SIRI MUJARABU ZA SWALA HII YA MTUME (SAW) ZITAKAZO BADILISHA MAISHA | Mohamed Alidini

  Рет қаралды 3,081

Mohamed Alidini

Mohamed Alidini

Күн бұрын

SIRI MUJARABU ZA SWALA HII YA MTUME (SAW) ZITAKAZO BADILISHA MAISHA | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini
Katika video hii tunaelezea Siri za Swala hiii ya Mtume (SAW) itakayo badilisha maisha yako kwa uwezo wa Allah (SWT). Hii ni Siri kubwa kwa kuwa inafungamana na Quran ambayo ni kitabu cha Allah (SWT) kisichokuwa na shaka yoyote. Ni matumaini yangu kuwa utafuata maelezo yake ili uweze kufikia malengo yako yote.
Maelezo yake:
Surah: SWALA YA MTUME (SAW)
Ayah: MARA 7, 100 NA 1
-----------------------------------------------------------------------------------------
Utaratibu wake:
 Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
 Tia Nia
 Isome au andika Swala hii ya Mtume (SAW) kwa idadi maalumu:
 بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: اللَّهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْـمَكْتُوْبُ مِنْ نُوْرِ وَجْهِكَ الْأَعْلى الْـمُؤَبَّدِ، الدَّائِمِ الْبَاقِيْ الْـمُخَلَّدِ، فِيْ قَلْبِ نَبِيِّكَ وَرَسُوْلِكَ مُحَمَّدٍ، وَأَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْوَاحِدِ بِوَحْدَةِ الْأَحَدِ، الْـمُتَعَالِيْ عَنْ وَحْدَةِ الْكَمِّ وَالْعَدَدِ، الْـمُقَدَّسِ عَنْ كُلِّ أَحَدٍ، وَبِحَقِّ بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: ﱡﭐ قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ (1) ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ (2) لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ (3) وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌ (4)ﱠ: أَنْ تُصَلِّيَ عَلى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ سِرِّ حَيَاةِ الْوُجُوْدِ، وَالسَّبَبِ الْأَعْظَمِ لِكُلِّ مَوْجُوْدٍ، صَلَاة ًتُثَبِّتُ فِيْ قَلْبِيَ الْإِيْمَانِ، وَتُحَفِّظُنِي الْقُرْآنَ، وَتُفَهِّمُنِيْ مِنْهُ الْآيَاتِ، وَتَفْتَحُ لِيْ بِهَا نُوْرَ الْـجَنَّاتِ، وَنُوْرَ النَّعِيْمِ، وَنُوْرَ النَّظَرِ إِلى وَجْهِكَ الْعَظِيْمِ، وَعَلى آلِهِ وَصَحْبِهِ وَسَلِّمْ.
 Waweza fanya mara 1, 3, 5, n.k. nafasi yako.
------------------------------------------------------------------------------------------
Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
----------------------------------------------------------------------------------------------
Copyright Notice:
► Every content we made are licensed to our channel.
► All audios, videos and images are copyrighted and fully licensed.
► Elements used in this video are edited by us are copyrighted and fully licensed.
► So, you do not have permission to use or reupload our content without our permission.
Copyright © 2024 Mohamed Alidini. All rights reserved.
