Mwambieni yule dogo alie ichezea club ya Simba kutembea na mke wangu asijione kama ameshinda😢😢,mstari ulionikosha na kuniumiza zaidi
@KhalimaShelukindo5 ай бұрын
😅
@grevinmgaya92374 ай бұрын
Kipaji kilishaishaa sijui anacheza ndondo
@thendindindithendindindi16012 ай бұрын
@@grevinmgaya9237n nani Kwan huyo
@HuseniMmunga2 ай бұрын
tulio sambamba nangoma hii 2024 gongeni basi like tuendele nayo
@kelvinebens52394 жыл бұрын
Nilicho gundua kwenye huu wimbo stamina ametoa ya moyoni kabisaa tena kwa hisia. Ila ujawahi kosea bro salute 🔥🔥
@edwardreonard98784 жыл бұрын
Duuuu inauma sana kaka pole sana wanawake viumbe vya ajabu wote madelila
@KiziboKigo3 ай бұрын
Tulio rudia kuskiliza huu wimbo 2024 tujuane kwa like
@ElianhoCBCirhuza-pp1lnАй бұрын
✌✌✌🤣
@JosephAmosi3 сағат бұрын
duuuu7 deme wangu wa kwanza ni
@Drash2547 ай бұрын
Wimbo umeimbwa ukaimbika....imagine wa Uganda 🇺🇬 hawawezi elewa huu wimbo watanzania big love ❤from 🇰🇪 🇰🇪
@joshuason5573 ай бұрын
Kiswahili ilikuwa mob 🤗lakin tumeelewa ✌🏿🇺🇬🫡
@petermaengo4 жыл бұрын
"Asiwaze " imenikuna sana hii ngoma alafu nahisi huyu ndo stamina wengi tunaomjua gonga like kama tupo pamoja....nampa 5 producers kwa kusimamia kazi nzuri kama hizi...natamani nisign kwenye hii label inaonyesha uhalisia wa mziki na maisha yapo hapa ..hii ndio sanaa kamili.
@MsambelwaTalkshow4 жыл бұрын
Masanja Mkandamizaji alivyopokelewa UK kwa mara ya kwanza kzbin.info/www/bejne/ppyklpKmjdKshJI
@emmanuelnyukuri27143 жыл бұрын
Daddy Owen anafaa kuskiza hii ngoma
@imeldangoda2319 Жыл бұрын
Don't gv up ...
@VictoriaMahewa8 ай бұрын
Ndoa ni nouma bro, japo wachache wanahesabika thank my brother for good song
@agnesrutebuka8274 ай бұрын
Huu wimbo mimi napenda chorus tu!!! 👑👑🙌🙌🙌
@onyolivino38463 ай бұрын
Asante amefanya @Atan mcheki kwenye account zake upate nyimbo zake zaidi
@mvoih48544 жыл бұрын
Kwa kweli bonge la ujumbe, kama umeulewa gonga like kwake!!!!
@abelysimbeye89034 жыл бұрын
Bora wew ametoka mwenyewe broo me alibeba na vyombo vya ndan vyote daaaaaa ASIWAZE
@sweetbertmwemezi79794 жыл бұрын
Daaaah kwl asiwaze
@eliyasanga63744 жыл бұрын
Duuu wanawake akili zao
@mtembeijulias30744 жыл бұрын
Hayo ndo mapungufu yakutanguliza cheti badala ya mtihani so tahasisi ya mahusiano irekebishe kufungu cha ndoa tuwe tunaanza mtihani chet baadae ahsante starmina
@AlfanDidas8 ай бұрын
Kwer mzee iwe ivyo!!
@MrManchoso4 жыл бұрын
Wew ambae hujasikiza hii ngoma Kabla ya kuomba like hebu kwanza anza kusonya Classic music stamina wew ni mkali
@bernaberna81354 жыл бұрын
Mxiiiiieeewww
@imriddenvlogs1077 Жыл бұрын
From uganda 🇺🇬 wapi likes za Uganda 🇺🇬. We love u man talented
@December-p3n7 ай бұрын
Tunao endelea kufatilia Goma hili hadi 2024 gongeni like hapa
@VedastusHururu6 ай бұрын
💯
@mirajihassan25795 ай бұрын
🎉
@frankbundi77135 ай бұрын
Kenya onyesheni upendo 👊 👊
@ParchanceKanakato4 ай бұрын
Rdcongo tuko,butembo
@matrixke599427 күн бұрын
2024
@miketez21603 жыл бұрын
Life nayo na ndoa...aty unaeza kumpamia mkongo mkeo na usimridhishe, alfu anaempakia mkorogo ndo akamfanya amridhishe.... Daaaah.... 254....stamina is killing yo
@lovenessandrew91214 жыл бұрын
Roma this song is gonna touch the whole society man!kazi ya msanii ni sanaa na umedeliver....no matter how painful it is!
