No video

SIRI 3 ADHIMU NA MUJARABU ZA SURAH AD DHUHA ZITAKAZO BADILISHA MAISHA YAKO | SIRI ZA QUR'AN |

  Рет қаралды 29,036

Mohamed Alidini

Mohamed Alidini

Күн бұрын

SIRI 3 ADHIMU NA MUJARABU ZA SURAH AD-DHUHA ZITAKAZO BADILISHA MAISHA YAKO | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini
Katika video hii tunaelezea Siri 3 za Surah Ad-Dhuha katika kukupa mafanikio mkubwa hapa duniani na akhera. Hii ni Siri kubwa kwa kuwa inafungamana na Quran ambayo ni kitabu cha Allah (SWT) kisichokuwa na shaka yoyote. Ni matumaini yangu kuwa utafwata maelezo yake ili uweze kufikia malengo yako ya kupata mafanikio makubwa uloyakusudia.
Maelezo yake:
Surah: Ad-Dhuha (93)
Ayah: 1-11
-----------------------------------------------------------------------------------------
Utaratibu wake:
 Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
 Tawadha
 Tia Niya sahihi
 Elekea upande wa Qibla
 Omba haja zako zote kupitia kwa Dua hizo (kulingana na maelezo ya video hii) kwa mujibu wa Qur’an na Hadith, kama alivyobainisha Rasulullah kwa dua hizi:
1) اللَّهُمَّ يَا غَنِيُّ أَغْنِنِيْ غِنًا لَا يَأْتِنِيْ بَعْدَهُ فَقْرٌ أَبَدًا .
2) اللَّهُمَّ يَا جَامِعَ الْعَجَائِبِ وَيَا رَادَّ كُلِّ غَائِبٍ يَا مَنْ بِيَدِهِ مَقَالِيْدُ الْأُمُوْرِ اجْمَعْ لِيْ ضَالَتِيْ وَرَدِّ عَلَيَّ مَا ضَاعَ مِنِّيْ يَا رَبَّ الْعَالَمِيْن.
3) اللَّهُمَّ ارْزُقْنِيْ حِفْظَ النَّبِيِّيْنَ وَاسْتِذْكَارِ الْملَائِكَةِ المْقَرَّبِيْنَ.
------------------------------------------------------------------------------------------
Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
**********************************************************************

Пікірлер: 207
@hamzaforogo
@hamzaforogo 3 ай бұрын
Mimi naona Allah ametaka sisi waislamu kutuweka bize katika kumkumbuka yeye ndio maana akaweka taratibu nyingi ofa nyingi kwamba ukisoma sura fulani kwa idadi fulani utapata kitu fulani Allah ni tajiri hapati hasara kwa kukupa kitu fulani . Mwanaadamu bila kupewa ofa anakua mzito katika kumtii Allah sasa kwa kua mwanaadamu anapenda mali basi Allah akapitia huko huko ili tupate kumcha yeye ni Anatusaidia tu kwa huruma zake kwakua yeye ni mwingi wa huruma kwahali hizo utajikuta unashughurishwa sana na Allah mwisho unaingia kwenye mazoea na huwenda ikawa sababu ya kua bize na mema na kujiweka mbali na maasi. Halafu hata kama utasoma quran au nyiradi kwa lengo la kupata utajiri au mali hiyo ni imani kubwa sana kwani mtu angeweza kwenda kwa washirikina akaabudu shirki kuomba mali lakini badala yake anatawasul kwa visomo na kheri nyengine ni imani kubwa sana na ikhlas ya hali ya juu. Mimi siachi kusoma quran kwa kutaka kitu fulani hata watu wakosoe vipi quran ni shifaa na ponyo kwa waumini naitumia vizuri tu wala sina shaka kwa hili .
