MREMBO APIGWA VIJEMBE NA MR RIGHT KISA KUJICHUBUA | ANA RANGI MBILI | HANA SHEPU - S05E08

  Рет қаралды 60,014

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 136
@florencejames-jo1cz
@florencejames-jo1cz 15 күн бұрын
Hawa wote nimalaya hakuna mwanamke wakujenga maisha hapo wakusanya code wote waondoke wanatafta mtu mwenye pesa 😂😂😂😂
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 7 күн бұрын
Sana
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 15 сағат бұрын
Hahahahahahhaa
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 15 күн бұрын
frola unavofoka na hilo wigi😂😂😂 ungepunguza makasiriko 😢
@YakoboIsackiMgata
@YakoboIsackiMgata 10 күн бұрын
Afu wadada mnakela pesa kitu ngan babu zetu bibi zetu alikuwa anaagalia pesa walizitafuta wakiwa hote namipango piya shida sisi wanaume tunapitia changa moto nyingi sana kutafuta pesa ikitokea pesa Sina unaniacha kisa nilisema kipato kipo kuwen makin😊😊 26:43 . mtakaa kwenye mabox mbaka muwe langi mbili 😮😮😮😮 mnakela sana mmekuja kufanya nn apo maisha kusahidiana .Domana wanaume tunawahi kufa
@leilatmussa6533
@leilatmussa6533 17 күн бұрын
Hatari Mr right 🔥🔥
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og 14 күн бұрын
Nenda mwanangu katafute mtaani utampata mke tena mzuri sana kushinda hao usijepata shida bure
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 16 күн бұрын
Ivi videmu vishamba nn ivi. Kaka yupo vizur sn uyu
@MERYGLORYDANIEL
@MERYGLORYDANIEL 4 күн бұрын
Mwiraq mwenzang 🎉🎉
@ElizabethMchomvu-s2d
@ElizabethMchomvu-s2d 3 күн бұрын
Ivi kwanini watu wanao jichubuwa wanakataaga kuwa wanajichubuwa😅😅😅😅😅 huyo siana misugu hio unaonekana
@oatriciahkiio5148
@oatriciahkiio5148 15 сағат бұрын
Dio hapo sasa
@oatriciahkiio5148
@oatriciahkiio5148 15 сағат бұрын
Dio hapo sasa
@oatriciahkiio5148
@oatriciahkiio5148 15 сағат бұрын
Dio hapo sasa 😂😂😂
@Yusra-mi7mm
@Yusra-mi7mm Күн бұрын
Njoo. Kwangu kijana mrefu mweusi tuishi achana na waho 😢
@ClaudiaJoseph-t6e
@ClaudiaJoseph-t6e 2 күн бұрын
Mwiraq mwenzangu 🎉🎉🎉🎉 twende nyumbn bhna watt wazuri wako kibao
@NasmaMruma
@NasmaMruma 14 күн бұрын
🤣🤣🤣ni kweli bn mamodel wanapenda mselelekooo 😂😂😂😂
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w 14 күн бұрын
Flora uyo kaka wa watu utambemenda huoni umezeeka 😂
@aminakipande5645
@aminakipande5645 7 күн бұрын
Usiseme hivyo 😂😂
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 15 сағат бұрын
Kaaaa
@CarloloneEddson
@CarloloneEddson 15 күн бұрын
Kiufupi me uyo Mr lite nimempenda❤😂
@KautharSaleh-y8q
@KautharSaleh-y8q 7 күн бұрын
Sio mr lite ni mr right
@Perpetuarealyperpetua
@Perpetuarealyperpetua 5 күн бұрын
@@KautharSaleh-y8q 😂😂😂😂 Ila wew
