SSUSA: Masanja Mkandamizaji

  Рет қаралды 1,166,845

Swahili Society America

Swahili Society America

5 жыл бұрын

Masanja Mkandamizaji akifanya comedy kwenye uzinduzi wa Swahili Society USA (SSUSA) ulio fanyika November 17, 2018

Пікірлер: 312
@lilianmongate9827
@lilianmongate9827 4 жыл бұрын
Masanja nakukubali Sana Mtumishi kwa uchekeshaji tz unafunika. Nacheka Sana. Hadi naumia tumbo. Napenda pia mahubiri yako. Mungu akuinue zaidi
@marioleelee4118
@marioleelee4118 5 жыл бұрын
Ongera sana masanja kwa ufanisi wako wa kuchekesha na enjoy na comedy zako
@bahopamountana8226
@bahopamountana8226 5 жыл бұрын
Huyuu jamaa anakipaji sanah sema hawajamaa awacheki sana kwasababu awajuh vizur kiswahil but 2naenjoy saan
@makulajilala6966
@makulajilala6966 5 жыл бұрын
msukuma a
@samwelsamnize4917
@samwelsamnize4917 5 жыл бұрын
Hahahahahaha masanja ananifurahisha ni hatar
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 жыл бұрын
Awajui kiswahili wakati wametokea tanzania kwaiyo ata tundu lisu atakuwa ajui tena kiswahili sababu ameshakuwa marekani
@leecliffemwaikambo8389
@leecliffemwaikambo8389 4 жыл бұрын
Ila Masanja nakukubali sana. Halafu sidhani kama huwa unajiandaa kusema hayo. Yanakuja tu yenyewe. Hicho ndio kipaji sasa.
@janethbernady8406
@janethbernady8406 5 жыл бұрын
😂😂😂😂masanja unaxhekesha sana !! Yaan nilikuwa na maombi,after finishi nikamsikiliza AMBENE nyimbo ya upendo nikaanza kulia. Nilipoanza kukusikiliza ww nimecheka mpaka basi.mambo ya marekani??njoo na Dubai basi??
@godblessnassary7785
@godblessnassary7785 4 жыл бұрын
Mmmmh njoo na Arusha basi
@amankigendo4565
@amankigendo4565 3 жыл бұрын
@Masanja umejua kunifurahisha Leo khaaa😂😂😂✔️
@bakaribakari8355
@bakaribakari8355 5 жыл бұрын
safi sana hongera sana wasisitize kwa mba kiswahili ndiyo lugayao popote waendapo BSB HANDENI KWETU
@emmanuelthomas7345
@emmanuelthomas7345 5 жыл бұрын
Kaka masaja unajitahidi jaman unaitambulisha Tanzania jaman thanks
@yusuphhussein4336
@yusuphhussein4336 5 жыл бұрын
hongera sana broo umejitahidi sana kuwachekesha walio nuna hahahahahaaaaaaaa
@cieranchillo7
@cieranchillo7 5 жыл бұрын
Nnacheka haad chenchi zimeisha😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Masanja yo baddest 👏🏻
@gidioneliud2848
@gidioneliud2848 5 жыл бұрын
Hongereni Sana kwa uzinduzi huo,,,hongera pia masanja
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 5 жыл бұрын
yaaah Safisaaana Swahili society ,thanx Masanjaaaaa nimewapendaa
@lucasgogo6569
@lucasgogo6569 5 жыл бұрын
Afande Bright Mbwilo pamoja masanja
@rweyemamudengesi7245
@rweyemamudengesi7245 5 жыл бұрын
Lucas Gogo iv masanja unanifurahisha ila punguza masiara bwana
@nicholausmaganga1180
@nicholausmaganga1180 4 жыл бұрын
Ni kipawa kutoka kwa mungu na kila mtu anakipawa alichopewa na mungu
@henrymsigwa5950
@henrymsigwa5950 5 жыл бұрын
Gonga like hapa kama unasoma comment huku unamuangalia masanja
@elizabethyamy2705
@elizabethyamy2705 5 жыл бұрын
kama uliniona😂😃😃😃😃
@lucymaganga3855
@lucymaganga3855 5 жыл бұрын
B
@mariashayo2609
@mariashayo2609 5 жыл бұрын
Fersta
@annamwaipopo3406
@annamwaipopo3406 5 жыл бұрын
Henry Msigwa ameen
@agnesalex9180
@agnesalex9180 5 жыл бұрын
Henry Msigwa sanaa
@georgemakata7342
@georgemakata7342 5 жыл бұрын
😃😃😃 kama na Wewe umesikia masanja Amesema Grande Chai akaletewa chai na Barafu ni hataree sanaaa
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 жыл бұрын
Am watch from africa tanzania🇹🇿 🙌
@jovinjohn3952
@jovinjohn3952 5 жыл бұрын
I appreciate the man on his work...... May Lord bless you masanjamkandamizaji 🌍⛅👆🐦🎤🎧
@hassansaidy3827
@hassansaidy3827 5 жыл бұрын
Jovin Boniventure true
@nathanoakley9825
@nathanoakley9825 2 жыл бұрын
sorry to be offtopic but does any of you know of a way to log back into an Instagram account?? I stupidly lost my account password. I love any help you can give me!
