SOMO LA KUMSAMBARATISHA YUSUF DIWANI MKUFURISHAJI HAPA HATOKI

  Рет қаралды 2,341

AL MUBAJJAL TV

AL MUBAJJAL TV

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@HakimRamadan-kl1hx
@HakimRamadan-kl1hx 7 ай бұрын
Maansha Allah darsa lako limeeleweka,twamuomba Allah akuhifazi
@RamadhaniShembillu
@RamadhaniShembillu 7 ай бұрын
Msomeshe uyo shekhe yani %kubwa ya awa makhurafi hawajiekewi .kama uyu Yusuf diwani hajulikani hata aliposomea,kasoma vichochoroni na ao nduguzake, ndomana waborongatuu,nauongo mwingi
@NasibuJuma-e6u
@NasibuJuma-e6u 7 ай бұрын
Msomeshe huyo ajili amefuatilia sheikh Abdurahman wa burundi tena huyu sheikh amesoma vyuo vikuu misri na saidia lakini tunamuona diwani haja soma chuo kikuu chochote kukosa adabu tu
@karimdaud3993
@karimdaud3993 7 ай бұрын
Huyu anasema kajisomesha mwenyewe huyu
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 7 ай бұрын
Musema. Ndimu kama sio ndimu na wakristo wanasema yesu ni mungu lakini sio kama mungu baba
@MariamUmande
@MariamUmande 7 ай бұрын
Uyo mnganga wa kienyeji mpinga vipande Yusuf diwani msomeshe Uyo mushikina mpinga vipande Yusuf diwani Ni mkiya wa mashia Yusuf diwani kukata tauhidi uluhiya na rububiya na asmau wasifati ni fika za Kishia kukata hizo tauhidi tabu Mashia ndiyo waliyo kataa vigawanyo vya tauhidi
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c 7 ай бұрын
MAWAHABI OYEEEE......!! ASLIMIA 99% YA MASHEKHE WA ZAMANI WA ZANZIBAR HAWAJASOMA SOODIA VYUO VIKUU.
@adamcity9441
@adamcity9441 7 ай бұрын
Itikadi ya Mawahabi Sheikh Alislaami Ibnu Taimia Alharaani: كما في الحديث الصحيح المرفوع عن قتادة عن عكرمة عن ابن عباس قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: رأيت ربي في صورة شاب أمردُ له وفرة جعد قطط في روضة خضراء Kama ilivyo katika *hadithi sahihi almarfuu* kutoka kwa Qataadah kutoka kwa Iqrimah kutoka kwa Ibnu Abbaaas amesema: amesema Mtume wa Allah s.a.w.: “nilimuona Mola wangu akiwa katika sura ya kijana barobaro nywele timtimu nyingi chooko akiwa katika bustani kijani.” [Rf. Bayanu Talbiis Aljahmia 7/290]
@BilaliIloko
@BilaliIloko 6 ай бұрын
Kaka kakae usome kaka usisikilize hao mashia rafidhwa utapoteza dini yako,
@mohagurey2214
@mohagurey2214 7 ай бұрын
Sikio la kufa halisikii dawa, Yusuf Diwan sioni akitubu, atakufa msufi mpiga ramli
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 7 ай бұрын
Mashehe wote wanaotetea maulidi kuyafanya kuwa ni dini tunawaomba watutafsirie vitabu ya maulidi ili watu wajuwe kilichomo ndani mbona hawa wanaopinga wantamba sana na wanaonesha ubovu uliomo ktk vitabu hivo
@SaidMadai
@SaidMadai 7 ай бұрын
Hhhh ww upo kwenye serra wkt hp inazungumzwa ukatoliki w kitauhid mlio nao nyinyi mawahabi mkajinasibu n tauhid 3 ambazo hazina mapokezi yoyote kutoka kw mtume zaid y uzushi kumpwekesha Mungu n km kiumbe
@MBAROUKSAADHUSSEIN
@MBAROUKSAADHUSSEIN 7 ай бұрын
Je Maulid yanamapokezi Kwa Mtume mbona haukubali ukiambiwa ni uzush au ambao sio sahahih ni bidaa ni hili tu Kwa kua haulitaki? Msikilize SHEKHE tu utelewa
@ameirameir4349
@ameirameir4349 7 ай бұрын
Kama Yusuf Diwani hajafahamu somo la Leo basi atakuwa mbumbu
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 7 ай бұрын
Ma sufi nipeni maji ni kisema برب الناس na ملك الناس na اله الناس hapo nimetaja mungu watatu?
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 7 ай бұрын
haki inang'aasiku zote kwa dalili bali batwil ukiitiloa nia kuwa utaendelea kubaki nayo shetan atakupendezesheeni mpaone pazuri katika batil Allah atuongoze tusifuate matamanio ya nafsi tukapotea
@HakimRamadan-kl1hx
@HakimRamadan-kl1hx 7 ай бұрын
