Рет қаралды 22,359
TAJRIBA ADHIMU YA JINA TUKUFU LA ALLAH KATIKA KUKUPA MAFANIKIO MAKUBWA | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini
Katika video hii tunaelezea Siri miongoni mwa siri za JINA TUKUFU LA ALLAH katika kukupa mafanikio mkubwa hapa duniani na akhera. Hii ni Siri kubwa kwa kuwa inafungamana na Quran ambayo ni kitabu cha Allah (SWT) kisichokuwa na shaka yoyote. Ni matumaini yangu kuwa utafwata maelezo yake ili uweze kufikia malengo yako ya kupata mafanikio makubwa uloyakusudia.
Maelezo yake:
Surah: Al-A’araf (7)
Ayah: 180
-----------------------------------------------------------------------------------------
Utaratibu wake:
Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
Swali Rakaa mbili za haja.
Omba haja zako zote kupitia kwa Jina Tukufu la Allah (SWT) kwa mujibu wa Qur’an na Hadith, kama alivyobainisha Rasulullah kwa dua hizi:
اَللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ بِأَنِّي أَشْهَدُ أَنَّكَ أَنْتَ اللهُ لَا إِلَهَ إِلَّا أَنْتَ الْأَحَدُ الصَّمَدُ الَّذِي لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُوْلَدُ وَلَمْ يِكُنْ لَهُ كُفُوًا أَحَدُ. اللَّهمَّ إنِّي أَسْأَلُكَ بِأَنَّ لَكَ الْحَمْدَ، لَا إِلَهَ إِلَّا أَنْتَ الْمَنَّانُ، بَدِيْعُ السَّمَوَاتِ وَاْلأَرْضِ، يَا ذَا الْجَلاَلِ وَاْلإكْرَامِ، يَا حَيُّ يَا قيُّومُ.
------------------------------------------------------------------------------------------
Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
**********************************************************************