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Barakallahu Feek. Wallah umeongea nukta muhimu sana. Kwa kuogopea video kuwa ndefu, najaribu sana kuzungumzia mambo muhimu pekee. Allah (SWT) Anatwambia ndani ya Qur'an kuwa Qur'an ni Kitabu chenye Baraka kiloteremshiwa wanadamu kupitia kwa Mtume (SAW) ili tukizingatie. Hi Ayah inatosha kutukiniaisha kuhusu umuhimu wa Qur'an kwa mwanadamu. Sheikh Dr. Yasser Ad-Dawsary, Iman wa Masjid Al-Haram, alielezea kisa kuhusu Shekhe wake ambaye anafundusha Qur'an ndani ya msikiti wakati wote wala hana kazi nyingine. Lakini hali yake ya kifedha ni nzuri. Akasema siri ya hali yake inatokana na Qur'an. Mwengine ni babake Sheikh Al-Qari Abdulrasheed As-Sufy ambaye alikuwa ni Sheikh na mwalimu wa Qur'an Somalia. Alimuusia mwanawe (yaani Sheikh Abdulrasheed) kuwa akitaka utajiri ashikamane na Qur'an. Babake alikuwa na mali kadhaa Somalia na leo iangalie hali ya Sheikh Abdul-Rasheed. Hii ni mifano michache kuhusu Baraka ya Qur'an kwa kuisoma. Je utakapoifanyia kazi Qur'an? Bila shaka Kheri na Baraka ni nyingi sana sana sana. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-cz5zy1ck2k
@user-cz5zy1ck2k 3 ай бұрын
Shukrani sheikh wetu Allah sw.Akulipe badala njema,duniani na Akhera
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
@@user-cz5zy1ck2k Ameen Ya Rabbal 'Alameen. Sote Ya Rabb. Shukran 🙏🙏🙏
@ArisetzMovement
@ArisetzMovement 3 ай бұрын
Upo Sahihi kabisa
@mohamedalidini
@mohamedalidini 2 ай бұрын
@@ArisetzMovement Shukran sana. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen 🤲🙏
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed Ай бұрын
Allahuma Amiina Shukrani Jazira Kwa HOTUBA MUAFAKA Namuomba ALLAH Akujalie zaidi katika Kutetea AMANI ya Dini ya Allah Amiina
@mohamedalidini
@mohamedalidini Ай бұрын
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@user-hj8op7ix3i
@user-hj8op7ix3i 27 күн бұрын
Maa sha Allah, shukran sana
@mohamedalidini
@mohamedalidini 26 күн бұрын
Tabarakallah! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@neemakibogoyo
@neemakibogoyo Ай бұрын
Kwa upande wangu mimi ninaona mwenyezi Mungu atatufungulia milango ya kheli
@mohamedalidini
@mohamedalidini Ай бұрын
Bila shaka. Cha muhimu ni kuwa na Imani na Yaqeen. Allah (SWT) Amempangia kila mmoja mafanikio wakati ukifika. Muomba Allah (SWT) hachoki!
@user-ps7kv7lp4m
@user-ps7kv7lp4m 3 ай бұрын
Walah ,kwenye sura hii niukweli mtupu,ishaalah Allah akulipe ishaalah
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Shukran sana. Allah (SWT) atupe kheri zote. 🤲
@fatumahamadi1379
@fatumahamadi1379 21 күн бұрын
Umejaribu kusoma ukafanikiwa ALLAH Akupe kher
@mohamedalidini
@mohamedalidini 21 күн бұрын
@@fatumahamadi1379 Ameen! Nawe pia. Shukran!
@ZABIBUCOSMAS
@ZABIBUCOSMAS 16 күн бұрын
Maashaa Allah shukran sana❤
@mohamedalidini
@mohamedalidini 16 күн бұрын
Tabarakallah! Ameen. Sote Ya Rabb! 🤲🤲🤲🤲🤲
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Dua hizi: 1) اللَّهُمَّ يَا غَنِيُّ أَغْنِنِيْ غِنًا لَا يَأْتِنِيْ بَعْدَهُ فَقْرٌ أَبَدًا . 2) اللَّهُمَّ يَا جَامِعَ الْعَجَائِبِ وَيَا رَادَّ كُلِّ غَائِبٍ يَا مَنْ بِيَدِهِ مَقَالِيْدُ الْأُمُوْرِ اجْمَعْ لِيْ ضَالَتِيْ وَرَدِّ عَلَيَّ مَا ضَاعَ مِنِّيْ يَا رَبَّ الْعَالَمِيْن. 3) اللَّهُمَّ ارْزُقْنِيْ حِفْظَ النَّبِيِّيْنَ وَاسْتِذْكَارِ الْملَائِكَةِ المْقَرَّبِيْنَ.
@user-hm5jl1kh2t
@user-hm5jl1kh2t 3 ай бұрын
Asalam alaykum shekh hizi Dua lazima u some kwa kiarabu ? Au kwa Nia ya hajaa yako?
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
@@user-hm5jl1kh2t Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Kwa hakika Allah (SWT) anafahamu lugha zote kwani ndiye aliyeziumba. Illah lugha ya Kiarabu ni lugha ya watu wa Peponi na Allah (SWT) na Mtume (SAW) wamesisitiza tuitumie lugha hii kwa maombi yetu. Shukran sana kwa swali lako. Allah (SWT) Akujazi kheri zote.
@user-hm5jl1kh2t
@user-hm5jl1kh2t 3 ай бұрын
@@mohamedalidini shukran
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
@@user-hm5jl1kh2t Afwan.
@Ruqayyah-ft1gu
@Ruqayyah-ft1gu 3 ай бұрын
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته Shekh hizi dua zipo kitabu gani maana hapo sizioni vizuri najaribu kuzikopi naona simu yangu haikubali
@user-ju1pl7rr8n
@user-ju1pl7rr8n 3 ай бұрын
Aslm alkm ww... Masha Allah!!! Allah akulinde, akupe umri na mafanikio 🙏. Jazakallah kheir 🙏
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Tabarakallahu! Sote Insha Allah. Shukran.
