SIRI MUJARABU YA BISMILLAH KATIKA KUSHINDA KESI | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini

  Рет қаралды 4,412

Mohamed Alidini

Mohamed Alidini

Күн бұрын

SIRI MUJARABU YA BISMILLAH KATIKA KUSHINDA KESI | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini
Katika video hii tunaelezea Siri ya Bismillah Rahman Raheem katika kushinda kesi zote ambazo umeshtakiwa kidhulma. Hii ni Siri kubwa kwa kuwa inafungamana na Quran ambayo ni kitabu cha Allah (SWT) kisichokuwa na shaka yoyote. Ni matumaini yangu kuwa utafwata maelezo yake ili uweze kufikia malengo yako yote.
Maelezo yake:
Surah: AL-FATIHA
Ayah: 1
-----------------------------------------------------------------------------------------
Utaratibu wake:
 Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
 Tawadha
 Tia Niya sahihi
 Soma Bismillah Rahman Raheem mara 1000
 Swali Rakaa Mbili za Haja
 Mswalie Mtume (SAW) mara 10.
 Omba Dua yoyote ulokusudia
 Rudia utaratibu huu mpaka zifike Bismillah 12,000 and Swala za haja 24,000.
------------------------------------------------------------------------------------------
Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
----------------------------------------------------------------------------------------
Copyright Notice:
► Every content we made are licensed to our channel.
► All audios, videos and images are copyrighted and fully licensed.
► Elements used in this video are edited by us are copyrighted and fully licensed.
► So, you do not have permission to use or reupload our content without our permission.
Copyright © 2024 Mohamed Alidini. All rights reserved.
**********************************************************************

Пікірлер: 43
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 4 ай бұрын
Nilikuw naumwa lkn sasa iv ninalo daftar langu naandk zot Alhamdulilah lecturer nakuombea dua san na InshaaAllah hakika lecturer ni kipenz cha Allah
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Allah (SWT) Akupe shifaa ya haraka Habiby. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 4 ай бұрын
@@mohamedalidini Allahumma amin my lecturer shukrn san
@FaidaAbedi
@FaidaAbedi 4 ай бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakaatuh shukran sheikh na mm naomba dua yakushinda interview yakupata usafiri wakwenda ichi za ulaya
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Ukitaka kushinda kwenye interview na kufaulu malengo yako, fuata utaratibu huu: 1) Ukiwa nyumbani na kabla ya kwenda kwa inteview, mswalie Mtume (SAW) mara 101 na umkusudie yeye Thawabu za swala hiyo, 2) Ukiwa unasubiri interview soma Ayat Al-Kursy mara 11 na ukiingia kwa interview wapulize usoni mwa wale wenye kukufanyia interview bila ya wao kujua. Na kusiwe na mazungumzo baada ya kusioma Ayat Al-Kursy. Insha Allah, kama hiyo kazi au safari ni kheri yako utaipata. Na lao si kheri utapata nyingine yenye kheri nawe.
@sulekhan7119
@sulekhan7119 4 ай бұрын
Shekh naomba unisaidie duwa ya mtu anaye nifuatilia maisha yangu ya kazi
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Niko na video kuhusu tatizo hilo. Insha Allah, nitaiweka kwa Channel yangu wiki hii. Shukran sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@sulekhan7119
@sulekhan7119 4 ай бұрын
@@mohamedalidini InshaAllah mashabiki zako tunaingoja kwa hamu
@omarjr1791
@omarjr1791 4 ай бұрын
​@@mohamedalidinimwa
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
@@sulekhan7119 Insha Allah hivi karibuni nitaiweka.
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
@@omarjr1791 Shukran 🙏🙏🙏🙏🙏
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 4 ай бұрын
Maa Shaa Allah Sheikh Mwenyezimungu Shuhudia hakika umesema kweli Ulama🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Tabarakallahu. Barakallahu Ya Habibi 🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏
@mahamuduswedi6792
@mahamuduswedi6792 4 ай бұрын
Asalaam alyekum Allah akusmamie
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Ameen. Shukran. 🤲🙏
@sakinamursal3572
@sakinamursal3572 4 ай бұрын
Shukran Allah akuwezeshe kutuelimisha zaidi. Ameen
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Afwan. Ameen ya Rabb. Sote Insha Allah Taala. Barakillahu Feek 🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@AshuraKhamis-qv3ld
@AshuraKhamis-qv3ld 4 ай бұрын
Waalaykum Salam warahmatullah wabarakatuh
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Masha Allah. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏
@Asia-m7n
@Asia-m7n 4 ай бұрын
Walaikum salam
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Masha Allah. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Shakila-t3c
@Shakila-t3c 4 ай бұрын
Aslm alkm ww... Masha Allah. Jazakallah kheir 🙏
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Waalaikumussalam warahmatullah Wabarakatuh. Tabarakallahu. Waiyyaak 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏
@ShariffAroun-qm7ri
@ShariffAroun-qm7ri 4 ай бұрын
Asallam aleykhum shekhe Shukran kwa elim nzuri ALLAAH akuhifadhi Nauliza hivi Hizo rakaa zinazoendelea Kuna sura maalum au unasoma tu sura yoyote baada ya fatiha
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Unaweza soma Surah Al-Kafirun rakaa ya kwanza na Surah Al-Ikhlas rakaa ya pili.
@omarjr1791
@omarjr1791 4 ай бұрын
Maalim asalam alykum mm nina madeni mengi sana na sijui nitalipaje kutokana na kutokuwa na kazi ya maana naomba nifunze dua hata ikiwa ngumu inshaallah nitaifanya
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Natengeneza video ya mada hiyo. Insha Allah, itakuwa tayari hivi karibuni. Shukran.
@omarjr1791
@omarjr1791 4 ай бұрын
@@mohamedalidini shukran mwalimu nashukuru sana
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
@@omarjr1791 Afwan sana. Allah (SWT) Atupe Kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@jamilanassor6975
@jamilanassor6975 4 ай бұрын
In sha allah
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Bi idhnillah.
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
@@Annalisejg2urNdoto yako inaashiria maisha mazuri ya raha na furaha. Kadhalika mafanikio kwenye maisha. Allah (SWT) Akujaaliye maisha mazuri, ya raha na furaha na saada. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 4 ай бұрын
@@mohamedalidini asante sana sheikh
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 4 ай бұрын
@@mohamedalidini amiin
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 4 ай бұрын
@@mohamedalidini amiin
@shamzone388
@shamzone388 4 ай бұрын
Sheikh nimekuuliza kwenye ile duaa ya kupata mume aliyekuwa na kheir naomba jawabu au naomba no ya simu nikupigie
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Namba ni hii: +254 700047708 na Dua ni Hii: للَّهُمَّ ابْعَثْ لِيْ بَعْلًا صَالِـحًا مِنْ فَضْلِكَ وَجُوْدِكَ وَكَرَمِكَ يَا أَرْحَمَ الرَّاحِمِيْنَ» مرة.
@AbdullahSaid-s4k
@AbdullahSaid-s4k 4 ай бұрын
Assallam Allaikum sheikh wangu hata ukiwa umerogwa
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Bila shaka! Allah (SWT) ni Mkarimu na Muweza. Shukran Sana 🙏🙏🙏🙏🙏
@NsanzabahiziRehema
@NsanzabahiziRehema 4 ай бұрын
Assalamualaikum warhamatullah wabarakatu je ina somwa mara elfu 12 kwa usiku 1 awo niye leweshe tafa dhali
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Ndio inasomwa mara 12,000 kwa kikao kimoja (kwa mara moja). Afwan.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 ай бұрын
This is miss understood is what we know about Quran?
@mohamedalidini
@mohamedalidini 4 ай бұрын
Well Noted. Barakallahu Feek.
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 66 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
MAFUNZO LEO _ SEHEMU_YA_2_FAIDA_NA_SIRI YA BISMILLAH KWA MUJIBU WA SHEIKHAN#dubai
13:45
MAAJABU YA BISMILLAHI RAHMAANI RAHIIM IMAMU MUSSA RASHIDI
33:05
Shekh Sungusungu
Рет қаралды 23 М.
SIRI 21 ZA BISMILLAH RAHMAN RAHIM
16:49
Muhindo Umar Mwamba
Рет қаралды 6 М.