@RoseGeofrey
@RoseGeofrey 5 күн бұрын
ni mr right sio lite 😅
@KautharSaleh-y8q
@KautharSaleh-y8q 5 күн бұрын
@@Perpetuarealyperpetua kakosea inabd aambiwe
@AbiGail-c6v
@AbiGail-c6v 4 күн бұрын
@@CarloloneEddson 🤣🤣
@HaznaAbdallah
@HaznaAbdallah 11 күн бұрын
Wengi wao hawapo ktik kutafuta weza wa kujenga nao maisha wapo kuangalia mwanaume mwenye pesa nying
@stellahmsigwa6493
@stellahmsigwa6493 15 күн бұрын
Zarish Hana mvuto kwanza😂😂
@WinfridaZakayo-mj7co
@WinfridaZakayo-mj7co 20 сағат бұрын
Naomba namba ya huyu kaka😊❤
@philipoaweAwe
@philipoaweAwe 6 күн бұрын
Garab Leo nakupa big up bro
@chilovebeb4579
@chilovebeb4579 14 күн бұрын
kwan eliza alirudi😆🤣🤣
@ellyanthony704
@ellyanthony704 7 күн бұрын
Wazee taften madem wakali bhna mademu wanaokuja hapo wabovu sanaa saaaaaan
@foyberichard1435
@foyberichard1435 3 күн бұрын
Peleka dada zako au na wao wabaya😂😂
@MeryNyabo
@MeryNyabo 3 күн бұрын
Huyo dem wa red anakataa handsome boy na vile anatembea kaa mbata
@manirahassn1153
@manirahassn1153 7 сағат бұрын
@@MeryNyabo kwani n uyo n hb ety lkn tu ao wanawak hawajitmbui
@SeremanGogo-ey5gb
@SeremanGogo-ey5gb Күн бұрын
Jamani apo mm naona wana sapoti dhinaa kwasababu hapa hakuna ndoa wala hakuna mwenye kutangaza ndoa
@WaynedullaDulla
@WaynedullaDulla 17 күн бұрын
Lulu lazima amkonyeze Aaliyah about Golden girl😂
@AzaSultan-j8d
@AzaSultan-j8d 15 күн бұрын
Hao warembo wanaboa
@PeterNgollo-lb5iz
@PeterNgollo-lb5iz Күн бұрын
❤❤
@MossiSharmallamossi
@MossiSharmallamossi 13 күн бұрын
Wow❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
@ZaituniNyanje
@ZaituniNyanje 11 күн бұрын
Rangi mbili oyeeeee🤣🤣🤣🤣
@chilovebeb4579
@chilovebeb4579 14 күн бұрын
ila ameaibika zarish rangi mbik😆😆😆😆😆🤣🤣😂🤭
@NeemaMushi-y1c
@NeemaMushi-y1c Күн бұрын
Jamani hii ikifika mwakani mngeweka na walioko majumbani waweze kukupata Mt. Right jaman
@leahjohn4734
@leahjohn4734 17 күн бұрын
Mbona mna upload nying za misim ya zmn
@fetyshaban
@fetyshaban 2 күн бұрын
kifupi mr right siwezi ishi bila wewe😊
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 13 күн бұрын
😂😂😂 Arusha wanakaa wambulu 😂😂 ifike mahali wamasai na waarusha watutoee baru😂😂😂
@RoseGeofrey
@RoseGeofrey 5 күн бұрын
ndio wapo karatu na arusha mjini kwani dar au mkoa wowote hakuna mchanganyiko wa makabila🙄
@ثامركعبي-ي1ق
@ثامركعبي-ي1ق 5 күн бұрын
😂😂😂😂 wote nimalaya awawanawake
@ElinahMligo
@ElinahMligo 11 күн бұрын
Hapo Kwanza nicheke rangi mbili kifua uwii
@AhadiMkuyu-jo1rt
@AhadiMkuyu-jo1rt 16 күн бұрын
Hapo angekuwa na kaz ya mana wote hapo wangewasha TAA,Akili yao wote ipo kwenye pesa Wala co kwenda kujenga miji yao
@MerianiMrwanda
@MerianiMrwanda 15 күн бұрын