@salimmbarak21284 жыл бұрын
Ni Stamina
@kiuwamhina28024 жыл бұрын
Ni stamina baby, check your shit
@idrisashio8654 жыл бұрын
#fact
@WannaKnow4 жыл бұрын
Hehe😂
@jacksonreuben9484 жыл бұрын
*Hata Posa niliyotoa mwambieni aingize vikoba* daah hyu jamaa katisha san like hapa chin tulisongeshe mbele goma la mkali rostam tz
@hadjially90134 жыл бұрын
Ndoa ni kama boti haiwezi ikapaki stendi
@giftgwness1324 жыл бұрын
Huyo manzi mwizi arudishe hela za stamina za posa
@yohanagunda83354 жыл бұрын
Bongo la ngoma stamini
@mapandejr89324 жыл бұрын
"Unawez mpakia mkongo mkeo na usimlizishe, arafu anae mpakia mkorogo ndo akafanya amridhishe" mstari nime ukubali sanahuu big up 🙌🙌🙌
@waltermfikwa43614 жыл бұрын
Mapande Jr ndugu yangu, mwenzio hapa nataman kujua kamaanisha nin ila naon huu mstari unanipa utata...
@samwelimseyi33884 жыл бұрын
Atari xn hp
@eneolatukio84934 жыл бұрын
Mi sijauelewa🙄😳
@samwelimoshi56144 жыл бұрын
@@waltermfikwa4361 njooo inbox nikuambie kamanisha nn 0714333699
@korneliserafini78434 жыл бұрын
Hahahaaaa bro kweli cha mkongo hatari sana ,huo mstari tunaelewa Wa chache Sana
@JoshwaaMollelMwangii6 ай бұрын
Aiseee hii inakubalika 💯 akunapinga mizi yoyotee 🇹🇿🤛🤛🤛🇰🇪🇰🇪💯💯💯
@peteradonga76684 жыл бұрын
Skizeni ujumbe wa Stamina kwanza LIKES mtaomba baadae..
@davidsedekia13374 жыл бұрын
Nataka kukupigia Lake marambili but imekataa badala tusikilize ngoma tuomba Lake
@mariyaal53664 жыл бұрын
Yuko vizuri nice song
@Babjerr4 жыл бұрын
Exactly
@shabanmnyama25674 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@papadaviofficial254ke94 жыл бұрын
Tangu enzi za sikati Tama Badoo naganda sitamina ujumbe mzito Papa Davio from+254
@thabitilinolo7404 жыл бұрын
Amin kwamba jamaa nizaid y Kipaji cha Hipapu ngoma kali acha like kam umeanglia zaid y mal100
@dioncmusic70274 жыл бұрын
Kama umesikiliza hii ngoma zaidi ya marambili gonga like hapa twende sawaa
@0scarnaizaoscar4804 жыл бұрын
Kama uko USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸na upo ndoani same time umemuelewa stamina NIPE LIKE ZAKE 🔥🔥🔥🔥✈️✈️✈️ ndoa shemo la wahuni
@Watema234 жыл бұрын
0scarnaiza Oscar sisi ambao atujaowa tuwe makini sana kuowa hapa marekani, ndoa ndo wano.
