Amen naamini lazima kwanguvu hii nitamiliki kwaviwango vya juu zaidi Pesa namakampuni makubwa kuanzia Sasa na ifanyikehivo
@elizabethndimbwa54703 ай бұрын
Ahsante sana kwa elimu nzuri
@sekelamwangobola1674 Жыл бұрын
Amen, kwa msaada wa Mungu naomba aniwezeshe, Amen
@greykafnar48279 ай бұрын
Amen
@philipocharles92392 жыл бұрын
Umenikumbusha mbaali sana bro,nimeishi na mama yangu wa kambo tangu nikiwa na umri wa miaka 10,haki mama yetu mdogo alikuwa akitutamkia maneno machafu na kututabiria kufa masikini mimi na wadogo zangu watatu,hii ilinijenga sana,nimekuwa mpambanaji usiku na mchana nikijaribu kupingana na utabiri ule,namshukuru mungu neno million 100 ni la kawaida sana kwangu na bado naendelea kupambana,💪💪
@Sirizabiblianautajiri2 жыл бұрын
Hongera Sana kaka Philipo Charles MUNGU ATAZIDI KUWAPIGANIA na LAZIMA UWE BILLIONAIRE. Wish You Good Fortune, Prosperity and Abundance
@philipocharles92392 жыл бұрын
@@Sirizabiblianautajiri Thanks 🙏😢
@edithavalelian2562 жыл бұрын
Hongera sana
@Sirizabiblianautajiri2 жыл бұрын
@@edithavalelian256 Thanks 👍🙏🙏🙏
@yusocomedy367tanzania9 Жыл бұрын
hogera sana bro
@EmanuelWawa4 ай бұрын
Amen,naiona kesho yangu bora zaidi kuanzia leo
@FelixMtivike5 ай бұрын
Asante kw kutufumbua mi nitafata maelekezom
@raismalingumutz8473 Жыл бұрын
Asante sana
@davidnziku24926 ай бұрын
Hyu jamaa kabadilisha sana maisha yangu kiukwel yuko sahh sana yaan nataman kujua anapatikana wap au namba zake ni zipi kwa bahat mbaya haja wah taja namba zake ila mungu ambariki sana yuko poa Hana baya ukimfuatilia na kumsikiliza vizur Tena kwa imana hakika mambo yatakuwa sawa ndugu zangu
@saphiagimmy205010 ай бұрын
Kweli kabisa kaka
@BerthaNgassa3 ай бұрын
Big up man
@KellyAubin4 ай бұрын
Sasa utapata utajiri keel❤
@rahmalove531 Жыл бұрын
Ameena kaka assante 🙏🤲
@TabuDanielKisongo7 ай бұрын
Amin
@dennisarorimoranga82002 жыл бұрын
Amina
@Sirizabiblianautajiri2 жыл бұрын
Aksante Sana 🙏🙏🙏
@Maria-l4h3qАй бұрын
Jamani naweza pata namba zenu?
@maigeshija911210 ай бұрын
Amen❤
@SinsiaZumy6 ай бұрын
That god
@HappyRuhiye9 ай бұрын
Emung nibarik npate pesa
@AlphonceMoya Жыл бұрын
Umetisha sana
@victoriadaizy52772 жыл бұрын
Amina 🙏
@Sirizabiblianautajiri2 жыл бұрын
Aksante sana 🙏🙏🙏 Victoria SEE YOU SHINING LIKE A STAR 🌟
@IDDMWENDO2 ай бұрын
Maongezi yako yanaogofya ..unatumia nguvu kubwa sana katika matamshi...
@user-samweli Жыл бұрын
Uko vizuli yan uko serious kinoma kama mtumishi hivi 😂 wewe noma sana
@AnthonyBunela Жыл бұрын
Big up
@amashamangula18842 жыл бұрын
Ubarikiwe ndugu
@Sirizabiblianautajiri2 жыл бұрын
Aksante sana 🙏🙏🙏
@AllyKajembe Жыл бұрын
asate sana kaka mungu azidi kukuweka tupate faida kwako
@VonesMashete-mj5om10 ай бұрын
Sijakuelewa kwenye baadhi ya mambo😊
@tatusaid3934 Жыл бұрын
🤲🤲🙏
@EmanwerMatayo7 ай бұрын
Sawaaa,lakini Siri zenyewe mbona kama hujafunguka?Naona kama unazunguruka.
@MurshidHussein-jr1mm8 ай бұрын
Hawa watu wanatudanganya tu.hakuna jambo linalokuja kwa mawazo ya mtu mwingine..yy anatupuna kwa mb.
Haki ya MUNGU ndo najua Leo ,,,kumbe Kuna ubongo wa kulia kushoto mbele nyuma asante🎉
@JacksonMihambo6 ай бұрын
Nahitaji Niwetajiri
@KrispinShaban-w1w Жыл бұрын
🙏🙏
@Martin-q4z7y11 ай бұрын
hio urembo leta namba
@HajiHussein-e8y Жыл бұрын
Nipo tayari kupata pesa
@Martin-q4z7y Жыл бұрын
and ur beautifull
@NancyNancy-b1l3 ай бұрын
Nauliz kama umeamuw kusaidia wasiejiwez mbona kunawale walie kuomba number haujawapea iliwafahamu?
@Sirizabiblianautajiri3 ай бұрын
+255768275795
@GerryLeonard-rg3kj Жыл бұрын
Aimen
@HusseinHaule-pr5ov6 ай бұрын
Ongea saaa nini
@HappnessYohanaRohongo2 жыл бұрын
Ameen 🙏🙏
@Sirizabiblianautajiri2 жыл бұрын
Thanks 👍 amen 🙏🙏🙏
@BundalaSamas Жыл бұрын
EliAs dirt 😮😅.m By .....🦃
@AmeldaKavishe-ry9ow Жыл бұрын
😢😢😢😢
@SaikoMkumbwa4 ай бұрын
Uongo tu
@HassanJumaa-p1u9 ай бұрын
Ninda kwaujumbe malamoja usiongee mingi unapoteza muda
@jeaninevumilia591710 ай бұрын
Wewe mwenye uko tajiri ??😊
@IbrahMasysteme7 ай бұрын
Kwani sirienye ipi mbona kuelewi kwa vitu ambavyo umetoka kuvieleza? Mimi apana taka unipe maelekezo ndoki tu kyamu himu kwangu.
@gidionsamwel7292 Жыл бұрын
😂sawa baba
@leahkathure575911 ай бұрын
Akuna kitu ume fuza apo sija sikia siri tatu ume pinga kelele to bas
@pierrekalamofranka39337 ай бұрын
Nipe namba tuzungumuze
@salummohamed26896 ай бұрын
Pewa namba lakini usije ombwa kienda porini
@FarialaRokambele-n8w Жыл бұрын
Ndio.namimi.na.Amini kuwa MUNGU aliniumba nakunituma Duniani ili nikamiliki,Mali.napesa nyingi lakini pia kuwa na Ahya njema. Ili nifanye mambo makubwa katk Familia yangu nakusaidia jamii