@dannystephen2490
@dannystephen2490 2 жыл бұрын
@Nathan Oakley instablaster :)
@nathanoakley9825
@nathanoakley9825 2 жыл бұрын
@Danny Stephen thanks so much for your reply. I got to the site through google and im waiting for the hacking stuff atm. I see it takes quite some time so I will reply here later with my results.
@nathanoakley9825
@nathanoakley9825 2 жыл бұрын
@Danny Stephen It worked and I now got access to my account again. I am so happy:D Thank you so much, you saved my account!
@kingjosse4781
@kingjosse4781 5 жыл бұрын
Nakubaliii sanaaaa aseee i wish to be there one day......
@swahilisocietyamerica8054
@swahilisocietyamerica8054 4 жыл бұрын
Kiswahili ni Lugha yetu kwa hiyo sasa tukienzi na kukikuza duniani
@eyumededu2948
@eyumededu2948 3 жыл бұрын
💪💪
@ANODIUSPROJESTSEVELIN-vu9xt
@ANODIUSPROJESTSEVELIN-vu9xt 8 ай бұрын
Ubarikiwe mtumish wa mungu
@winnymshana7753
@winnymshana7753 5 жыл бұрын
kama umecheka ile aliyosema unakula ugali mpaka ukipita mwenzio anakuuliza vipi umetoka mashineni gonga like tujuane wala ugali
@fpct_icctv8436
@fpct_icctv8436 3 жыл бұрын
Gggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggy6 rwdf
@johnmsacky8170
@johnmsacky8170 5 жыл бұрын
good Mr masanja dumisha lugha yetu kiswahili safi
@uhaitanzania1620
@uhaitanzania1620 5 жыл бұрын
zaidi ya PhD lecture/mhadhara wa shahada ya Udhamivu. hongera mtumishi wa Mungu, Msanii, Mchekeshaji, Mwalimu, Mc, Mwimbaji, Msukuma, Mtanzania, Mmarekani kwa sasa, Me igizaji, na Uhamasishaji...nitafute +255714418190 kwa kazi zaidi,urarudi tens huko USA.nipda hapa Dar Bongo, Tanzania. nafurahi sana kazi nzuuuuri...Mungu Akubariki
@fredyalinine3038
@fredyalinine3038 5 жыл бұрын
Mtumishi mm naitwa Mr. kilembe kiukweli nakukubali sana na naikubali sana huduma yako. Na natamani kupata mawasiliano ili tuwasiliane
@zumbaabiyah3184
@zumbaabiyah3184 5 жыл бұрын
....swahili society USA, mmetisha sn.! hongera an, Emanuel Mgaya, aka masanja mkandamizaji.!
@xkingx8041
@xkingx8041 5 жыл бұрын
Hongera saaana swahili society usa..
@vumbiboy5961
@vumbiboy5961 5 жыл бұрын
yesu akuinue sana mtume masanja"""
@arubalydia224
@arubalydia224 5 жыл бұрын
Nakukubali aisee Irudie injili moto moto kama ile ya wana wa Israeli na kunda la Farao
@rogerasifiwe6394
@rogerasifiwe6394 4 жыл бұрын
Nakukubali San masanja tuna kukaribusha tena .
@lukamwakosya6676
@lukamwakosya6676 5 жыл бұрын
Hao, ugali hawaujui.nafikiri,una matatizo ya kuleta usingizi 😀😀😀
@deniamassawe193
@deniamassawe193 4 жыл бұрын
Hongera kaka kwa kutukuzia kiswaili ukoo
@swahilisocietyamerica8054
@swahilisocietyamerica8054 4 жыл бұрын
Ahsante sana Kiswahili kipo juu
@verrynicemushi2563
@verrynicemushi2563 3 жыл бұрын
Kweli nimefurahi sana kutoka hapa Arusha Tanzania
@maryseriah157
@maryseriah157 5 жыл бұрын
Masanja acha utan unired stares of America
@arubalydia224
@arubalydia224 5 жыл бұрын
Nakukubali hahahaaa Sumbua dunia kwanza!