@user-di1lg1pm2l
@user-di1lg1pm2l 5 күн бұрын
inshaalan
@mohamedalidini
@mohamedalidini 5 күн бұрын
Insha Allah! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@amisiabedi1147
@amisiabedi1147 2 ай бұрын
Asalam alekum cheikh. shukrani kwa darsa kubwa tena nzuri. Allah akuhifadhi na akulipe kheri.
@mohamedalidini
@mohamedalidini 2 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Ameen! Thumma Ameen! Sote Ya Rabb! 🤲🤲🤲🤲🤲
@rumaukombo6415
@rumaukombo6415 3 ай бұрын
Barakallah fiika
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Ameen. Waiyyaak! Shukran 🙏
@FIRDAUSAWADH
@FIRDAUSAWADH 3 ай бұрын
BARAKALLAH FIIQUM
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
AMEEN! THUMMA AMEEN! WAIYYAKUM. SHUKRAN 🤲🙏
@salimfarid4690
@salimfarid4690 3 ай бұрын
Masha'Allah! Very educative.
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
You're welcome my BROTHER. May Allah (SWT) Bless you abundantly.
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 3 ай бұрын
Allahuma Amiina Shukrani Jazira Kwa Darasa Amiina.
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Ameen Ya Rabbal 'Alameen. Waiyyaak! Allah (SWT) Atutimizie malengo yetu yote. Ameen.
@user-to6id9yp5x
@user-to6id9yp5x 3 ай бұрын
Mwenyezi mungu akulipe khery Inshaallah tafadhar naomba niandikie hio duaa yakumsomea mtoto samahani kwausumbuf ndugu katka iman
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Waalaikumussalam warahmatullah wabarakatuh. Insha Allah. Afwan.
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Dua ni hii: اللَّهُمَّ ارْزُقْنِيْ حِفْظَ النَّبِيِّيْنَ وَاسْتِذْكَارِ الْملَائِكَةِ المْقَرَّبِيْنَ
@anyeresa928
@anyeresa928 3 ай бұрын
MashaAAllah shukran sheikh wangu Allah akuzidishie umri mrefu wenye mwisho mwema inshaaAllah..SHEIKH KAMA KUNA DUA YA KUONDOA HASAD PIA TUNAOMBA .
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Waalaikumussalam warahmatullah wabarakatuh. Tabarakallah. Insha Allah, nitakutumia. Allah atuwafiqie kheri zote. Ameen.
@sulesheshyoum1871
@sulesheshyoum1871 2 ай бұрын
Shukran
@mohamedalidini
@mohamedalidini 2 ай бұрын
Karibu. Barakallahu Feek 🤲🤲🤲🤲🤲🙏
@shanii01
@shanii01 3 ай бұрын
JazakaAllah kheir
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Waiyyaak! 🤲🙏
@ashbilan13
@ashbilan13 3 ай бұрын
Manshaalah Tabarak Lah
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Alhamdu Lillah. May Allah (SWT) Reward us abundantly. Ameen! 🤲
@user-vm5yf8cs2r
@user-vm5yf8cs2r 3 ай бұрын
Kwa mwanamke siku 40mfululizo. Haitowezekana Shekh Shukran sana Allah akuzidishiye kila la kheri InshaAllah biidhnillah taala
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Inawezekana. Kuna mtu aliuliza swali hilo na nikamfahamisha mwongozo wa wanavyuoni kuhusu mwanamke kusoma Qur'an akiwa katika ada yake. Angalia mfululizo wa comments hapo chini utayaona maelezo yake. Shukran.
@nasramakumbuli9742
@nasramakumbuli9742 3 ай бұрын
Jaadhakalllahu khair
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Waiyyaak my dear sister. Barakillahu Feek 🙏.
@kelvinjoseph5063
@kelvinjoseph5063 Ай бұрын
Jazak Allah Khair!!
@mohamedalidini
@mohamedalidini Ай бұрын
Waiyyaak! Allah (SWT) Atupe kheri zote! Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@user-to6id9yp5x
@user-to6id9yp5x 3 ай бұрын
Shukran sana shehe
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Afwan. Allah (SWT) Atujazi kheri zote. Ameen.
@user-vv7km5fc5x
@user-vv7km5fc5x 3 ай бұрын
MashaAllah jazakaAllah kheir 🙏🙏🙏
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Tabarakallahu. Waiyyaak 🤲🤲🤲
@user-vv7km5fc5x
@user-vv7km5fc5x 3 ай бұрын
@@mohamedalidini naomba number yako sheikh🙏
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
@@user-vv7km5fc5x Namba yangu ndio hii: +254 700047708. Afwan.
