Mungu akatubariki na kufungua milango ya baraka kupitia wimbo huu🙏🏻
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen Sana Mungu Azidi Kukubariki
@ZawadielHeriel13 күн бұрын
Hongera sana..wimbo ni mzuri mno
@gracemaru6488Ай бұрын
This song is my Testimony Halleluiah
@ClemenceNdalimo2 ай бұрын
Kweli wakati wa mungu ni wakati sahihi 🙏🙏
@selinandobii324Ай бұрын
Hongereni sana watumishi Mungu awabariki
@MariamiddySwalehe2 ай бұрын
Kazi nzuri Sana unefanyika baraka kwangu
@lucasshangali55272 ай бұрын
Huu wimbo hakika unanibariki sana
@rahabusanga15592 ай бұрын
Katika njaa nitajilaza kiganjani...im blessed na huu wimbo
@AUGENSYLIVAND-rq7hz3 ай бұрын
Mungu awasaidie 🙏🙏🙏 mzidi kutuinjirisha kupitia nyimbo
@doctorluckytz3 ай бұрын
Kaka Mungu Akuinue zaidi aiseeeeeeeeeee Mungu anakutumia sana Mkuu🔥🔥🔥🔥🔥
@stewartmwakasege3 ай бұрын
🎉🎉Asante Sanna Doctor Lucky Barikiwa Sanaa Ndugu Yangu...
@gloryjoseph28752 ай бұрын
It's amazingly song be blessed indeed man of God
@Officialyoungboy2Ай бұрын
Nabiii mkuu nakubalii brother
@AminaAhmed-hl8bd3 ай бұрын
uliwanyeshea mvua nikapigwa na jua ulijua sababu❤️ Baba ni wewe....
@mastaplan833 ай бұрын
Hii moto sana making so much sense.keep.winning boss
@hagachitv22213 ай бұрын
Nyimbo ya kubalikiwa .... Tupo pamoja👍👍
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sana mwana wa Mungu
@jamesezzy49763 ай бұрын
MC SANA kafurahi kaka sanaaaaaaa HIZI ndio class zako mkuu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Mungu akuzidishe mawe juu ya mawe tu
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Aisee kaka Nashukuru sana Mtu wa Mungu
@ruthwilfred-p1d3 ай бұрын
Mungu aendelee kuwatimia kwa ajili ya utukufi wake
@amilmwamlima22973 ай бұрын
Hongera kijana naona hupoi .MUNGU AENDELEE KUKUTIA NGUVU
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sanaaa
@JelemiaMhagama2 ай бұрын
Ubarikiwee nyimbo zako zinanibarikii Sana mungu azidii kukuinua zaidi
@sylviakissamunyole7642 ай бұрын
Baba ni wewe🙏🙏🙏🇺🇬
@Angel_tz3 ай бұрын
GOD Blessed U Let's Goooooo🔥🔥🔥
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen
@JoshuaEsrom3 ай бұрын
Barikiwa saana mtumishi
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sanaa
@MINISTERGLORY-Tanzania3 ай бұрын
Wimbo uliobeba ushuhuda katika maisha yangu nimestawi kupitia wimbo huu🎉🎉🎉
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sana Glory
@asedhappen3 ай бұрын
Wimbo mzuri sana, Mungu akubariki mr Stewart na mr Obby
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen Sanaaa🎉🎉
@AishaJuma-n1g3 ай бұрын
Hongera sana kaka angu 👏👏
@shanicechemariech37743 ай бұрын
Congrats bro , its so touching🙏🥰 I love it🇰🇪🇰🇪. Keep going🙏
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sanaa Barikiwa mno...Dada
@emanuelhancy6193 ай бұрын
Kutoka kwa Pacha angu kabisa this song 🙌🙌🙌🙌
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Aisee pacha Barikiwa sana Sanaa
@Minzatz3 ай бұрын
Finally God said YES keep going nime watch more than 3times🎉
@stewartmwakasege3 ай бұрын
🎉🎉Ameen Sanaaaa
@frankjuma21923 ай бұрын
AMEN
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sanaaa
@michaelfanson73 ай бұрын
Mungu akubarikini sana wimbo umetia moyo sana
@stewartmwakasege3 ай бұрын
🎉🎉ameen Mno
@michaelfanson73 ай бұрын
@@stewartmwakasege Mungu akutunze ili utukufu wake ujidhihirshe zaid maana umekuwa mtu wa thamani sana na baraka kwa watu
@asminepeter1163 ай бұрын
Good collabo brothers 😘
@duncanmulu24503 ай бұрын
Ngoma kali sanaaa kakanguuu🇰🇪🇰🇪💥💥💥💥🔥🔥
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sanaa Dunco
@FrediBenard3 ай бұрын
Wimbo mkali kweli …keep going Mwakasege 💪🏼💪🏼💪🏼
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Mtumishi Barikiwa sana sanaa na Mungu
@Othnie-1j3 ай бұрын
Big up sana broo,,my boss
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sanaaa
@mwl.ombimahenge67823 ай бұрын
Mtumishi Ubarikiwe mnoo. Na uzidi kuinuka viwango vya juu sana. Namkumbuka mbali sana toka enzi za sambamba na Yesu , Hakika Ni Wewe Baba
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Mtumishi hakika ni MAOMBI Yenu Mungu azidi kutupigania
@FestoYona-f7u17 күн бұрын
Good song
@princessnandy24723 ай бұрын
Mungu ni wetu sote akika kupitia huu Wimbo Mungu afunge milango ya mafanikio yetu...congrats brothers ❤❤....Go go go kaka zangu🎉🎉
@stewartmwakasege3 ай бұрын
AMEEEN SANA Nashukuru Mtumishi
@MadamLucy-c4x3 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU 🔥🔥🖐️ wimbo mzurr uinuliwe na MUNGU zaidi
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen Sana
@NicholausMziray3 ай бұрын
Hongera sana Mtumishi wa Mungu Umepiga Hatua kubwa sana
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Wooow Asante Mno
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
#Tuondoke🔥✈️✈️
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Mdogo wangu 🎉🎉
@daudkweka2403 ай бұрын
BLESSED family 🎉
@ednamchalo20243 ай бұрын
Hongera sana mtumishi wimbo mkali sana tena umemshirikisha alpha umekuwa mkali zaid Mungu awabariki sana.Ameen
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sana mwana wa Mungu
@CarolinaMaina-hh9eb3 ай бұрын
Amen Barikiwa sana
@stewartmwakasege3 ай бұрын
🎉🎉Ameen sana Caro
@EddyEdyuseEddyOneTv3 ай бұрын
Mmetisha sana wabarikiwa
@paulkaranja30992 ай бұрын
Ndani
@piuswilson25023 ай бұрын
Let's GOOOOOOOO
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Bro Thanks
@amazinglife_brand65133 ай бұрын
Good song 💯
@ezraernsti19253 ай бұрын
Kazi nzuri saka mkuu hongereni sana vija wa Yesu
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Kakaaaaa asante sanaaa snaaaa
@leoncehaonga97453 ай бұрын
Anthem
@mgandikadesire3 ай бұрын
Obby Alpha kauwa hapa sana big up sana mkubwa wangu🎉🎉🎉🎉🎉❤
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sana mgandika
@augustinoyangaza77773 ай бұрын
Amen mtumishi
@stewartmwakasege3 ай бұрын
🎉🎉Ameen sanaaa
@alexmwakikambako47433 ай бұрын
Onger sana kaz nzri sana mungu akubariki sana kaka
@stafordbughali75353 ай бұрын
Time of blessings
@peterdizaina13 ай бұрын
Baba babaaaaa baaaaabaaaa huu mkwaju kutoka heaven....hongera sana sanaaa
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen kaka Chikitibunha
@Sikazweson3 ай бұрын
🥰🥰niwewe pekee MUNGU
@FLAVIANGATUNGA3 ай бұрын
Hakika Mungu atukuzwe kupitia huu wimbo😊
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen Sana Mtumishi
@rehemamatembo3 ай бұрын
Hongera sana kaka angu
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen Mno Mtumishi
@arthurgidion3 ай бұрын
Kazi nzuri
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sanaa
@asteriajohn47553 ай бұрын
.... IT'S YOU LORD🙌
@stewartmwakasege3 ай бұрын
🎉🎉sure
@stewartmwakasege3 ай бұрын
True 🎉
@DictionJimmy2 ай бұрын
Good songs
@rosemarycharles73753 ай бұрын
Mungu pekee ndo Mwaminifu 🙌
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen Sanaaaa..
@Minzatz3 ай бұрын
Stewart Mwakasege🎉Obby Alpha🎉 namuona na Jessica Gazuko hongeren kaz nzuri
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sana Mtumishi
@sharonngusa46823 ай бұрын
Nice
@MasatuNdalo3 ай бұрын
Keep it up my brother.....MUNGU HANA CHOYO TUISHI KWA MATUMAINI❤🎉
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Kaka asante Mnoooo
@johnbaraza15393 ай бұрын
Mzee wa 442 hatua hii nikubwa Sana. Mungu akupe mafuta na kibali zaidi
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Kakaaaaa Baraza asante sana Kakkakaaa
@johnbaraza15393 ай бұрын
@@stewartmwakasege Pamoja Sana Mtumishi
@MahaSaeed-hf3gs3 ай бұрын
Godbless you
@BenyDaniel3 ай бұрын
Amen amen watumishi
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sana
@elizabethahimidiwe33873 ай бұрын
Mungu azidi kuibariki kazi yako na kukutia nguvu na afya njema🙏
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sanaa sanaa Mtumishi
@JOYCEPAUL-h2l3 ай бұрын
Kazi nzuri mtumish mungu akubariki👏👏
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Asante sana Mtumishi
@Billpaul-u5x3 ай бұрын
kazi nzuri hakika mung awabarik
@rosekandonga60233 ай бұрын
Ume nigusa sna yan
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen
@mashramadhani198928 күн бұрын
KAZI NZURI SANA NA KAMA UNASIKIO LA MUZIKI BASI UTAGUNDUA WAIMBAJI WANA MELODIES NZURI SANA PIA VOCAL BALANCE WAKO VIZURI.NA WAPIGAJI WAMEUA SANA.
@elishageorge4923 ай бұрын
Hongereni Sana ❤
@fidelismichaelmichaelmpond33873 ай бұрын
Hongera sana matumishi Stewart kwa KAZI njema
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sana mponda
@MWEMBAMBAWAYESU3 ай бұрын
Ayayayayayaya ufundi kama wote 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen Mtumishi
@okitalanta56653 ай бұрын
moto ni mkali sana huu big sana mwanamuziki🙌🙌🙌
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sanaaa
@isakwisambyale55143 ай бұрын
Good Message
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sanaa
@christiankimaro44713 ай бұрын
Hongera mtumishi
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sana Sanaa mwana wa Mungu
@msifuanyingisye15103 ай бұрын
Mungu aendelee kukutumia kaka
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sana sanaa
@OswardMnai3 ай бұрын
Mungu azid kukupa ubora katika kazi yako bro producer ametulia sana katika beat 🙌🙌 good location pongez kubwa kwa aliyewavalisha ameitendea haki rangi za mavazi 👏👏👏
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Amee. Sanaaa Mtumishi Mungu Akubariki
@Rupertofficial255Ай бұрын
Kaka nyimbo nzuri sana ila mbona audio mack naikosaa
@AnnaBogha3 ай бұрын
Hongera sana kaka
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Asante Mno
@tobiasrobert49763 ай бұрын
Utafika mbali ndugu yangu keep the spirits
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Asante sana kaka angu
@RehemaPaul-vn5tz3 ай бұрын
Kupitia wimbo huu Mungu akajibu hitaji la moyo wangu🙏🙏🙏🙏
@stewartmwakasege3 ай бұрын
AMEEN SANA
@stewartmwakasege3 ай бұрын
POKEA Hitaji La moyo Wako
@isayamalima27263 ай бұрын
Mungu akubariki Sana chombo, kazi nzuri Sana.
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sana Isaya
@giftpaul-b2c3 ай бұрын
Good music
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Mkubwaaa🎉
@glody123-x1b3 ай бұрын
God is good all the time 😊
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen
@RamadhaniHamisi-h4i3 ай бұрын
Ni wewe nyimbo ya karne kaka mwakasege
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sana kaka
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen Sana
@sherylchepkorir3 ай бұрын
This song 😊
@kelvinrwehumbiza66493 ай бұрын
Noma sana mkuu
@puttenyanthony92843 ай бұрын
Kazi nzuri sana kaka Mungu azidi kuwatumia apebdavyo mnatubariki sana
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Kaka Putteny asante sanaaa sanaa kaka angu
@MINISTERPOLU3 ай бұрын
❤❤❤❤
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen polu
@frankbacho59313 ай бұрын
Mungu habariki kazi ya mikono yako
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen Mtumishi
@maryemanuel52633 ай бұрын
Hongera sana
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen sana
@abelymwakuna91483 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumish kazi njema sana
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Ameen Mwakuna
@GloryMathay3 ай бұрын
Baba ni wewe wakunifuta😢machozi yangu
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Asante 😢😢
@Risegenzgaming3 ай бұрын
Mbarikiwe sana. Ninabarikiwa sana mkenya mkaazi Afrika kusini. Played more than 10 times🎉