Katika watuwajinga huyu diwani kwakweli ni jinga kwelikweli!
@hassanrangambo8007
@hassanrangambo8007 7 ай бұрын
Yooooote sijaona sehemu kafundisha mtume swahaba tabii na tabii tabiina bali ni jitihada tu za wanazuoni hujamwelewa na huto mwelewa nilitegemea upite kwa nahw swaraf kama yeye tupate elimu inshaalla
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 7 ай бұрын
Diwan nakushaur ukaw kimya huyu shekh sıo saşz yako Ukıangalia huyu shekh Muhammda İs'haka mdıo shekh peke yake aliyepigilia msumar kark Kırab cga maulıd kukıtafsr na kasqsıda fekı na mpka leo hakuna altmpinga Maaana ni elimu kubwa anayooo mzee huyu !!!!
@NassirSaidmassoud
@NassirSaidmassoud 7 ай бұрын
Kumbe hapo ulipo unamakaratasi mwenzako anatuonyesha wapi tufat e ushaid ibn taymia nimshirikina
@MbanoMrage
@MbanoMrage 7 ай бұрын
Inaonekana hawajiamin haya wazee wasifa
@BakariBinuri
@BakariBinuri 7 ай бұрын
Masufi tauhidi yao no moja tu
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 7 ай бұрын
Wale hawafai kwenye jami
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw 7 ай бұрын
Huyu bwana n muongo kweli kweli
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c 7 ай бұрын
MAWAHABIIII TUKISEMA NDIMU HII KAMA SI NDIMU HIYO BADO ITABAKI KUWA NDIMU ILA INASIFA ZA ZIADAAAAA
@idisaidi287
@idisaidi287 7 ай бұрын
Sheikh Muhammad Abdul bi wahab Ni Sheikh mkubwa Wew endeleya kulishwa matango pori na masufi
@darajanida
@darajanida 7 ай бұрын
ni shekh mkubwa kwko wewe
@idisaidi287
@idisaidi287 7 ай бұрын
@@darajanida na kwako pia
@darajanida
@darajanida 7 ай бұрын
laa mim najuwa vizuri historiya ya shekh muhammad ibn adulwahab mimi nlko mbali na daawa yake usinlsingizie nduguyangu
@warshysaid8564
@warshysaid8564 7 ай бұрын
​@@darajanidatupe hiyo history yke kma kwel unamjuwa
@MbanoMrage
@MbanoMrage 7 ай бұрын
Halafu kwann kina diwan wakitoa clip zao wanafunga sehemu ya coment.
@karimdaud3993
@karimdaud3993 7 ай бұрын
Makafiri wasiingie na kubadisha maana
@AlhajiShabani-rq9vm
@AlhajiShabani-rq9vm 7 ай бұрын
umekosa radhi ya shekhe hakusema diwani ni vitabu vyenu sio diwani mbona wajichanganya
@RamadhaniShembillu
@RamadhaniShembillu 7 ай бұрын
Wewe Haj hujielewi kichwa box icho
@faridfrefre35
@faridfrefre35 7 ай бұрын
Yusuph diwani khuraf mkubwa
@darajanida
@darajanida 7 ай бұрын
kama ashaaira si ahulusuna ahlusunna nimawahabi au milango ya tauhid hujui mzee wang bora unyamaze tu utafedheheka
@NassirSaidmassoud
@NassirSaidmassoud 7 ай бұрын
Sheikh utwambie hivi imegawanyika tauhidi kwakitabu hiki kisicho cha mawahabi wewe. Ni ndacha ujui usemalo akili yako ni mgando
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 7 ай бұрын
Diwani elimu hana hata maulama wao hajui kuwa wamegawanya tauhidi 3 na aseme sasa kuwa na hawa ni wakatoliki Kweli kumsomesha mganga tauhidi ni kazi ngumu ....kwa sababu tauhidi inakataza shirki na Diwani na wenzake hawako tayafi kuacha shirki
MAJIBU YA RADDI YA SHEIKH MOHAMED IS'HAKA WA TANGA KWA KUKURUPUKA
48:08
Sheikh Yusuf Diwan
Рет қаралды 1,7 М.
RADDI KWA YUSUF DIWANI MKUFURISHAJI
43:38
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 3,9 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
MAANA YA KUMUAMINI MTUME MUHAMMAD | 01 | Muhammad Bachu.
40:58
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 3,7 М.
Sheikh Aman Mauba - NDOA NA TALAKA
39:11
Mahaasin Tv Official Channel
Рет қаралды 93 М.
Sh Abdirahman Bashiir "Side Uga Fa'idaysana Waqtika 2025"
55:30
Xogmaal Media
Рет қаралды 44 М.
KHABARI ZENU TUNAZO UWAHABI NI TAWI LA WAKATOLIKI TANBIHI SEHEM YA KUMI NO10
40:50
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН