Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995

  Рет қаралды 3,727,965

Joseph Mabima

Joseph Mabima

Күн бұрын

Пікірлер: 1 200
@bensonwissa5777
@bensonwissa5777 3 ай бұрын
Tunaotazama hii hotuba 2024 gonga like hapa
@NeemaMathias-w2k
@NeemaMathias-w2k 2 ай бұрын
Speech yake inadumi milele
@samkisembo-f2e
@samkisembo-f2e Ай бұрын
namutaka huyu ras sana
@filipomdendemi9921
@filipomdendemi9921 11 ай бұрын
Mwalimu nyerere nakupenda toka moyoni, na hata hivyo naahidi cku moja ntakuja nifanye uliyofanya kwa sehemu yangu japo najua ni kazi ngumu lakini Baba ntafanya hivyo kadiri ya mazingira ya Leo! Niombee Baba wa taifa! Najua sifahamiki lakini ntafahamika kwa wakati bwana akiniinua hivyoo!
@mwaminijoseph
@mwaminijoseph 23 күн бұрын
Amina utafika tu
@RizbonMzumbwe
@RizbonMzumbwe 13 күн бұрын
True
@kelvinmuli9215
@kelvinmuli9215 4 жыл бұрын
Mwalimu your voice will never die! Heshima tokea 254🇰🇪
@ponsianomushi8132
@ponsianomushi8132 5 жыл бұрын
JK alizungumza maneno haya mwaka 1995 kuhusu kutamalaki kwa rushwa, ukabila na udini, sijui angekuwepo leo hii, angezungumza kwa maneno gani kuhusu rushwa, ukabila, udini uvyama, ukanda na mengine mengi sana
@lutheramani8078
@lutheramani8078 5 жыл бұрын
Jamani wanao mkubal mkono juu.wale wezangu waliozaliwa mwakaa 1999 achia like
@milliontonne5819
@milliontonne5819 4 жыл бұрын
Hahhahjahdhshsijcbhd
@alexandermutakha882
@alexandermutakha882 3 жыл бұрын
The late President Magufuli was the reincarnation of Mwalimu Julius Nyerere's legacy and vision. May his soul rest in eternal peace.
@dicksonlaurean1614
@dicksonlaurean1614 3 жыл бұрын
Good speech
@milkabelias448
@milkabelias448 2 жыл бұрын
Bigap
@zawadiomary8195
@zawadiomary8195 5 жыл бұрын
Aise kama unakubali mzee wetu gani like yako ili tukuone.
@omarypraysalum4198
@omarypraysalum4198 5 жыл бұрын
uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa yanga
@temuramadhani6582
@temuramadhani6582 5 жыл бұрын
zawadi Omary
@emanueljoel227
@emanueljoel227 5 жыл бұрын
zawadi Omary ninaimani huyu mzee angerikuepo hakika Tanzania ingerikua tofauti kbxa
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 жыл бұрын
tuliozaliwa 2000 tujuane kwa kumsoma huyu babu
@eliasrange2180
@eliasrange2180 5 жыл бұрын
Hakuna hayupo kama nyerere
@alexsamson7297
@alexsamson7297 5 жыл бұрын
Napenda xan kauli yak mzz ulikataz udn ukabil ulikuwa unaona mbali xan Baba wa taifa nataman Ata leo ungekuwep baba
@rashidimfaume2272
@rashidimfaume2272 4 жыл бұрын
Sana babayetu tuna kukumbuka sana baba WA taifa
@sidantambilija7535
@sidantambilija7535 3 жыл бұрын
baba wataif ahsante
@sidantambilija7535
@sidantambilija7535 3 жыл бұрын
baba wataif ahsante
@EzekielMasi
@EzekielMasi 7 ай бұрын
Mungu atupee kiongozi kama huyu Kenya na African
@ommyakili552
@ommyakili552 3 жыл бұрын
Mwaka huu ndio ninazaliwa Kisha legendary ndio anahutubia🤗🤗🤗🤗🤗
@SuperKibwana
@SuperKibwana 7 жыл бұрын
