Рет қаралды 11,582
Ujumbe wenye uponyaji wa Roho na Nafsi uliotolewa katika Ibada maalumu ya wana TUCASA kutoka Jimbo la CTF iliyofanyika katika ukumbi wa chimwaga Dodoma iliyoambatana na changizo kwajili ya mfuko wa Wana Tucasa kutoka Jimbo la CTF huku mnenaji mkuu akiwa Mch. David Mbaga.
#savptv
#savpmedia
#savpupdates