Stamina Shorwebwenzi - Msanii Bora Wa Hip Hop (Official Video)

  Рет қаралды 213,777

Stamina Shorwebwenzi

Stamina Shorwebwenzi

2 ай бұрын

#StaminaShorwebwenzi #MsaniiBoraWaHipHop #SlideDigital
Stamina Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/staminashorwebwenzi
Written & Performed by Stamina
Video Directed by Eddy
Follow Stamina on:
/ staminashorwebwenzi
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz

Пікірлер: 1 000
@olivaclara
@olivaclara Ай бұрын
Stamina is so dope. I can't stop watching this track again and again. I am sure he will be #1 soon due to 💖 a u t h e n t I c v i e w s 💖
@Young_billy_OG
@Young_billy_OG 2 ай бұрын
Bwenzii i'm The one like moree
@dismasmushi9328
@dismasmushi9328 2 ай бұрын
Umemalizaa kaka atakayebishaa wew sio msanii bora wa hip hop,,,,, mwambie pasta anafelii mtihani wakati Yesu ni jibuu ,,,, awaeziii elewaaa
@NassoroKizulwa
@NassoroKizulwa 8 күн бұрын
Huna mpinzani 🎉
@hidoxtz3559
@hidoxtz3559 2 ай бұрын
Hii nyimbo nimeisubili kwa miaka 25 sasa hatimae leo ndo imetoka much respect bro✊🏿
@Young_billy_OG
@Young_billy_OG 2 ай бұрын
😂❤
@SimoniAlex
@SimoniAlex 2 ай бұрын
Respect
@manboempakulo7876
@manboempakulo7876 Ай бұрын
We mzee 😂😂😂😂
@sammymutiso6758
@sammymutiso6758 2 ай бұрын
Kama mkenya Yuko hapa rusha likes stamina moto nani anakataa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@bakarijuma8060
@bakarijuma8060 2 ай бұрын
club naagiza soda mbele ya shomar kapombe... staminaaaaaaaaa
@RobaahKauruo
@RobaahKauruo 2 ай бұрын
Meru -Kenya representing.STAMINA TUNAKUAMINIA toka MERU-KENYA listening and playing the SONG.Stamina to the World 🌍🌍. follow up on
@nathanmurithi01
@nathanmurithi01 2 ай бұрын
Meru side gani msela✍🏼
@RobaahKauruo
@RobaahKauruo 2 ай бұрын
@@nathanmurithi01 Meru Kathelwa
@salimkibwana4189
@salimkibwana4189 2 ай бұрын
​@@nathanmurithi01sai kimeshika Colombo
@user-pw5en9eb3i
@user-pw5en9eb3i 2 ай бұрын
Sana mwana
@vanierdesludge7156
@vanierdesludge7156 2 ай бұрын
Wameru tuko hapa
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
stamina babaaaaaaaaaaaaa
@Georgevasco-ld8be
@Georgevasco-ld8be 2 ай бұрын
Wakwanza Mimi Leo like zanguu #morotown 🔥🔥🔥
@jumahussein709
@jumahussein709 9 күн бұрын
Muitenni kaligraph afeeeeeeeee 🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@RAMSEYDJJJ
@RAMSEYDJJJ 2 ай бұрын
Imefika Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 courage stamina na kukubali sana salute kwako kaka 🙋‍♂️🙋‍♂️🙏
@TurkanaDigitalMedia
@TurkanaDigitalMedia 2 ай бұрын
Tanzanians in the house aallow us from Kenya to approve this tune,, Huyu stamina hajewai angusha beat
@emmanuelsaddy733
@emmanuelsaddy733 2 ай бұрын
Eti mkojo wa shoga..254 pwani wapi like za coast
@MaximilianMbao
@MaximilianMbao 2 ай бұрын
Kaka angu stamina huna baya.....kiufupi broo unaweza kwenye game ya bongo.....na hakuna anaekuweza apa bongo ukweli usemwe..... salute sana bro...
@vindahvince486
@vindahvince486 2 ай бұрын
Stamina ndio mkali wao kwa hii shule🔥🔥🔥 mie sikohoi kama konde 😂 🇰🇪 show me love
@alfredkalimira3264
@alfredkalimira3264 2 ай бұрын
Kali ya hip-hop bukavu tuna kubali🇨🇩
@mohdkhalifa8828
@mohdkhalifa8828 2 ай бұрын
Baba umekasirka yani mpaka umepitiliza hahaha safi sana kk
@Derick47083
@Derick47083 2 ай бұрын
Eb jarbu kuvaa earphone alafu ufungulie hili dundo kudadeq utakuja kunishukuru ❤❤
@asedimaketa8694
@asedimaketa8694 Ай бұрын
🤣🤣🤣
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 ай бұрын
Morogoro moja nakumbuka enzi za kabwela niko sec. Form 1,,,,kuna wakaka wa form 3,,4,wakikaa tuu ilikua stor stamina daaa basi nilikua nasogea karibu ili nijue uyo stamina ni nani love u brooo umepambana sana
@wanjedaniel1691
@wanjedaniel1691 2 ай бұрын
Aminia kaka braza umetisha toka zama za kale from kenya listening to this dope rap to the world, got u stamina
@ambrosekikare460
@ambrosekikare460 2 ай бұрын
He Is The Greatest Of The All Time on Hip Hop. 😀💥... Stamina has Stamina on Shorwebwenz.