Yanapenda kudanganywa hayo
@PeterNgollo-lb5iz
@PeterNgollo-lb5iz Күн бұрын
😂😂😂😂
@NoorSaid-x2q
@NoorSaid-x2q 15 күн бұрын
Mtakesha hapo kusima mnachagua sana
@janerachel1622
@janerachel1622 14 күн бұрын
Flora unauzuri gani
@AsiaHassan-w4w
@AsiaHassan-w4w 13 күн бұрын
Mimi siwapendi hair wadada wanajishauwa mnoo
@SaraJames-b2q
@SaraJames-b2q 16 күн бұрын
Huyo elizaaaa ni kiski kwer m na hatokiiii
@Hawajuma-y2n
@Hawajuma-y2n 16 күн бұрын
Hizi nizamda mrefu wamepost tu sio za msimu huu
@djanfarmoulay6865
@djanfarmoulay6865 15 күн бұрын
Nauza mafuwa kwa bei nafuu 😢tena ni yale makalii 😢😢
@nismaali2982
@nismaali2982 12 күн бұрын
Yani mimi hata angekuwa ana miaka 12 kwa kuwa nimempenda ningepita nae😂😂😂😂
@CynthiaMoraa-n5b
@CynthiaMoraa-n5b Күн бұрын
Na midomo waache
@BarakaLekasy
@BarakaLekasy 15 күн бұрын
Alafu nao hao warembo wawe wanasema nao wanaingiza shi ngapi
@norregaraper5383
@norregaraper5383 3 күн бұрын
Hivi hii kitu uongoooo
@RebeccaMboya-g2q
@RebeccaMboya-g2q 4 күн бұрын
Sasa mwanaume unamika 24 umeenda kujidhalilisha kweli,nenda katafute pesa jamani
@NasraAlly-o6d
@NasraAlly-o6d 13 күн бұрын
Mmmh jaman uruma lakin
@Hapygideon
@Hapygideon 17 күн бұрын
Hii mbona ya kitambo
@nismaali2982
@nismaali2982 12 күн бұрын
Sio kila anayesema ana pesa n biashara ukuzani ni kweli wengine wanatafuta umarufu n sio kila anayesema hana pesa sio kweli ni harakati za kutafuta mtu mwenye mapenzi y kweli😂😂😂😂😂😂
@UmyAbriya-wt4vb
@UmyAbriya-wt4vb 15 күн бұрын
Jamani mm na uliza hapo haparusiwi kuvya chochote kichwani
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 6 күн бұрын
mr right namba 3 siwezi kuishi bila wewe😢😢
@AthumaniAlly-m1k
@AthumaniAlly-m1k 7 күн бұрын
Jamani huyo Dada namtaka mimi hapa Kuna kifua kama ukuta w gereza
@ElifAthanas-or1dt
@ElifAthanas-or1dt 14 күн бұрын
Dr kumbuka wapi
@AcasiusMukandara
@AcasiusMukandara Күн бұрын
Watangazaji waki biased kwa Mr. Right
@kelvindendya3781
@kelvindendya3781 14 күн бұрын
Huyo pascali alieuliza kipato sura ya baba 😂 bora gara umelipuuzia hilo swali
@HusnaX-u6q
@HusnaX-u6q 7 күн бұрын
Mnielekeze niende mm jaman 😂😂
@PascalLehao
@PascalLehao 14 күн бұрын
Udog so shida sema wanawake hajieliwii kabsaa
@LucknessPeter
@LucknessPeter 3 күн бұрын
mimi npo upande wa mr right
@ChazJulias
@ChazJulias 13 күн бұрын
wakaka mwanamke anaishi dar hana kazi njoo usiku mwananyamala utamkuta
@CralenceWilix
@CralenceWilix 12 күн бұрын
Mbna madem wenyewe kama madanga hv afu wabovu sio poa
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 7 күн бұрын
Nashangaa😅
@sabrinakassimu
@sabrinakassimu 18 күн бұрын
jamn na Mimi nataka kuja😅
@AmayraDraysonsaimon
@AmayraDraysonsaimon 17 күн бұрын