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 3 ай бұрын
Jazaka llahul kheir ❤
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Waiyyaak. Wa Barakillahu Feek.
@user-qo7wm7ej2c
@user-qo7wm7ej2c 3 ай бұрын
Mashallah hamdulillah
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Tabarakallah. May Allah (SWT) Bless us abundantly. Ameen! 👐
@JohariShabana
@JohariShabana 3 ай бұрын
In shaa llah ila tunaomba maelekezo kwa wanawake
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Insha Allah tutawafaidisha wote. Wake na waume, Allah (SWT) Atupe kheri zote.
@nassrasalum8001
@nassrasalum8001 3 ай бұрын
​@@mohamedalidini wanawake wana siku ambazo za period tunafanyaje
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Assalam Alaikum Warahmatullah wabarakatuh. Shukran sana kwa swali lako. Kuhusu kwa suala linalowahusu wanake, nilitoa maelezo yake katika comments. Naomba uangalie. Kwa ufupi ni kwamaba mwananke anaweza soma Qur'an kwa moyo kama amehifadhi au mobile ikiwa ameweka Qur'an ndani ya simu yake. Kilichokatazwa ni kushika Mas'haf. Na ndio rai ya wanavyuoni wengi akiwemo Ibn Baaz, Allah (SWT) Amrehemu pale alipo.
@lailahumaid2011
@lailahumaid2011 3 ай бұрын
Mashaallah kweli kabisa inafaida sana
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Tabarakallah. Bila shaka! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲
@lailahumaid2011
@lailahumaid2011 3 ай бұрын
@@mohamedalidini Allahummah Ameen
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
@lailahumaid2011 Ya Rabb!
@shamisahmed4806
@shamisahmed4806 3 ай бұрын
Shukran Yaa Akhiy... Shekhe hiyo dua baada ya sura inaonekana inategemea haja ya mtu kw Allah mtukufu,je ni lazima isomwe(yan kuombwa)yote km ilivo au unaweza kuchukua sehemu tu ya haja yako???..Naomba ufafanuzi !
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Shukran sana kwa swali lako tukufu, Allah (SWT) Akupe kheri zote. Kulijibu swali nasema hivi: Katika video hii nimeelezea Siri 3 Adhimu za Surah Ad-Duha. Na kila siri ina mwongozo na Dua yake. Kinachohitajika ni kutumia kila Dua kwa makusudio yake maalumu yaloelezewa ndani ya video hii. Na haya ndio mafunzo ya video hii. Shukran.
@shamisahmed4806
@shamisahmed4806 3 ай бұрын
@@mohamedalidini Jazakka LLwahu khayra!
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
@@shamisahmed4806 Wiyyaak. Shukran sana.
@MARIAMUHASSAN-qy3jt
@MARIAMUHASSAN-qy3jt Ай бұрын
Ahsante sana shekh kwa kutupatia faida lakini apo kweny udhu vipi sasa kwa upande wa wanawake na vipi watatimiza hizo siku arobaini
@mohamedalidini
@mohamedalidini Ай бұрын
Assalamu Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Nimelizungumzia suala hilo kwa comments hapo chini. Kulijibu hili swali kwa ufupi ni kwamba kulingana na rai ya wanavyuoni wengi ni kwamba mwanamke akiwa na udhuri wa kisheria anaweza kuisoma Qur'an kwa hifdhi akiwa amehifadhi au kutumia simu. Isipokua kushika mas'haf ndio haifai kisheria. Allah (SWT) ni Mjuzi zaidi.
@MARIAMUHASSAN-qy3jt
@MARIAMUHASSAN-qy3jt Ай бұрын
@@mohamedalidini na kwa upande wa udhu je man mwanamke akiwa hivyo haruhusiw kutia udhu je anaweza kusoma hio dua pasi na udhu
@mohamedalidini
@mohamedalidini Ай бұрын
@@MARIAMUHASSAN-qy3jt Utasoma kwa nia ya Dhikri na huwa hahitaji udhu.
