Safi sana nimependa mpira siyo uadui, kila kheri Haji katika maisha yako mpya
@christophermganga52163 жыл бұрын
Mwenyezi mungu awatangulie ktk maisha mapya
@venitarugemalila39713 жыл бұрын
Kweli nami nimesubili JB kutakuwa ,penda sana bro JB
@anastaziasebastian41133 жыл бұрын
Hongera sana mungu awatangulie
@msingida333 жыл бұрын
hongereni sana manara na mwenza wako mungu awape maisha ya upendo na furaha
@aminamohamed39163 жыл бұрын
Salàm alekum mabru alfu mabruk haji na Bibi harusi
@salomewandya72573 жыл бұрын
Nice Steve
@azzamahamdu70393 жыл бұрын
Yan Steve 🤣🤣🤣🤣mona kacheka mpkaa.ila mama haji kapendeza mashalaah
@tanzaniaoman64233 жыл бұрын
Mungu awabariki sana wanakamati
@saumusalimuhassan24993 жыл бұрын
Mashallah, watu wamefurah.
@evamariadaudi50383 жыл бұрын
Ha ha ha Steve nyerere jaman nimecheka walai ! Hongereni sana !
@philiporobert90473 жыл бұрын
Nakuelewa xana kaka siteve
@abasmwika34323 жыл бұрын
Kiukweli huyu Steve simuelewagi.msema kweli mpenzi wa Mungu
@POPISO3 жыл бұрын
Yusufu
@publicrelations46003 жыл бұрын
Steve like Kikwete alafu unataka uwe mwanasiasa, hiyo haiwezekani kuwa stivu kama stivu
@hindisaidi50973 жыл бұрын
Isije kua milioni 10 za kisanii
@TM.Sullusi3 жыл бұрын
Kama ni ya kamati itakua ni kweli, maana sio ya steve binafsi
@aminaawazi80683 жыл бұрын
Raha sana aki inapendeza mno
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Ni kwel Amina kila mtu anasema raha
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Mke mzur
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Katika wanakamati Kuna mdada mzur Sana
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Wamependeza saba wote na mkewe mzur
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Hadi mboni yupo Nilimuonaga live tuliendaga kichuo Mbon top shoo
@hushbtz33103 жыл бұрын
Gusa link kzbin.info/www/bejne/inKqpGiifJJ9sMk Kumsikia mpizani wa nyereree
@elizabethkisogole343 жыл бұрын
Nimemuelewa steave pia amewakilisha Sana'a yake
@johombu93023 жыл бұрын
😂😂😂😂😂❤
@mosesevarsta25783 жыл бұрын
Kulavit2manala
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Kumbe hadi Johar alikuwepo
@AishaBakari-qc5toАй бұрын
😅😅😅nimecheka
@NR-ll4sr3 жыл бұрын
😍😍😍😍
@abdallahkawambwa90413 жыл бұрын
Duu hivi harus ya haji niyakiislam au
@maulidharunamaulid70763 жыл бұрын
Ndiyo mpendwa
@husnasadick53473 жыл бұрын
Hey
@seefeldeen7973 жыл бұрын
(( Coronavirus na kutangaza muujiza wa uponyaji bila chanjo wala dawa .. Imam Mahdi Nasser Mohammad Al-Yemeni. 09 - 12 - 2020 )) 👇👇 www.mahdialumma.com/showthread.php?p=340456