HII ITAENDELEA KUWA ONE OF THE BEST
@kelvinchuwa7442
@kelvinchuwa7442 5 жыл бұрын
Ungeya una ya leo mzee ungeli Mungu akulaze pema pepon .Amen::
@yusuphalmas8283
@yusuphalmas8283 5 жыл бұрын
Ama hakika mwl nyerere alikuwa muerevu,Allah nipe hekima kama za mwl nyerere
@kabanomtabazy358
@kabanomtabazy358 5 жыл бұрын
Utakumbukwa xna
@lucywilliam3559
@lucywilliam3559 4 жыл бұрын
sawa, lakini ni vigumu. Mwalimu alikuwa kapewa vitu Vingi sana na Mungu zaidi ya upeo wetu wa kawaida
@niyokatwook8355
@niyokatwook8355 4 жыл бұрын
Du ubarikiwe baba yetu mungu akuraZe mahara pema pepon
@khamissiali2231
@khamissiali2231 4 жыл бұрын
Mmshenzi tu huyu Hana lolote
@williammasanja1403
@williammasanja1403 3 жыл бұрын
@@khamissiali2231 wewe ndio mshenji, umekalia udini nenda uarabuni
@greatdocumentaries1473
@greatdocumentaries1473 3 жыл бұрын
Watching in 2021 and Admiring Mwalimu Julius Hapa Kenya
@reginaassey6534
@reginaassey6534 11 жыл бұрын
Huyu ndo kiongozi ninayemtamani kwn alitetea wote kwa usawa kulikuwa hakuna matabaka,alipigania unyonyaji, na hata akikemea kitu hakuwa na hofu kwani alijiamini ni Kiongozi mwema. Aliweza kutunza mali za watanzania bila tamaa. Baba wa Taifa nakukumbuka sana. Lala kwa Amani
@jacksonjoakim4115
@jacksonjoakim4115 5 жыл бұрын
ungekuwepo 2019 ukampa Jpm jeuli
@alphoncemsongareri7278
@alphoncemsongareri7278 6 жыл бұрын
Iwapo watanzania na afrika kwa ujumla wangefuata mawaidha ya huyu mzee, hakika tungekuwa mbali
@mayalakatema2576
@mayalakatema2576 5 жыл бұрын
Nan Kama mm Yuko anajifunza leo 18/10/2019
@elishaworkout6116
@elishaworkout6116 4 жыл бұрын
Me nanifuNza leo taRe 10/10/2020
@allansk1035
@allansk1035 2 жыл бұрын
What a great speech wish we had someone like you in Uganda (RIP)
@richardedwinn1291
@richardedwinn1291 4 жыл бұрын
2020. Gonga Like kama bado unaicheck hii, tujuane, haichuji
@isackmwasongwe
@isackmwasongwe 11 жыл бұрын
baba mambo manne uliyozungumza ukiwa unatoa maagizo kwa mtu anayefaa kuwa kiongoz ambaye ataijenga tanzania lakini maagizo hayo yamepuuzwa kabisa na kama ulivyosema ccm msipo simamia vizuri basi ushindi utachukuliwa na vyama vingine lakini laaaaaaah asha! ushindi wa vyamavingine vinaporwa na ccm kwa njia zisizo na uhalali wowote! kweli mwalim nchi uliyoiacha imekuwa ya wenyepesa tuu hususani ccm! mwalim ulipinga matabaka uvunjifu wa aman ulizuia kwa kukataa udini lakin sasa ni kawida sana!
@AkuotDiri
@AkuotDiri 5 жыл бұрын
Huyu alikuwa kiongozi mwenye hekima a busara tele. Aliweka msingi thabiti kwa taifa la Tanzania kuwa na umoja na utengamano. Mambo ambayo sisi wa Kenya hatuna. Fare thee well your excellency!
@eastermwakalinga2749
@eastermwakalinga2749 5 жыл бұрын
Daima hatuta kusahau baba wataifa
@princemosses4821
@princemosses4821 5 жыл бұрын
mnataka kutambika???? hbu gonga like kama umelipta hilo!!
@restmlolere4634
@restmlolere4634 5 жыл бұрын
Kuwa mwenye amani huko uliko....