@MARIAMUHASSAN-qy3jt
@MARIAMUHASSAN-qy3jt Ай бұрын
@@mohamedalidini ok nmekupata shukran
@mohamedalidini
@mohamedalidini Ай бұрын
@@MARIAMUHASSAN-qy3jt Karibu sana. Barakillahu Feek. 🤲🤲🤲🤲🤲
@rizikirashid1199
@rizikirashid1199 3 ай бұрын
Assalam aleykum WarahmatuLLAH Wabarakatuh Shukran kwa Elim hiyo samahani Shekh hizo Dua twaeza kuipata kwa maandishi ya kiswahili
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah. Insha Allah. Barakillahu Feek 🙏🤲
@hamadikiluvia2655
@hamadikiluvia2655 3 ай бұрын
Assalaam Alyekum Ostadh.. tunaomba izo dua zote baada ya kusoma surat Dhuhaa ..utuandikie na kama utaweza zaidi utuandikie kwa kiswahili.. Allah akulipe na akujalie kheri zaidi
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Sote Allah (SWT) atujazi kheri zote. Ameen! Dua ni hizi: 1) اللَّهُمَّ يَا غَنِيُّ أَغْنِنِيْ غِنًا لَا يَأْتِنِيْ بَعْدَهُ فَقْرٌ أَبَدًا . 2) اللَّهُمَّ يَا جَامِعَ الْعَجَائِبِ وَيَا رَادَّ كُلِّ غَائِبٍ يَا مَنْ بِيَدِهِ مَقَالِيْدُ الْأُمُوْرِ اجْمَعْ لِيْ ضَالَتِيْ وَرَدِّ عَلَيَّ مَا ضَاعَ مِنِّيْ يَا رَبَّ الْعَالَمِيْن. 3) اللَّهُمَّ ارْزُقْنِيْ حِفْظَ النَّبِيِّيْنَ وَاسْتِذْكَارِ الْملَائِكَةِ المْقَرَّبِيْنَ.
@user-kg9kt2pd1k
@user-kg9kt2pd1k 2 ай бұрын
​@@mohamedalidini asalaam alykum ustadi iyo dua plz niandiie kiswahili
@mohamedalidini
@mohamedalidini 2 ай бұрын
@@user-kg9kt2pd1k Dua kwa Kiswahili ni hizi: 1) Ewe Mola, Ewe Uliye Mkwasi nikwasie mimi nisiweze kufukarika tena. 2) Ewe Mola Mwenye Kukusanya maajabu na Mwenye kuregesha kila kilichopotea, Mola ambaye mwenye kumiliki kila kitu na mambo niregeshee nami kitu kilichonipotea, Ewe Mola wa viumbe wote. 3) Ewe Mola niruzuku mimi hifdhi ya Mitume wote na uwezo wa kukumbuka wa Malaika Walokurubishwa kwako.
@TibaAbdallah-wl1ny
@TibaAbdallah-wl1ny 2 ай бұрын
Naomb dua ya mtt kupungua kulia ni mliz mno
@mohamedalidini
@mohamedalidini 2 ай бұрын
Assalam Alaikum Warhmatullah Wabarakatuh. Msomee mtoto Dua Hizi: الرقية الشرعية للأطفال للنوم الأفضل أن تفعل الأم ذلك لطفلها قبل النوم وقاية من الكوابيس والبكاء الليلى للطفل قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ * اللَّهُ الصَّمَدُ * لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ * وَلَمْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا أَحَدٌ .(7مرات)ـ قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ الْفَلَقِ * مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ * وَمِنْ شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ * وَمِنْ شَرِّ النَّفَّاثَاتِ فِى الْعُقَدِ * وَمِنْ شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ.(7مرات) ـ قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ النَّاسِ * مَلِكِ النَّاسِ * إِلَهِ النَّاسِ * مِنْ شَرِّ الْوَسْوَاسِ الْخَنَّاسِ * الَّذِي يُوَسْوِسُ فِى صُدُورِ النَّاسِ * مِنْ الْجِنَّةِ وَالنَّاسِ .(7مرات) ـ أَسْأَلُاللهَ العظيمَ, رَبَّ العرشِ العظيمِ أنْ يَشفِيَكَ ( سبع مرات ) ـ بِسْمِ اللَّهِ أَرْقِيكَ, مِنْ كُلِّ شَيْءٍ يُؤْذِيكَ مِنْ شَرِّ كُلِّ نَفْسٍ أَوْعَيْنِ حَاسِدٍ اللَّهُ يَشْفِيكَ, بِسْمِ اللَّهِ أَرْقِيكَ .(7مرات) ـ بِسْمِ اللهِ يُبْرِيكَ، وَمِنْ كُلِّ دَاءٍ يَشْفِيكَ، وَمِنْ شَرِّ حَاسِدٍ إِذَاحَسَدَ، وَشَرِّ كُلِّ ذِي عَيْنٍ.(7مرات) ـ بِسْمِ اللهِ أَرْقِيكَ , مِنْ كُلِّ شَيْءٍ يُؤْذِيكَ , مِنْ حَسَدِ حَاسِدٍ ، وَمِنْ كُلِّ عَيْنٍ اللهُ يَشْفِيكَ .(7مرات) ـ بِسْمِ اللَّهِ ( ثلاث مرات ) أُعِيذُكَ بِعِزَّةِ اللَّهِ وَقُدْرَتِهِ مِنْ شَرِّ ما تَجِدُ وتُحَاذِرُ ( سبع مرات ) ـ اللَّهُمَّ رَبَّ النَّاسِ، أَذْهِبِ الْبَأْسَ, وَاشْفِ أَنْتَ الشَّافِي، لاَ شِفَاءَ إِلاَّشِفَاؤُكَ، شِفَاءً لاَ يُغَادِرُ سَقَماً.(7مرات) ـ أُعِيذُكَ بكِلَمَاتِ الله التَّامّة مِن كُلِّ شَيطَانٍ وهَامَّة و مِنْ كُلِ عَينٍ لامَّة . 7مرات، ثم تنفث الأم بيدها وتمسح جسد الطفل وتكرر ثلاثا
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 3 ай бұрын
Assalam Alykm Warahmatullah Wabarakatuh: my lecturer nina Aman ya moy kwa manen mazr Allah akulnd na hasad na kijicho
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Barakallahu Feek ya Habiby. Allah (SWT) Atupe kheri zote, Ameen! 🤲
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 3 ай бұрын
@@mohamedalidini Allahumma amin Yarabby alamiin 🤲🏾🤲🏾🤲🏾 biidhnllah InshaaAllah
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 3 ай бұрын
@@mohamedalidini my lecturer Je mfano ukizindisha ukasoma 100 itakuw umeharibu utaratib au ndio bora zaid
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
@@FayeezAlbahassaney Ameen. Barakallahu Feek.