**********************************************************************

Пікірлер: 99
@rashidabdulrahman6784
@rashidabdulrahman6784 20 сағат бұрын
Bismillah Rahman Rahim Allahuma inni as aluka bismika Al azwami almaktubi min Nur wajhika Al aalal muabat aldaim albaki almughalat fil kalbi nabiykaa wa rasulika Muhammad wa as aluka bismika Al azwami lilwahid biwahadat bil ahadat almutaalii an wahadat kamii walwadad al mukadas alkul ahad wabihaki Bismillah rahman rahimu kulhuwahu ahad allahu swamad lamuyalide walamu yulade walamu yakula hukufu wan ahad antu swaliya alasaydina Muhammad swalatan tuswabitu fill kalbii yail imana yatuhafziinii alkur anaa watuhafiminii bil ayat wataftahil biha nura janat wanura naimuu wanura nazwar. Ila wajihika azwimu waalaalihi waaswabihi wasalamu
@mohamedalidini
@mohamedalidini 16 сағат бұрын
Shukran Sana kwa usaidizi wako. 🙏
@motemontero5592
@motemontero5592 13 сағат бұрын
@@rashidabdulrahman6784 sijakuelewa hii ni Dua ya nin
@mchangamjaka-ui6pp
@mchangamjaka-ui6pp Күн бұрын
Allah akutilie barka katika umri wako uendelee kutuelimisha ! امين
@mohamedalidini
@mohamedalidini 16 сағат бұрын
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 15 сағат бұрын
Jazakallahul-khayr al_akhy unatufunua macho mengi tumeyajua kupitia hii channel ictoshe pia umekuwa unatujibu maswali yetu tunayokuuliza tft na channel nyngn mungu akulipe kheri zaid na zaid
@mohamedalidini
@mohamedalidini 11 сағат бұрын
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@latifasuleiman7527
@latifasuleiman7527 Күн бұрын
Sheikh shukran naomba uniandikie Allah skulinde tunakupenda kwa ajili ya Allah
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Swala ndio hii:  بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: اللَّهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْـمَكْتُوْبُ مِنْ نُوْرِ وَجْهِكَ الْأَعْلى الْـمُؤَبَّدِ، الدَّائِمِ الْبَاقِيْ الْـمُخَلَّدِ، فِيْ قَلْبِ نَبِيِّكَ وَرَسُوْلِكَ مُحَمَّدٍ، وَأَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْوَاحِدِ بِوَحْدَةِ الْأَحَدِ، الْـمُتَعَالِيْ عَنْ وَحْدَةِ الْكَمِّ وَالْعَدَدِ، الْـمُقَدَّسِ عَنْ كُلِّ أَحَدٍ، وَبِحَقِّ بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: ﱡﭐ قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ (1) ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ (2) لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ (3) وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌ (4)ﱠ: أَنْ تُصَلِّيَ عَلى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ سِرِّ حَيَاةِ الْوُجُوْدِ، وَالسَّبَبِ الْأَعْظَمِ لِكُلِّ مَوْجُوْدٍ، صَلَاة ًتُثَبِّتُ فِيْ قَلْبِيَ الْإِيْمَانِ، وَتُحَفِّظُنِي الْقُرْآنَ، وَتُفَهِّمُنِيْ مِنْهُ الْآيَاتِ، وَتَفْتَحُ لِيْ بِهَا نُوْرَ الْـجَنَّاتِ، وَنُوْرَ النَّعِيْمِ، وَنُوْرَ النَّظَرِ إِلى وَجْهِكَ الْعَظِيْمِ، وَعَلى آلِهِ وَصَحْبِهِ وَسَلِّمْ.
@motemontero5592
@motemontero5592 20 сағат бұрын
Assalamualaikum shekhe nakuomba utufundishe kutibu sihr hasad na vijicho kupitia ayatul kursyu
@mohamedalidini
@mohamedalidini 16 сағат бұрын
Waalamaikumussalam Warahamtullah Wabarakatuh. Insha Allah! Afwan.
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 23 сағат бұрын
Shukran sana sheikh wetu
@mohamedalidini
@mohamedalidini 16 сағат бұрын
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@mchangamjaka-ui6pp
@mchangamjaka-ui6pp Күн бұрын
Jazaka Llahu L-khair sheikh!Allah akujaalie akulipe malipo mema hapa duniani na kesho akhenaten akakuingize katika people ya FIRDAUS KWENYE DARAJA YA MATABII TABIINA.Na sisi uliotuelimisha Allah atuwezeshe kuifanyia kazi katika maisha yetu yote ! AAMYN!