@paschalmashimba3584
@paschalmashimba3584 4 жыл бұрын
Nzuri sana hii
@abdifatahabdi6282
@abdifatahabdi6282 5 жыл бұрын
Just one of the 5 who dreamt of USA with Kwame nkrumah
@shedrackmgeyekwa4131
@shedrackmgeyekwa4131 7 жыл бұрын
mwalimu alikuwa nauongozi wakipekee sana
@mgundaevaristo5547
@mgundaevaristo5547 4 жыл бұрын
we ndio baba lao
@hilimahilimaa7763
@hilimahilimaa7763 4 жыл бұрын
Kama na wew bad unaipenda historia hii had Leo 2020 gonga like twnd pamoja
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Huyo nyerere anazungumza kinyume ya sheria ya mungu kabisa kwanza huezi kusema udini au mtu mwenye kufwata dini ni upumbavu katika nchi ya tanzania aliye umba ulimwengu alituamrishe kubudu yeye bila ya dini utaua utachukua reshwa sasa huyo alikaa miyaka thelathini NA tano rais mbona nchi haikuendelea NA kwanini anataka wananchi wamchague mgombea kutoka ccm kapila mungu alisema magapila kwa ajili ya kujuana huyo hivi huyo mzaramu huko muhaya kuna ubaya gani hapo haifai kusema nynye wasawahili NA kutharau wananchi wewe au kutharau maimamu watu wa dini ndio watu wa mungu sio wahuni hata wala rushwa au kuzini au kuiba sasa wewe wanashambulia dini NA unasema tuondoe upumbavu NA sisi hatujengi misikitini mambo yako nashangaza wewe husali wewe huna dini mbona makufuli hatukani kama wewe anatembela misikitini anava kanzu NA kofia anauliza hali za watu watu walipenda NA kila akisema anamtaja yesu NA ni mtu wa dini inchi imeendelea wakati wa magufuli basi umri wake mfupi makosa mengi alifanya huo nyerere vita kila mahali amepoteza uchumi wa tanzania ndio maana ikawa nchi maskini wakati makufuli anasema nchi yetu ni tajiri sana tafauti kubwa baina yao kwa hiyo watu wasikiliza mahutuba ya sio NA maana
@remigiusmwageni6274
@remigiusmwageni6274 5 жыл бұрын
Naomba mungu anipe ata nusu ya hekima ,busara , utii, na ujasil wako Mwl pumzika kwa Amani baba etu Wa taifa 16.01.2019
@janetfrancismsagatimsagati4734
@janetfrancismsagatimsagati4734 5 жыл бұрын
Amen
@nibigirajumapili9074
@nibigirajumapili9074 5 жыл бұрын
Remigius Mwageni d.naombamrzryakoconco
@emanueljoel227
@emanueljoel227 5 жыл бұрын
Remigius Mwageni kweri broo huyu mzeee arikua kiongozi mwema
@chawamataunion6682
@chawamataunion6682 6 жыл бұрын
michaelgreysonw mwenyezi mungu alitupatia Mwl Nyerere akamtwaa,sasa ametupatia mhe,magufuli.Hapa kazi tu.
@mrsamson8810
@mrsamson8810 5 жыл бұрын
Siku nilipo sikia umefariki nilikua Safarini ghafla nilijihisi mwili wangu unajizoazoa na nilihisi kuugua ghafla, lkn nililazimika kukubali. nmekaa ktk mashaka mda mrefu, lkn sasa ingalau nmeanza kuona jpm anakuja vzr..
@jamesrichard2026
@jamesrichard2026 5 жыл бұрын
Mr Samson
@selemanindege9933
@selemanindege9933 6 жыл бұрын
Hiv anae Dislike ujumbe kama huu yuko timamu kwel?