@rachelissacmahenge1348
@rachelissacmahenge1348 4 жыл бұрын
Masanja tunahitaji stand show Tanzania
@swahilisocietyamerica8054
@swahilisocietyamerica8054 4 жыл бұрын
Swahili Society inashugulikia hili
@joshuaissaya5100
@joshuaissaya5100 5 жыл бұрын
Masanja ungefanyaga stand up comedy bc ingetishaaaa
@faridashaban8853
@faridashaban8853 4 жыл бұрын
Amina mungu akupe maisha marefu
@bahatingokomasaga4496
@bahatingokomasaga4496 5 жыл бұрын
hongera sana kka masanja
@allyzawadi6206
@allyzawadi6206 5 жыл бұрын
masanja una talent bro yani unachekesha bila kuandaa materials una freestyle tu sipati picha ukiamua kuandaa vichekesho
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 5 жыл бұрын
Massanja Manyara huku wamarekani wapo Kibao
@Meshacktz2510
@Meshacktz2510 5 жыл бұрын
Mhh
@josephstevin6559
@josephstevin6559 3 жыл бұрын
Mh tuendako hakuna makanisa itabaki entertainment centre! Kama unaamini unacho angalia hicho nikanisani put like hapo.
@eyumededu2948
@eyumededu2948 3 жыл бұрын
Sio kanisani ndugu yangu wako kwenye mkutano
@philiposhilingi7288
@philiposhilingi7288 5 жыл бұрын
kisukuma to the next level
@deonatusyokta4338
@deonatusyokta4338 4 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@godrichmwatindila5690
@godrichmwatindila5690 5 жыл бұрын
Kama umesikia mhola sana , gonga like
@samir.i.psamtutakukumbukad2338
@samir.i.psamtutakukumbukad2338 5 жыл бұрын
Masanja ww ninoma sanaaa
@mourinenekesah4002
@mourinenekesah4002 5 жыл бұрын
Pastor you always bless me through your peachings
@michaelmatingo6798
@michaelmatingo6798 4 жыл бұрын
Masanja wanikosha sanaaaaaa
@emanuelngweta1339
@emanuelngweta1339 4 жыл бұрын
Upo vzr
@rehemabonza4529
@rehemabonza4529 5 жыл бұрын
Mungu ni mwema jaman
@sethjohnson7266
@sethjohnson7266 5 жыл бұрын
Umetisha brother. Nafuatilia sana kaka mkubwa, mambo yako yanaenda poa sana kabisa
@fassykibona2056
@fassykibona2056 5 жыл бұрын
Pamojakaka nakkbali
@runguwarioba6543
@runguwarioba6543 5 жыл бұрын
Chezea. Masanja
@ramadhanimagwe4316
@ramadhanimagwe4316 5 жыл бұрын
Nakkbali
@nejaonlinetv
@nejaonlinetv 4 жыл бұрын
Wwe
@juniourmvungi3965
@juniourmvungi3965 5 жыл бұрын
Hongera sana Kaka ongeza bidii
@frankngoloka8311
@frankngoloka8311 5 жыл бұрын
Nakuona ndugu yangu wa home chimala,mbunge aliyegombea ubunge kwa tiketi ya chadema mbarali mbeya
@tonymmbando4015
@tonymmbando4015 5 жыл бұрын
adi marekani imeingiia kwenye vina
@godblessnassary7785
@godblessnassary7785 4 жыл бұрын
Kama unaangalia 2019 gonga like apa
@elizabethgabriel1888
@elizabethgabriel1888 3 жыл бұрын
Ana kpaju hatari
@antonefrances3615
@antonefrances3615 3 жыл бұрын
Daaa uko vizuri sana kaka
@tumainimugisha7636
@tumainimugisha7636 5 жыл бұрын
Wow! Mmefanya Kitu Chema Kabisaaa..... Mungu AWABARIKI SANA
@frankjoseph329
@frankjoseph329 5 жыл бұрын
Wakina nani wamefanya vzri haoo
@tumainimugisha7636
@tumainimugisha7636 5 жыл бұрын
@@frankjoseph329 SSUSA
@frankjoseph329
@frankjoseph329 5 жыл бұрын
@@tumainimugisha7636 amen karibu sanaaa
@suzanwilliam2010
@suzanwilliam2010 5 жыл бұрын
Upo juu ndg barikiwa
@mbwanalau57
@mbwanalau57 5 жыл бұрын
Umetisha Sana masanja
@josephnchunga6554
@josephnchunga6554 5 жыл бұрын
hongera Sana pastor masanja
@awiloukosawakubwapaulo8403
@awiloukosawakubwapaulo8403 5 жыл бұрын
Hongera #Masanja
@manenoadam2883
@manenoadam2883 5 жыл бұрын
Hadi Tandahimba imetajwa USA hahahahaha
@ezekieljolam3961
@ezekieljolam3961 5 жыл бұрын
Nicheki
@gauedwin1960
@gauedwin1960 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣loving it..
@witnesskivaria7483
@witnesskivaria7483 5 жыл бұрын
masanja bwana nishidaa kingereza kinaleta jotoo hahaa
@mwamengele
@mwamengele 4 жыл бұрын
Unashoboka sana na America Masanja
@Respicius
@Respicius 5 жыл бұрын
Namuona mama jesca yupo safi sana
@viviandavid9974
@viviandavid9974 5 жыл бұрын
Ilove it
@knourisgalis967
@knourisgalis967 5 жыл бұрын
HAahahahaah waaaooooh so nyc masanja i like u
@aaronpaul2687
@aaronpaul2687 5 жыл бұрын
Knouris Galis mmh!
@erickmagige2581
@erickmagige2581 5 жыл бұрын
mambo
@abdallahelbali4200
@abdallahelbali4200 5 жыл бұрын
Huku kwetu ughaibu, vipaji vinadorora, Na boga waliharibu, ukiifanya papara, Kuhamisha sijaribu, shina lake ndiyo bora, Jogoo kwa ugenini, hatawika asilani.
@swahilisocietyamerica8054
@swahilisocietyamerica8054 5 жыл бұрын
Ukweli mtupu
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. 5 жыл бұрын
MASANJA KICHEKESHO MPK USA SAFI BRO.
@germanusmwalongo728
@germanusmwalongo728 5 жыл бұрын
Pamoja pasta from Tanzania PLC rujewa
@justinemwakipangile783
@justinemwakipangile783 3 жыл бұрын
Pamoja kamanda
@55Martrows
@55Martrows 5 жыл бұрын
Hivi uyu jamaa kwanini hafanyi Standup Comedy??
@mzalendomtanzaniahalisi4196
@mzalendomtanzaniahalisi4196 5 жыл бұрын
Umapaona hapo hata ww
@kwasimutokalondon-nafreddy5278
@kwasimutokalondon-nafreddy5278 5 жыл бұрын
Kipaji kizuri. Sema ungefanya onyesho fupi kama dk 15-20. Itakuwa kali na nzito zaidi. Wenzetu dunia " ya nje ndivyo hufanya" ktk hafala aina hii. Bila hivyo unakuwa unajirudia rudia. Masanja oyeee!!! Twahitaji hii fani kuendelezwa zaidi Tanzania. Bado mbichi
@zaitunhaule859
@zaitunhaule859 5 жыл бұрын
Jamani 😂😂😂😂❤👌
@deshmorealehy1836
@deshmorealehy1836 5 жыл бұрын
Dopest Bro.