@mohamedalidini
@mohamedalidini 16 сағат бұрын
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@ahmedmwalim4200
@ahmedmwalim4200 13 сағат бұрын
mashallah ila mie nashauri editing sifikirii kama ilikua na haja ya kuweka picha za wanawake hata kama wamejistiri,editing kwa ujumla wake haikua na haja kwa jambo la imani na kheri kama hili,sisi tunahitaji elimu tungelitazama tu hata bila ya kuweka vitu vyengne, kama nimekosea mtanisamehe
@mohamedalidini
@mohamedalidini 11 сағат бұрын
Sawa Alhabib. Jazakallahu kheiran.
@ahmedmwalim4200
@ahmedmwalim4200 11 сағат бұрын
@@mohamedalidini وايّاك علي هذا العلم والفوائد،
@ahmedmwalim4200
@ahmedmwalim4200 10 сағат бұрын
@@mohamedalidini وإياك على هذه الفوائد، العلم
@HauaAliSaide
@HauaAliSaide Күн бұрын
Eu peço Allah abençoē sempre você ❤❤❤
@mohamedalidini
@mohamedalidini 16 сағат бұрын
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 23 сағат бұрын
M.mungu akubariki. Na atutakabalie dua zetu ishaallah. Amiin yarrabillaalamiin 🙏
@mohamedalidini
@mohamedalidini 16 сағат бұрын
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@MugeniZaina
@MugeniZaina Күн бұрын
BarakaAllah fikum sheikh Mungu Akupe maisha Marefu yenye Mafanikio ,barka , Na Amani
@mohamedalidini
@mohamedalidini 16 сағат бұрын
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@masmas1219
@masmas1219 Күн бұрын
Shukran sana shaykh kwakwel tunafaidika sana na mafunzo yako Allah akupe bora ya dunia na akhera auepushe na kila shari tunazozijua na tusizozijua za dunia na akhera akufungulie milango ya kher Amin
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Ameen! Sote Ya Rabb! 🤲🤲🤲🤲🤲
@sabrinakhalfan3078
@sabrinakhalfan3078 Күн бұрын
Jazakallahu kheri
@mohamedalidini
@mohamedalidini 16 сағат бұрын
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@MasoudAlsaify-bc2qk
@MasoudAlsaify-bc2qk 2 күн бұрын
Assalamu alaikum sheikh wangu.shukran san . Allaah akuzidishie ilmu na barka akulipe kila la kheri akupe umri mrefu weny kheri amiin yaarabby
@JaffarySosi
@JaffarySosi 2 күн бұрын
Ameen
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Nawe pia. 🤲🤲🤲🤲🤲
@MasoudAlsaify-bc2qk
@MasoudAlsaify-bc2qk 10 сағат бұрын
Amiin yaarabby
@MasoudAlsaify-bc2qk
@MasoudAlsaify-bc2qk 10 сағат бұрын
Shukran san
@AminaAthumani-gp8qy
@AminaAthumani-gp8qy Күн бұрын
Shukrani sheh always akupe umli mlefu,mm cjaelewa swalatu alanabiii ni hiii ,Allha hummaswali alamuhammadi au kuna nyingine? 😢
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Unaweza mswalia Mtume (SAW) kwa lafudhi tofauti bora liwe ndani ya mizani ya Kisheria ya Uislamu. Afwan.
@harunakaberukaharuna6143
@harunakaberukaharuna6143 2 күн бұрын
Asalam alaikum warahmatulahi wa barakatuh....shehe tupe zingine faida za hi swala..Shukran
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Insha Allah! Shukran.
@nassirameir5662
@nassirameir5662 Күн бұрын
Aslaam alaykum. Ni vizuri huzo dua zikaandikwa ili puzipate na kuzifanyia kazi inshaAllah. Shukran.