@R.mkushi-vo2hn
@R.mkushi-vo2hn Жыл бұрын
MUNGU alikupa Ufalme ili kuonyesha njia ambayo Afrika inatupasa kuipita na kuifuata, na Sisi tuliobaki ndio tunaendeleza Maono yako na siyo kuvunja muungano wa Afrika..🤝🤝🤝 AFRIKA UNITE 🤝🤝🤝
@StephenWaswa-pd8yx
@StephenWaswa-pd8yx Жыл бұрын
I like listening to this great late man. A great orator. I like his tonal variations
@ambrosenthiani585
@ambrosenthiani585 5 жыл бұрын
So sharp president I have ever come through this Guy was not ordinary chap from the street read my lips, Mzee Mungu akuweke mahali pema peponi, Mzee mwenye hekima kama Solomon
@salumiddi8549
@salumiddi8549 5 жыл бұрын
Shikamo huko ulipo pumzika, Pumzika kwa amani, Hapa nipo kukutia na kukusikiliza hutuba Zako za kuelimisha na masirahi ya watanzania,
@hassanharoun9721
@hassanharoun9721 5 жыл бұрын
Acha urofa huyo ni marehem .
@shukurualoyce4150
@shukurualoyce4150 4 жыл бұрын
Mwalimu kwawa kioo kwetu nawamfano hakika alibarikiwa sana tutakukumbuka baba wataifa mana mambo yote sahz ndo anayoyafanya Jpm
@ogindiii1465
@ogindiii1465 3 жыл бұрын
He was a great man indeed Legend don't die🇰🇪
@sifamanyori-kf9vq
@sifamanyori-kf9vq Жыл бұрын
Baba mutu akisema ukweri nikichaa mupeleke mirembe akanyogwe
@samsonsitta6127
@samsonsitta6127 12 жыл бұрын
"freedom without discipline is slavery"..... kama watu wanaweza kutoa maoni kuhusu Baba wa taifa lenye amani duniani.... ambaye kila philosophy alizoamini na kuhubiri zinaonekana mpaka sasa katika hali ya nchi na matatizo yanayoikumba nchi, basi huyu mtu atakua na walakini katika reasoning yake.. honestly, Utani's comments are perverse.... it does not reflect mtoto wa kiafrika aliyelelewa na wazazi wake vyema. NYERERE WAS A GREAT LEADER.. May his soul RIP
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 4 жыл бұрын
Legends of Africa. Nyerere(TZ) Jomo kenyatta( Kenya) Nelson mandela ( South Africa ) Kwame nkrumah ( Ghana )
@Wesh12346
@Wesh12346 3 жыл бұрын
What did Kenyatta do?
@Wesh12346
@Wesh12346 3 жыл бұрын
What did Kenyatta do?
@iconicwriters1305
@iconicwriters1305 2 жыл бұрын
Jommo Kenyatta is a joke and a useless man
@emanuelemil4281
@emanuelemil4281 5 жыл бұрын
msimfananixhe magufuli na baba wa taifa"nyerere ni hbr nyingine, kilikuwa kichwa cha kazi"angekuwepo mpaka leo kuna baadhi ya vigogo wangekuwa jela wanakula maharage
@muhammadsalim7936
@muhammadsalim7936 5 жыл бұрын
Rushwa ilianza enzi zake
@frnkkayange4376
@frnkkayange4376 5 жыл бұрын
Awap magu kichw ww
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 5 жыл бұрын
Magu kiboko maana anachukua hatua kwenye upumbavu
@kebo2155
@kebo2155 4 жыл бұрын
Dogo hujui kitu.. Wote mpango mmoja.. Unataka kutambika??? 🇹🇿
@rizikimustapha3806
@rizikimustapha3806 4 жыл бұрын
Mmhh tusha kujuwa mtani wajad😂😂😂
@SaidiMfwangavo-ht6jd
@SaidiMfwangavo-ht6jd 7 ай бұрын
Hotuba bora kabsa kutoka kwa kiongozi mzalendo na mkubwa Mwl Julius Kambarage Nyerere (1922-1999(77)
@omspayne5830
@omspayne5830 5 жыл бұрын
Great man of the people, great father of the nation, baba wa taifa 🙏🏽
@nyakiliker8724
@nyakiliker8724 4 жыл бұрын
MTU mwenye akili nyingi kuliko wote kuwahi kutokea Tanganyika na Tanzania kwa ujumla
@mabroukabeid148
@mabroukabeid148 5 жыл бұрын
Dah hiki kichwa Mungu ndo anae jua amjalie huko aliko R.I.P baba yetu.
