STORY ZA LINEX NA BABA LEVO, KUISHI GETO MOJA, KUUZA STILI WAYA

  Рет қаралды 35,887

Millard Ayo

Millard Ayo

24 күн бұрын

Пікірлер: 55
@PendoMakundi-xv6nh
@PendoMakundi-xv6nh 22 күн бұрын
Yaaanii mm msanii ninae mkubal kuliko wootee na mpaka watoto wangu wanajua no one wangu ni linex ❤ yaaanii nyimbo zake zootee nazpendaaa big up kaka
@silviocimo3948
@silviocimo3948 20 күн бұрын
Jamaa yuko Smart sana, anaongea vizuri nampenda alivio
@simeonmazigo5918
@simeonmazigo5918 21 күн бұрын
Linex unahekma sana Bro🙌🙌🙌
@CarlCare-yl4wi
@CarlCare-yl4wi 21 күн бұрын
Kigoma hatoki fara 🙏💪
@janifajani8875
@janifajani8875 21 күн бұрын
Bora umempa mauwa yake mkiwa hai sio wengine wanaongea mtu akisha kufa❤❤❤
@GeorgeEdward-mu1xg
@GeorgeEdward-mu1xg 22 күн бұрын
Vido anasogeza sana maik asee
@mrfashion1687
@mrfashion1687 21 күн бұрын
Huyu jamaa hatokuja kuimba ngoma kali kama AIFOLA
@athumanimanzabay1894
@athumanimanzabay1894 21 күн бұрын
Baba levo ni friend of benefit to you
@richkaja3317
@richkaja3317 21 күн бұрын
Respect to you my brother usisahau ulipotoka kaka unajua sanaaa
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 22 күн бұрын
Haivutii kuwa msanii bongo afadhali kenye labda ona maisha linex msanii mzuri kazi alizo fanya mbona hamna faida juma naturel,ferooz hadi sasa nyimbo ya ferooz starehe ikitiwa kwenye nyimbo kumi bora kwasasa nauwakika itakuwa n1 lakini maisha yake mna kitu.nawengineo
@ramseychobaliko1002
@ramseychobaliko1002 22 күн бұрын
Swala la mda ndugu Leo huwez kupiga dar mpaka Moro au vavayo kweny club dar mpaka Moro itabamba japo wananunua vavayo😢
@ImmaVoice-sg6bc
@ImmaVoice-sg6bc 21 күн бұрын
Achakuongea pumba wewe maisha ya wasanii unayajua wewe
@contempo_builders
@contempo_builders 21 күн бұрын
Wapi amesema ana maisha magumu?
@habarinamichezo6427
@habarinamichezo6427 20 күн бұрын
Kilichowafelisha ni mipango tafuta interview chid benz alikua anaweka fedha kwenye buti la gari walizipata wakashindwa kuzimeneji.
@ibni_H2TL6r
@ibni_H2TL6r 21 күн бұрын
Linex Na Baba Levo Ni Blood Wana Big Love
@BenMahende
@BenMahende 20 күн бұрын
Linex yupo POA SANA.
@OchoaHomeDecor_
@OchoaHomeDecor_ 22 күн бұрын
Hiyo maik sasa ataila 😂
@killerwizzyofficial2157
@killerwizzyofficial2157 22 күн бұрын
point is true
@wilbertjosephat1615
@wilbertjosephat1615 21 күн бұрын
Amesha kuwa mkongwe tena
@ulicydickson6816
@ulicydickson6816 21 күн бұрын
Wajina huyo namkubali sana aiseee
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 22 күн бұрын
Pombe na bangi havijawahi mwacha mtu salama....wasanii wengi hawako salama ki maisha na ki fikra
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx 21 күн бұрын
Hata mambo ya kichoko choko na mambo ya kikundu kundu na usenge usenge wako havijawahi kawacha wasenge kama wewe salama
@nahumnkwama239
@nahumnkwama239 21 күн бұрын
,This is real love aisee
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 22 күн бұрын
Nyie nao washamba kwani FALA ni tusi?