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Dua ndio hii:  بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: اللَّهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْـمَكْتُوْبُ مِنْ نُوْرِ وَجْهِكَ الْأَعْلى الْـمُؤَبَّدِ، الدَّائِمِ الْبَاقِيْ الْـمُخَلَّدِ، فِيْ قَلْبِ نَبِيِّكَ وَرَسُوْلِكَ مُحَمَّدٍ، وَأَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْوَاحِدِ بِوَحْدَةِ الْأَحَدِ، الْـمُتَعَالِيْ عَنْ وَحْدَةِ الْكَمِّ وَالْعَدَدِ، الْـمُقَدَّسِ عَنْ كُلِّ أَحَدٍ، وَبِحَقِّ بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: ﱡﭐ قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ (1) ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ (2) لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ (3) وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌ (4)ﱠ: أَنْ تُصَلِّيَ عَلى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ سِرِّ حَيَاةِ الْوُجُوْدِ، وَالسَّبَبِ الْأَعْظَمِ لِكُلِّ مَوْجُوْدٍ، صَلَاة ًتُثَبِّتُ فِيْ قَلْبِيَ الْإِيْمَانِ، وَتُحَفِّظُنِي الْقُرْآنَ، وَتُفَهِّمُنِيْ مِنْهُ الْآيَاتِ، وَتَفْتَحُ لِيْ بِهَا نُوْرَ الْـجَنَّاتِ، وَنُوْرَ النَّعِيْمِ، وَنُوْرَ النَّظَرِ إِلى وَجْهِكَ الْعَظِيْمِ، وَعَلى آلِهِ وَصَحْبِهِ وَسَلِّمْ.
@nassirameir5662
@nassirameir5662 Күн бұрын
@@mohamedalidini Shukran . Allah akubariki na akupe kila lenye heri inshaAllah. Aminnnn.
@mohamedalidini
@mohamedalidini 16 сағат бұрын
@@nassirameir5662 Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@saeedsaeed7381
@saeedsaeed7381 Күн бұрын
Masha Allah 🙏🙏🙏
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Tabarakallah! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 2 күн бұрын
Shukran sana kiongozi Nakupenda sanaa kwa ajili ya Allah
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Afwan! Miye kadhalika. Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@abubacaranli6108
@abubacaranli6108 Күн бұрын
Mashallah.JazakAllah kheyr
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Waiyyaak! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@mwanahamisisaid8663
@mwanahamisisaid8663 2 күн бұрын
MashaAllah! JazakAllah kheyr
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Tabarakallah! Waiyyaak! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@RamadhanSalimu-ez4ok
@RamadhanSalimu-ez4ok 2 күн бұрын
Mashaallah jazakaallahu kher
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Tabarakallah! Waiyyaak! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@UwumuremyiKhurusumu
@UwumuremyiKhurusumu Күн бұрын
Shukran jazakallah kheir sheikh samahan twandikiya kwakizungu tuweze patafaida
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
This is an english translation:  In the name of Allah, the Most Gracious, the Most Merciful: O Allah, I ask You by Your greatest name, written from the light of Your highest, eternal, everlasting, everlasting, immortal face, in the heart of Your Prophet and Messenger Muhammad, and I ask You by Your greatest name, the One in the unity of the One, the Exalted above the unity of quantity and number, the Holy above all One, and by the right of In the name of God, the Most Gracious, the Most Merciful: Say, He is God, the One (1) God, the Eternal Refuge (2) He neither begets nor is born (3) And there is none comparable to Him (4): That you send blessings upon our master Muhammad, the secret of the life of existence, and the greatest cause of all that exists, a prayer that will establish faith in my heart, and will make me memorize the Qur’an, And make me understand the verses from it, and open for me through it the light of the gardens, the light of bliss, and the light of looking at Your great face, and upon his family and companions and peace.
