STEVE NYERERE AMCHANA VIBAYA MWANA FA HUNA AKILI NAKUPA MASAA 48 UOMBE RADHI SIJIUZULU HUFANYI KITU
Пікірлер: 32
@elisanteshayo38822 жыл бұрын
Nipo nchini marekani kiustaarabu Steve hana elimu ya kutosha ameishia firm 11 muziki kwasasa upo ktk technology ya hali ya juu mauzinde mengi ktk platform yanahitaji msemaji na mtu anayelewa jinsi muziki unavyouzwa kiufupi mnachezea maisha ya watu muziki ni kazi na unatoa ajira kubwa duniani msifanye Mzaha na maisha ya watu
Shuzi limepata mjambaji hivi uyu jamaa anavyopenda uongozi mnafikili ataiachia iyo nafasi kirahisi !kwenye kila kitu elimu ina umhim wake !hivi leo Steve unaalikwa shirikisho la Sanaa kimataifa alafu umepewa nafasi ya kuongea hivi utaongea lugha gani watu wakakuelewa !kitu hujuwi ulitakiwa kuwa kiongozi kwenye nchi hii mda mrefu tu ila Elimu yako ndio inayokuangusha !kweli una passion ya uongozi lakini vigezo huna ndugu yangu
@fababindawood83632 жыл бұрын
Msemaji wa wanamziki tz ndo ashasema 🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@barakamushi45302 жыл бұрын
Sio mtu mmoja wapo wengi awakutaki uo ni ulevi wa madaraka
@paullwangili22352 жыл бұрын
Umeongea fact Steve.......akili ndo imetumika hapo....wakuache ufanye kazi
@deograsmbilinyi12142 жыл бұрын
Kikwapa kimeloana😂😂😂
@josephswai23742 жыл бұрын
Mzk na ww wapiii wapiii wakupangee kwenye kamat ya mazishii tuu
@angiringalyimo3652 жыл бұрын
yaani uccm umeingia mpk kwenye muziki!!
@officialmadoshi58242 жыл бұрын
😂😂Tz bhna
@Paplick92 жыл бұрын
Pumba unabishana na watu ambao hawataku uwasemee
@barakamushi45302 жыл бұрын
Una weledi na hii kazi pumba tuu hii sio komedi
@bimumaulid11712 жыл бұрын
shati la blue km hakuelewi au usingizi na kiyoyozi
@zaitunijuma51632 жыл бұрын
Kwani walikuwa anaishi bila mirabaha
@worldhappiness11812 жыл бұрын
Ahahaa, bongoo banaa, uzur tu malumbano yetu huwa hayanaga uduwanzi wa kuwindana na risasi, tunatumia mdomo tu, then kitaani tunapiga stori kama kawaida tu
@elisanteshayo38822 жыл бұрын
Kiustaarabu mnafanya masihara na maisha ya watu hapo elimu ujuzi pmj unafahamu uliojaa weledi ktk uuzaji muziki ktk platform umakini uwepo uchama usiwepo ki Jana hawezi kumudu kwa elimu yake ya form 11
@deograsmbilinyi12142 жыл бұрын
Naona kaandikiwa anasoma tu hapo, Hana lolote
@marumbamgeni47962 жыл бұрын
Lakini FA kumuita kiongozi wake rasta .sio heshima na wala sio utamaduni wetu
@alexmwita54262 жыл бұрын
Maisha ni kung'anga'nia
@wilsonsanga47822 жыл бұрын
Kuna watu wanamponda huyo jamaa wanasema Ana ueledi mpe nafasi mtu afanye kazi acheni maneno teve baba chapa kazi
@zachzakaria18722 жыл бұрын
😳😳😳
@nakundwamkubwe78232 жыл бұрын
Kwani iyo PUA imekufanyaje jamani 🙄😀😄 ?
@mrh28122 жыл бұрын
Pua pua
@mbukumagiubukumagu4062 жыл бұрын
Hajashinda kapewa tu mchane tu huyo mshukaji
@kiatu2 жыл бұрын
Hii press inaonyesha jinsi huyu jamaa asivyo na ueledi wa hiyo kazi aliyopewa
@iddymtambo71862 жыл бұрын
Brother hakuna kazi isiyo na vita lakini hii ni mapema sana kukupiga mawe