10 leo mtu anaongea mambo mengi haongei kusudio sisi wagonjwa asili yetu tuna presha na hasira za karibu mimi nafikiria jambo lenyewe hujui mpaka ukaulize,siku nyengine koma wenzako tunaumwa halafu unatupa maneno dawa unaificha ,wew hujali wenzako
@aishamohammed42754 жыл бұрын
Mashaallah nasubiri shekhe
@asiaissa9764 жыл бұрын
Swallallahu alayhi wasallam
@nooor11204 жыл бұрын
Asalaam alaykum Lkn Sheikh ungejitahid ukamaliza somo tukafaidika kuna watu wahitaji wa hio ilm yako alokuneemesha Allah na ni wagonjwa hawajui wafanye mini sasa sheikh ungewarahisishia hio ilm na Allah angekurahisishia mambo yako Pia Allah kakuchagua kakupa hio ilm bora uifanyie hima uifikishe kwetu sio kutuweka tunaisubir wakati unajua km tunaihitaji .watu wagonjwa washahangaika sana na maumivu unayajua kwanini huwafanyii bidii ukaelezea kabisa wafanye kitu gani?
@ramadhanfoko79744 жыл бұрын
Chakwanza futa hicho kichwa cha habari maana umedanganya ikiwa hujamaliza maelezo yako na Allah anajua zaid.
Mpaka hapo sheikh umenichosha Yaani mazungumzo yoote hatimae hujafikisha nilicho kingojea kusikia na bado unaniahidi niwe nawe somo lijalo!
@ismailrsissango95794 жыл бұрын
Innallah Maaswabiriin
@sidratybinkhamis28374 жыл бұрын
Kuwa na yakini ni muhimu katk du'a
@abubilal43194 жыл бұрын
Sheikh dakika zinaisha bado hujagusa mada husika, una maana gani?... si vizuri hivi sheikh..
@Jempustate4 жыл бұрын
Style yake naiangalia upande wa kitapeli. Robo saa nzima anaitumia kusaka wateja tu. Mwisho eboo
@khamismussa63084 жыл бұрын
Darsa nyengine itakua lini ustadh?
@nusratnurdin64484 жыл бұрын
we mganga wakienyej
@hashimalsaadat49054 жыл бұрын
Shekhe Elimu Waitumia Vbaya Mana Wapoteza Malengo ya Yakusikilizwa Kwa Ulichokiandika sicho ulichokisema Jitafakari Vzuri muda Ni Mali .
@mabrukinalhumaimi3314 жыл бұрын
Sheikh naona Sasa kama unatupa tamaa kisha unatuacha njiani
@minabaka19104 жыл бұрын
Yani shekh unatufanyia usanii
@khamismussa63084 жыл бұрын
Usanii gani uliofanyiwa?
@abuubakariliongo13804 жыл бұрын
Ebu acha usanii katika mambo ya kweli maali watu wanamatatizo alafu unawadanganya
@أبوفيصل-د3ش4 жыл бұрын
Sufi
@masharubumabula26614 жыл бұрын
Imekuwa tabia ya watu wengi watoa vipande vitamu kwa ajili ya kuvutia wagonjwa katika biashara zao, na sio kwa ajili ya tiba au kuelimisha watu kama wanavyodai, kuna watu wagonjwa sasaivi na wataendelea kuumwa mpaka utakapo kuja tena na video nyingine wengine hawatoweza kuona hiyo video yako nyingine watakuwa wamekufa kwa maradhi ambayo hawajapa tiba au hawana uwezo wa kipesa na wewe tiba unaificha , hapo sijui utajibu nn ukiulizwa kwa kuficha elimu
@sheikhyusufdiwan24894 жыл бұрын
masharubu mabula hata kwa mtume wetu elim haikuja hivyo ilikuja kidogo kidogo we fanya subra asie kubali tabu ya kutafta elim basi ataipata atakapo zeeka kunguru
@Jempustate4 жыл бұрын
Ni business si jengine lolotè
@zalhaally97174 жыл бұрын
Sasa ostdh somo ulilotaka kulisema zuri na huku kutumalizia mb zetu ndo nini na hata hujamaliza ulivhokusudia muda mwengine mtafanya tuhame chanel yenu kwa mambo ya ajabu kama haya