@danielkenedy4357
@danielkenedy4357 21 күн бұрын
Ndo hapo
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 19 күн бұрын
TATZO ni media hazina uhuru wake kwahyo wanafanya kama kujilinda
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 19 күн бұрын
TATZO ni media hazina uhuru wake kwahyo wanafanya kama kujilinda
@amoury1481
@amoury1481 17 күн бұрын
Kama fala sio tusi Basi Muite Baba yako Hvo Uone 😂
@azimioalbertongellangella8970
@azimioalbertongellangella8970 22 күн бұрын
Chawa la chawa😂
@alonnantala4497
@alonnantala4497 22 күн бұрын
Unàonekana unatumia pombe, kama Nikweli punguza
@user-bu9wj5pi3t
@user-bu9wj5pi3t 22 күн бұрын
😂😂
@Daniel_89_89
@Daniel_89_89 21 күн бұрын
Umeonaje?
@salomewandya7257
@salomewandya7257 21 күн бұрын
Saafi sana
@kambiyusufu2776
@kambiyusufu2776 19 күн бұрын
Nice
@DonatLwabanya
@DonatLwabanya 22 күн бұрын
Wa kwanza mimi
@abednego3876
@abednego3876 21 күн бұрын
Ww ni msenge umefaidika nn kia wa kwanza tako limeota au
@mustaphasegeja1712
@mustaphasegeja1712 22 күн бұрын
Linex huyo amekuedit
@lamekkauka9056
@lamekkauka9056 21 күн бұрын
Huyu mwamba anajua kiukwe
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 22 күн бұрын
Sande mjenda
@samwel_368
@samwel_368 22 күн бұрын
💯💯💯
@harunaandrew2870
@harunaandrew2870 22 күн бұрын
Mia mia kaka
@ce-08
@ce-08 22 күн бұрын
💯
@christopherkimpant9065
@christopherkimpant9065 18 күн бұрын
Mwenewachu
@pamelapaul7643
@pamelapaul7643 21 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 22 күн бұрын
KAONGEA PUMBA INTAVIW NZIMA😊,,DEM WAKO ANA GARI 3 SI ANAUZA 1 ANAKUPA MSINGI UNAFUNGUA KADUKA KAKO,UNAZUGA,UACHE GARI UWAN UKAKWEE DALADALA😊 MPUMULIANE.,,SKILIZA EITHA WOTE MUWE MNA PESA AU MWANAUME AZIDI..NA MNAYAONA KWA SHISHI ILA UJEULI😊
@badymedia9648
@badymedia9648 22 күн бұрын
Na siku akikuchoka anachukua biashara yake sio ? Jamaa katema madini sana mali ya mkeo sio yako , pia hakikisha mali zako hazina jasho ya mwanamke yaani asikupe mtaji labda muanze wote mfight wote
@swalehebaraka4028
@swalehebaraka4028 21 күн бұрын
Unaupewo wakueleweka hekima kama izoo
@mkavinatv7397
@mkavinatv7397 22 күн бұрын
KUWA MAKINI ANGALIA NILICHOPOST KZbin PLZ UTALIA😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😮😅😅😅😅
@ce-08
@ce-08 22 күн бұрын
😂😂 ndyo unatafuta views kwa mtondo huo
@EmmanuelSima-qz1gd
@EmmanuelSima-qz1gd 22 күн бұрын
Haya maisha bhn ukifanikiwa tu kila mmoja anakuja na yake mby sasa huna nyuma wala mbele hamna atakae kukumbuka kwa lolote
@FreeGod368
@FreeGod368 22 күн бұрын
Huwajui we umenunua sim juzi
@svt3
@svt3 22 күн бұрын
@EmmanuelSima: wewe ni wa mwaka gani Linex na baba Levo ni chanda na pete linex ndie kamleta baba levo Dar wanafahamiana kuanzia miaka ya 90's huko
@swalehebaraka4028
@swalehebaraka4028 21 күн бұрын
Stupid emmaulel
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 13 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 29 МЛН
Taratibu Rahisi Za Kuja Ulaya
10:07
Maisha Ya Ulaya
Рет қаралды 2,4 М.