Somo "Akili" Sehemu Ya 14 Dr. Elie V.D Waminian.

  Рет қаралды 10,402

Chomoza Tv

Chomoza Tv

Күн бұрын

Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
KZbin : www.youtube.com...
#ChomozaTv#GospelUpdates#2020

Пікірлер: 15
@johnfubusa1598
@johnfubusa1598 4 жыл бұрын
Wow nimekuwa wa kwanza Leo kuona balaka nzuri hizi za mungu kupitia watumishi wake mbalikiwe mala dufu
@emmanuelysanga9542
@emmanuelysanga9542 4 жыл бұрын
Tunaomba muda uongezwe kwaajili ya dokta ikibidi baadhi ya vitu vipunguzwe hii elimu anayotoa dokta Elie ni elimu yenye ukombozi sana Mungu anamtumia katika asili ya uumbaji wake kabisa tafadhali team chomoza muda wa dokta Elie uongezwe na dokta tunaomba utoe kitabu hakika utakua umeweka mwanga na Uhuru kwa vizazi na vizazi
@naiemmanuelmollel9583
@naiemmanuelmollel9583 3 жыл бұрын
Yule binadamu unayemuona ni mwema sana kwako kwa mwingine ni mbaya na yule umwonaye mbaya anaweza kuwa mzuri. Sauti ndiyo pekee tunayotegemea itengeneze picha. Jambo ambalo ni tofauti sana kwa ulimwengu huu watu wengi tunatazama picha zaidi kuliko kuruhusu sauti itengeneze picha.
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 жыл бұрын
Dr elie🤲🤲
@the_white_43.
@the_white_43. 4 жыл бұрын
Good...Nashukuru Kwa maarifa haya...Mungu awaongezee maarifa.
@albertkimaro1665
@albertkimaro1665 4 жыл бұрын
Jimmy sauti ni ndogo sana hadi inaboa. Fanyeni Mpango wa kuweka hizo mic zenu vizuri au tafuteni mic zilizo Bora zaidi. Haya madini inatakiwa tuyapate Kwa ubora wake
@joelkahesi7280
@joelkahesi7280 4 жыл бұрын
Truly a hub of hope. Bless
@jamesmrema9311
@jamesmrema9311 4 жыл бұрын
Mungu awabariki muendelea kuwa hai
@SKILLS360TV
@SKILLS360TV 4 жыл бұрын
Nakumbuka Dr mwanzo kipindi anaanza somo la mwanga wa akili wengi tulikuwa tunajiuliza AKILI NI NINI??? hatimaye leo kasema muda mrefu sana sana kwenye somo hili Ni mwaka Sasa KHASANTE CHOMOZA KHASNTE DR KHASANTE WAANDAAAJI WOTE
@zachariahexegesists7892
@zachariahexegesists7892 4 жыл бұрын
we jimmy uliambiwa ununue saa uweke mbele hapo, unaharibu kipindi mbona wale mitume na manabii wako huwafanyii hayo
@burundisgottalent2184
@burundisgottalent2184 4 жыл бұрын
Jimmy iyo siyo heshima! Unakata kipindi kama haukutima eshima atakidogo! Awo niju anatoa elimu kwabule? Ingelikua niwakulipwa haungeshimamisha ivo! Jifunze kuwa naeshima!
@petermabada5628
@petermabada5628 4 жыл бұрын
Jimmy mitume na manabii huwa hauwakatizi katikati wakiwa wanaongea kwann unafanya kwa Dr.?
@alexnyagawa542
@alexnyagawa542 4 жыл бұрын
Uncle Jimmy, Unaharibu steem za watu. Unakua dictator wa mda Live bwana. Muongozeeni mda Dk au Fungueni kipindi cha Live youtube cha Dakika 40 bas. Unamkatisha mda huyo nasisi unakatika bwana. Fanya ivo uncle Sam wewe una UFAHAMU timamu.
@Lankz_Antisocial
@Lankz_Antisocial 4 жыл бұрын
Jamaa mshamba sana, utadhani radio ya kijiji. Eti hata saa hawawezi kununua, tunarudia rudia kama wehu, alafu jamaa wanatupotezea.
@happyjohn1732
@happyjohn1732 4 жыл бұрын
Mbn fasta fasta ivyo
Somo "Akili" Sehemu Ya 15 Dr. Elie V.D Waminian.
28:21
Chomoza Tv
Рет қаралды 10 М.
Somo "Akili" Sehemu Ya 13. Dr Elie V.D Waminian
25:31
Chomoza Tv
Рет қаралды 10 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,5 МЛН
Somo "Akili" Sehemu Ya 16 Dr. Elie V.D Waminian.
27:09
Chomoza Tv
Рет қаралды 10 М.
You Must Cooperate | Cindy Trimm
5:24
Cindy Trimm
Рет қаралды 569
Somo "Akili" Sehemu Ya 11. Dr.Elie V.D Waminian
30:41
Chomoza Tv
Рет қаралды 12 М.
Somo "Akili" Sehemu Ya 1. Dr.Elie V.D Waminian
38:02
Chomoza Tv
Рет қаралды 74 М.
Majibu ( Response ) Dr. Ellie VD. Waminian. No 18
32:01
Chomoza Tv
Рет қаралды 10 М.