Amen Mungu naomba ushughulike na Magda wa polaki Kotuń poland ukampelerushe Kama upepo hapo kazini na maana anatunyia unyanyasaji na ukatili bila huruma
@DelaneyWambui4 ай бұрын
Amen
@DiyaMwakuluzo-xu7ic5 ай бұрын
Ninachosikitika ni kwamba hata nikitaka kuombewa na huyu mchungaji direct haitowezekana but mimi ni binti anaenizungumzia katika kila mahubiri yake nikama anakiu na mimi i wish nimuone alafu aniambie nini cha kufanya na yeye apate amani
@thomasokayo32705 ай бұрын
Money transfer to Poland amen
@neemakameka36316 ай бұрын
Pastor you are teacher ever
@coffeetable56836 ай бұрын
Pastor your Man of God nitakuja Dar kushuhudia nina Mengi sana yakushuhudia kuhusu madhabau yako Mungu akueke
@maryammohmmed59096 ай бұрын
Pia mimi nko 🇸🇦🇸🇦🇸🇦 hapa naamini mungu nifike Tz nije nishuhudie kwa madhahu yako kuhusu matters of blood kile kilitendeka kwangu na familia yangu
@idrissmatco8056 ай бұрын
Amen
@magrethwillson20216 ай бұрын
Ameen Ameen Pastor 🔥🔥🔥🔥🙏🇦🇪💰💰💰💰💰💰💰
@joshuapatrick95256 ай бұрын
Asante kwa Neema ya Bwana wangu yesu Kristo
@eliasiravuga75396 ай бұрын
Asante sana, Kwa Neema yake BWANA wetu Yesu Kristo....,,,,, 📖🕊️♥️
@jamesmwashinga6 ай бұрын
Sifa na utukufu apewe BWANA YESU
@SophiaSudi-bz9ju6 ай бұрын
Amen DADY 🙏🏾🙏🏻
@godfreymgaya18626 ай бұрын
9 Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake. 2 Wakorintho 8:9
@shanealivitsa58836 ай бұрын
Ameeeeeeen .mimi ni tajiri na asante baba kwa neno