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
@@FayeezAlbahassaney Swali zuri zana. Kwa hakika ni vizuri kufwata muongozo uloelezewa kwenye video. Bila shaka idadi maalumu iko na siri yake. Ili uipate siri na uafiqiwe malengo yako, yatakiwa kufwata idadi yake maalumu. Shukran.
@jumannesultani808
@jumannesultani808 Ай бұрын
Assalamu aleykum shekhe Sorry unaweza kuniandikia dua ya mtoto kuacha kukojoa kitandani please shekhe
@mohamedalidini
@mohamedalidini Ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Siri Mujarabu ya kutatua tatizo hilo ni mtoto wako asome Ayat Al-Kursy mara 5. Na kama hajui au hawezi kusoma, msomee kwa nia hiyo, puliza kwenye viganja vyako vya mikono kisha umpanguse mwili wake. Kwa Uwezo wa Allah (SWT) hilo tatizo litaondoka. Afwan.
@wardabaruani2828
@wardabaruani2828 3 ай бұрын
Asalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh. Shukrani Sheikh kwa ilmu,Allah akulipe Kheir nyingi. Naomba dua unitumie kwa email kama inawezekana.
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Insha Allah. Naomba email yako ili nikutumie.
@YasminYasmin-vj5ih
@YasminYasmin-vj5ih 3 ай бұрын
Kwa mwanamke km uko kwenye Ada na km umehifadhi ruhusa kusema mladi usishike msahaf tuu km uko kichwani soma tuu
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndio inaruhisiwa kwa moyo yaani kwa hifdhi. Barakillahu Feek 🤲🙏🙏🙏
@SaadaBenadi-pj2bn
@SaadaBenadi-pj2bn 3 ай бұрын
Assalam Alykm samahn sheh mm nimebadili dini sifaham kuruani napenda sana kufaham ila sijui ila ss naomba uniandikie kwa kiswahili,k8sha mmbnitafuta ilivyo ulivyo andika samahan sana
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Insha Allah nitajaribu kwa uwezo wa Allah (SWT) kukusaidia. Afwan.
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 3 ай бұрын
As salaam alaikum Warahmatullah Wabarakatuh Ustadh kama Sisi wanawake hatwendi mskitin tunaweza tukimaliza adhuhur nyumban tusomee hayo maji?
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
Swali zuri
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Nikisema 'Baada ya Swala ya Ijumaa' namaanisha 'WAKATI'. Nafahamu ya kwamba kwa wanawake si lazima kuswali Ijumaa. Kwa hivyo untangojea mpaka iswaliwe Swala ya Ijumaa kisha bila ya kuchelewa uifanye hii faida. Kwa hivyo inafanywa baada ya Swal ya Ijumaa, sawa umeswali au la. Shukran sana kwa swali lako. Allah (SWT) atupe kheri zote. Ameen!
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
@@mohamedalidini Asante sana
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
@@Catherine-mh8sw Karibu Sana dadangu mpendwa!
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 3 ай бұрын
Tumefaham Allah akulipe kheir zake🤲
@bilalmahmood7298
@bilalmahmood7298 Ай бұрын
Nina ushuhuda na suratul dhuha nilisoma kwa nia nipate pesa nikapata
@mohamedalidini
@mohamedalidini Ай бұрын
MASHA ALLAH! AL-HAMDU LILLAH! ALLAH (SWT) ATUPE KHERI ZOTE. AMEEN! 🤲🤲🤲🤲🤲
@jamilahali-jg8er
@jamilahali-jg8er 3 ай бұрын
Sheke mm kila siku Uwa npta channel yko juu Uwa naona waongea kiarbu
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Kwa hakika miye naongea Kiswahili sanifu. Ispokua Ayah za Qur'an na Dua nazisoma kwa kiarabu kisha naitafsiri hizo Ayah au Dua. Allah (SWT) Atuwafiqie kheri zote. Ameen. Shukran sana kwa swali lako. 🙏
@zuhuramwaniki6138
@zuhuramwaniki6138 26 күн бұрын
Je kama umeibiwa miezi mingi itafaa?