@nisamwakikonyola1661
@nisamwakikonyola1661 5 жыл бұрын
Hahahahahaha haki nimeinjoi kwakwel kemea pepo jmn
@yohanam220
@yohanam220 4 жыл бұрын
Ww ni noma sana shemeji yng
@emanuelelius990
@emanuelelius990 5 жыл бұрын
raha sana yaani wewe ni noma sana kiukweli ugali haufai usa
@robertaudax4566
@robertaudax4566 4 жыл бұрын
Be blessed
@herrythabit3861
@herrythabit3861 5 жыл бұрын
Ndio maisha mnayo yapenda ,mnajiona Kam mkopeponi hapo
@kulwamachugu936
@kulwamachugu936 5 жыл бұрын
Kuokoka nikuiingia mjini ubarikiwe kaka
@vumbiboy5961
@vumbiboy5961 5 жыл бұрын
yesu azidi kukuinua mtume "$""masanja"$"”
@Gra898
@Gra898 3 жыл бұрын
Tupo wangapi in 2021
@frankatilio4377
@frankatilio4377 5 жыл бұрын
Mbarikiwe
@hamisiomari9820
@hamisiomari9820 5 жыл бұрын
Hahahahaaaa unanifurahsha sana
@kelvinjonathan4772
@kelvinjonathan4772 5 жыл бұрын
Aisee uje nahuku U.K✈
@ministeryobusebastian3565
@ministeryobusebastian3565 5 жыл бұрын
Kelvin Jonathan hello Mr are u in uk
@kenyatatogota5340
@kenyatatogota5340 5 жыл бұрын
Amina masanja hata Mimi natamani marekani
@shakamohamed5544
@shakamohamed5544 5 жыл бұрын
Hiyo comment ya balozi somalia hali yao dhaifu laiti kama ungelijua wakati walikuwa vizuri marubano asli mia 80 Walikuwa wanafunzwa bure na serikali ya somalia wape credit
@shabaniijumaa5941
@shabaniijumaa5941 5 жыл бұрын
Pepo la umbeya
@willygidion8226
@willygidion8226 5 жыл бұрын
kumbe masanja upon mareka............ni
@mzalendomtanzaniahalisi4196
@mzalendomtanzaniahalisi4196 5 жыл бұрын
Masanja ni mtanzania halisi popote atakapoenda haach uasili was kitanzania kuanzia tabia, namna y akuelezea mambo mapya
@meshackmassawe9503
@meshackmassawe9503 5 жыл бұрын
It is nice occasion men
@kalumunabarton3661
@kalumunabarton3661 5 жыл бұрын
Great....
@venahmoraa3333
@venahmoraa3333 5 жыл бұрын
Redemption is not reduction
@fassykibona2056
@fassykibona2056 5 жыл бұрын
Yesu ninaodha ukimsikia, atakupaorda!
@mshamhemed6607
@mshamhemed6607 5 жыл бұрын
amina
@leahgilbat4185
@leahgilbat4185 5 жыл бұрын
HIV huyu jamaa kunauwepo wa mungu kweli? Au simwelewagi unajua
@manawaaporinary9635
@manawaaporinary9635 5 жыл бұрын
Masanja unakipaji sana
@kasalenangis7325
@kasalenangis7325 5 жыл бұрын
safi sana kaka
@annamlawa4334
@annamlawa4334 4 жыл бұрын
Katisha
@dasmindapesama23
@dasmindapesama23 4 жыл бұрын
Halo jamaa uyu kiboko nampenda sana
@flaviusnestory3142
@flaviusnestory3142 5 жыл бұрын
Hongera sana brother,umetisha sana mtu wa mungu,ww ni mkali.
@deogratiusjohn7983
@deogratiusjohn7983 5 жыл бұрын
Big up sana broo
@fredrickjandwa3112
@fredrickjandwa3112 5 жыл бұрын
Omega tensioner massager hongera
@emmyjohn3970
@emmyjohn3970 5 жыл бұрын
Iyeeeee penda kazi yako
@pamekiss7934
@pamekiss7934 4 жыл бұрын
Chakula chahuku hauwezi ukakila mwezi Masaja iyo unasematu wikimbil unakumbuk tembele
@daudmwakasi1613
@daudmwakasi1613 5 жыл бұрын
; poa masanja MPE hai mwang'ombe maana naona mko pamoja ukumbin
MCH MASANJA Anena Mazito Kwenye Msiba wa Mama Shigongo
43:52
Global TV Online
Рет қаралды 409 М.
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 61 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 9 МЛН
MAISHA YA MAMA NYUMBANI by Mc Eliud
13:17
Eliud Samwel
Рет қаралды 842 М.
Masanja Mkandamizaji SSUSA 2019. usiku
45:53
Swahili Society America
Рет қаралды 197 М.
Masanja na Mama Emma | Ukaguzi wa Wafanyakazi
11:12
CHEKESHA
Рет қаралды 53 М.
MASANJA MKANDAMIZAJI AWEKA WAZI UWOGA WAKE MSIBANI | MASANJA TV
18:26
MC Eliud Samwel akiwavunja watu mbavu kwenye mkesha wa THE ICON 2023 | CCC UPANGA
21:43
LIVE:MASANJA ANAHUBIRI KANISANI KWAKE
1:18:36
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 69 М.
MCA TRICKY Performence in IWACU COMEDY SHOW From RWANDA
22:06
SULTAN Online tv
Рет қаралды 242 М.
Pastor Masanja: JE? MTEGO GANI UKITEGEWA LAZIMA UNASE
47:48
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 7 М.
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 61 МЛН