@UwumuremyiKhurusumu
@UwumuremyiKhurusumu Күн бұрын
@@mohamedalidini Masha Allah shukran sheikh itakua hukuni elewa vizuri niliomba kutu andikia Dua hiyo kwama ndishi ambayo siya kiarabu lakin na kushukuru jitihada zako Allah akuweke kwenye munzan wamema leo na kesho Akhera
@mohamedalidini
@mohamedalidini 16 сағат бұрын
@@UwumuremyiKhurusumu Kwa maandishi ya herufi za Kinzungu ndio hii: Bism allh alrrahman alrrahim: alllahumm 'inni 'as'aluk biasmik al'aezam almaktub min nur wajhik al'aela almuabbadi, alddayim albaqi almukhalladi, fi qalb nabiik warasulik muhammadin, wa'as'aluk biasmik al'aezam alwahid biwahdat al'ahadi, almutaeali ean wahdat alkamm waleadadi, almuqaddas ean kull 'ahadin, wabihaqq bism allh alrrahman alrrahimi: uٱ qul hu ٱlllah 'ahad (1) ٱlllah ٱlssamad (2) lam yalid walam yulad (3) walam yakun llahuۥ kufuan 'ahad (4) a: 'an tusalli eala sayidina muhammad sirr hayat alwujudi, walssabab al'aezam likull mawjudin, salat antuthabbit fi qalbi al'iimani, watuhaffizuni alqurana, watufahhimuni minh alayati, wataftah li biha nur aljannati, wanur alnnaeimi, wanur alnnazar 'iila wajhik aleazimi, waeala alih wasahbih wasallim.
@UwumuremyiKhurusumu
@UwumuremyiKhurusumu 11 сағат бұрын
@@mohamedalidini Naam Alhamdulillah shukran kwakujitolea Allah akupe baraka
@mohamedalidini
@mohamedalidini 11 сағат бұрын
@@UwumuremyiKhurusumu Sote Insha Allah! Elimu yatoka kwa Allah (SWT). Ni wajibu wetu kuwaelimisha wengine ili wafaidike. Mwenzako akifaidika Allah (SWT) Anakulipa malipo yasio na kiwango.
@JaffarySosi
@JaffarySosi 2 күн бұрын
Jazakallah kheir
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Waiyyaak! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@goragueye8146
@goragueye8146 Күн бұрын
Shukran shekhe
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Karibu Al-Habeeb! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@RadjabuNiyonkuru-bf9bq
@RadjabuNiyonkuru-bf9bq 2 күн бұрын
Shukran saana
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Waiyyaak! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@saidatulikhlas6894
@saidatulikhlas6894 Күн бұрын
Na Kama unafanya biashara online?
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Na kama unafanya biashara mitandaoni tia nia na usome hiyo mara moja kila siku. Kwa uwezo wa Allah (SWT) utaona siri na faida zake. Afwan.
@omarjr1791
@omarjr1791 2 күн бұрын
Mashaallah maalim asante sana
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Tabarakallah! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@biashaqtr-xd2mf
@biashaqtr-xd2mf 2 күн бұрын
Asalmu Aleikum warkmatullahi taala wabarakatuhTafadhali taandikie kwa kiswahili.
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Dua kwa Kiswahili ndio hii:  Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu Wewe ni Muhammad, nakuomba kwa jina lako, uliye peke yake, ambaye ndiye aliye sawa, na yule aliye sawa. Ambaye ni Mmoja, Mwingi wa Rehema: Sema: Yeye ni Mungu, Mmoja (1) Mungu, Milele, Milele (2) Hakuzaa wala hakuzaliwa (3) na hakuna anayelingana Naye (1) 4)1: Kutuma baraka kwa Bwana Muhammad ni siri ya maisha ya kuishi, na sababu kubwa zaidi ya yote yaliyopo, sala ambayo imebaki imara katika moyo wangu, na unifundishe Qur'an. nifahamishe Aya zake, na unifungulie nuru ya Pepo, nuru ya neema, na nuru ya kuutazama uso wako mkubwa Na amani iwe juu ya jamaa zake na maswahaba zake.