@0scarnaizaoscar4804 жыл бұрын
Acha tu brow niulize mm ndoa za America 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 utadeal na 911 kila siku 😂
@suleimanhaji55594 жыл бұрын
Stamina
@suleimanhaji55594 жыл бұрын
Mhh
@mosesbariuh54434 жыл бұрын
Be wise as you engage yourself with women. Aisy!!! Stamina ushasema. Bonge la hit. 💯💯💯
@nurdinkijaji68864 жыл бұрын
moses bariuh hatari sana
@BossMistari4 жыл бұрын
Zimefanana.. kzbin.info/www/bejne/Z3_Cl2uCpa59isU
@NdikumwenayoFelix-t5d Жыл бұрын
Ukiamua kuingia kwenye uhusiano na binti wa kisasa, basi iandae loho yako. Chkuwa zako bwana Stamina, nimekusoma
@dopnap48554 жыл бұрын
😂😂😂daaah,.. Stamina katiiiisha saaana,...: "Pole wasimamizi wa ndoa, Kwa ujinga mliosimamia, Mngesimamia ukucha, Mngekuza hata familia" 😂😂😂HIVI JAMANI,..MSIMAMIZI WA NDOA YA STAMINA SI ALIKUWA PACHA WAKE " ROMA" ?? 😂😂 "Nikiziona picha za harusi, Najisikia vibaya, Namuonea huruma padre, Pamoja na waimba kwaya" 😂😂😂😂 Saaaaaaaaaluuuute kwako STAMINA
@batazarisanga5054 жыл бұрын
bora mngesimamia kucha mngeongeza familia hahaa!!
@rebimbere4 жыл бұрын
Ukucha ndo nini?!
@miriammkama2664 жыл бұрын
Hahahaha bora wangesimamia ukucha😂😂😂
@theoniyonkuru64234 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mwitarange89384 жыл бұрын
"Kaka yake Nilishakula so ruksa kutoa vyombo", "Ila atakayemuoa mwambie ampe mtaji wa Bodaboda", Wimbo mkali kila nikisikiliza natamani kurudia, Ujumbe kwa masela na wanandoa. Take it from Stamina
@Jakodondo75194 жыл бұрын
True that
@casidyromy87064 жыл бұрын
Mwita Range .
@vincesadick15032 жыл бұрын
Aya bulol
@chrismute81864 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪niwakilisha wakenya wote tunamkubali stamina 100/100
@walker25134 жыл бұрын
Tuko ndani
@allysaid82154 жыл бұрын
@MR KANTOROKE egg of foggy GGT
@mwanahmisidd77594 жыл бұрын
Namkubali sana hta nlimtumga bro namuita stamina
@dinafawzy13114 жыл бұрын
What country flag is this ?
@chisagacomedy82744 жыл бұрын
254 tuko wengi
@miketez21606 ай бұрын
2024...❤🇰🇪🇰🇪....😢cjai pata likes jameni
@frankbundi77133 ай бұрын
Kenya 🙌 🙌
@jojoqn10434 жыл бұрын
❤❤❤❤😍😍😍 hisia za kweli kwa stamina
@ivanmcdonimcdoni78904 жыл бұрын
The first one from Mozambique. Personally me ni shabiki wa WCB, lakini napenda sana music wa huyu jamaa. Stamina is an awesome guy 👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽
@honorekiza4 жыл бұрын
Dah gonga like kama Moyo wako umeuma kwa hii stori ya kweli😭😭😭 Kuna mwingine amepanga kwenda kununua ile pete ya Stamina kwa nusu bei pale dukani😂😂😂
@justinmganiwa27904 жыл бұрын
Onore Mbeleci k
@hamisisheby86784 жыл бұрын
Nimemuelewa sana
@officialb_first13694 жыл бұрын
Duh
@luthimunuo88384 жыл бұрын
Romaaa😭😭😭wimbo wako was ASIWAZE Ni kitu kinacho nisumbua mpaka Leo yaani badala ya kusikilza na kufurahi najikuta nalia tuu kwani Kuna misemo Ni adhabu kubwa kwenye ndoa.aliesema neno ndoa ndoano aliharibu sana.na aliefundisha mapenzi alisahau na tendo.ukweli cheti Cha ndoa hakina mchongo popote.bora sonara nilikula nusu asara.kama hujui ndoa uliza Kwanza upewa maelekezo ili usije ukajuta Kama walio kutangulia.big up Broo stamina😭😭😭🙏🙏🙏🙏god bless you
@babyofficial77674 жыл бұрын
Dah hii ngoma inawagusa wengi japo like 100 jmny
@laurentthomas2354 жыл бұрын
Biblia imetuagiza kuishi kwa akili na wake zetu. Angalizo Kama huna akili usioe utakuja kuimba ujinga kama huyu mpuuzi utafikiri tulimtuma.
Daaaaah blother katugusa tulio single Like utatisha Sanaa
@tontonwakabila28364 жыл бұрын
Big up Kaka kwa nyimbo nzuri sana ,iyi nyimbo inagusa watu wengi sana ...
@feisalkigoda264 жыл бұрын
What goes around comes around.. Pole sana kaka
@florianmasawe95204 жыл бұрын
Duh!!! Mimi nimeielewa sana hii ngoma kwa ambae ameielewa kama mimi agonge like hapa!! Ndoa bhana walio kwenye ndoa wanatamani kutoka ambao hawapo wanatamani kuingia 😭🙏🙏
@flovamanmusic36634 жыл бұрын
dah true man
@samirrymichealpollah17674 жыл бұрын
DaaaaaH!!! Amakwel nDoa inamitiHani migimUsana thus why vyetiVyake vnaanZa kutoka kabla yamitiHan xo pole sanaBroo c0z wew nikakayake ushakula so muache2 atoeVyomBo
@immaabukuku71804 жыл бұрын
Stamina anahitaji cancelling hayuko sawa anaonekana kweli amemaanisha maneno aliyo ya sema
@kasitraveller43124 жыл бұрын
Immaa Bukuku counseling
@sylvestorkadenge51804 жыл бұрын
hapana huu ni mziki kuna vitu lazima ameongeza na vingine kapunguza lakini kuna asilimia kubwa sana ya ukweli.
@revocatusnyamboga31504 жыл бұрын
Kaongea ya moyoni yupo sawa
@yusuphlungwa4794 жыл бұрын
Kweli yakikukuta ni balaa huu wimbo hebu wanawake wajifunze kitu. Stamina safi sana lekod iko vizuri
@yusuphlungwa4794 жыл бұрын
Ni kwel
@dizzonofficial19374 жыл бұрын
"Aliesema ndoa ndoanoo hivii huyo mjinga ni naniii" !!!
@dullahbeats75394 жыл бұрын
Oya me namjua anapoishii
@dizzonofficial19374 жыл бұрын
@@dullahbeats7539 ntumie no zake kudadeq
@innocentg.27334 жыл бұрын
Rostam ni majembeeee kama unakubali hiyo piga like tuwe wazalendooo
@daudichawo2404 жыл бұрын
Tunaoiba wake za watu ...tuonane hapa gonga like apa😀
@mohammedsudi51514 жыл бұрын
Kama unamku bari stamina gonga raiki
@meronstudioz4 жыл бұрын
Daah 😂😂😂😂
@daudichawo2404 жыл бұрын
@@mohammedsudi5151 noma
@daudichawo2404 жыл бұрын
@@meronstudioz hatar😀😀
@addyadams26694 жыл бұрын
Daudi Chawo ukipakwa Mafuta pia uje kugonga Like
@charlesmoseslyimo89234 жыл бұрын
Pole sana Ndg. yangy Stamina. Tunajua hii ni historia ya kweli, na kwa wimbo huu umeamua kuwa kioo cha jamii. Nakushauri usikate tamaa, utampata wa kukufuta hili kovu na kukurejeshea furaha ya ndoa katika kujenfga familia yako.
@gosbertbuberwa61984 жыл бұрын
😂😂😂😂 Pole Wasimamizi, Yakwamba Wangesimamia Ukucha Wangeongeza Familia! 👏👏👏🙌🙌🙌
@ebenezerykimendo1154 жыл бұрын
gosbert buberwa kafumbo ako brother
@navyoagrey75234 жыл бұрын
Hahaha hayaa
@gosbertbuberwa61984 жыл бұрын
@@ebenezerykimendo115 hatari Sana!
@gosbertbuberwa61984 жыл бұрын
@Ashura Hamisi 😃😃😃😃😃 yaap! Yaap!
@lovenessshaban30783 жыл бұрын
Nakubali Sana hii nyimbo aseee
@lilianjeremia10244 жыл бұрын
Upo kwenye mahusiano ila hujui yanausiana na nini🙌🙌🙌🔥🔥😁😁
@eneolatukio84934 жыл бұрын
Kwa kifupi alifata mkumbo tu bila kujua anakumbana na nini😁😁😀
@lilianjeremia10244 жыл бұрын
@@eneolatukio8493 eiwaa rafiki yake kaoa na yeye akaoa😁😁😁😁
@mathiaslyamunda25264 жыл бұрын
Hahahahahaha
@dollytogodfrey34 жыл бұрын
Hahahahah
@juniorcx01144 жыл бұрын
Nipo
@arexmerck23244 жыл бұрын
Kama nawwe unaamini huwimbo unaujumbe mkubwa ndani yake gonga like apa 👇👇
Not only a song but a life lesson❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪254
@shaddymarks74724 жыл бұрын
Straight outta kenya,,, we are asking for likes here but this guy has represented all men, we keep things inside us with leads to depression,,, big up
@Zanzibar_quiztv4 жыл бұрын
Special agent bullet sm Sm kzbin.info/www/bejne/rmKQm4anYt54m7c
@Zanzibar_quiztv4 жыл бұрын
Special agent bullet sm Sm 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/rmKQm4anYt54m7c
@mwanahmisidd77594 жыл бұрын
Daaaah Inafundisha
@ahadyeahboyemmanuel29994 жыл бұрын
Pole kwa kutoswa kama mm ningemto sadaka pole sana stamina
@ahadyeahboyemmanuel29994 жыл бұрын
Jikaze mana syo ridhiki yako
@abdallahkombo3034 жыл бұрын
Heart touching song,,,big up brother stamina for great job
@Aron-ep2ge Жыл бұрын
Akisikia nmekufa.........................Chonde stamina toa hiyo mistari jmn, Ngoma Kali Kwa tuiowah tendwa but tusikufuru mungu ,kufufuka!!!!!!!!mhhhh!!!
Huyu na Roma ndo wana Hip Hop for real....i love them
@eliyasanga63744 жыл бұрын
Mke wangu katoroka nakuniachia mtoto mdogo ndani wa mwaka moja na miezi miwili sijui kaenda wapi natena kaondoka usiku tena mida ya 8:00 kasema Ana enda kununua mafuta ya kupikia ila kaenda mazima hajarudi ten a mpaka saa tisa usiku sijamuona ten a na saizi hajarudi saa tisa 3:05 nimeandika message kwa ukrasa wa stamina asante kaka maisha y angu kama umeyaona nitatuza mwanangu bila kujali mwanamke tena maisha yakumtegemea mwanamke yashaa nitoa imani nisito yataka tena
@khalifabiggy34392 жыл бұрын
Pole mwanangu
@eliyasanga63742 жыл бұрын
@@khalifabiggy3439 asante kaka sasa mtoto ana miaka nne amjui mama ake
@eliahrioba6679 Жыл бұрын
👊👊👊keep going brother
@eliyasanga6374 Жыл бұрын
@@eliahrioba6679 asante kaka sasa dogo ana miaka minne na miezi mitano amjui mama yake
@albertmoris79258 ай бұрын
Polee😢
@faithmohammed45084 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana kakaangu umetoa ya Moyoni na video ndo ucseme daaaaaaaah!cjui hata jinc ya kuelezea
@edwingwesso1294 жыл бұрын
Kama umejifunza kitu kipitia huu wimbo achia like
@eliudhezron1814 жыл бұрын
Daaaaaah pole sana bro stamina life goes Kama usmeguswa nipe like zangu 🇰🇳🇰🇳🇰🇳
@priscamawanja69834 жыл бұрын
Pole Sana kaka
@purikanovals30784 жыл бұрын
Hahahahahaha kwannn"
@purikanovals30784 жыл бұрын
Eteeeee
@nassorali18704 жыл бұрын
Sio mtu wa kucomment but this line "nshakua kwenye mahusianoo ambavyo hata sijui yanahusiana na nini" Sihitaji like yako🤘🤘🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
@eriqemarson23624 жыл бұрын
Kubababeki nmekupa like yangu kwa mstari huuu...hata kama huitaki...😎🤙🏼
@martinmuzungu8622 жыл бұрын
Thank for speaking to many Wanaume hupitia mengi Sana na machozi hudondoka tumboni
@abdallasarai63274 жыл бұрын
"Sijui aliyenishauri nani" that's deep.
@Ngepetv4 жыл бұрын
Vipi Kuna anae mkubali huyu jamaa tugonge like
@ngederemkatamkaachuwa64454 жыл бұрын
Nyimbo inameng sana
@NEXTtz4 жыл бұрын
Check kzbin.info/www/bejne/pJelemiah9mfmcU
@coronavirustanzania75144 жыл бұрын
Tupo pamoja, pata biashara nzuri hapa kzbin.info/www/bejne/eZDShoFji9OXjaM
@batulemwamwaja65244 жыл бұрын
Iv like zinkusaidia nn
@Ngepetv4 жыл бұрын
@@batulemwamwaja6524 Kama hujui faida y like bonyeza hapa kzbin.info/www/bejne/hYjNoWegf9WolcU
@jullyusyshillatu57894 жыл бұрын
Kama umemuelewa stamina halaf ukarud kuwaza mahusiano yako kama mim hapa heb like tujuane
@amriharuna42364 жыл бұрын
Ha ha ha
@innocentkriminol74803 жыл бұрын
Straight words,,,tunaishi dunia isio na upendo LOVE means nthng in this generation,,,bigup broo for the lesson najua inauma lakini ndo ivo komaaa kiume,,,,,,
@mkongafiber42854 жыл бұрын
Gonga like kama umeangalia zaidi ya mara tano.
@jonasgodfrey46484 жыл бұрын
sio mara tano tu endless
@happinessshirima32793 жыл бұрын
Kama bado unatazama huu wimbo weka like yako hapa
@CleverChephas8 сағат бұрын
❤❤❤
@CleverChephas8 сағат бұрын
❤
@cyprianoduor8704 жыл бұрын
From Mombasa Kenya this is what I call music for society ,good message from MR Bornventure
@godluckemanuel31333 жыл бұрын
Good boy sema fresh tu mapenz muda mwengine inabid upige fatya yan unakamat unamaliza na safi tu
@nicellylyimo67884 жыл бұрын
Kama umerud baada ya kusikiliza interview ya roma like tujuane
@jacobkasiaro95034 жыл бұрын
Daah sielewi
@chumatzchumatz30264 жыл бұрын
Bonge la ngoma
@zakyahya46454 жыл бұрын
Mimi apa mana dah roma kaniliza
@shabanikipande87484 жыл бұрын
nicelly lyimo 😂😂😂sure nimerud kwa umakin
@nicellylyimo67884 жыл бұрын
@@zakyahya4645 hahaha ndoa ipo mwaka huu kweli
@jaxboy58804 жыл бұрын
Wale tunao iangalia iii ngoma kali uku tunaxoma comment tujuane kwa like 👇🏼👇🏼👇🏼
@magiclife42064 жыл бұрын
Tupo wengi
@sweetbertmwemezi79794 жыл бұрын
Daaah yn unaweza kosa cha kusema
@sweetbertmwemezi79794 жыл бұрын
Ngoma kali sana thanks you brother kwa ku2fundishi aujakosea ata kdg
@neemalukombe25714 жыл бұрын
Walio ludia huu Mara mbili huu wimbo gonga like tujuane
@johnsonjuma1124 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eZDShoFji9OXjaM tizama biashara kaka
@siwemasalehe1924 жыл бұрын
Zaid ya Mara 5
@sadymihembe45254 жыл бұрын
5x
@fextomaturo78154 жыл бұрын
Daaaah kweli nimeamini maneno ya mshikaj polee sanaaaa mungu atakupa mtuu sahihi
@mouhmahsein57984 жыл бұрын
Bonge LA ngoma hata like kumi tyu
@eriqemarson23624 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe....tunakupa like zaidi ya Kumi tyu 👊🏼👊🏼👊🏼
@brainbuzzsystemtech.94084 жыл бұрын
Sasa nawashangaa nilike comments zako umeimba wew??
@maulakaroli83234 жыл бұрын
Like unazoomba kwani umeimba wewe?