@@sabrinakassimu twende😂😂😂✋✋
@sabrinakassimu
@sabrinakassimu 17 күн бұрын
@AmayraDraysonsaimon aya twende
@Immamk__44
@Immamk__44 16 күн бұрын
Before muende naombeni kwanza mniangalie mim huenda nikawa Mr Right kwa mmoja wenu😅
@RayChausa-g6m
@RayChausa-g6m 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂🎉😂​@@Immamk__44
@Stephensokone
@Stephensokone 15 күн бұрын
natamani kwenda ila sijui naanzia wapi
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 15 күн бұрын
mr right kauwaaaaa😂😂😂😂😂😂
@Awlo-g6d
@Awlo-g6d 15 күн бұрын
Mseleleko😅😅😅
@BintjumaMwachongoa
@BintjumaMwachongoa 3 күн бұрын
Sasa kama mtu anajichibua sn yeye kama umpendi muachee coz umnunulii ww mkorogo
@UmyAbriya-wt4vb
@UmyAbriya-wt4vb 15 күн бұрын
Hana kifuwa engekuwa nacho pia ungesema pia ana kifuwawa
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p 11 күн бұрын
Siku hizi visichana vinamiaka 23 vinawatoto watatu jamani wakaka kuweni makini wadada sasahivi wanapenda pesatu mara wanataka Gali na kuvaa vizur
@RahmaRashy
@RahmaRashy 17 күн бұрын
Jaman hiz tulishaziona
@AthumaniAlly-m1k
@AthumaniAlly-m1k 7 күн бұрын
Lulu diva nkusalimia jirani yako kwaminchi n mimi nataka Kuja hapo
@StevLwango
@StevLwango 8 күн бұрын
Warembo wasipo changua hapoo waend wakalime sasa wanatak wanaume gani saaa
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 15 күн бұрын
diva kapendeza na suti yake
@Shamila-u2008
@Shamila-u2008 15 күн бұрын
Uyu hey mwenyewe sasa mmh
@TinsiaBruno
@TinsiaBruno 17 күн бұрын
Jmn naomben kuuliza hiv lulu alishapataj mr light simuonag tn
@MaryWilliam-d9l
@MaryWilliam-d9l 4 күн бұрын
Mr right
@JescaAloyce-l6x
@JescaAloyce-l6x 9 күн бұрын
Nimeumia jaman
@chriskalega4348
@chriskalega4348 5 күн бұрын
Ila mambo mengine bhna nimegundua wanawake wengi wanaoenda wanaume wanao fanya kazi za kawaida ila siyo kazi za kujitangaza
@IBRAHIMEMMANUEL-i2i
@IBRAHIMEMMANUEL-i2i 16 күн бұрын
Dawa yawo hao nikuwaongopea tuu maana wote hapo wanaonekana tamaa zao kubwa nikupata wanaume wenye hela
@NshimireWilermine
@NshimireWilermine 15 күн бұрын
Kabisaa amna alie serious 😊
@athumaniamani9905
@athumaniamani9905 9 күн бұрын
Huyu mina kenge sana alafu mwaka juzi, mwaka Jana mpk mwaka huu Bdo yupo mmmmh
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 15 күн бұрын
niko upande wa mr right yupo juuukaka nstaaarabu tyuu ila wadada hawa mggg 😢😢
@KodessAnnah-y2f
@KodessAnnah-y2f 4 күн бұрын
wanapaswa wajifunze kwanz mapenz sio pesa ni moyo wa mtu
@ElnathanManya
@ElnathanManya 10 күн бұрын
Just for a piece of advice why can't the ladies give out their profiles so that Mr right to have a choice to someone who is well known to him?