@mohamedalidini
@mohamedalidini 26 күн бұрын
Inategemea kama vilivyoibwa bado viko. Na kama havipo, Allah (SWT) Akipenda atakupa badala yake vilivyo bora zaidi. Allah (SWT) ni Mkarimu sana!
@MayiNtunzwenimana
@MayiNtunzwenimana 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Shukran Sana. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏
@nilihamhamisi1927
@nilihamhamisi1927 3 ай бұрын
Assalamu alykum sheikh naomba kuliza jee kama sijui kusoma iyo surt narusiwa kusikiliza kwenye sim
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh.Kinachohitajika ni kusima. Na ikiwa huwezi kusoma, unaweza kutafuta mtu akufanyie kisomo na Allah (SWT) atakuwafiqia kila la kheri. Ameen! 🤲
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 3 ай бұрын
Na pia kuhusu kuisoma siku 40 mfululizo kwa wanawake tukiwa katika ada tuendelee kuisoma pia au tufanyeje?
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
Swali zuri
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Kuhusu kusoma Qur'an kwa mwanamke akiwa katika ada, anaruhusiwa kuisoma bila kushika Mas'hafu. Yaani anaweza kuisoma kwa kutumia simu ya mkononi au bila kuangalia popote akiwa amehifadhi. Hii ndio rai ya wanavyuoni wengi akiwemo Sheikh Ibn Bazi. Kwa muktadha wa swali lako, napenda kukufahamisha ya kwamba unaweza soma Surah Ad-Dhuha mara 40 kwa siku 40 bila ya kukatiza kisomo chako. Ukipata ada utasoma bila ya kushika Mas'haf. Kwa faida ya watazamaji wa hizi video nanukuu Fatwa kwa lugha ya Kiarabu nayo ni: فالصحيح من أقوال العلماء أن الحائض لها أن تقرأ القرآن عن ظهر قلب، وذلك لما رواه الشيخان والترمذي والنسائي وأبو داود وابن ماجه وأحمد من حديث عائشة رضي الله عنها، أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال لها: فَاقْضِي مَا يَقْضِي الْحَاجّ. غَيْرَ أَنْ لاَ تَطُوفِي بِالْبَيْتِ حَتّىَ تَغْتَسِلِي ، ومعلوم أن الحاج يقرأ القرآن. والخلاصة أن الحائض لها أن تقرأ القرآن، ولكنها لا تمس المصحف، لما صرحت به الآية الكريمة: لا يَمَسُّهُ إِلَّا الْمُطَهَّرُونَ[الواقعة:79]. بل تقرؤه حفظًا أو ترديدًا مع الشريط ونحوه. والله أعلم.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
@mohamedalidini shukran sana sheikh
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 3 ай бұрын
Asante Sana sheikh
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
@@salmaalkyumi6030 Barakillahu Feek. Shukran sana.
@Naw89
@Naw89 3 ай бұрын
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh Shukran sheikh kwa madini Allah akulipe khery Nna ombi hizi dua tunaomba uwe unatuandikia kwenye comment ili mtu aweze kuandika kwenye daftari kwa urahisi Sura hazina neno ila dua inakua ngumu sana kuandika kwa kusikiliza japo inakuja katika screen lakin sio rahic kuipata clear
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Afwan! May Allah (SWT) Bless us abundantly! Ameen.
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Dua hizi: 1) اللَّهُمَّ يَا غَنِيُّ أَغْنِنِيْ غِنًا لَا يَأْتِنِيْ بَعْدَهُ فَقْرٌ أَبَدًا . 2) اللَّهُمَّ يَا جَامِعَ الْعَجَائِبِ وَيَا رَادَّ كُلِّ غَائِبٍ يَا مَنْ بِيَدِهِ مَقَالِيْدُ الْأُمُوْرِ اجْمَعْ لِيْ ضَالَتِيْ وَرَدِّ عَلَيَّ مَا ضَاعَ مِنِّيْ يَا رَبَّ الْعَالَمِيْن. 3) اللَّهُمَّ ارْزُقْنِيْ حِفْظَ النَّبِيِّيْنَ وَاسْتِذْكَارِ الْملَائِكَةِ المْقَرَّبِيْنَ.
@Naw89
@Naw89 3 ай бұрын
Maa sha Allah Allah akuridhie kila uombalo lenye khery nawe
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
@@Naw89 Ameen Ya Rabb. Sote Insha Allah (SWT).