@benitosanga2907
@benitosanga2907 4 жыл бұрын
Mabrouk Abeid amina
@samuelsikanyika6097
@samuelsikanyika6097 5 жыл бұрын
Hayo maneno ndio yanayonifanya nimpende Magufuri. Ongera Mwl
@mtegar.d4074
@mtegar.d4074 5 жыл бұрын
safi san
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 4 жыл бұрын
Magufuri kwa lipi??
@boybony2543
@boybony2543 4 жыл бұрын
Kwa o Lip
@alphoncelagwen1712
@alphoncelagwen1712 4 жыл бұрын
Mama
@alphoncelagwen1712
@alphoncelagwen1712 4 жыл бұрын
@@boybony2543 mama
@magharibicomms3891
@magharibicomms3891 Жыл бұрын
Kiongozi thabiti, mwenye maono na upendo kwa Afrika kipenzi, kwa wanyonge na kwa waTanzania. Roho yake ipate kupumzika kwa amani milele.❤️🇰🇪🇧🇼🇹🇿🇹🇿
@mcmaasaikisiifm
@mcmaasaikisiifm 4 жыл бұрын
Sisi 254 tunajuana kwa makabila ni hatari sana😭😭😭😭
@johnsilima1629
@johnsilima1629 2 ай бұрын
😢😢😢😢Duu😊😊
@antonioigneous6653
@antonioigneous6653 11 жыл бұрын
...Thank u Nyerere for coming in Tanzania and share with us the gifts that GOD has given U !
@mohamednasser2085
@mohamednasser2085 7 жыл бұрын
He was very peaceful ruler and love to his people
@TheBigyosef
@TheBigyosef 12 жыл бұрын
We miss you Mzee Mwalimu Rest in Peace Mzee
@emmamibrahm8148
@emmamibrahm8148 5 жыл бұрын
TheBigyosef
@yasinimasimba8829
@yasinimasimba8829 5 жыл бұрын
ungekuwepo hadi leo nahisi nchi yetu ingekuwa mbali sana
@fredyndenga
@fredyndenga 10 жыл бұрын
Rais mwenye akil nyingi ever seen aliyeazisha ukomboz baran Africa msumbij watamkumbuka sana huyu hata south Africa the same
@davidjustard4990
@davidjustard4990 5 жыл бұрын
Akumbukwe milele yote Amen
@ellymakongo656
@ellymakongo656 4 жыл бұрын
Wamemsahau kk watu hawana shkran
@modrikabdallah
@modrikabdallah 3 ай бұрын
Tanzania tulibaatka kuapata ma rais watatu tu nyerere na mgufuli na mwinyi hao wengine wez 2 kwenye taifa uchumi unapanda wakat wa uchaguzi na vi2 kushuka bei wkati kamahuu uchaguzi ukiisha2 shida ipo palapale2 na uongo mwingi 2 hio ndyo TZ Duuh,
@linzeudaud1948
@linzeudaud1948 5 жыл бұрын
hotuba nzurii sana rip
@MrPherez
@MrPherez 7 жыл бұрын
The only president that i ever had passion for his leadership....only african president that loved his people wish he was my president...mapenzi tele kambarage
@francescosabin3536
@francescosabin3536 5 жыл бұрын
Mwal tunakuhitaji hasa kwakupitia taarifa na speech zako mhimu
@maselejacob8370
@maselejacob8370 5 жыл бұрын
Ni halali kuwepo kwa siku ya nyerera day Kwa kizazi cha siku hizi wataona kama wanapoteza mda lakin kama ww n mtanzania mzalendo lazma umkumbuke baba wa taifa letu R.I.P mwanaharakati shujaa jk. nyerere
@latifumalikita3670
@latifumalikita3670 5 жыл бұрын
Shikamoo baba
@leonardgatta2656
@leonardgatta2656 11 жыл бұрын
Hata tokea mtu mwingine mzalendo wa kweli kama baba wa Taifa
@freganringal3075
@freganringal3075 4 жыл бұрын
Ametokea Mh. Magufuli, Mungu ni mwema.