@ashrafchande869
@ashrafchande869 2 ай бұрын
Nepo kijana wako tka unahaz adi leo na bado nakuhamin ujawai niangush respect broo🎉
@ElishakellyMahuno
@ElishakellyMahuno Ай бұрын
Kk unatisha tangu zamani. Congo tunakukubali sana . Apa Hona ...
@mrsinia3064
@mrsinia3064 2 ай бұрын
Umemaliza kaka hata bigblaza wa marekani ameshakiri ya kwamba wewe ni noma 🎉🎉🎉🎉🎉
@eliascharles472
@eliascharles472 2 ай бұрын
Saruti sana captain unatisha sana sema nn Mzee baba hii punch umeuwa hatariiiiiiii
@EmilianKomba-sb4kn
@EmilianKomba-sb4kn 2 ай бұрын
Shobweeeeees Leo umetumia Moro. Moro town dadekiiii... Mbeyambeyaaaaa sikuiziiiiii❤❤❤❤❤❤ chupa kali shabikiii yako wa dhatiii mzeee
@Stanhatari
@Stanhatari 10 күн бұрын
Jamaa anajua hadi anakera❤
@ZachariaKapufi-jd9yp
@ZachariaKapufi-jd9yp 6 күн бұрын
Braza stamina anaga kazi mbaya katika tungo zake,sijawahi ona hip hop artist mwenye rap ya style kama yake...uandishi mzuri..
@BahariTvkenya
@BahariTvkenya 2 ай бұрын
wapi like za huyu mwamba stamina
@Zaxafrica
@Zaxafrica 2 ай бұрын
ALOOOOH KULAANINA Maangamizi kama SHANGAZI kakutana na @KUSAH 😂😂😂 🙌🏾🙌🏾
@HamisiJuma-if3jn
@HamisiJuma-if3jn 22 күн бұрын
Tz kunavichwa asee najivunia kuwabong staa mwenyemadin
@topaztz7601
@topaztz7601 2 ай бұрын
Hip Hop Never Die, hujawahi tuangusha mashabiki zako tokea unaanza mpaka hapa ulipofikia.🎉
@pitheimmortal3918
@pitheimmortal3918 2 ай бұрын
Stamina💥💥💥
@haroonmarco490
@haroonmarco490 2 ай бұрын
Mzee baba sasahivi ndio naiona bongo hip hop, respect my brother hizi ndio ngoma tunataka kusikiliza aisee
@haroonmarco490
@haroonmarco490 2 ай бұрын
Aggressive heavy beats, vina vyenye ujazoo i like this
@PatientUseni
@PatientUseni 25 күн бұрын
Sawa kabisa kaka naku kubali sana stamina endeleya na kazi🎉🎉 ness depuis Congo 🎉🎉
@user-sv1ow8ti3g
@user-sv1ow8ti3g 6 күн бұрын
hiphop bira metaflow bado haijakamilika, fidq, stamina, contawa, tox fuvu, maarifa,nyoungkiller, bando mc, these are the best lapper in tz
@BundimnyamaBm
@BundimnyamaBm 2 ай бұрын
Nomaaaaaa bro aina haj kuandika kwa herufi kubwaaa🔥🔥🔥
@kingmtetezi6670
@kingmtetezi6670 2 ай бұрын
Mwamba huyu hapa ngoma kali sana hujawahi kuniangusha stamina🔥🔥🔥
@marcuslincoln4553
@marcuslincoln4553 2 ай бұрын
From kenya uyu saa ndo king wa rap bongo alafu kwa mix Roma aingie🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉hatari sana
@SenzoKitindi
@SenzoKitindi 2 ай бұрын
Alf utaskia rapaa namba moja tanzania sjui young nani uko jmn stamina namba zoteeeeeeeeeee sio moja tu
@user-hv3bw5kj3t
@user-hv3bw5kj3t 2 ай бұрын
Oya Umu ndan angekuwepo young killer
@bkptatastashtamz-nl7jw
@bkptatastashtamz-nl7jw 2 ай бұрын
Ulijuaje mwanangu
@FadhiliLaurent
@FadhiliLaurent 2 ай бұрын
Oyaaa weeeh so poa
@StaffordNdalu
@StaffordNdalu 2 ай бұрын
dah unajua kuwacollaboresha mzee😁🤙
@JohnAloyce-uu6et
@JohnAloyce-uu6et 2 ай бұрын
Brother sitami uko vizuri sana
@naikidpapichulo8025
@naikidpapichulo8025 2 ай бұрын
Tz wow ❤The only artist who did this in tanzania ni Ay nimetoka kenya but khali need another collaboration with you likes,za mwamba
@imaxshine2210
@imaxshine2210 26 күн бұрын
Na mwana HipHop bora ni wew tuu broo
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 2 ай бұрын
Fundiiiiiiiiiiii HipHop umeibeba beganiii🎉🎉🎉🎉
@KzBwoy
@KzBwoy 2 ай бұрын
Hii Kali big bro 🙌🚀
@youngkiki.
@youngkiki. 2 ай бұрын
Embu kenya representing mara ya kwanza Tanzania wameweza hapa kali sana
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 8 күн бұрын
Msani bora wa Hip Hop alfu kwenye tunzo anapewa Lunya 😝😝😝
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 2 ай бұрын
Mvutaji mwenye arosto kakutana na pusha..🔥 Unyama mwingi
@eugenekimutai8786
@eugenekimutai8786 2 ай бұрын
Mkalii waooo tongwee records
@montanablaww1664
@montanablaww1664 2 ай бұрын
Umeumiza sana home Boy🔥🔥🔥🙌🙌
@LaurentChaula-nj9qy
@LaurentChaula-nj9qy Ай бұрын
Nakubali Sana pacha wangu, 🤗🤗💯💯💯💯
@donpablo7698
@donpablo7698 2 ай бұрын
Dah stamina hatari kudadek🔥🔥🔥🔥
@ChrispinAchilah
@ChrispinAchilah 2 ай бұрын
Noma sanaaa 🔥🔥🔥
@ayubusamson911
@ayubusamson911 2 ай бұрын
Duuh kaka utatuua umetisha Sana
@vinnyroster4201
@vinnyroster4201 2 ай бұрын
Jamani STAMINA ameludi huu ndo stamina Sasa lazima awachane
@obbyguy255
@obbyguy255 2 ай бұрын
Kali sanaaa
@lildee_Vevo
@lildee_Vevo 2 ай бұрын
Best Hip Hop Song 24 so far
@user-wl1zy5sq6f
@user-wl1zy5sq6f 2 ай бұрын
Mda mwingine unalihusisha jina la Yesu mahala sio. Labda unaweza liangalia hilo.
@toney..
@toney.. 2 ай бұрын
Msanii Bora WA Hip Hop.. 🙌🙌
@official_rayob.8351
@official_rayob.8351 2 ай бұрын
Oya weeeee😅🎉❤
@user-zs1dv1mt5f
@user-zs1dv1mt5f 9 күн бұрын
Hahahah kaka mkubwa tisha saaaaaan,
@mosesmhina9980
@mosesmhina9980 2 ай бұрын
duuh aissee mzee baba umechana hatar
@Encky3v
@Encky3v 2 ай бұрын
Mistari ya humu ndani ni🔥🔥🔥🔥🙌
@allysonjohn8578
@allysonjohn8578 2 ай бұрын
This is big 🔥🔥🔥
@dullermodol7529
@dullermodol7529 2 ай бұрын
Uyu ndo mwamba stamina ninayemjua mm ujapoa broo mikazo mwanzo mwenga
@matyboymtanzaniano
@matyboymtanzaniano 2 ай бұрын
Mwanangu nakukubali sanaa ila azisha lebo hip hop tz tupate nafasi na sisi najiamin kwenye michano
@emmahtravissichii1867
@emmahtravissichii1867 2 ай бұрын
Mdogo wanaipigia punyeeeetoooo
@MetaMc-iv5bi
@MetaMc-iv5bi 2 ай бұрын
Moto❤
@MRMdwanz-cq9zi
@MRMdwanz-cq9zi 2 ай бұрын
Hii ni kali hii, Hii ni funzo sio ya kuita nyimbo hii, Hii sio ya kupigwa disco hii.
@nassorsadam1429
@nassorsadam1429 2 ай бұрын
💯👌hata siku moja hujawahi niangush
@justinkalunga
@justinkalunga 2 ай бұрын
This is fire 🔥
@christianmatosha4283
@christianmatosha4283 2 ай бұрын
Best Hip hop 2024
@BwemeroFelix
@BwemeroFelix 2 ай бұрын
Nakubali sana mwamba hajawahi niangusha
@henrike_kings8402
@henrike_kings8402 2 ай бұрын
Baba uko juu sana
@shannarsaidSwahili
@shannarsaidSwahili 2 ай бұрын
One of the best❤️❤️
@BestLooz_Chance
@BestLooz_Chance 2 ай бұрын
🎉Ujawahi kuboa Bwenzi
@catherinekibasa
@catherinekibasa 15 сағат бұрын
Staminaaaaaaaaaaaaaaa
@user-dn3jf5tz3i
@user-dn3jf5tz3i Ай бұрын
🎉🎉🎉upewe mauwa Yako kaka
@SteveTegemea-fj6de
@SteveTegemea-fj6de 2 ай бұрын
STAMINA gonjwa la Jiji Doctor Mwaka hawezi tibu.....
@kadala06
@kadala06 2 ай бұрын
Qubabakeee..... Anaebisha aje Na hoja ,,,,Shorwebwenzii🔥🔥🔥
@BeeFredy
@BeeFredy 2 ай бұрын
Bro umetenda nzuri mpaka haiboi wamekukeraaa
@austinfoster4512
@austinfoster4512 2 ай бұрын
Umetisha sana brother ✅️
@255Soja
@255Soja 2 ай бұрын
Nakukubali sana toka enzi za kabwela
@Feiboy_tz
@Feiboy_tz 2 ай бұрын
Umetisha sana bro
@salvatorymillinga991
@salvatorymillinga991 2 ай бұрын
Itoshe kusema, stamina anajua
@reysmiz5640
@reysmiz5640 2 ай бұрын
ukiongea kuhusu rap ya kweli nakupeleka bongo ukamuone STAMINA
@user-zo1ym2te7r
@user-zo1ym2te7r 2 ай бұрын
Umetisha mpaka uku chuga 🎉
@aim_amiiOfficialmusic
@aim_amiiOfficialmusic Ай бұрын
Oyaa nomaaa sanaa www
@snaremrko1933
@snaremrko1933 2 ай бұрын
Oyaaaah we staminaaa 😂 hii ni nomaaaaaaa
@bmstars
@bmstars 2 ай бұрын
noma sana nyani mzee
@ElinajaMlaty-qg4sj
@ElinajaMlaty-qg4sj Ай бұрын
Atujifunikiii maana uchumi wetu Bado unashukaaa😅😅😅😅😅 yeah
@vuvuzelajordankhasindu2963
@vuvuzelajordankhasindu2963 Ай бұрын
Ngoma kali brother. Nimekubali. Peace.
@ManizoTheboy-ko1hw
@ManizoTheboy-ko1hw 2 ай бұрын
Umetisha kinoma
@user-ju4md1yq6o
@user-ju4md1yq6o 2 ай бұрын
Ulistahili big bro✊
@josephmigila267
@josephmigila267 2 ай бұрын
we jamaa nakubali kazi njema sana hii
@authenticblackbantou
@authenticblackbantou 2 ай бұрын
🎁🎁👏👏🙏from Goma Congo, Stamina wendo 2pac Wa bongo
@Japharyhh
@Japharyhh 2 ай бұрын
Kaka mzuka mizuuuuka🙌🙌
@abisaabisa3587
@abisaabisa3587 2 ай бұрын
Hongera sana aiseee mkubwa
@nyatururecords
@nyatururecords 2 ай бұрын
Team ROSTAM pande ya 254 tujuane hapa, Msanii Bora wa Hip-hop 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
Stamina Ft Mr T  Touch - MR BONIVENTURE (official video)
3:25
Stamina Shorwebwenzi
Рет қаралды 543 М.
Don’t take steroids ! 🙏🙏
00:16
Tibo InShape
Рет қаралды 98 МЛН
Indian sharing by Secret Vlog #shorts
00:13
Secret Vlog
Рет қаралды 51 МЛН
Roma Feat Chid Benz - Nasikia Harufu   ( Official Video)
3:44
VIVAROMA
Рет қаралды 1,5 МЛН
Dakika 10 Za Maangamizi : Stamina | Planet Bongo
12:24
EastAfricaRadio
Рет қаралды 663 М.
Fido Vato ft Chidi Benz - Target (Official Video)
4:10
Fido Vato
Рет қаралды 178 М.
Young Lunya - Freestyle Session 6
6:30
Young Lunya
Рет қаралды 268 М.
Ернар Айдар - Шүкір
3:40
Ernar Aidar
Рет қаралды 463 М.
Diana Ismail - Kezdeser (Official Music Video)
4:01
Diana Ismail
Рет қаралды 837 М.
Sadraddin & IL’HAN - Aman bolşy suigenim | Official Visualizer
3:09
Body
2:38
Asik - Topic
Рет қаралды 309 М.
Artur - Erekshesyn (mood video)
2:16
Artur Davletyarov
Рет қаралды 202 М.
Қайдағы махаббат
3:13
Adil - Topic
Рет қаралды 152 М.