@MadamAli-qd4se
@MadamAli-qd4se 3 ай бұрын
ASSALAAMU ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKAATUH SHEIKH TUNAKUSHUKURU KWA MAFUNDISHO YAKO ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 ай бұрын
Jamani tuwe makini saana hawa masheikh wa kishia sasa wanakuja na style za kila aina. Kwahiyi nikuulize wee sheikh hayo mafundisho umetoa wapi alafu sie tumekuja duniani kutafuta mali?
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Kabla ya kukuelezea pale ninapoyatoa mafundisho haya, napenda kukupa wasifu wangu mfupi kuhusu kisomo changu. Namshukuru Allah (SWT) kunijaalia kuwa na Shahada ya Shariah na Kanuni, Shahada ya Master of Islamic Banking & Finance na Shahada nyingine za Degree na Diploma. Nimehifadhi Qur'an yote na kuswalisha Tarawehe kwa miaka 7. Miye ni Ahlu Sunna Wal Jamaa. Napenda sana kufanya utafiti kuhusu Qur'an. Nachukua mafunzo haya kutoka katika tafsiri za Qur'an, Hadithi na chambuzi zake kama kitabu cha 'Fat-hul Baary' na vitabu vingine ambavyo vinachambua Qur'an kwa njia ya Tajriba. Pia nanukuu maneno ya wanavyuoni wakubwa kusu kuichambua na kuizingatia Qur'an kama Imam Ghazali, Imam Nawawy na wengine. Kwa ufupi, najua wengi wanashangaa na ilimu hini naitoa wapi. Namalizia na Ayah Hii: Surah Al-Baqarah: وَٱتَّقُوا۟ ٱللَّهَ ۖ وَيُعَلِّمُكُمُ ٱللَّهُ ۗ وَٱللَّهُ بِكُلِّ شَىْءٍ عَلِيمٌۭ ٢٨٢ Maana yake: Be mindful of Allah, for Allah ˹is the One Who˺ teaches you. And Allah has ˹perfect˺ knowledge of all things. Na kama hutaki mali ni khiyari yako. Lakini Allah (SWT) anakwambia katika Surah Al-Qaswas: وَٱبْتَغِ فِيمَآ ءَاتَىٰكَ ٱللَّهُ ٱلدَّارَ ٱلْـَٔاخِرَةَ ۖ وَلَا تَنسَ نَصِيبَكَ مِنَ ٱلدُّنْيَا ۖ وَأَحْسِن كَمَآ أَحْسَنَ ٱللَّهُ إِلَيْكَ ۖ وَلَا تَبْغِ ٱلْفَسَادَ فِى ٱلْأَرْضِ ۖ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يُحِبُّ ٱلْمُفْسِدِينَ ٧٧ Rather, seek the ˹reward˺ of the Hereafter by means of what Allah has granted you, without forgetting your share of this world. And be good ˹to others˺ as Allah has been good to you. Do not seek to spread corruption in the land, for Allah certainly does not like the corruptors.” AFWAN SANA kama nimekosea. Barakallahu Feek.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 ай бұрын
@@mohamedalidini muogope Allah sheikh kunakufa unajijua unajua unayoyafanya muogope Allah
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
@@selemankishema5780 Alhabib! Yaonekana uko na chuki za kibinafsi. Allah (SWT) Atulinde na shari zote. Ameen!
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 ай бұрын
@@mohamedalidini sina mahusiano na wewe ya namna yoyote sasa nikuchukie kivipi? Wewe nakunasihi tu muogope Allah unayofundisha utakuja ulizwa usidhani utaachwa na kama ndivo ulivofundishwa basi waliokufundisha watakuwa na malengo yao wewe huyajui.
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
@@selemankishema5780 😂😂😂😂Mimi naelewa amana ya elimu kwa ummah. Bila shaka tutakwenda kuulizwa na Allah (SWT) kwa yote tuloyafanya, yazungumza na kadhalika. Na wewe kama haya ninayoyazungumza kuhusu faida za Qur'an hayakufai waachie wengine wanaoamini na kuwafaa. Na Allah (SWT) ni Shahidi ya ninayosema. Barakallahu Feek.
@UmJibreel-fo2gr
@UmJibreel-fo2gr 3 ай бұрын
Shukran
@mohamedalidini
@mohamedalidini 3 ай бұрын
Afwan. Barakillahu Feek. 🙏
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 83 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 95 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
OMBA DUA HII WAKATI UMEKUA MGONJWA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
8:31
Fauz Production
Рет қаралды 24 М.
NINI HUKUMU YA MTU ANAEMUOA MWANAMKE ALIYEZINI NAE
3:04
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 120 М.
SAY 2 DUA IN SUJUD ALLAH LOVES IT SO MUCH
4:47
Nourish TV
Рет қаралды 257 М.
JIEPUSHE NA MASHEKHE MCHWARA SHEKHE NASSOR BACHU
2:54
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 4 М.
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН