Somo "Akili" Sehemu Ya 13. Dr Elie V.D Waminian

  Рет қаралды 10,290

Chomoza Tv

Chomoza Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@petermabada5628
@petermabada5628 4 жыл бұрын
Dr. hii elimu ni kubwa sana , watu wengi wanapaswa kuijua , Hii ni tofauti hata na style ya mafundisho tunayopata kwenye makanisa , misikiti, masinagogi, MUNGU kakuleta utuelimishe, kwa sababu watu wengi tulikua tunaangamia kwa kukosa maarifa ya hatma zetu.
@shafymkeremy7653
@shafymkeremy7653 4 жыл бұрын
Dr Nakupenda Kwa Upendo Wa Dhati...# Nakaz Yakukuombea Uwena Afya Njema Ili Niendele Kupata Maarifa Kutoka Kwako.. Maana Now Na Miaka Miwili Nkikusikiliza Maana ikifika Miaka Mitatu Nitakuwa Nimehitimu Na Kuwa Na Degree Kutoka Kwako Kwa Elimu Uitoayo.
@irenenguku8198
@irenenguku8198 4 жыл бұрын
Jaman Dr ulichosema wanje wanaelewa zaidi ujakosea maana wengine umetubadilisha kabisa..... asante Sana.
@rajabumrama3161
@rajabumrama3161 4 жыл бұрын
Mungu akulinde d.r.t
@vivianoforo4760
@vivianoforo4760 4 жыл бұрын
Ili somo linagonga kweli kweli and I will listen to it mpaka mwisho Mungu akutunze sana Doc Ellie na team chomoza
@kelvinmwasongole6724
@kelvinmwasongole6724 4 жыл бұрын
Asante kwa hili somo
@the_white_43.
@the_white_43. 4 жыл бұрын
CHOMOZA YOOOOTE Dr. Elie ndio timamu ,,,muongezeeni MUDA ...Rekebisheni sauti
@peterpaschaljuma2382
@peterpaschaljuma2382 4 жыл бұрын
Asantee Sana Dr tangu nianze kukufatilia mfumo wa maisha yangu yamebadrika kabisa 🙏🙏
@jeffreyjason8453
@jeffreyjason8453 4 жыл бұрын
Brother Sam na Brother Jimmy nawaomba mnunue saa ndogo ya kuweka mezani hapo, itasaidia sana muwe na Utulivu. Ni mwaka Sasa tangu Dr. Elie amependekeza kuwe na saa hapo mezani.
@jeffreyjason8453
@jeffreyjason8453 3 жыл бұрын
@Allan Kobe what is it?
@mr.moneysolver981
@mr.moneysolver981 4 жыл бұрын
Team chomoza asante sana
@joelkahesi7280
@joelkahesi7280 4 жыл бұрын
Truly a hub of hope.
@davidkihiga3531
@davidkihiga3531 4 жыл бұрын
as you have said ..... Kuna watu wapo saa hizi na kalamu na daftari hawatikisiki . NI MIMI HAPA .
@mariaurassa8081
@mariaurassa8081 2 жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu
@mirajimakwilo8193
@mirajimakwilo8193 3 жыл бұрын
Nimekuelewa Siku zote!
@hamidafundi5890
@hamidafundi5890 4 жыл бұрын
Ukisikia ipasavyo utatulia, na kuona sawasawa. Utu ni utulivu.
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 жыл бұрын
Yan nusu saa INATUTOSHA KBSAA.MSITAKE MDA MREFU AFU UKAONDKA PATUPU.KIPNDI HIKI KINATAKIWA USIKIVU WA HALI YA JUU.
@egbertmachumu8552
@egbertmachumu8552 4 жыл бұрын
Jimmy acha kufanya mhh; mhh; wakati Dr. anaongea, inakera. Sam Sassali ni mtulivu.
@the_white_43.
@the_white_43. 4 жыл бұрын
good
@jacklinembuya1331
@jacklinembuya1331 5 ай бұрын
@greenhealtv9016
@greenhealtv9016 4 жыл бұрын
Shalom, Mimi kuna kitu nakiona alafu kinajirudiarudia. Na sim yangu iko vizuri ina maana sim sio tatizo. tatizo lenyewe ni 'sauti' hasa anapoanza kuongea DR. samahani kama nitakua nimeona vibaya. GOD BLESS
@florianassenga5158
@florianassenga5158 3 жыл бұрын
Shalom. Kwa mwanzoni hata mimi sauti ilikua ni tatizo, lakini tangu natumia earphone sijawai kukosa neno hata moja. Nakushauri nawe pia tafuta earphone mpendwa sababu kusikilizia kwenye speaker za simu utakosa mengi!
@migeraveronica7719
@migeraveronica7719 4 жыл бұрын
Nina shida nikupaje
Somo "Akili" Sehemu Ya 14 Dr. Elie V.D Waminian.
21:28
Chomoza Tv
Рет қаралды 10 М.
Somo "Akili" Sehemu Ya 16 Dr. Elie V.D Waminian.
27:09
Chomoza Tv
Рет қаралды 10 М.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 57 МЛН
Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.
41:49
Chomoza Tv
Рет қаралды 12 М.
Somo "Akili" Sehemu Ya 12. Dr Elie V.D Waminian
17:30
Chomoza Tv
Рет қаралды 10 М.
Majibu ( Response ) Dr. Ellie VD. Waminian. No 18
32:01
Chomoza Tv
Рет қаралды 10 М.
Somo "Akili" Sehemu Ya 17 Dr. Elie V.D Waminian.
27:25
Chomoza Tv
Рет қаралды 11 М.
Somo "Akili" Sehemu Ya 9. Dr.Elie V.D Waminian
27:56
Chomoza Tv
Рет қаралды 13 М.
Majibu ( Response ) Dr. Ellie VD. Waminian. No 12
32:57
Chomoza Tv
Рет қаралды 9 М.
Somo "Akili" Sehemu Ya 11. Dr.Elie V.D Waminian
30:41
Chomoza Tv
Рет қаралды 12 М.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН