Stamina ft Rich Mavocal - Kabwela

  Рет қаралды 679,842

cloudsEntertainment1

cloudsEntertainment1

12 жыл бұрын

Пікірлер: 331
@pascaljr.5439
@pascaljr.5439 4 ай бұрын
Hii miamba ilianzia mbali wale wa 2024 gonga like
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww 3 ай бұрын
Wenye tuko apa tena 2024 gonga like
@abedneema3277
@abedneema3277 4 жыл бұрын
Nauliza swali liwafikie hawa wasanii wawili: hivi huwa wanacukua mda wa kuangalia hii video ili wajue wapi walipotoka?? Wanao swali kama hili langu nipeni like
@PreygodMariki-pm1ym
@PreygodMariki-pm1ym 11 ай бұрын
P0ppp0pp0🎉😢
@maulidysaidy9925
@maulidysaidy9925 4 жыл бұрын
tunaoirudia tena hii 2020 like twende sawa
@athumaniselemani8877
@athumaniselemani8877 4 жыл бұрын
Iko poa sana
@stellastellah8210
@stellastellah8210 4 жыл бұрын
Penda sana huu music
@kaningoacerp6264
@kaningoacerp6264 4 жыл бұрын
👍🏼
@chrisduffyniyokwizera
@chrisduffyniyokwizera Жыл бұрын
Wale tunao bang hii truck 2023 nipeni likes
@benedictmasigo3802
@benedictmasigo3802 5 жыл бұрын
Daaaaah maisha yangu hayana swagga kama maasai wa njiro gonga like kama bado ngoma hii inasumbua masikio yako
@shukuruizrael2058
@shukuruizrael2058 4 жыл бұрын
Hat iyo ngm
@julianojulius4031
@julianojulius4031 4 жыл бұрын
2020
@mohamedomary1096
@mohamedomary1096 4 жыл бұрын
Kali sna for life change
@laddykitogo4806
@laddykitogo4806 4 жыл бұрын
kka atar sana km imetoka jana vile
@saidgazo4170
@saidgazo4170 4 жыл бұрын
Fresh
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 5 жыл бұрын
Nyimbo kama hii kama ni Marekani inakupa utajiri kabisa Ngoma inavina inamdundo napia ina ujumbe Safi sana Stamina & Mavoko
@hidjadejong004
@hidjadejong004 Жыл бұрын
Stamina hana mpinzani kwenye hii gemu ngoma imeshiba ujumbe wa kutosha hadi leo 2023🙌
@buildertanzania4801
@buildertanzania4801 4 жыл бұрын
Alie skiliza tena kwa mala ya kwanza 2020 hii ngoma tujuane hap like kama bado upo hai kama mimi toka nyimbo ilivyotoka
@atupelemwakatika5039
@atupelemwakatika5039 4 жыл бұрын
Ngoma kali sana hi mm naisikiliza mwaka 2020
@ShattanandaRamadhaniMalute
@ShattanandaRamadhaniMalute 3 күн бұрын
Daaah kuja kupata tena ngoma kali kama hizi sjui ni lini apa akina mbuzi nd wanatakiwa kijifunza sio kwa nymbo zao iz 2024 gonga lke apo
@chicharito4201
@chicharito4201 3 жыл бұрын
Tunaoangalia track hii 2021 gonga like za kutosha 🙌🏽🙏🏽🙏🏽
@mohammedseif1927
@mohammedseif1927 4 жыл бұрын
jamani hili goma kali san #STAMINA ft MAVOCO kama upo na mm gonga like 12/10/19
@fredyalexkomba7910
@fredyalexkomba7910 Ай бұрын
Aaaah we stamina mi nimekuja kuskiliza 2024
@benjaminshinje5816
@benjaminshinje5816 11 ай бұрын
Dah, kuleni bata kweli mlitoka mbali heshima kwenu❤❤❤❤
@jayjay-yc8kb
@jayjay-yc8kb 8 жыл бұрын
pesa imekuwa adimu kama bikra kwa changu dowa..........mahn u nailed it team wakali wa hiphop
@fadhilamtunguru5834
@fadhilamtunguru5834 4 жыл бұрын
Ip poa xan
@yahyajarufu5893
@yahyajarufu5893 2 жыл бұрын
Still banging 2022 Classic song🔥🔥 Massage, Rhymes zipo poa huu wimbo utaishi milele very inspired kwa wapambanaji
@arabianillusionsworld734
@arabianillusionsworld734 4 жыл бұрын
THIS IS PURE TALENT I love this song, nakumbuka nlikuwa ndo nimemaliza form 4 "if am not mistaken" nyimbo hii imetoka I used to really like it and till now naipenda.. now Am listening from Abu Dhabi UAE
@husseinremmy2834
@husseinremmy2834 4 жыл бұрын
Safi boss
@upendokawogo1840
@upendokawogo1840 5 жыл бұрын
Nataka kumuomba mungu shetan ananizid speed men
@medys1000
@medys1000 12 жыл бұрын
omg stamina we mkali kaka una risha alafu mavoko ndio kaua kabisaa kwenye upande wa voko kaka unatisha dude keep it up dudes
@salumusaid765
@salumusaid765 6 жыл бұрын
Medy Amoury yy Etty hr6r 4th
@kephasgembe9924
@kephasgembe9924 4 жыл бұрын
2020 bado naitzama hii nyimbo,ni my life favorite song,kuanzia mwanzo hadi mwisho ni point tupu hakuna mashudu
@RobbyKaizer
@RobbyKaizer Жыл бұрын
Ahahhaha akuna mashuduu 😂😂😂
@HamisiJuma-if3jn
@HamisiJuma-if3jn Ай бұрын
Daaah ipowazi wasanii wasikuizi wanaimba tulmradi wapate pessa namadem wazur
@josephshagembe4520
@josephshagembe4520 6 жыл бұрын
STAMINA HII NGOMA COZ NDO IMEKUFANYA UONEKANE #gonga_like
@ghostsoul1111
@ghostsoul1111 4 жыл бұрын
who is watching this song in 2020 , alot of love from rwanda
@4weston4
@4weston4 12 жыл бұрын
Keep it up, the lines are wonderful, kijana alitulia. Endelea piga kazi... tunataka nyimbo za aina hiyo na lines nzuri.
@saphielymtaita1110
@saphielymtaita1110 8 жыл бұрын
Kama kawaidaaah - pesa imekuwa adimu kama bikira kwa changudoaa daaaaah iko pouwaa sana h song
@saphielymtaita1110
@saphielymtaita1110 8 жыл бұрын
Me nadhani haya maisha yana raman ila aliyemchorea maskn penn ilimgomea njian umefikiria saaaaaaaana ma broo
@shairanadam1443
@shairanadam1443 4 жыл бұрын
Tuende swa leo 13-10-2019
@robertlubote9793
@robertlubote9793 10 жыл бұрын
It's so sad, Hongera kwa utunzi mzuri, nimependa mistari iko poa.
@LouiseERne98
@LouiseERne98 11 жыл бұрын
Well , Nakukubali sana Mr. Stamina , you make me love you man ... keep up your good work .
@Omariogibow
@Omariogibow 2 ай бұрын
Hii ngoma inanikumbusha south africa 2013 nikiwa bado nasota ALLAHAMDHULILAH🎉
@johnmacharia24
@johnmacharia24 4 жыл бұрын
Very sentimental 🔥🔥... #2020 from the +254 🇰🇪
@jumaramadhan3380
@jumaramadhan3380 4 жыл бұрын
Nani yupo hapa leo 2019 🖒🖒🖒🖒
@panduhaji1893
@panduhaji1893 4 жыл бұрын
Dahh nikiwa na huzuni napenda kusikiliza hii nyimbooo
@phizmsag7824
@phizmsag7824 2 жыл бұрын
Dunia yambalabovu ambeauwewa huu msitali weka laki
@davidchesco52
@davidchesco52 4 жыл бұрын
Daaah vya kale dhahabu tutawakumbuka sana baada ya kuondoka legend
@MrTabasamu
@MrTabasamu 11 жыл бұрын
Punchline baada ya nyingine Napenda nyimbo zake zooote! Nani kama Stamina?!!!
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
Verse ya tatu nyoko sanaaaa ..daah fundi
@johnmhanga7479
@johnmhanga7479 6 ай бұрын
Nataka nimuombe Mungu shetan anazid speed men DAAAH NI HATALIII
@sabrisaid3602
@sabrisaid3602 3 жыл бұрын
UZURI WA NYIMBO ZA TZ. HUA NAZIPENDA SANAA.SABABU ZINA MAFUNZO PIA ZA KIMAISHA.CONGRATULATION'S BROTHERS. 10/07/2021.
@jamilfuad6847
@jamilfuad6847 8 ай бұрын
Nakumbuka mbali nkiskiza hili goma old good days
@samuelkatama3068
@samuelkatama3068 4 жыл бұрын
Waah, ni ngoma 100 kwa 100 bana.
@futurekibingu69
@futurekibingu69 Жыл бұрын
Still best 2023
@stevenmatano9930
@stevenmatano9930 Жыл бұрын
2023 still bado its a hit melody 🎉🎉🎉
@godblexxgyunda6060
@godblexxgyunda6060 Жыл бұрын
Mavoko uliuwa sana
@rosemollel2118
@rosemollel2118 4 жыл бұрын
sijwahi kuichoka hii ngoma......mistari inayoishi
@LouiseERne98
@LouiseERne98 11 жыл бұрын
I like the way ya rap ,,, it pretty cool , keep up your good job guys
@emmanuelchristopher5479
@emmanuelchristopher5479 4 жыл бұрын
Ulianza poa sana hujawah toa wimbo Makin Kama huu man
@babyancaful
@babyancaful 12 жыл бұрын
aaaawwww stamina good job keep it up u can do it.
@bongoflevakitambo9995
@bongoflevakitambo9995 4 жыл бұрын
Kama tuko pamoja moro stend up OLD IS GOLD MZIKI MZURI UNAISHI MIAKA 💯💯💯💯
@EdisonEvarist
@EdisonEvarist 5 ай бұрын
Nyimbo yangu pendwa enzizoo
@shebelezatv1809
@shebelezatv1809 4 жыл бұрын
Enzi izo cna cm Hii ngoma niliikopi kwny daftar ili niikalili yote 😢😂😂😂
@mariamjuma1429
@mariamjuma1429 4 жыл бұрын
Master vina na punch zako ni balaaaaaaaa
@walivyojuma7095
@walivyojuma7095 4 жыл бұрын
izi ndo nyimbo uyu ndo mavoko wa ukwel ila si wasasa
@Dropshipping102
@Dropshipping102 Жыл бұрын
Sasa hivi ndio naelewa maana ya huu wimbo baada ya kuanza utafutaji Mimi mwenyewe
@ericksaid5327
@ericksaid5327 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@hawangulunge1925
@hawangulunge1925 4 жыл бұрын
Kama unalo 2020 nonga like
@susanmmeri9380
@susanmmeri9380 5 жыл бұрын
STAMINA bado Young 😉
@KakaDolla
@KakaDolla 4 жыл бұрын
Wenye tumefika huku 2020 na corona mko wapi 😂😂
@davidmloge7277
@davidmloge7277 4 жыл бұрын
Am here💥
@salimmussa9719
@salimmussa9719 9 жыл бұрын
This is my best tz rap song ever
@mitto3496
@mitto3496 4 жыл бұрын
this song gave me hope today 2019 LOL BROS
@babaismat6946
@babaismat6946 8 жыл бұрын
BEST HIPHOP EVER
@mustaphahussein538
@mustaphahussein538 4 жыл бұрын
2020 gonga like
@mabenzimabenzi4348
@mabenzimabenzi4348 5 жыл бұрын
kweli huyu ndo mavoco hahah hatukati tamaa ipo siku na sisi tutajishangaa
@martinmwambu5369
@martinmwambu5369 5 жыл бұрын
Pia wewe uko hapa #2019
@Mahonda8080
@Mahonda8080 4 жыл бұрын
Me nazani aya maisha yana ramani ,na aliyewacholea maskini peni iligomea njiani , jamaa unafikiria sana
@lawmaina78
@lawmaina78 3 жыл бұрын
Nani mwenye lyrics za wimbo wote, naomba tafadhali.
@Cheche_Boy
@Cheche_Boy 4 жыл бұрын
Dec 2019 Naskilza hii ngoma gonga like twende Sawa
@DINGOSTARMWANAMAMBO-rl5np
@DINGOSTARMWANAMAMBO-rl5np Жыл бұрын
since day1 ulikua mnoma sana
@allykutenga2862
@allykutenga2862 4 жыл бұрын
Mi nadhani haya maisha yana ramani ila alowachorea maskini peni ilimgomea njiani Daaaahh..,, (JAMAA ANATISHA KWA (MISTARI KUSEMA LA UKWEKI).
@melbournechurch234
@melbournechurch234 4 жыл бұрын
Stamina pls work with Nigerian musicians like Diamond Respect Godbless
@ngabo786
@ngabo786 2 ай бұрын
naaam 2024 still ni hit song
@frankgeorge9903
@frankgeorge9903 3 жыл бұрын
Niko hapa 2021 kuwaangalia jinsi walivyokuwa wasanii wetu kabla hawajawa wasanii wa kamera🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@user-el7og1qs8c
@user-el7og1qs8c 4 ай бұрын
Nipo hapa 2024
@josephthiago2137
@josephthiago2137 4 жыл бұрын
leo nimepat kesho nimekosw daaaaa
@bossmanjibakari5904
@bossmanjibakari5904 4 жыл бұрын
Naikubali kuliko ngoma zote za stamina Vikombe vya umaminifu nisha vivunjia mtahani na vijiko vya ualifu nimeviweka kwenyesani daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa)
@daliusmahela2237
@daliusmahela2237 3 жыл бұрын
Kitambo san kwl hakuna mwmbamb ni har tu kabwer
@richkanyala6293
@richkanyala6293 4 жыл бұрын
Naqbal sana daah wap mavoko stamina
@donaldmhulula6888
@donaldmhulula6888 28 күн бұрын
Chorus ili nyongwa mpaka ika kata roho❤😊
@neemachawe9601
@neemachawe9601 7 жыл бұрын
kwel maisha yanaenda kasi, huyu co mavoko wa KOKORO WCB
@saidtembele3070
@saidtembele3070 6 ай бұрын
Nostalgic, Dah 2012 nilikuwa form two 🙌🙌 Today 26.12.2023
@lameckluwanda3506
@lameckluwanda3506 2 жыл бұрын
Stamina nae aliaza kuwa mzee kabla ya kuwa kijana .... hahahahaaaaa
@halidihemed1006
@halidihemed1006 4 жыл бұрын
2/12/2019 naomba like hapa
@millengolden6363
@millengolden6363 4 жыл бұрын
Daaaaaa so poa apa
@barakamichael1985
@barakamichael1985 7 жыл бұрын
iko poa sana
@AbeidiOmary
@AbeidiOmary 2 ай бұрын
Pesa imekua ngum kama bikra kwa changudoa😢😢😢
@husseinnadhari2449
@husseinnadhari2449 4 жыл бұрын
2020 good music never die
@yoramdemas3633
@yoramdemas3633 2 ай бұрын
2024 hapa like
@khalidmnjovu4463
@khalidmnjovu4463 10 жыл бұрын
Best rhymes bro, good music!
@KikovicDoSantos
@KikovicDoSantos Ай бұрын
Ngoma inaishi maana ina ujumbe 2024 like hapa
@yohannanyamwanga2785
@yohannanyamwanga2785 4 жыл бұрын
Maisha ni kombolela masikini ndoo murinda kopo maisha yanalamani ila arie chorea masikini kalamu irimgomea njian
@alahstamuzackayo5509
@alahstamuzackayo5509 4 жыл бұрын
Wimbo 2019 bado nasikiliza
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 4 жыл бұрын
Wimbo ulionipa hamasa yakuhaso na uvumilivu 2013/2014
@m.fidele1743
@m.fidele1743 4 жыл бұрын
2020 tuna pambana tu !!
@emanuelpeter8181
@emanuelpeter8181 4 жыл бұрын
Haya maisha ni kama ramani na aliewachorea mackini peni ilimgomea njiani daaà stamina nooooma
@zephaniamichael5546
@zephaniamichael5546 7 жыл бұрын
hi ngoma qalli sanaaa
@arexmerck2324
@arexmerck2324 4 жыл бұрын
kama unamkubali sitamina gonga like apa twende sawa 2020
@richardmweri7918
@richardmweri7918 4 жыл бұрын
You're simple the best stamina
@nevdtv6436
@nevdtv6436 6 жыл бұрын
I love hip hop forever,,
@razakpaulo6407
@razakpaulo6407 4 жыл бұрын
Miaka inaenda stamina alikuwa kitoto weka like tujuane tunaoangalia2020
@reginawitacha7921
@reginawitacha7921 4 жыл бұрын
8.10.2019 najaribu kukemea shetani anaewazid watu speed
@ngosha3022
@ngosha3022 10 жыл бұрын
big up hiii imetulia sana na inaelimisha
Stamina ft Jux   Alisema
4:08
Siz Kitaa
Рет қаралды 143 М.
Young Killer Msodoki & Stamina ft Quick Rocker- Jana na Leo
4:56
Legendary Music-Tanzania
Рет қаралды 934 М.
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 111 МЛН
Darassa Ft. Winnie - Nishike Mkono (Official Video)
5:24
Darassa
Рет қаралды 463 М.
Sam Wa Ukweli - Hata Kwetu  wapo
5:45
atimuabda
Рет қаралды 3,7 МЛН
Mama ntilie.mp4
4:56
Adam Juma
Рет қаралды 341 М.
Mwana FA - Bado nipo nipo
5:03
KINGAJA
Рет қаралды 469 М.
Darassa Ft. Ben Pol - Sikati Tamaa (Official Video)
4:22
Darassa
Рет қаралды 736 М.
KHALIGRAPH JONES x ROSTAM - NOW YOU KNOW
4:08
Khaligraph Jones
Рет қаралды 3,1 МЛН
20% - Tamaa Mbaya
5:33
EastAfricaTube
Рет қаралды 1,6 МЛН
Zali la Mentali Prof Jay fet Juma Nature
6:09
ProfessorJay
Рет қаралды 8 МЛН
Stamina Ft Darasa & Warda-Mwambie Mwenzio. Official
4:50
Legendary Music-Tanzania
Рет қаралды 725 М.
Подменил НОМЕРА на ЧУЖОМ скутере 😱 #shorts
1:00
Лаборатория Разрушителя
Рет қаралды 206 М.
дед сломал мотоцикл за 5млн🤯❗️ @Motogochi
0:31
sila_pelmeney💪
Рет қаралды 2,7 МЛН
Незапланированный краш тест автомобиля
0:23
Новостной Гусь
Рет қаралды 1,9 МЛН
Подменил НОМЕРА на ЧУЖОМ скутере 😱 #shorts
1:00
Лаборатория Разрушителя
Рет қаралды 206 М.