@nassrasalum8001
@nassrasalum8001 Күн бұрын
Asalam alaykum warahmatuAllah wabarak sheikh naomba utuandikie kwa msg hii sala
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Swala ndio hii:  بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: اللَّهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْـمَكْتُوْبُ مِنْ نُوْرِ وَجْهِكَ الْأَعْلى الْـمُؤَبَّدِ، الدَّائِمِ الْبَاقِيْ الْـمُخَلَّدِ، فِيْ قَلْبِ نَبِيِّكَ وَرَسُوْلِكَ مُحَمَّدٍ، وَأَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْوَاحِدِ بِوَحْدَةِ الْأَحَدِ، الْـمُتَعَالِيْ عَنْ وَحْدَةِ الْكَمِّ وَالْعَدَدِ، الْـمُقَدَّسِ عَنْ كُلِّ أَحَدٍ، وَبِحَقِّ بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: ﱡﭐ قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ (1) ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ (2) لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ (3) وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌ (4)ﱠ: أَنْ تُصَلِّيَ عَلى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ سِرِّ حَيَاةِ الْوُجُوْدِ، وَالسَّبَبِ الْأَعْظَمِ لِكُلِّ مَوْجُوْدٍ، صَلَاة ًتُثَبِّتُ فِيْ قَلْبِيَ الْإِيْمَانِ، وَتُحَفِّظُنِي الْقُرْآنَ، وَتُفَهِّمُنِيْ مِنْهُ الْآيَاتِ، وَتَفْتَحُ لِيْ بِهَا نُوْرَ الْـجَنَّاتِ، وَنُوْرَ النَّعِيْمِ، وَنُوْرَ النَّظَرِ إِلى وَجْهِكَ الْعَظِيْمِ، وَعَلى آلِهِ وَصَحْبِهِ وَسَلِّمْ.
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Swala ndio hii:  بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: اللَّهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْـمَكْتُوْبُ مِنْ نُوْرِ وَجْهِكَ الْأَعْلى الْـمُؤَبَّدِ، الدَّائِمِ الْبَاقِيْ الْـمُخَلَّدِ، فِيْ قَلْبِ نَبِيِّكَ وَرَسُوْلِكَ مُحَمَّدٍ، وَأَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْوَاحِدِ بِوَحْدَةِ الْأَحَدِ، الْـمُتَعَالِيْ عَنْ وَحْدَةِ الْكَمِّ وَالْعَدَدِ، الْـمُقَدَّسِ عَنْ كُلِّ أَحَدٍ، وَبِحَقِّ بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: ﱡﭐ قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ (1) ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ (2) لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ (3) وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌ (4)ﱠ: أَنْ تُصَلِّيَ عَلى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ سِرِّ حَيَاةِ الْوُجُوْدِ، وَالسَّبَبِ الْأَعْظَمِ لِكُلِّ مَوْجُوْدٍ، صَلَاة ًتُثَبِّتُ فِيْ قَلْبِيَ الْإِيْمَانِ، وَتُحَفِّظُنِي الْقُرْآنَ، وَتُفَهِّمُنِيْ مِنْهُ الْآيَاتِ، وَتَفْتَحُ لِيْ بِهَا نُوْرَ الْـجَنَّاتِ، وَنُوْرَ النَّعِيْمِ، وَنُوْرَ النَّظَرِ إِلى وَجْهِكَ الْعَظِيْمِ، وَعَلى آلِهِ وَصَحْبِهِ وَسَلِّمْ.
@RadjabuNiyonkuru-bf9bq
@RadjabuNiyonkuru-bf9bq Күн бұрын
@@mohamedalidini Allah akubariki
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
@@RadjabuNiyonkuru-bf9bq Ameen! Sote Ya Rabb! 🤲🤲🤲🤲🤲
@twarisyshaby4890
@twarisyshaby4890 15 сағат бұрын
Mashaalaah Allah akupe utakalo duniani na akhera. Jina la swala hii inaitwaje?
@mohamedalidini
@mohamedalidini 11 сағат бұрын
@@twarisyshaby4890 Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@SaidAbdallah-i6f
@SaidAbdallah-i6f 2 күн бұрын
A.alaykum.shukran Ikiwa mtu anaumwa na anahis kuwakwa na moto kwenye mwili anaweza kunywa.au matatizo ya tumbo na was was?
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Ndio anaweza kunywa maji baada ya kuyasomea kisomo hichi.