@reginaphilimon7824 жыл бұрын
tuliokubali huu wimbo tujuane hapa kwa like🙂🙂🙂
@KilimochaPapaiTz4 жыл бұрын
ile posa niliyo toa mwambieni aingize vikoba
@kastorkidumu65794 жыл бұрын
Mwambie Yule dogo anayechezea club ya simba
@kastorkidumu65794 жыл бұрын
Imeandikwa tuishi nao kwa akili
@revocatusnyamboga31504 жыл бұрын
Na ile cake Na yule mshenga
@limbusingili99674 жыл бұрын
Noma saaaaaaaaaaaaaaaan
@goodlucktemu31494 жыл бұрын
tulio single ii nyimbo ina tuusu🔥 Gusa like kama umeelewa✋🏿
@andrewmsofu33904 жыл бұрын
weee usijishauli we owa ikifa tunazka
@abdallahramadhani96424 жыл бұрын
Inatuhusu sana
@eddymenas4 жыл бұрын
😂😂
@goodlucktemu31494 жыл бұрын
@@eddymenas 🤗
@goodlucktemu31494 жыл бұрын
@@andrewmsofu3390 dahh sijui itakuaje😊
@joshuason557 Жыл бұрын
Khabla hujjafunga ndoa ,,sikiliza vizuli iyi ujjumbe ...........ndoa ndoano 🤷🙆✌️🇺🇬
@ebenezerykimendo1154 жыл бұрын
Watangazaji na wenye mawazo finyo watamtafuta dogo wa clabu ya simba.ila kwa sisi waelewa no comment
@meddyally44164 жыл бұрын
Ha ha ha ha. Nmelewa
@footballshorts98694 жыл бұрын
@@meddyally4416 Nieleweshe na mm ulichoelewa
@ebenezerykimendo1154 жыл бұрын
Swaleh Yahya mistali yote kwenye ngoma hii umeelewa ila kwa dogo wa simba hujaelewa
@footballshorts98694 жыл бұрын
@@ebenezerykimendo115 Ndio. Nimeshindwa kumtambua huyo mchezaji wa Simba ambaye aliyechepuka na Mke wa Stamina
@raphaelphenius3533 жыл бұрын
Leave out real reason for the song.... And take the song as a real life story situation that can can happen or ever happen to anyone..... THUMBS UP STAMINA My guy👍.... U delivered💯🔥🔥🔥
@grayjohn21724 жыл бұрын
daaaah ngomaaa inaumizaah sanaaah an daah😭😭😭😭
@DIEMEMUGISHA7 ай бұрын
Wow Tanzania moto mungu awambariki 🎉🎉🎉🎉🎉
@johnkomba41844 жыл бұрын
This is so touching and thoughtful message....big up Stamina... +255🇹🇿
@jcksondaudon65304 жыл бұрын
Kama kuna kitu umejifunza kupitia Wimbo huu gonga like tujuane
Dah kama nawewe umeirudia rudia kama mm gonga like
@victormariita95532 жыл бұрын
Ubunifu... Ubunifu shiari. Hapa talanta ipo juu juu juu juuuuu sana.
@nestorykuringe91944 жыл бұрын
Stamina hapa umeumiza watu wngi sna...
@nikkithe2rd3833 жыл бұрын
am addicted to this song, i have to listen it daily before i sleep
@FXSAFARI4 жыл бұрын
"NDOA!!!! Sijui alinishauli Nani!😭" Pole bro na tukae humo 2020 mapema tu Mambo Moto🔥 hatari sana 😭
@tonynyumu28287 ай бұрын
Much love from Kenya🇰🇪
@stevekyando15614 жыл бұрын
Kama umeludia zaidi ya mala 2 like🇹🇿
@ashufaamlalila4 жыл бұрын
Alie ielewangoma hiii gonga like!
@roselynnsungwe82724 жыл бұрын
😉pesa aingize vikoba🤣🤣🤣
@kelvinmchau88154 жыл бұрын
Hii mara 3
@brainbuzzsystemtech.94084 жыл бұрын
Nilike nini kwani ni wewe umeimba?? We kima au??
@augustinopaschal1734 жыл бұрын
Saiz mtaan kwel nyimbo hii unaisiliza bila bando mstali hunyumba hii huu nyumba ile ad nyimbo inaisha
@amisibikyeombeawi84694 жыл бұрын
Dah kweli ndoa ndoano, kama unabisha kamuulize Stamina. Pole sana bro, lakini vibaya umezika ndoa, utakuwa padri ? Kama zipo nipen likes twende pamoko...