@tevintevin6254
@tevintevin6254 4 жыл бұрын
Atleast magufuli Anafuata nyayo
@TaboraIgunga-gs5ob
@TaboraIgunga-gs5ob 2 ай бұрын
Mwalimu sauti yako inaponya mtu akiiskiliza bila kujali yupo kwenye hali gani
@omarytemambele3500
@omarytemambele3500 8 жыл бұрын
Mwalimu akili mingi!
@peterbayo4677
@peterbayo4677 4 жыл бұрын
Sana hii aisee
@ivancharles578
@ivancharles578 5 жыл бұрын
Mwalimu
@maksman.maurice
@maksman.maurice 5 жыл бұрын
Mungu atupatiye wengine kama huuyu...Africa yote itaendelea sawa!
@rev.musabalalarogersmusabalala
@rev.musabalalarogersmusabalala Жыл бұрын
Safi sana hotuma makini sana. Mungu asaidie nchi itembee kwenye misingi makini sana
@mathiassimon4700
@mathiassimon4700 8 жыл бұрын
different speech makes someone to know what supposed to know and what our philosopher's says (R.I.P FATHER OF OUR NATIONAL)
@ndalahwamasembamwandu5432
@ndalahwamasembamwandu5432 4 жыл бұрын
DILA
@MussaSelemani-h3f
@MussaSelemani-h3f 4 ай бұрын
Pumzika kwa amani baba wa Taifa, ulituacha wakati bado tunakuhitaji❤❤❤❤
@lobotiogopa902
@lobotiogopa902 11 жыл бұрын
Hey Maryam kuna nyimbo wameimba kuwa mkata ya wengi ni mchawi. sasa ngali kati ya watu wote hawa wewe ndio unaye mpinga. uwezo na hekima alikuwa nayo Mungu ndio aliompatia hata
@abrahammtongole2747
@abrahammtongole2747 4 жыл бұрын
APumzike kwa Amani Mwalimu Nyerere, busara zake bado zinaishi
@samuelsherah2092
@samuelsherah2092 5 жыл бұрын
THIS IS GOOD FOR US FROM KENYA
@MonankaWeisiko-du2pl
@MonankaWeisiko-du2pl Жыл бұрын
Kenya ikafate mambo ya ushauri huu ili kujikwamua kutoka topeni
@franknkinda6628
@franknkinda6628 11 жыл бұрын
babu hana maslah kwa Taifa bt nyerere alikuwa na maslah adi kwa bibi yako
@yassinabdy8962
@yassinabdy8962 6 жыл бұрын
Rais hovyo east Africa ,mpumbav,aliefanya watanzania wakae wajinga,stupid
@godwinmartin4084
@godwinmartin4084 5 жыл бұрын
Mind your mouth fool.
@gaspernziku551
@gaspernziku551 8 жыл бұрын
mungu amlaze pema peponi mwalimu wetu ameiopigania nchi yetu kwazati
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 3 ай бұрын
Kazi iendelee !!!
@amihogatai8432
@amihogatai8432 2 жыл бұрын
let me say it again. tanzania, indeed afrika, will never have a leader like him. forever my hero.
@jacktonetiibuza9970
@jacktonetiibuza9970 Жыл бұрын
Wenzio wa ccm walianza kukosea tangu siku hiyooo
@yohanavicent2665
@yohanavicent2665 9 жыл бұрын
Rushwa ndio inayo rudisha maendeleo ya nchi nyuma hivyo basi yatupasa kupinga swala zima la kupokea na kutoa rushwa kwa maendeleo zaidi.
@saidimalindi3889
@saidimalindi3889 5 жыл бұрын
yohana vicent ..je..wewe..ukotayari..au..unasema..tu..sababu...rushwa..in..adui..haki..rakini..hata..mungu..anachukia
@milkabelias448
@milkabelias448 2 жыл бұрын
Pumzika baba
@linuslinua8504
@linuslinua8504 5 жыл бұрын
Watanzania wanataka mabadirikoo wasipoyapata ndani ya ccm watayapata pengine
@saithamwakalinga6081
@saithamwakalinga6081 7 жыл бұрын
we mc u dadyyyy
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
08/09/2020 natazama na kusikiliza hotuba ya Mwalimu JK na bila shaka najifunza kitu kikubwa kuliko nilichojifunza miaka yote nilipokuwa shuleni.... Wisdom floats his head for sure.
