Aiseeh... Nash naipenda sana Forester XT lakini hii pia nimeelewa vizuri sana pale option ya Sport & off road ndio kubwa napenda Fotester na ina nguvu halisi katika AWD. Nimependa umeme unavofanya kazi gari yote kwa ujumla
@MacharyJohn-wh7ml Жыл бұрын
Nakubal snash, kaz nzuri, gar yangu pendwa hyo
@raphaelpeter682011 ай бұрын
Mr Snash, we n mmoja ya watu wangu wa karib katk review coz napenda magari na kuna jamaa yang Anayo tena kachukua ina 9000km ofcourse subaru wamejitahid sana toleo lao la 2013 ila shida ni ma plastic ni meng sana ndano halaf upande wa driver sit ukiipandisha juu kdogo dashboard huion vizur lkn any way big up bro _Geita
@oswardmwalukasa69485 ай бұрын
Bro unajua sanaa! Kipaji cha kiwango cha kimataifa
@kevinngomuo5247 Жыл бұрын
Big up, unaelezea vizuri sana,, ila ongeza knowladge kulijua gari vizuri, hujaelezea engine, hp, torque, transmission features mapungufu ya gari, maana haliwezi kua perfect kwenye kila kitu.. ila yote ya yote uko vizuri sana👍🏾
@rich-lr8tq10 ай бұрын
kwani yeye ni fundi magari au ni injinia
@basindafarm4467 Жыл бұрын
Nimeipenda presentation yako bro🤞
@MussaAbbasi4 ай бұрын
Amedanganya kwenye Auto Start-Stop amesema ikiwa ON inazuia kugonga gari ingine, ukweli ni kwamba Auto Start-Stop ikiwa ON na ukiwa labda ktk traffic light ukisimama kwa kushika break gari inajizima na ukiachia break inajiwasha… hiyo kitu ya kuzuia kugonga kitu cha mbele ni feature ya EyeSight
@LEWISKAANA2 ай бұрын
Nimekubali mzee baba hiyo chumaa aisee
@nasibuahmedy2438 Жыл бұрын
God Bless you more mzee wa #Review_in_Swahili
@FabianMbughi-qb8jw Жыл бұрын
Chakwanza ni new model inabampa kalisana imewekewa taasimeka poa sana piaina limukalisana nigaliyaheshima Kaka
@josephkostans9128 Жыл бұрын
God blessing you man
@joelkulwa707 Жыл бұрын
Uyu jamaa anajua sana kuelezea magari big up sana
@livingstonekabantega6 ай бұрын
Sawa ila si Alina sonsor ya kuzuia ajali uoni Bado sana
@RjdEfuNny Жыл бұрын
Oy best web za kudawnload games
@igilokhamis9428 Жыл бұрын
Fanya review ya RAV4 2006/ MISS TANZANIA
@TAMay-vf5xt Жыл бұрын
You are a very good presenter. Big up.
@snashtz Жыл бұрын
I appreciate that!
@mwesigwambeikya3612 Жыл бұрын
Outlander vp kaka, tunasubiri review yake
@lucaluno6754 Жыл бұрын
fanya review ya toyot crown 2011
@gadluck4362 Жыл бұрын
noma sana
@alkagemo6427 Жыл бұрын
presentation nzuri ila kwenye mafuta apo umetupiga brother, lita 1 iyo ni km12 maximum.
@emmanuelmichael7130 Жыл бұрын
Ndungu mtangazaji hiyo ni forester SJ5 au forester SJG?
Kwenye wese umetupiga. Hii gari non turbo inatembea lita 1 kwa 12 km. Tena hiyo safari ndefu. Kitown town haitoboi lita 1 kwa 10 km.
@husseinkaoneka5834 Жыл бұрын
Mwanangu maisha ushaanza kuyapatia, unanenepa sasa kijana wangu au sio snash 😀😀😀😀
@ChoroTesla Жыл бұрын
UKIOA LAZIMA UNENEPE
@AbdulkareemKassimu Жыл бұрын
Kak mbona siskii kuhus rambogin
@thehunter5920 Жыл бұрын
Gari ya kawaida sana,unaipa sifa kubwa mno
@HamicyBakari Жыл бұрын
Fanya review ya Mitsubishi outlander
@mzukatv2875 Жыл бұрын
Tunaomba review ya Nissan Xtrail naona Wese linatembea tu😂
@AsheryJulius Жыл бұрын
Kaka hii gari inaonekana itakuwa tamu sanaaaa
@livingstonekabantega6 ай бұрын
Ajaelezea Ina Msaada Gani ukipata ajali utofauti wake na probox ni upi kwenye ajali SI inakuua vizuri tu hapo ndio kafeli
@bossmtoto12689 ай бұрын
snash unajitah ila kuna vitu sijaskia ongeza mambo bro
@cydoodoo22277 ай бұрын
Engine pia tumepigwa sio SJ5 ni FB20. Hiyo SJ5 ni chassis
@mohamedkitemwe3569 Жыл бұрын
Snash mi nakukubali sana naomba ushauli kati ya Honda croossrord na iyo Subaru nijiweke wapi?
@snashtz Жыл бұрын
Ishi humu
@abdulbandidu119 Жыл бұрын
Hii chuma tulitoka nayo Mombasa to Nairobi aisee ni konyo
@nickylyanga2139 Жыл бұрын
Bei ndo hataji sasa
@snashtz Жыл бұрын
Piga simu
@sanktussimba46607 ай бұрын
Ina bei gani vp na bei ya subaru Forester 2010/2011
@mirageayotv Жыл бұрын
Taja bei tujipangeee
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Mimi gari nlio nayo ni kwajili ya safari za hapa na pale sifanyi kama fashen 😂cha muhim nafika niendpo
@jimmysantana3987 Жыл бұрын
😂 pumzikaaa
@Maxpaul-oi8pw Жыл бұрын
Inauzwa sh.ngap?
@adamsafari7657 Жыл бұрын
kikubwa zaidi ni kipi, mana vikubwa vilivyokuvutia ni vingi
@noeljoseph7361 Жыл бұрын
Gari inaonesha 9.5 km/L ila ww unatumia 18 km/L..yaan unataka utuaminishe kuwa ist inakula mafuta sana kuliko subaru
@thobiasbukali9008 Жыл бұрын
Muongo huyu bwana,km 18 kwa l
@alenyema Жыл бұрын
Ni 9km kwa mjini ila 12 hadi 14 highway
@stn4873 Жыл бұрын
Capacity yake ndio hvyo 0 km.
@dotiperi Жыл бұрын
Hapo. Hata mm nikashtuka kidogo.
@mwitachacha9785 Жыл бұрын
Japo show ya mbele ya bampa ni ngumu sana kuikuta kwa SJ5 sana ni kwenye SJG sijui mliiotea chimbo gani😂
@emmanuelmichael7130 Жыл бұрын
Ndo na mimi hapa ninajuuliza ilo bampa la SJG limefikaje apo😂😂😂
@emmanuelmichael7130 Жыл бұрын
ivi kwa mfano nkaamua kubadilisha bampa la SJ5 nkaweka la SJG itafit au haiwezakani
@TheDejoky Жыл бұрын
@@emmanuelmichael7130lina fit
@livingstonekabantega6 ай бұрын
Umeelezea vizuri ila si halina sonsor ya kuzuia ajali ? Kwaio hilo gari bado sana .Hata ajali ikitokea hakuna cha kukuokoa limejaa ma tivii tu humo yaani upande wa usalama hakuna walicho fanya
@JoshuaNgaeje-u6n Жыл бұрын
Subaru forester ndiyo habari ya mjini
@kassimungemba5830 Жыл бұрын
Lita 1 unaenda km 18!! Huo in uongo, hiyo ni Passo?
@johkunero936 Жыл бұрын
Bro umejitahidi kufanya review lakini hilo gari hata 50% hujalizungumzia. Kwanza, unaporiview unatoa pros and cons za hicho kitu, wewe umezungumzia pros tu of which sio sawa kama Automotive reviewer. Pili, hiyo gari haujaifahamu vizuri teknolojia yake na capabilities zake, engine ya gari haujaisema ni ipi ndio non turbo lakini haujariview kitechnical zaidi umekua shallow. Tatu, kitu muhimu kuhusu hii gari ni teknolojia yake ya Eyesight ambayo ndio za first selling future ya hii gari umeeleza kama mtua mabaye haijui hii gari na vilevile hata kuelezea Xmode nini na inafanya kazi namna gani umeeleza visivyo na pia hata zile driving mode tatu yani Inteligent, Sport, Sport Sharp umezieleza shallow sana. Mimi kama mkereketwa na mtu ninae ifahamu hiyo gari vizuri naomba next time uweunafanya research kabla ya kueleza vitu in every normal way. Review 1 out of 5.
@CollinsngasalaGhambi Жыл бұрын
Fact
@abdulngonyani8104 Жыл бұрын
Car reviewers wa kibongo ni wababaishaji, hawajui wanachokifanya, hawana knowledge ni kama wapotoshaji
@erickmunda306111 ай бұрын
Siku moja nilimsema huyu jamaa aachane na reviews za magari kwa kuwa hajui chochote arudi kwenye matangazo ya electronics nilitukanwa sana.
@marydominick92010 ай бұрын
Mimi natamani kuinunua naomba unielezee vizuri nitoke Toyota niingie subaru Naitwa Mary
@rich-lr8tq10 ай бұрын
kwani yeye ni mechanical injinia au
@IddrisaIbarahm7 ай бұрын
Wewe ambaye unasema hujalizungumzia hata asilimia 50 siundae kipindi uzungumze wewe tukuone we choko nini
@mahadyisaac4525 Жыл бұрын
Subaru sio gari ya kutunza status
@upendo1020 Жыл бұрын
Basi chukua Vits utunze status
@thehunter5920 Жыл бұрын
Mercedes benz,bmw,audi ,porsche, hizo ndiyo gari za status
@upendo1020 Жыл бұрын
@@thehunter5920 Kwahyo gari za ulaya tuu ndo za status sio
@AidanFrancis-dw3qs11 ай бұрын
@@thehunter5920hizo gari ni fupi
@thehunter592010 ай бұрын
@AidanFrancis,kwani aliyekwambia gari ndefu ndiyo za status ni nani?