@SashaSalum-dl6ni
@SashaSalum-dl6ni 17 күн бұрын
kama hmn mpya fungen Mr right .tuanglie Bss .mna hkuna mpya hpa
@FaizaliRaimu
@FaizaliRaimu 6 күн бұрын
Akuna wana wake apo wana taka pesa tu
@jumakibo6150
@jumakibo6150 14 күн бұрын
Frola mbona kama age go hivi au sababu kana makasiliko
@SomoeMohamed-ie1dk
@SomoeMohamed-ie1dk 15 күн бұрын
Season 6 na dr kumbaka imepotea wapi? Wanarudia season 5
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og 14 күн бұрын
Hakuna muolewaji hapo hao wanatafuta pesa tuu
@GodfreyKarino
@GodfreyKarino 18 күн бұрын
Zarishi ni mshamba mno
@NyadzuaMrembo
@NyadzuaMrembo 15 күн бұрын
Wasichana wanamaringo San na hawana lolote😮
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 15 күн бұрын
Sura zao zenyewe mbaya
@ZainaSaidi-s2v
@ZainaSaidi-s2v 3 күн бұрын
Bola ata aje kwangu
@HappyNkya-n8j
@HappyNkya-n8j 5 күн бұрын
Hawa wadada hawanaaga hata sababu za msingi ujinga mtupu Bado wanataka wakae kwenye kamera hapo
@AhadiMkuyu-jo1rt
@AhadiMkuyu-jo1rt 16 күн бұрын
Mh,hapo ndopakutafuta mke kwel huyo Frola kiujumla hao wadada wote Wana angalia hela lkn co kuolew na kwenda kutafuta ote maisha na mwanaume,
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 16 күн бұрын
Sf sn mbona yy kamwambia ana kifuwa kijitu mbona ajakasirika
@MosesWilliam-oh8tt
@MosesWilliam-oh8tt 14 күн бұрын
Hili huwa ni igizo yaan ni kipindi hakuna mwanamke wa kukutana naye tu gafla mkaanzisha familia
@MamaBabu-c8e
@MamaBabu-c8e 13 күн бұрын
Hakuna wakuoa apo wanajiuza
@rehemashinsi
@rehemashinsi 17 күн бұрын
hawa wadada hawajielewi mbuzi wote Kuna mtu kajiumba hapa duniani
@FabbiNakei
@FabbiNakei 14 күн бұрын
Iv hicho kipindi kuhudhuria ni garama gani na ni wapi nataka kujua na mm nishiriki
@DesderiusPeter-ld7mm
@DesderiusPeter-ld7mm 14 күн бұрын
Huyo zalysh alivyo kuwa mbay
@fetyshaban
@fetyshaban 2 күн бұрын
anavojishaua sasa😂😂😂
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 13 күн бұрын
Mimi siku nikija hapo wote watawasha taa hadi wa wanao jaji watasimama
@Kutaila99
@Kutaila99 13 күн бұрын
Kisa nywele au hz ndevu ulizo nazo😂
@catherinedavidy1128
@catherinedavidy1128 6 күн бұрын
😂😂
@AhadiMkuyu-jo1rt
@AhadiMkuyu-jo1rt 16 күн бұрын
Rose anauliza kipato cha jamaa,ndouone wanacho taka kujuw ni pesa nawala co kuolew,ndomana munaishia kudanga tu kila mtoto na BABA yake
@Berthacosmas-r3h
@Berthacosmas-r3h 14 күн бұрын
hakuna muolewewaj hapo wemekuja kutafuta wanaumee wenyehera tu
@NzoyisengaHadjara-d9u
@NzoyisengaHadjara-d9u 15 күн бұрын
Flora anasema kwel Modèles wanapenda kupewa n'a mwanamke 😭😭
@JanethMbaga-q6l
@JanethMbaga-q6l 6 күн бұрын
Kwani mwisho umri gani kufika hapo
@mwanaidramadhan-j2j
@mwanaidramadhan-j2j 14 күн бұрын
Hahahahaha. Jaman
Ful Video ☝🏻☝🏻☝🏻
1:01
Arkeolog
Рет қаралды 14 МЛН
Хаги Ваги говорит разными голосами
0:22
Фани Хани
Рет қаралды 2,2 МЛН
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
BSS 2023 SN 14   EPISODE 03 MBEYA
1:10:09
BongoStarSearch
Рет қаралды 127 М.
MAKONDA NA POLISI ALIYEMPIGA BIBI NYUMBA ARUSHA KWA LAK 5
12:16
CHAMPION TV
Рет қаралды 235 М.
UNAYAJUA MAHABAT WEWE! ONA HAPA SASA.
10:00
Hello Mr Right Tanzania
Рет қаралды 440 М.
Ful Video ☝🏻☝🏻☝🏻
1:01
Arkeolog
Рет қаралды 14 МЛН