@stephanlunyungu7128
@stephanlunyungu7128 9 жыл бұрын
Wise man ever seen before #rip
@jaympimbi5876
@jaympimbi5876 5 жыл бұрын
MPAKA UITWE BABA JUA WAZI KUNA MENGI UMEYABEBA. BILA KUKATA TAMAA
@kondosalum2884
@kondosalum2884 5 жыл бұрын
Namkubali sana kafanya mengi sana kwenye nchi hii mbaka mungu anachukua roho yake nipengo kubwa kwataifa kwaujumla pumzika kwa amani baba wataifa we remember your slogan says “TOGETHER WE CAN”
@MichaelMathew-ke6bi
@MichaelMathew-ke6bi Жыл бұрын
Nashukuru sana hayati baba wa taifa, mwalimu Nyerere. Yaani huyu alikuwa mmoja wa watu adimu sana duniani. Alikuwa ni Magufuli lkn naye hayupo ameshafariki. Mdogo wake baba wa taifa bac alikuwa ni Magufuli. Huyu naye alikuwa jembeeeee sijawahi kuona. Wote hawapo leo. Cjui nilie!!! Leo hii hakuna watu kama hawa wawili, Nyerere na Magufuli.
@bugutadzeha1391
@bugutadzeha1391 11 жыл бұрын
He was a rare leader found in affrica
@EdwardKiligini
@EdwardKiligini Жыл бұрын
Teacher...!
@shulestuff
@shulestuff 2 жыл бұрын
My dad's independence generation in Kenya was a very hopeful one, gave us names like Nyerere, Kaunda, Nkrumah, Mandela etc. and then proceeded to divide along tribal lines - we are still widening the divide. I miss Nyerere
@fadhilayubu7951
@fadhilayubu7951 5 жыл бұрын
Vizuri kweli havidumu daaaa baba wa taifa alikiwa ni zaid ya raisi
@ditricamgeni2690
@ditricamgeni2690 5 жыл бұрын
ASANTE SANA BABA WA TAIFA. MUNGU AKUPUMZISHE KWA AMANI. HATUTAKUSAHAU BABA YETU MPENDWA.
@fauswalidauda8958
@fauswalidauda8958 5 жыл бұрын
Watu wanadai wanadai nini
@paulbinna5611
@paulbinna5611 11 ай бұрын
Hotuba nzur sana inayoishi mpaka leo
@neemalazalo8331
@neemalazalo8331 5 жыл бұрын
This speech..... Will forever live in my soul.... Rest easy dad
@mudymusa5033
@mudymusa5033 5 жыл бұрын
Mambo
@salvatorymtunga2802
@salvatorymtunga2802 2 жыл бұрын
Mkapa alikuwa yuko vizuri, lakini alimpendekeza yule.
@afrakanaswahilitv5520
@afrakanaswahilitv5520 2 жыл бұрын
Hotuba hii ni hekaya. Mwalimu ni shujaa na bingwa wa Waafrika wote duniani kote.
@petercharls
@petercharls Жыл бұрын
Peter huyu kiongozi shupavu wa afirica
@abdallahjuma7516
@abdallahjuma7516 5 жыл бұрын
Cjawahichoka kumsikiliza huyu mzee mabaya na mazuri aliyonayo Ila mungu amfanyie wepesi huko roho take ilipo!
@kijananakazi2363
@kijananakazi2363 6 жыл бұрын
This is one of the greatest statesman that ever lived
@peterbayo4677
@peterbayo4677 4 жыл бұрын
Kiboko ya hotuba fupi na kali kuliko
@hendryalexmaeda3192
@hendryalexmaeda3192 4 жыл бұрын
Hizi ndio sifa za kiongoz bor
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 6 жыл бұрын
Hakika ulikua Kiongozi Mwl. Hotuba zako bado zina Uhai. Ulikua na maono. R.I.P
@AisoniChisunga
@AisoniChisunga 8 ай бұрын
Mwamba kwelikweli shuja wa mapambano
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 5 жыл бұрын
04 septemba 2019 Mwalimu alikuwa anaona mbali sana maana upeo wake ulikuwa ukiyatambua mambo yajayo.
