SOMO MUHIMU KWA MFANYA BIASHARA MWENYE NDOTO KUBWA

  Рет қаралды 245

Siri za Vitabu

Siri za Vitabu

Күн бұрын

Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa. Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio. Vitabu ni sauti ya watu ambao wako mbali nasisi na hatuwezi kukutana nao, ni sauti ya watu waliokufa wakituachia urithi na hazina ya mawazo yao.
Vitabu vinatupa usawa, na yeyote anae vitumia kwa usahihi na kuviamini vina muweka katika ulimwengu mmoja na watu wakubwa na mashuhuri wanaoishi na waliowahi kuishi katika hii dunia.
Haya sio maneno yangu, ni maneno ya William Channing, kama alivyonukuliwa na Ben Cason katika kitabu chake ya Think Big.
Naitwa MFAUME HASSAN, na karibu katika channel yangu ya SIRI ZA VITABU.
Nikufunulie siri zilizofichwa katika vitabu. Nikufunulie ubongo wa watu mashuhuri na waliofanikiwa.
Unaweza kufuatilia Siri za Vitabu
Instagram: siri_za_vitabu
Facebook: / sirizavitabu
Email: mfaumehassan@gmail.com
Contacts: 0745624754

Пікірлер: 3
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 Ай бұрын
Ahsante sana kwa Elimu
@dkalbertoanyasime9357
@dkalbertoanyasime9357 5 ай бұрын
Kwenye hiyo kampuni yako hamuzi hisa?
@sirizavitabu
@sirizavitabu 4 ай бұрын
Kwasasa hapana mkuu. Miaka ya badae huko in shaa allah
TIBA SABA ZA MFUKO WA KIFUKARA: BUSARA ZA WAZEE WA BABELI
19:47
Siri za Vitabu
Рет қаралды 805
MAAMUZI 4 HUPASWI KUKIMBILIA KUYAFANYA
17:18
Siri za Vitabu
Рет қаралды 268
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,6 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 7 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
Njia 4 Kubwa Unazoweza Kutumia Kumshawishi Mteja.
7:01
Joel Nanauka
Рет қаралды 103 М.
LAW #28 MBINU MUHIMU YA KUWA NA MAMLAKA
15:18
Siri za Vitabu
Рет қаралды 185
TABIA MUHIMU ILI UWEZE KUFIKIA MALENGO: MAJALIWA PADI
14:11
Majaliwa Padi
Рет қаралды 188
ANZA KWA KUTANDIKA KITANDA CHAKO: UCHAMBUZI
18:10
Siri za Vitabu
Рет қаралды 457