@SaidAbdallah-i6f
@SaidAbdallah-i6f Күн бұрын
Shukran sana
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
@@SaidAbdallah-i6f Karibu. Barakallahu Feek!
@RadjabuNiyonkuru-bf9bq
@RadjabuNiyonkuru-bf9bq 2 күн бұрын
Naomba namba yako sheikh
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Assalam Alaikum Warahmatullah! Namba yangu ni hii: +254 700047708.
@RadjabuNiyonkuru-bf9bq
@RadjabuNiyonkuru-bf9bq Күн бұрын
@@mohamedalidini shukran
@RadjabuNiyonkuru-bf9bq
@RadjabuNiyonkuru-bf9bq Күн бұрын
Ndio nauliza kuhusu hii ya mtume uliotufundisha ,kwa shida za kawaida kama pesa ao kitu tunatakiwa tuisome kwa idadi ya ngapi kwa siku?
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
@@RadjabuNiyonkuru-bf9bq Afwan
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
@@RadjabuNiyonkuru-bf9bq Mara 100 kwa usiku na mchana. Ni vizuri utangulize Surat Al-Fatiha mara 1.
@bihayisefu8810
@bihayisefu8810 Күн бұрын
Assalamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuhu, shekh tuandikie hiyo insha'Allah
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Dua ndio hii:  بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: اللَّهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْـمَكْتُوْبُ مِنْ نُوْرِ وَجْهِكَ الْأَعْلى الْـمُؤَبَّدِ، الدَّائِمِ الْبَاقِيْ الْـمُخَلَّدِ، فِيْ قَلْبِ نَبِيِّكَ وَرَسُوْلِكَ مُحَمَّدٍ، وَأَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْوَاحِدِ بِوَحْدَةِ الْأَحَدِ، الْـمُتَعَالِيْ عَنْ وَحْدَةِ الْكَمِّ وَالْعَدَدِ، الْـمُقَدَّسِ عَنْ كُلِّ أَحَدٍ، وَبِحَقِّ بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: ﱡﭐ قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ (1) ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ (2) لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ (3) وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌ (4)ﱠ: أَنْ تُصَلِّيَ عَلى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ سِرِّ حَيَاةِ الْوُجُوْدِ، وَالسَّبَبِ الْأَعْظَمِ لِكُلِّ مَوْجُوْدٍ، صَلَاة ًتُثَبِّتُ فِيْ قَلْبِيَ الْإِيْمَانِ، وَتُحَفِّظُنِي الْقُرْآنَ، وَتُفَهِّمُنِيْ مِنْهُ الْآيَاتِ، وَتَفْتَحُ لِيْ بِهَا نُوْرَ الْـجَنَّاتِ، وَنُوْرَ النَّعِيْمِ، وَنُوْرَ النَّظَرِ إِلى وَجْهِكَ الْعَظِيْمِ، وَعَلى آلِهِ وَصَحْبِهِ وَسَلِّمْ.
@FatumaAdinani-o1g
@FatumaAdinani-o1g 23 сағат бұрын
Shukran sana sheikh wetu
@mohamedalidini
@mohamedalidini 16 сағат бұрын
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 күн бұрын
Shukran shekh
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
Karibu sana. Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Күн бұрын
@@mohamedalidini amiin
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Күн бұрын
@@mohamedalidini shukran
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
@@Catherine-mh8sw Ya Rabbal 'Alameen!
@mohamedalidini
@mohamedalidini Күн бұрын
@@Catherine-mh8sw Afwan
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 27 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 74 МЛН
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,4 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 16 МЛН
FAIDA YA AYAT KIFAYA DUWA KUBWA SANA HII SIMCHEZO
8:52
BOSS NYAW🍀🌐
Рет қаралды 6 М.
MISIMAMO YA MASHEIKH  DHIDI YA USHIA KUNAKO MANENO YA SHEIKH MZIWANDA
28:05
MIUJIZA YA WADUDU HAWA  // SHEIKH IZUDINI ALAWY
35:36
arkas online tv
Рет қаралды 45 М.
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 27 МЛН