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 Жыл бұрын
Dah,chombo hicho na lingine kilichotutoka 2020 vilikuwa lulu haswa isiyo na chembe za kughushiwa kabisa.Adante Mungu aliwayumia vyema kuiwajibikia nchi yetu Tanzania♥️😭
@mackisarara5719
@mackisarara5719 7 жыл бұрын
Mzee kama kifo chako kilikua na mkono wa mtu na alaaniwe mtu huyo na watu wote waseme amen.
@mahmoudaziz6281
@mahmoudaziz6281 6 жыл бұрын
Mack Isarara ameen
@hemedyramsso7424
@hemedyramsso7424 6 жыл бұрын
Mack Isarara Ameen
@halidihatibu961
@halidihatibu961 6 жыл бұрын
Ameen
@devidpanja115
@devidpanja115 5 жыл бұрын
amen
@behindsuccessachievements1901
@behindsuccessachievements1901 5 жыл бұрын
Amen
@josephmgendi2528
@josephmgendi2528 Жыл бұрын
Hongera Sana baba wa taifa maneno yako bado yanaish tunakukumbuka bd pumzka
@DaLalamar12
@DaLalamar12 12 күн бұрын
Nikweri baba wa taifa ulikuwa mtu wa watu usia wko bado unasikika
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 5 жыл бұрын
Ulomuamini baba ndo aloanzisha ujasriamani akiwa ikulu!! Laaaaah!!
@CostaJohn-wh6eb
@CostaJohn-wh6eb 3 ай бұрын
Huyu ni jembe sana tutamukumbuka daima
@kipalphi6667
@kipalphi6667 7 жыл бұрын
Mwalimu hayati Rais Julius Kambarage alikuwa na moyo wa kulifanya taifa la Tanzani liwe nchi lenye uwazi ,haki na demokrasia.Japo mwimbaji mashuhuri kasiss Faustin Munishi anasema ccm imefilisi nchi,sijaona mantiki kwenye kauli yake.
@emanueljoel227
@emanueljoel227 5 жыл бұрын
Jaman akje mua huy mzee alijjfikiriia nin has
@sajjadkarim6263
@sajjadkarim6263 5 жыл бұрын
@@emanueljoel227 b.
@alleysonpatali1887
@alleysonpatali1887 11 жыл бұрын
Hivi hizi hotuba za Mwl . viongozi walioko madarakani wanazielewa au zimewalewesha?
@alleysonpatali1887
@alleysonpatali1887 7 жыл бұрын
Hapa neno la Mwl linajieleza lazima Kiongozi afundishe na kuwaelemishe watu wake nini wanachopasa kukifanya naye awe na mifano dhahiri kwa manufaa ya kitaifa na wajiepushe na mambo yote yanayohatarisha usalama wa Taifa, uchumi na mambo yote ya kitaifa.
HOTUBA YA MWL NYERERE 1995 Prt2
28:13
Uhai Online Tv
Рет қаралды 44 М.
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 23 МЛН
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2 МЛН
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 58 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 17 МЛН
Hotuba 3 za JPM zilizogusa Hisia Za Maelfu ya Watanzania
24:30
MAGUFULIFICATION OF AFRICA
Рет қаралды 197 М.
Mwalimu Nyerere: Kuwa CCM Sio Kwenda Ikulu
15:31
Habari Kwanza
Рет қаралды 278 М.
Kauli ya Baba wa Taifa J. K.  Nyerere juu ya maendeleo
13:31
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
Hotuba Ya Mwl  Julius K  Nyerere   Mkutano Mkuu Wa CCM Dodoma Mwaka 1995
14:17
PROF KABUDI ASHANGAZA WENGI KWA HOTUBA YAKE
37:31
Ngasa Tv
Рет қаралды 173 М.
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 23 МЛН