Napenda huyu Evangelist anavyofunza.Mungu akubariki sana
@juliusandason2 күн бұрын
Kwa kweli mtumishi wa Mungu masomo haya yananibadilisha mno. I feel something from holy spirit enter inside me!
@LydiahGacheri-c3mАй бұрын
Nashukuru mungu Kwa ajili ya huu ujumbe,,, nimejifunza mengi Mungu akupe ufunuo zaidi
@farajamsigwa40025 ай бұрын
Mungu akubariki wewe na familia Yako Wewe ni MTU MKUU sanaaaa mungu akutunze akulinde kwa ajili ya dunia nzima ipokee injili ya kweli in Jesus name 🙏 🙏
@tumainichanya3268Ай бұрын
Amen,Amen.
@MariamJuma-ro4gg17 күн бұрын
Amen from kenya barikiwa sana kwa neno nzuri la kubariki
@Essie-91Күн бұрын
Always a blessing to be here.
@user-paschalrebeca33 күн бұрын
Be Blessed MOG🙇🙇
@erickmsimbe542415 күн бұрын
Bwana Yesu nisaidie nisimame kwenye nafasi yangu kama mwombezi
@tumainichanya326821 күн бұрын
Baba Asante nakuelewa na naona ufufuo ndani yangu
@Kazera-y2w28 күн бұрын
Mungu akubariki sana
@faithe40633 ай бұрын
Nabarikiwa kila mara ninapo sikiza mafundisho hili neema ya Mwenyezi Mungu ikutawale kweli
@thevoiceofredemptionmiracles4 ай бұрын
Bado naendelea kusikiya neno na ndani yangu nasikiya nguvu ya kuomba zaidi 🙏 much love father from USA
@Rosemary-wd3yu4 ай бұрын
Mungu akubariki sana unatufungua features zetu
@AlicemdemuchildofGOD6 ай бұрын
MUNGU atusaidie 🙏🙏
@melabmelab-tw9bs4 ай бұрын
Mungu okoa family yangu nausikie maombi yangu baba
@NeemaGodard4 ай бұрын
Mungu akutunze pastor
@mosesalute55075 ай бұрын
Ameeen Ameeen
@andjelaniilombe-go5kj4 ай бұрын
Amen Amen Amen
@BinfaceNicolusАй бұрын
Pastor ubarikiwe
@MalcomJoshua2 ай бұрын
Amen amen. Amazing somo. On behalf of my Mom@Marium Peter. Lord thank you for introducing her to your servant. Mama always says "one of a kind Man of God" God bless you Evangelist
@ErickErickbudo3 ай бұрын
Mungu aikumbuke Sala na Sadaka zangu
@DenisRukangula2 ай бұрын
Safi sana
@AndersonWale2 ай бұрын
MUNGU akupe mafunuo zaidi
@amenmunguwetunimkuukalahez53226 ай бұрын
Amen Baba. God bless you 🙏
@AbigaelMathias-q1y3 ай бұрын
Ameeeen
@josephpeter9419Ай бұрын
❤
@lifechangersfamily39015 ай бұрын
Amen
@stephanosospeter17095 ай бұрын
Ameen
@DenisRukangula2 ай бұрын
Mungu hakuwa amekusudia Hana hasipate wana. Hilo mwalimu naomba nikusahihishe, Kuna vitu Mungu anaviacha ili viwe fundisho Shetani anaweza kufunga Luka 13:16 Yesu anasema shetani amemfunga huyu mwanamke Isaya 58:16 Angalia vifungo vya uovu
@Essie-91Күн бұрын
Kuna wakati Mungu hufanya anavyopenda. Mfano Rachel ni Mungu alimfunga.
@ElizabethEliya2 ай бұрын
ROHO YA MAOMBI NA INIINGIE NDANI YANGU TANGU SASA KWA JINA LA YESU KRISTO!!!
@gramiespopcornbusiness438326 күн бұрын
07-01-2025❤
@annamwakitalu2 ай бұрын
Narudia na kurudia baba! Maarifa haya ni ya ajabu, hayadirikiki